Mama kama uyo nibora nimukose mpaka mwanao unamusaliti 😢we kiboko kwakweli umenishinda tabiya watu walikua wanaishi zao vizuri ona sasa umesha wavuruga waona raha mwenyewe Leyla usikubali kuoga ayo maji yao jamani kubali wakucukiye ivoivo
Ddngu Leyla Baki n msimamo wako usikoge hyo dawa huyu mama sio mtu kbsaa😢jamani huzuni imetawala kwa kaka omari Mungu awanusuru n Kila shari za wanadamu 😢🙏😩
Hebu ni waulize, kwani huyu mama mkwe mwamjua leo kutoka muanze kuaangalia hii movie mlikua mwasinzia. Mwenzenu nlimjua kitambo na kiboko yake ni leyla tu
Lamda kama hayo ni maigizo tu jaman? lakin kama kweli huyu mama na mdgo wake wako hivi hivi bc wache kwanza wao kumuogopa mungu ndio washauri watu wengine kuwa wamuogope mungu ☝️ maanake kaaa wanajua kugomba nisha watu jaman kaaa
Mama Mkwee mfitinishaji huyu mtihani sana
Yan movie ilikua inaenda vizur sas mnaiharibu limama gan libaya hiv 😏😏
Mm wapli wala sijampinga wa kwanza..Allah atujaalie tuufike mwez mtukufu wa Ramadhan tukiwa wazima wa afya
Amin ya rabbi
Amin yaraby kwasot
Allahumma Aammiin Aammiin Aammiin 🤲🤲🤲
Amina yarabby
Mama mkwe simpendi hatari mnachelewecha sana hii movie wa kwanza kutoka🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mama mkwe mbaya huyu sana 🙌🏾😫
Ma mkwe mbaya jmn uyuuu😏😏😏😏
Aah mbn movie hatuifahamu tna baada ya kenda mble inarud nyuma
Mama mkwe roho mbaya Sana afai kabisa aende uko wavunja ndo za watu
Inalilahi wainalilih rajim ila huy mama mkwe ni mitihan wallah allah atunusuru na mama wake kama hao 😢
Mama mkwe huyu mfitinishaji bala wallah duuh mtihani.
Najua mke mdogo dawa Yao anayo ❤❤❤
Yani hii filamu mumeaza vzr lakn mashabiki mutatupoteza hata haiyeleweki
Nikwali
Jaman. Uke wenza. Uyo mam mubaya. Kaweka ubaya Kati yenu. Du😢😢
Hii mv mm sielewi mbon mwanzo iliaza vizuri Lakin sahiv sielewi kabisa😢😢😢
ata mimi naona kama nimeachwa sehemu,,..sielewi 😅
Ilikua nzuri ata inatamanisha kua wake wenza
Mola tujalie wakwe wema sis ambao bdo hatujaingia
Sku zote mwanamke mpumbavu huiharibu ndoa yake mwenywe
Mama mkwe nungwi😂
Hauna kichwa wala miguu unapoteza emb zako tooo
Ni khatari kwa allah
Hii move ilianza vizuri ila saiv ina boa haswaa pia mnaichelewesha inakosa ladha kabisa😢😢
Mama mkwe mbaya sana huyu
Hak yamung ww mama mkwe mung an kuona 😂😂😂😂😂 atar kwakwel mung aninusur mkwe kam uyu nahis at mwez hauishi nimeenda kwety hhhhhhhh atar kwakwel hhhhhh
Mamakwe weye khatariyyyyyyy unabomoa upendo wa mwanao kwa ushirikina kwakweli hupo sawa
Mama mubaya huyu duuu😂
Mmmmh yaani mii ndoo hata sielewi tena
Mumesha anza kuivuluga hii muv
Uyu sio mama ni mthiani
Mlianzq vizuri mkaanza kuaribu cz naaangali ila sielewi pia inaendaje
Sijapenda ☹️☹️
Huyu mama mbaya kweli sijapata kuona kwakweli nakuchukia vile hujui😢😢😢😢😢tu
Movie lmekua byaaaa ovyo asa sina haku nayo
Mke mkubwa nae ovyo😏amesahau alivyotendwa😂ila chako kimotoni
Wakwanza Leo naombeni likes zangu jamani 🤣😂🤣😂🤣
Subhaallah mamkwe wee
Yaan kuxema ukweli nilikuwa naipenda xan hii movie ila axaiv xierewi kabixa yaan mpka 😭😭😭😭😭
Pole ila angalia epsoid ya 14 na 15 utaelewa
We bi mkubwa ni nnafiiki kiasi hiki 😢😢
😢😢😢😢😢Mama roho mbaya
Mmmmhhhh mama huyu mungu amponye
Mama kama uyo nibora nimukose mpaka mwanao unamusaliti 😢we kiboko kwakweli umenishinda tabiya watu walikua wanaishi zao vizuri ona sasa umesha wavuruga waona raha mwenyewe Leyla usikubali kuoga ayo maji yao jamani kubali wakucukiye ivoivo
Huuvmchezo mbaya
Tulikuwa tunasubir 😂😂😂😂Leila wee kuwa mpole yataisha
Uyu mama ndio anazidi kuharibu
Mbona hatuwaelewi yaanza vizuri half mwatuletea mauzauza tuy😂
Mamdogo nawewe kichefuchefu na huo mwanya wako wa umbea
Nilikuaga naipenda ila kwss siipend haielewekii
Jamani uyu mama kiboko
Uyu mama kiboko
Allah atuepushe na wakwe km hawa
Ddngu Leyla Baki n msimamo wako usikoge hyo dawa huyu mama sio mtu kbsaa😢jamani huzuni imetawala kwa kaka omari Mungu awanusuru n Kila shari za wanadamu 😢🙏😩
Uyu mwanamke wallahy kiboko na wako mavyaa kama Hawa humu duniani mungu atunusuru nao
Amin yaraby ila mtian kwakwel 😢😢😢😢😢
@AmenaMm-r5t wallahy tena
Yaan huyo mama ana roho mbaya tena mushirikina na ni mchonganishi mzabizabiuna huyu mama simpendi 😂😂😂😂
Yaani ukipata mamamkwe ka huyu wallai kijana wake hataoa milele haki 😂😂😂bi mkubwa ni pumba kweli
Mama kiboko 😢😢😢😢😢😢😢😢
Jamn mbn mnatuchanganya tena
Mhhh mama mkwe kama huyu wako wengi waolewaji muwe makini na ndoa zenu
Asalam alaikum warahmatullah wabaraakatuh,hii movie naona km inaenda kuwakm sielewi yena bora nihamie channel nyengine
Mama mkwe kweli we kiboko sikuwezi kwakweli😂😂
Eti ndoto khaa yaan mmeharibu.
Movie mzuri ila mnaichelewesha
KAMA ULE MCHEZO WA KWANZA ULIISHA MNGESEMA TUMEANZA MPYA SASA HAPA ATUELEWI, 😁😁
Mama mkwe mfitinishaji huyu
Mbona asaivi aielewi hii movie jamani
Sjapenda jmn
Wenye tabia kama hizi za mama mkwe na mdogo wake waache mara moja ni khatari twendako
Hata sijui munachezaje huko
Mamkwe anazingua
Mimi wa sita jama😂
Bi nondo katika ubora wake🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa wakwe wanafiki wallah
We mama sikupendi ataukifa upokelewi kwakumgu unawagombanisha weke weza walipendana wenyewe namumewako wemama unalaan
😂🤣🤣🤣kiti shikamoo
Mma mkwee hanamana
Kwan hawa watu ni vipofu au ata ishanza kunibowa Hii movie na hivi vitimbi vyao
Hebu ni waulize, kwani huyu mama mkwe mwamjua leo kutoka muanze kuaangalia hii movie mlikua mwasinzia. Mwenzenu nlimjua kitambo na kiboko yake ni leyla tu
Ama hatari tooobaaaa hawa watu wafitinishaji mnoo ,lkn haya mambo yapo kwenye jamii
Ila mama mkwe innalillahi wainnailahi rajiun
Mwachelewesha mpaka yasahaulika iliishia wapii
Kwan mbona sielewi mama katokaje jela , angebaki yasinge tokea hay😢
Mi sielewi inatoka mbele inarudi nyuma
Mmechoka ndipo maana mmmh hatasielewi kunaendekea nini
Mama mkwe tabia huezi acha kweli mke mkubwa nae akili zake debe tupu
Inacaganya sana
Filamu mmeiharibu haina utamu tena mlianza vizuri saivi hata haieleweki mmeiharibu
Bin mahsen hii ndoto imetuchosha bwana uuff alaf nataka niwa thulatha
Lamda kama hayo ni maigizo tu jaman? lakin kama kweli huyu mama na mdgo wake wako hivi hivi bc wache kwanza wao kumuogopa mungu ndio washauri watu wengine kuwa wamuogope mungu ☝️ maanake kaaa wanajua kugomba nisha watu jaman kaaa
🎉🎉
Mbona hii move sielewi ndipo mwatupoteza jamani 😂😂😂😂
Namm celewi c huyu mama alikuwepo gerezan sas saiv nd ashatoka
@FarhatIbrahim-zs3qh jaman som ncomment
Wamevuruga kabsa mie ndo sielewi kabsa.
Ilikuwa ndoto jamani 😂
Namim si erew 😊
Huyu mama hatar, MB on a muuaj hivi
Hii naona sizon3 maana sio kwa madiliko haya.
❤️🇸🇦
❤❤❤
Wakwanza Leo nipeni like🎉❤
❤❤❤❤
Musitusumbue
Mama mbaya huyu
Hii move mumeiharibu hata haiyeleweki kwasasa
Inshallah twashukuru kwa kuiharib next time titakutengemezea nzuri ila kwa sasa wacha hawa wanaoelew wendelee
Hujaelewa ndio maana ifatililie vzr
Kwan mbn kama marudio
Duh ndug yangu wewe ni mtoro wa kuhudguria kipindi
@@BinMahsen😂😂
@@BinMahsen yaan kinaanzia mbali sana ndo mana nkajua marudio sema mnachelewesha sana kazi dah jitahidini basi adi mnapoteza utamu
Hata sijaelew hii mevi mahali imefikia
Angali kuanzia epsod 14 utaelewa vizuri inshallah
Kokulaco kipopembezuni mwako
Mimi simpendi huyo mama na mdogoake!!
Mimi pia sielewi
Ndo mchezo tuulkn na huyu Omari bwege kwanini akiambiwa neno hachunguzi na huyo mamdogo hana kwao lazim akae hapo afitinishe?
Al jannatu takhta akdamil ummahaat...abishe akose pepo
Yani wewe mnamchamba mke mwezio .umemsahau huyo mana
Huu mchezo mbona haueleweki tena