Upendo ndani ya kundi la Zabron Singers utakushangaza, ‘Ni kikundi cha familia, tunaheshimiana sana’
Вставка
- Опубліковано 7 тра 2021
- Mahojiano na baadhi ya members wa kundi la Zabron Singers. Unaweza kutazama video yao mpya hapo chini:
Imenigharimu
• Imenigharimu by zabron...
Wimbo IMENIGHARIMU yafariji na kutia imani nguvu sana.Niseme IMENIGHARIMU inafanya vizuri sana kiimani.
Wonderful indeed 🙏we love them from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwenyezi mungu awajalie milele mnakaa Wapole sana nimebarikiwa na nyimbo zenu sana
Wow Woooooooow 👏mbarikiwe sanaaa mbona mmemaliza bila ka pambio kamoja sweet sweetie sweetie!!!!
Nyimbo zenu zote kuazia mkono wa bwana nakutuma wimbo imenikarimu Mimi ziko na ubako sana Tena nimejua Victoria si mke wa Japheth huwa na jua ni mke wa Japheth mungu awabariki sana mntubariki sana napenda nyimbo zenu
Nawapenda nyote kutoka Burundi. Jamila Dotto Mungu Kakubiliki kwa wimbo "Ntaweza". Nakupenda sana!
Brother Frederick Bundala leo umefanya jambo kubwa sana Mimi ni Member wa SDA na nawapenda sana hawa wanakwaya , wanajitahidi sana kuitangaza injili ubarikiwe sana kaka. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.
Mungu na awabariki watumishi wa Mungu, inapendeza katika familia zaid ya wanafamilia kumi kumtumikia Mungu ambavyo ni tofauti na familia zingine
Nawapenda sana MUNGU🎉🎉🎉🎉 Awabariki🎉🎉🎉🎉🎉 kwauyimbajiwenu muzurisana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Namm pia natamani kufanya kazi nanyi pamoja Kama kunafursa naomba nafsi nami kumtukuza mungu
Mubarikiwe sana jamaa kwa kumutumikia Mungu.
Am Soo happy for the unity within the team...mungu akazidi kuwabariki💪💪💪💪
Doing well always.spread the gospel to all nation. Hope ningejua uko penye mko niimbe nanyi.si mungu utende tu nikaolewe uko woyee
Nawapenda saana zabron singers,
Nawapenda waimbaji wetu sanaa Mungu awalinde niwatakie na kuwatetea muda wote mtafika mbali katika maisha ya kumtukuza na kumtumikia Mungu wakati wote
God bless you I like your songs
Sweetie Sweetie imefika 24M leo hii wow hongera sana Zabron singers. Amazing talent and exceptional song writing skills.
God Bless You All!!!!
Hongereni jmni Mungu awajalie jmni
Nabarikiwa sanaa..
Nimefurahi kuwaona na kusikia sauti ya hawa zabron singers kama kikundi ya familia, it is a blessed family
Sabrina no wasabato nawapenda sana
Dada wa kundi nakupenda sana ilove you,,,
Marco Joseph leading well
Nawafurahia sanaa nabarikiwa sanaa natamani niwaone popote mlipo nitawatafuta
Amen
Amina
Or l love your song.
Thanks!
Thank you
God bless you
💘
🔥🔥🔥🔥
please put english subtitles so we can follow too
Apostles Joshua sulemain
Aminaaa
Naipenda iyi zabron kabisa Mwenyezi Mungu awazidishiye
Mungu awabariki,awaongoze awafunike kwa utukufu wake na awaangazie Nuru ya uso wake awabariki mtokapo na awabariki muingiapo.