The Dark: PASCAL KASSIAN WA BSS: NIMEPONA ILA NIMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME, MKE WANGU AMEVUMILIA ILA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 сер 2024
  • #TheDarkNaBongo5 #bongo5updates Mshindi wa BSS mwaka 2009, Pascal Kassian amefunguka mazito ikiwa ni mwaka mmoja toka arudi Dar Es Salaam akitokea India kwaajili ya matibabu baada ya kupata ajali ya gari .
    Gharama hiyo ya matibabu iligharamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda baada ya kukaa muda mrefu bila msaada.
    Akizungumza na BongoTV wiki hii, Pascal amesema anamshukuru Mungu amepona kabisa ingawa nguvu zake za kiume zimeshindwa kurudi hivyo anashindwa kumpatia haki mke wake wa ndoa.
    Amesema hali hiyo amejaribu kujitibu toka mwaka jana lakini bado mambo hayajakaa vizuri huku akimwagia sifa mke wake kwa kumvumilia katika kipindi hicho chote.

КОМЕНТАРІ • 239

  • @gregorymutuku2811
    @gregorymutuku2811 2 роки тому +7

    Pole sana brother,yote yanawezekana...ikiwa MUNGU anaweza fufua mtu aliye kufa hata Hali yako itakua sawa katika JINA la Yesu...nakutia moyo sana utakua sawa....yote yanawezekana....it shall be well!!!

  • @PetroBahatikuder
    @PetroBahatikuder Місяць тому +1

    Ndugu Pascal, mimi ni Professor n'a Mhubiri wa Injili yenye kuokowa mioyo zilizo tekwa nyara n'a yule adui wa Kitu cha ENZI cha BABA aliye mbinguni. nimepitiya kiwango cha kukatwa mguu n'a Pia baadaye sukari ilipanda saana Ila kwa Leo yote imepona ki miujiza. Nilipotezaka pekeka ripoti kwa madaktari walushangaa. Luke 2:37. Hakuna kinacho shindikana kwa Mungu. Uponyaji wako iko kwa mda wa Mungu, JHVH RAPHA. Asante!

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 роки тому +2

    Makonda Mungu Akubariki ulijitoa kwa kila husda za watu namna kumpigania huyu mchungaji . mashallah 🥰🥰 mchungaji na pia Makonda Mungu akuepuxhe na

  • @japheetz
    @japheetz 3 роки тому +33

    Huyu atakuwa mchungaji wa kweli kabsa na atapona ata hilo tatzo la nguvu za kiume n mitihani tu ya mungu atamponya na hilo..ata ayubu alipitia mitihan mizito

  • @victoreiibariki7031
    @victoreiibariki7031 4 роки тому +11

    Hilo ni jaribu tuu, endelea kuomba na kusubiri wakati wa Mungu sitarudi zenyewe.

  • @hustlertv1683
    @hustlertv1683 4 роки тому +15

    Mtangazaji nyoa nywele ama uzichane,professionality

  • @obedwesley4555
    @obedwesley4555 3 роки тому +7

    Vraiment c'est un artiste que j'aime beaucoup , merci a Dieu pour ta guérison.

    • @blueeyes5952
      @blueeyes5952 3 роки тому +2

      Notre Dieu est merveilleux à celui qui croit à son Nom Jésus christ

  • @zawaditito5111
    @zawaditito5111 4 роки тому +5

    Pole sana Pasco umepitia changamoto kubwa zaidi ya hiyo Mungu azidi kumpa ustahmilivu mkeo

  • @geraldmhagama1055
    @geraldmhagama1055 3 роки тому +5

    Makonda umexaidia weng una moto was huruma tutakukumbuka milele ulijitoa kumxaidia mtumixh wa mungu mh.makonda mungu akubarik Na akulinde

  • @christerkilamlilo7013
    @christerkilamlilo7013 2 роки тому +3

    Pole sana ndugu Pascal. Mungu awafunge mkanda familia yenu mnayopitia ni magumu

  • @queenmeddy2315
    @queenmeddy2315 3 роки тому +2

    Mungu wa ajabu saaaana kwel anatenda duuuu
    Ee Mungu unastahili sifa
    Nmefurahi sana uko hv sahv!sikuona
    Asante Mungu muumba wa vyote

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 2 роки тому

    Kaka Kassiani Hongera sana, umefanya vizuri kuweka wazi jambo hilo, SASA UMEKUWA HURU KABISA, Kiukweli hata mm nisingweza kulitangaza hilo, Ila ww hapo umetatua taitizo ingawa kwa nje linaonekana kama bado lipo,. Pili hata kama Bwana hatakuponya, bado ni kwaajili ya utukufu wake, hata kama mke atakuacha, bado itakua ni kwaajili ya utukufu wa Bwana. MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @jimmypeter2775
    @jimmypeter2775 2 роки тому

    Pole sana mtumishi paschal hili ni jaribu hakika litapita nalo! Nakupongeza kwa ujasili uliokuwa nao na ni mkweli! Truth will make free! Mungu yupo utapona tuu!

  • @nuruluther9879
    @nuruluther9879 4 роки тому +4

    Pole sana ndugu mwenyezi Mungu bado anatenda kwako.

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 3 роки тому +9

    Nguvu za kiume sio tatizo kikubwa umepona mke atavumilia kama alivyovumilia mwanzo usiogope endelea kuomba Mungu mapenzi weka pembeni

  • @evimanmmbogo5332
    @evimanmmbogo5332 4 роки тому +15

    Kwa mwanadamu haiwezekani LAKINI KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA, Ushauri wangu kwako kaka Pascal ni kwamba Mimi nakutaka ungejitahidi sana sasa hivi kuelekeza jitihada zako katika kumtumikia Mungu na nina uhakika Mungu atakuponya ukiona jambo liko nje ya uwezo wako na wanadamu hilo jambo liko ndani ya uwezo wa Mungu fika mahali utambue sasa uweza wa Mungu. Katika yote tunamshukuru Mungu kwa ajili yako, nakumbuka siku Mungu amenipa mzigo wa kuwaombea wewe na Rose Muhando na ni ushuhuda kuona mko hai na mnaendelea kueneza injili.
    Kama madaktari wameshindwa, Mungu hajashindwa, yuko tabibu wa ajabu Yesu Kristo.

    • @hassankombo4475
      @hassankombo4475 4 роки тому +1

      Hakika na ajue ilo ni jaribu na litapita aseme na roho mtakatifu nae atamuonesha njia salama

    • @elyudsaleh6044
      @elyudsaleh6044 3 роки тому +1

      ushauri mzuri, ila usiseme tena MUNGU alikupa mzigo. si sahihi mtumishi.

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 роки тому +1

    I see nyuma ya tatizo, Mungu yupo atafanya yote kuwepo uimara zaidi,na pia hapo Makonda naye hayuko mbali hongera zake🙏

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому +7

    cha kuomba ni mkeo awe na uvumilivu tu mengine ni majaaliwa kwani mwenyezi mungu ameshakujaalia watoto.

  • @stevenwoiso3211
    @stevenwoiso3211 4 роки тому +5

    mungu ni baba haki sikujua kama utakwepo asante mungu kwajili yamtumishi wako

  • @MeshackDaniely
    @MeshackDaniely Місяць тому

    Akuponye ukawe mzma kwajina layesu mungu mungu mungu mungu aishie milele akuponye kwajina layesu yesu yesu yesuuuuuuu mungu akubaliki sanaaaaaaaaaaaaaa 🙏🙏🙏 akulinde

  • @evamringo2331
    @evamringo2331 3 роки тому

    Pole sana .. kamwone Suguye matembele ya pili .. kwa jina la Yesu utapona tu..amina

  • @mussasimon7670
    @mussasimon7670 Рік тому

    Pole Sana kakangu Mungu atakuponya,,kumbe wimbo utakufa unajiona uliimba ulikuwa unaumwa kweli,da

  • @magdalenadotto8663
    @magdalenadotto8663 3 роки тому +5

    mungu nimwema nimefulahi sana kukuona umesimama

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 2 роки тому +2

    I hate poverty, unaweza kuwa mzima na afya njema lakini ukose pesa,shida kama hiyo iliyomkuta ndugu yetu ikikujia,Bila muujiza wa Mungu unakufa,Jamani Mungu Tubariki

  • @annuherman1878
    @annuherman1878 Рік тому +1

    Mungu akuponye kwa Jina la Yesu,Mungu akutete upone

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 3 роки тому +2

    Jaman barikiwa mno mtumishi !! Mwenyez mungu aww nawe daima

  • @paulojoseph8876
    @paulojoseph8876 3 роки тому +1

    Mtumishi pascal mungu atarejesha kila kilicho potea ndani yamwili wako tena kwaviwango vyaaajuu kumbuka ayubu alipoteza kila kitu adiwatoto wake wapekee lkn wakati wamungu ulivyofika alilejeshewa vyote kwakipimo chakujaaa kwako pia itakua ivyoivyo mtumishi

  • @Spark8Technoo
    @Spark8Technoo 13 днів тому

    Mungu atakusaidia mwana wa Mungu usife Moyo

  • @kimandoluArusha
    @kimandoluArusha 3 роки тому +4

    Isaya 57:15 Mungu aishiye juu sana,akaaye juu yeye ni juu ya vyote hakuna jambo lililoko juu yake,yeye anataka unyenyekevu tu,kufumba na kufumbua tatizo lako litaondoka

  • @abinelelias9260
    @abinelelias9260 2 роки тому +1

    Amina Sana Mungu mwaminifu utapona kak yangu kwajina la Yesu 🙏🙏

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому +4

    Pole sana na mshukuru mungu kwa kila jambo

  • @esperancemariam4425
    @esperancemariam4425 2 роки тому

    Pole sana kaka yangu Mungu aliyekuponya atakusaidiya tu uwe na Imani tu utakuwa sawa nakutakiya uponyaji.

  • @mauriceogoma9591
    @mauriceogoma9591 2 роки тому +2

    Bwana Cassiani, nakushauri kwamba tafuta madhabao ya Mungu yenye nguvu alafu toa SACRIFICE utapona. Kama unaweza kuja Kenya tafuta pastor Ezekiel wa kanisa la new life iko mombasa, hakika utapata usaidizi. Ama wakati atakapo kuja Tanzania kwa crusade fanya bidii ufike. Mungu unaye mtumikia ni mwaminifu . Hiyo ni vita ya madhabao, kwa hakika ukifuata maagizo yangu utasaidika.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 3 роки тому +3

    Mungu Ni mwema Kaka hata Hilo utapona in Jesus name

  • @AnneCherotich-gj9eg
    @AnneCherotich-gj9eg Рік тому

    Shetani hana lake katika maisha ya mpakwa mafuta wake Mungu.Simama imara mchungaji kuitetea injili yake Bwana Yesu yeye ambaye amekuhifadhi ufike leo hii na kukurejeshea afya yako iliyoteswa na ibilisi shetani.
    -Sifa na shangwe ni zake Mwenyezi Mungu amina.

  • @geraldkishenyi5786
    @geraldkishenyi5786 4 роки тому +6

    Nimejifunza kitu apa,,😢😢😢😢

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 4 роки тому +4

    Msimlaumu kulitoa nje ujue bora aweke wazi maana kuna leo na Kesho yakaja kutokea mengine mkaja kumuona ana makosa na msema kweli ni mpenzi wa mungu pole Kaka yangu mungu yupo pamoja na ww kwa kila hatua

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

    Mungu anaweza na hata hilo munguhawezi shindwa usiumie na hilo kila jambo lina kusudi lake usiwaze ndugu mshukulu mungu kwa kila jambo liko kusudi

  • @boredman9895
    @boredman9895 2 роки тому +2

    Kama Kuna watu ambao wanapaswa pewa musaada nakuitaji nika huu kaka,acha mungu aitwe Mungu 😭🙏

  • @noelaoliva1638
    @noelaoliva1638 3 роки тому

    Pole sana kaka mshukru mungu kwa uzima wako kua hai kwan aliskia kilio chako kaka mkeo kama aliweza kukuvumilia pindi unaumwa atkuvumlia pia tu shikamaneni mpeleke injili mbele yasimulie matndo ya mungu hata hizo nguvu za kiume zitarudi tu maan ulipo vushwa na mungu nipakubwa mno mno uliteseka sana kwa mungu yote yanaezekana kaka na pole sana

    • @stellamushi5306
      @stellamushi5306 2 роки тому

      Songa mbele mtumishi wa Mungu,Mungu aonae sirini yu mwema Kila wakati.

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 6 місяців тому

    Mtumishi Mungu atakusaidia kama vile anawasaidia wengine.

  • @mecktildatushabe7898
    @mecktildatushabe7898 3 роки тому +10

    Kaka Mungu ALIYE kuponya ata kurejeshea Nguvu za kiume Mtegemee Mungu utapona tu

  • @hawwahawwa9590
    @hawwahawwa9590 3 роки тому +3

    Daah pole Kaka ilaa mungu mkubwaa ww ni mkwerii ase

  • @esthermusyoka1256
    @esthermusyoka1256 2 роки тому +2

    May the Almighty God heal you from that problem. Receive healing in Jesus name.

  • @FamtamAli-vl2wx
    @FamtamAli-vl2wx 4 дні тому

    Nina kupenda Mtumishi na pole na Mungu akufanyie wepesi upone haraka

  • @allentindya5144
    @allentindya5144 4 роки тому +30

    Huyu hataki mambo ya kona kona Anaongea kama mwanaume

  • @immahkisuke1564
    @immahkisuke1564 2 місяці тому

    Hilo ni darasa lako,,,utapona mara utakapo maliza shule yko Mungu akupe nguvu za uvumilifu

  • @cyprianojiambo8670
    @cyprianojiambo8670 11 місяців тому

    Pole Sana mtumishi wa mungu Kasiani

  • @trizandanyi1763
    @trizandanyi1763 3 роки тому +3

    Mwanaume aliye ngojeka kwa miaka 38 yesu alimponya,mwanamke aliye vuja damu kwa miaka 12 pia alipona sebuse wewe,mtumainie mungu kaka

  • @georgiaruhinda1704
    @georgiaruhinda1704 Рік тому

    Bwana Yesu atakuponya,mbona unanikwamidha kidogo tena mtumishi wa Mungu!!!!!?,kwa Yesu hakuna kinachoshindikana, bwana Yesu anakwemda kukuponya, na make wako aombe Mungu anatenda muujiza mingi.

  • @peterndeti261
    @peterndeti261 4 місяці тому

    Pole, ndugu, but Mungu huumba tena amini tu.Nimemuona akiponya.

  • @georgiaruhinda1704
    @georgiaruhinda1704 Рік тому

    Kumbuka madaktari walikutibu,Bali mponyaji ni Yesu peke yake,Amen.

  • @georgiaruhinda1704
    @georgiaruhinda1704 Рік тому

    Kuhusu make wako ni yeye mwenyewe na Imani yake,na upendo aliinao kwako Mungu hashindwi na chochote,mkabidhi. Mungu mahitaki yenu Yesu hashindwi msimuwekee Mungu mipaka,alishikilia uhai wako usiondoke !!!,hashindwi kurekebisha hizo hormones be patient Jesus is able.hakuna jambo linalomshida

  • @sophiajonas8618
    @sophiajonas8618 3 роки тому +3

    Ila Mungu amekutoa mbali sanaaaaaa ana makusudi na wewe

  • @prisslakabyemela4891
    @prisslakabyemela4891 4 роки тому +1

    Jaman hongera Sana Mungu azidi kukutunza azidi

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 роки тому +1

    Pole sana Kaka. Mungu akusaidie.

  • @sandrasanga9884
    @sandrasanga9884 Рік тому

    Pole sana kaka Mungu alie ziumba mbingu na nchi akuponye pole kaka

  • @pendongaselevaha6912
    @pendongaselevaha6912 3 роки тому

    Pole mtumishi wewe nimshindi mungu atazidi kukusimamia mtumishi wa bwana

  • @letisiabaritazari7606
    @letisiabaritazari7606 Місяць тому

    Pole kaka mungu ataupa nguvu

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 2 роки тому

    pascal casiani umeeiinua. sanaa Imani yangu ndugu yangu hakika MUNGUatakuponya Hilo tatizo

  • @frankeliakim2267
    @frankeliakim2267 4 роки тому +2

    Maisha ndivyo yalivyo kaka Mushike Mungu

  • @Saidi1581
    @Saidi1581 Рік тому

    mungu akubariki sana mtumishi wa mungu utapona tu🙏🙏

  • @annangajilo2624
    @annangajilo2624 2 роки тому

    Mungu atakuponye .kwani ni Nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi kutenda mema muishie Mungu Kaka utaponaa kwa damu ya Yesu

  • @raymanfungo3849
    @raymanfungo3849 3 роки тому +3

    Baba...bless my brother

  • @luckyhardson18
    @luckyhardson18 Рік тому

    God bless you kaka.

  • @sarakusatz3224
    @sarakusatz3224 3 роки тому +2

    Pole Sana Kaka yngu

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga Місяць тому

    Pole sana kaka

  • @hulumamtambo6543
    @hulumamtambo6543 3 роки тому +1

    Mungu akumbuke

  • @stanleymugisha1631
    @stanleymugisha1631 4 роки тому +2

    Pole Sana kaka Cassian Mungu ni mwema na naona uko powa sana

  • @lizzybbysalv6438
    @lizzybbysalv6438 3 роки тому +3

    Mnaofanya field mahospital jamaan mungu anawaona, nilishakutana nao mimi uwwwwiiii mpka nilihama hosptal, sijui madaktari huwa wanafikiriaga nn wanapomkabidhi mgonjwa kwa leaner

  • @charleskitaya7707
    @charleskitaya7707 Рік тому

    Pascall usiogope BWANA YESU Amekupa nafasi ya kusema ukweli sema yaani ukweli unavurugwa sasa. Nampenda sana YESU bado anayo mabaki wasio piga goti kwa wachafuzi wa Injili.Yote na yote tunaye MUNGU Asiyeshindwa na lolote

  • @nsoksjsjsjdn5288
    @nsoksjsjsjdn5288 3 роки тому

    Ameeeeen.Ameeen..E.Mungu.pewa.sifa..baba.usifemoyo..Ariye.kuokowa..ataponya.nahiro
    tatizo.usikatitama🇧🇮🇸🇦

  • @yohanamajangito1237
    @yohanamajangito1237 4 роки тому +4

    Mungu amekuponya shukuru mungu sana,ushauri jitahidi uwe barozi wa kutoa ushuuda kwa matendo ya mungu,ishi ktk pindo la yesu daima,ila kunahekima umekosa cz jambo la shida ya nguvu ya kiume ingebaki kuwa siri ya familia,dr wako na mke wako,hata km ni mihemko ya furaha baada ya kupona bt mungu anatuambia tuwe na kiasi kwa kila jambo.

  • @deusnzeran4752
    @deusnzeran4752 3 роки тому

    Vita kati ya mbingu na kuzimu ila najua neno moja Yesu akasema nitalijenga kanisa juu ya mwamba wa Imani hata milango ya kuzimu haitalishinda vita si yako rafiki yangu

  • @jeanbosco7866
    @jeanbosco7866 3 роки тому +1

    Mungu amsaidie kweli

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 Рік тому

    Mungu akubariki Sana Tena Sana amen

  • @offcialfadhily4582
    @offcialfadhily4582 4 роки тому +2

    Mungu akuponye 🙏

  • @brandinakizito3541
    @brandinakizito3541 4 роки тому +1

    Amini Mungu atenda iro nijambo dogoo mbere ya Mungu atatenda

  • @saradavirginiavirginia426
    @saradavirginiavirginia426 Рік тому

    Kassin Mungu anaweza hata hilo, ebu simama sema na Mungu atafanya. Hiyo ni mipango ya ibilisi, Mungu ndo ana spea za miili yetu.

  • @lucyisack2110
    @lucyisack2110 2 роки тому

    Pole Sana Mungu mwema,nakukubari sana

  • @dativadaud4300
    @dativadaud4300 2 роки тому

    Asante Mungu,sikujua kama utakuwa hivyo

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 3 роки тому

    Asante kwa mungu watoto unao, Cassian utapona

  • @fatumanaliaka2210
    @fatumanaliaka2210 3 роки тому +1

    Pole sana kwa yote Mwenyezi Mungu aendelee kukupikania akuponye vyema akushindie na akuweseshe vyema kwa yote maana yeye ndiye mwesa wa yote na hakuna mwingine badala yake kaka endelea kumwamini na kumtegemea Mwenyezi Mungu kila wakati maana yeye ni mwaminifu Sana Kwa walio wake na hawesi kuwaaja kamwe wakaangamia ni lazima awapikanie na awashindie awaweseshe vyema kwa yote katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @rehemajoshua2022
      @rehemajoshua2022 3 роки тому

      Uliyopitia nimagumu Sana, rakini mungu mwema ritapita hata hiri mungu akusaidie!

  • @petrokamoza2090
    @petrokamoza2090 3 роки тому +3

    siyo sawa kusema siri yenu ya ndani na mm nimeona kama mke ndo kidogo anaweza kusumbuliwa kisaikoloje kutokaana kua watu wamejua hali ya mume siasema atamsaliti hilo halipo kwa mwanamke anaemjuwa mungu hawezi ila kaka angu kakosea kuliweka wazi hili ambo ila mtenda miujiza yupo utapona

  • @frankbenandi8764
    @frankbenandi8764 2 роки тому

    kaka hakika we unanguvu sanaaaa mungu namuona kupitia wew💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @shukraniwillisoni8512
    @shukraniwillisoni8512 3 роки тому +2

    Utapon mtumishi hilo ni dogo sana kwa mungu

  • @rosemarymwingira5174
    @rosemarymwingira5174 3 роки тому

    Pole sana Mungu akuponye

  • @pakapakatuondoke6785
    @pakapakatuondoke6785 3 роки тому +1

    Jamaniiiiii mmmmmh nakuonea huruma paskari sasa utafanyaje tendo la ndoa jamaniiii mmmm nauzuni

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 2 роки тому

    Sifa na utukufu ni Kwa Bwana wetu Yesu kristo

  • @ayubumwasile3266
    @ayubumwasile3266 2 роки тому

    Yes anaweza hata Hilo pia kunajambo linahitaji kufanyika ukipata mda na ikikupendeza tuwasiliane

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 2 роки тому +2

    Mwamini Mung, yote yanawezekana, mathayo 19:25

  • @StivinWambuto-zy5ft
    @StivinWambuto-zy5ft Місяць тому

    MUNGU akutie nguvu pole Sana, MUNGU anaweza yote .

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 3 роки тому

    Wacha mungu aitwe mungu ushuuda unaonekana, ayo mengine tumwachie mungu kumbuka kwenye mungu amekutoa, nguvu zote zitarudishwa kwa jina la yesu chrsto

  • @bryanfelix3771
    @bryanfelix3771 4 роки тому +1

    Mungu atakuponya usikate tamaa hilo nijalibu la imani ya ndoa

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 2 роки тому

    Mungu siyo mwanadamu, Mkubwa kuliko tatizo lolote usiogope Br
    .Pascal

  • @salomessmart9814
    @salomessmart9814 3 роки тому +3

    Hakuna jambo asiloliweza Mungu

  • @kyusa7002
    @kyusa7002 Рік тому

    Mungu atakuponya mtumishi

  • @mravant7960
    @mravant7960 3 роки тому +1

    Pole sana bro

  • @elyudsaleh6044
    @elyudsaleh6044 3 роки тому +1

    ulilolishinda ni kubwa zaidi kaka, naamini huna shaka na MUNGU anakuponya.

  • @uhuruwakweli4876
    @uhuruwakweli4876 4 роки тому +2

    UKIONGOZWA KWA ROHO KAMWE HAUTA SHUGURISHWA NA MAMBO YA MWILI.TENDO LA NDOA NI MAMVO YA MWILI....WAGALATIA 5:16