Karibuni sana Uingereza! MUNGU awabariki kwa huduma yenu nzuri. I can't wait for corona to finish ili mkamilishe safari yenu ya kuja huku wapendwa. MUNGU awabariki sana
Congratulations Zabron singers, am one of your funs....Nawapenda sana mmebarikiwa ki sauti, mbeleni nilidhani ninyi ni wa Nyarwanda...Devine healing in the Mighty Name of Jesus Christ.
Hawa wana zablon are a blessing... Tulifanya mkutano WA injili na wao hapa Kenya limuru-ndeiya tukafungua kanisa kubwa Sana la wanasabato.... Twamshukuru mungu....karibuni tena
Wow amazing 😂😂😂kumbe ndivyo sikulijua Hilo your blessed🙏🙏am from Kenya nyimbo zenu ndizo zimejaa kwenye memory ya simu yangu. I love your songs Zina nijenga kiimani sana.
Hey zabron...keep on doing the good work...aki nawapenda aje... Victoria..ur blessed...alafu big up to that person who designs ur clothes...who chooses colours for you...nyota in'gae
Oh my God amutembeleye uyu grâce n'a amuwekeye muko wake bwana namupendaga saana uyu dada grâce naamini Mungu atamusaidiya katika jina la yesu christu aliye hayi
Jameni nawapenda saaana jamenieeee munggu baliki familia hii yawaimbaji, yani mnanibaliki kila wakati ninasikiliza nyimbo zenu heeee! N'a ile (wimboooo, naisahau kidogo) yani nawapenda kupindukia!!! Mmebalikiwa sana! N'a pole sana kwa dada Grace kwa Gondjwa hilo, naomba mungu anisikie ombi langu akuponye, yani sauti yenu!!! Vile mnavyo tamka na kila helufi ikasikika, I love ❤ you guys ses. From Emmanueline Australia
😢😢Ndo Maana I don't see her, have been asking where is she was though I didn't know her name.i spotted her because of her sweet voice. Almighty God reach grace wherever she is, heal her according to thy will in Jesus name I pray. Hey japhet I repeat again kuna wimbo huwa natafuta sana. Ule wa ndoa ikihalalishwa please send it to my wall, nakusihi if am not wrong by those days grace was pg na niluoenda sana
Hongera sana nyote Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu na afia njema na uzima tele na azidi kuwainua kuwasaidia kuwapikania kuwashindia na kuwawesesha vyema kwa yote katika Jina La YESU Kristo aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nlikua najiuliza yupo wapi dada Grace,Mungu azidi kumpa afya njema turudi kuskia sauti yake, AMEN 🙏🙏🙏 mob love♥️♥️♥️
Sweet sweet on ma weeding haiezi kosa congratulations zablon singers nakutuma wimbo it really touch my heart be blessed all
Karibuni sana Uingereza! MUNGU awabariki kwa huduma yenu nzuri.
I can't wait for corona to finish ili mkamilishe safari yenu ya kuja huku wapendwa.
MUNGU awabariki sana
Pole sana Grace, Mwenyezi Mungu akuponye haraka sana ili uendelee kumtumikia yeye. Watumishi mnaimba vizuri
Wow am from Kenya u r one of my favorite choir I do listen every song u drop I love you guyz
Pokeeni baraka kutoka kenya🙏,what a grace.
I thought "zabron" was a community or a village name...kumbe ni ya familia😍
Mpo vizuri sana nabarikiwa na nyimbo zenu .mungu amponye grece aendelee kumtumikia mungu.
Pole san dada Grece mungu akubariki upone uendelee namajukumu ya kutufunua kwa injil
Hakika dada Victoria umejaliwa sauti ya Kuimba hongereni kwa kazi zenu nzuri mnazozifanya hakika tunabarikiwa xana kupitia nyimbo zenu.
👏👏👏 . Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu. Mungu awazidishe na awazidishie.
Duh! Nimeipenda hiyo! Familia yote kumtumikia Mungu plus waolewaji mko vzr kwakweli be blessed
Nwapenda sana , mnasauti nzuri na nyimbo za upako barikiweni zaidi
This song is more🔥🔥in kenya...umekuwa entrance song in most of the weddings....hongereni Sana na Mungu amponye moja wenu.
Asante kwa kipaji na kujitolea kwa kazi yake Bwana, tunamuombea dada Grace uponyaji wa haraka sana katika jina la Yesu kristo.
Mungu amponye dada Grace ili arudi tena kumsifu,shetani ashindwe kwa jina la Yesu Kristo
Recover fully sister Grace in Jesus Name
Nimeuooona mkono wake bwana daah wako vizur sana pole sana GRACE Mungu akuponye na urejee katika hali ya uzima
Nyimbo zenu zatawala nchini kenya. Heko waimbaji wa Zablon singers.
Kwakweli nyimbo zenu ni nzuri sana mna sauti nzuri nawapenda sana muda ote napenda kusikiliza nyimbo zenu Yani sichoki mungu azidi kuwabaliki sana
Yaan nampendaga huyu dada mungu amponye
Congratulations Zabron singers, am one of your funs....Nawapenda sana mmebarikiwa ki sauti, mbeleni nilidhani ninyi ni wa Nyarwanda...Devine healing in the Mighty Name of Jesus Christ.
Nawapenda bureee jaman nyimbo zenu zinanipa amani hapa duniani ❣️❣️❣️
Hawa wana zablon are a blessing... Tulifanya mkutano WA injili na wao hapa Kenya limuru-ndeiya tukafungua kanisa kubwa Sana la wanasabato.... Twamshukuru mungu....karibuni tena
Mungu awabariki
Wow amazing 😂😂😂kumbe ndivyo sikulijua Hilo your blessed🙏🙏am from Kenya nyimbo zenu ndizo zimejaa kwenye memory ya simu yangu. I love your songs Zina nijenga kiimani sana.
Familia!! mmechagua jukumu jema kabisa, hongera.❤️
Natamka Uponyaji juu ya Grace kwa Jina la Yesu!!!!!
May God heal you sister grace,, l love your voice with your smile
Mnasitahiri kwa kweli Mwenyezi MUNGU aendelee kuibariki kazi ya mikono yenu.
Namwomba Sana Mungu Azidi Kuwainua zaidi na zaidi. Mmechagua fungu lilo jema!!!!!
Nawapenda Sana,all the way from Kenya
Hey zabron...keep on doing the good work...aki nawapenda aje... Victoria..ur blessed...alafu big up to that person who designs ur clothes...who chooses colours for you...nyota in'gae
Hongereni Sana Watumishi wenzetu kwa kazi Hii ya kumtukuza Mungu
Ndiyo maana wanafananaka Sana kumbe ni wadungu mashallah mungu awabariki
wooow so you are one family. you are really blessed. your songs bless me and my kids here in Burundi. we love you
Oh my God amutembeleye uyu grâce n'a amuwekeye muko wake bwana namupendaga saana uyu dada grâce naamini Mungu atamusaidiya katika jina la yesu christu aliye hayi
I thought they are Kenyans😅,I love them so much🔥🔥🔥
Hi Zack, we r heading there iJN
Du. Hongereni sana. Munaimba vizuri hata bila vyombo tena munaimba vizuri sana
Nawapenda saaana jamanii 😍💘 Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda na kuwatunza 🙏
Mmi huyo dada mwenye gauni la kijani nampenda sanaaa kwakweli❤️😂😂😂
Mfike mbali LAKINI msipotee nawapenda sana
Jameni nawapenda saaana jamenieeee munggu baliki familia hii yawaimbaji, yani mnanibaliki kila wakati ninasikiliza nyimbo zenu heeee! N'a ile (wimboooo, naisahau kidogo) yani nawapenda kupindukia!!! Mmebalikiwa sana! N'a pole sana kwa dada Grace kwa Gondjwa hilo, naomba mungu anisikie ombi langu akuponye, yani sauti yenu!!! Vile mnavyo tamka na kila helufi ikasikika, I love ❤ you guys ses. From Emmanueline Australia
Oh name sake, pole sana, may the the grace of God be with you always and be healed in Jesus's name so you could sing again for his glory
He is soo humble...I love this !
Ooh Grace my best amongst them all. Mungu atakurejeshea yote yaliyoliwa na nzige.
Imenigharimu sana, nyimbo Hi naisikiliza sishibi! Thumbs up for u guys. Long life......
Haaaa umenichekesha yaan imekugarimu haaaaaa😂❤
Healing is your portion in Jesus Mighty Name sister Grace.
Kenya tunawapenda Sana🇰🇪
Wonderful extended Family I say, receive much Blessings from Kenya.
I just love Victoria she leads well!
Wow, what a Grace..!!
Awesome work 👏 the songs are uplifting...touching our souls in an extra ordinary way..God bless you Zabron singers keep serving Faithfully 🙏
Healing is your portion love your songs watching from Qatar
Jamaa emmanuel tulikuwa wote muslim sec leo wewe unahubiri kwa njia ya uimbajii..hongera Sana broo
Da grace MUNGU akutie nguvu jmn usimuache amekupigania miezi 2 huogei hurii umelala tu oooh nimetafakari nimejua MUNGU ni mkubwa sana
Mungu awajaliye kabisa ,na wapenda sana
Mzidi kutumikia mungu atawainua tieni bidii
Wen I listen to ur songs i always get blessed . Rose from kenya
Nawapenda saana jamani♥️♥️♥️♥️Mungu azidi kuwabariki💕💕💕💕
😢😢Ndo Maana I don't see her, have been asking where is she was though I didn't know her name.i spotted her because of her sweet voice. Almighty God reach grace wherever she is, heal her according to thy will in Jesus name I pray. Hey japhet I repeat again kuna wimbo huwa natafuta sana. Ule wa ndoa ikihalalishwa please send it to my wall, nakusihi if am not wrong by those days grace was pg na niluoenda sana
Mko vizuri sana mungu awabaliki
Nice napenda sana nyimbo zenu
Hili kundi NOMA, Mungu alibariki kundi hili; nawapenda sana. Nabarikiwa nao.
Nawapenda sana jameni
Jamila Dotto has the most gorgeous smile ☺
May God bless you zablon singers, good song to praise God, keep it up
Kazi nzuri God bless you
The golden voices of Zabron singers,congrats.
Jaman mm napenda sana kazi zenu natamani Sana kujiunga nanyi🤗🤗
Wow! What a blessed family🙏, glory to God, I tap that grace haki
Amen
Mungu azidi kuwainua wana zabron mnajua sana❤❤
Hongereni nami nimiongoni mwawatu wanowaelewa
Praying for sister Grace.Divine healing
Marco was very humble and calm😢❤
Jamani kama dada dotto hajaolewa kiukweli nampendaga saana, mimi nimfatiliaji wanyimbo zenu naishi Congo Drc
Victoria your the best love your voice 😍😍
Love you Zabron singers be blessed abundantly 🙏
Kenya watching, .
Nyimbo zenu zina bariki sana. Niliwasikiza kanisani kwetu Kenya,Newlife mkiimba mkono Wa bwana, huu wimbo ulinivuta sana.
Sasa Rosie,uko New life gani hapa Kenya.
I thought this choir is from Kenya😂😂😂😂love from Uganda❤
My love for this group is on high level ...from Nigeria
Pole sana dear mungu aendelee kukuponya ili urud tumemic saut tuko pamoja tunakuombeea
Watching from Uganda 🇺🇬 I love your songs more blessings 🙏
Sauti zenu hupendeza nawapenda sana # from kenye
Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongereni sana mmechagua jambo jema sana
Kama umemsikia mtangazaji akisema Zebrona singas gonga like 😂🤣😂🤣
Nimesikia 😂😂😂,ndugu zangu hao
i guess Im kinda off topic but do anyone know of a good site to watch newly released series online?
🎉😢❤😅@@annsinga5049
Huyu ni burukenge
🤣🤣🤣
Polen sana hakika mungu amtie nguv grace apate kupona na kumtumikia yeye amen
Even me l love their songs
Can you hear Miss Victoria's voice even without an instrument?? It's amazing
Daah hiyo sauti Mungu akuinue zaidi
Nawapenda bure mungu awabariki Sana
Nimependa hiyoo ongea yakoo
Sweet sweetie haikuwa rahisi🎉🎉
Hongereni Sana nawapenda Bure mnasauti nzuri navaa vizuri Mungu awabariki na mgonjwa Mungu akuponye kwauwenzo wake
Jamani mtoto wangu tangu akiwa na miaka mitano anampenda huyo dada wa ktkt mwenye gauni la kijani ana mpenda sana Sana na Sasa ana miaka nane
Sweet sweet mwanangu mwaka miez Tisa lakin anaimba huu wimbo ongeren sana
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu awabariki sana nyimbo zenu nikizisikiza nabarikiwa sana
Nampenda jamila
Hongera sana nyote Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu na afia njema na uzima tele na azidi kuwainua kuwasaidia kuwapikania kuwashindia na kuwawesesha vyema kwa yote katika Jina La YESU Kristo aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I love this group
Mbarikiwe sana,naposikiliza Sauti hizi natamani kuoa hata kesho but mahali sina
🤣🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tafuta mahari bro
Get well soon my Sister Grace