Zabron Singers: Tulirekodi kwa kuombaomba, hatukuwa na hela, tulikula maembe kwenye mti wa studio

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 сер 2024
  • Mahojiano na baadhi ya members wa kundi la Zabron Singers. Unaweza kutazama video yao mpya hapo chini:
    Imenigharimu
    • Imenigharimu by zabron...

КОМЕНТАРІ • 17

  • @DianaLameck-tj7rv
    @DianaLameck-tj7rv 13 днів тому

    Mbarikiwe sana ,MUNGU Bado anawapenda na ataendelea kiwatumia kifokisha ujumbe na kutia moyo wanaoona ugumu katika kujalibu kufanya kitu huku wakimtanguliza MUNGU.

  • @bahaticallou3894
    @bahaticallou3894 3 роки тому +1

    Nawapenda sana kama jinsi nilivyo mpenda baba yao Mzee Zabron...Mungu azidi kuwabariki sana.

  • @jesicmichael-7982
    @jesicmichael-7982 Рік тому

    Mnenfrahsha Sana zabron mungu awabariki Zaid na zaid

  • @ericernest2099
    @ericernest2099 3 роки тому +1

    Mpo vizuri

  • @kelvinmasatu_2189
    @kelvinmasatu_2189 3 роки тому +1

    Nawapenda sana Mungu awazidishie sana mfike mbali!!!

  • @vickymaugo8899
    @vickymaugo8899 3 роки тому +1

    Good work Zablon singers,may God bless you all.Story yenyu inanitia moyo Sana.

  • @agneesasdf3008
    @agneesasdf3008 3 роки тому

    Mungu awabariki sana wana zablon singers

  • @valomelo
    @valomelo 2 роки тому +1

    Now they have their own studio.

  • @asiatanika3201
    @asiatanika3201 3 роки тому

    Mungu awabariki sana.

  • @thelightofjerusalem4309
    @thelightofjerusalem4309 2 роки тому +1

    Mbarikiweee saaanaaa 😋🤓😂

    • @elizabethpatrick6245
      @elizabethpatrick6245 Рік тому +1

      Nawapenda sana mungu azidi kuwaongoza pia awazidishie upendo na aman

  • @saidinyuki8001
    @saidinyuki8001 3 роки тому

    Mubalikiwe sana

  • @lilianmalegesi4707
    @lilianmalegesi4707 3 роки тому

    MUNGU awabariki Sana Sana natamani nikutane na nyie

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 роки тому

    Zabron najaribu kupitia hapa kutoka ngangana nimewasikiliza vizuri mmesema GRESS aneshiriki kwenye sweetie sweetie mbona simuoni ama sura yake imebadilika sana Tumemiss mno

  • @agneesasdf3008
    @agneesasdf3008 3 роки тому +1

    Mimi nishabiki sugu

  • @DianaLameck-tj7rv
    @DianaLameck-tj7rv 13 днів тому

    Mm naomba kujiunga nanyi Katia huu uinjilist wa nyimbo ,naruhusiwa????

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    Amen 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌