Duh! Kweli wanyakyusa wanajaliana! Mbarikiwa kumpa pole Matha wakati ni juzi tu kilitifuka!!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 127

  • @jacksoncharles5411
    @jacksoncharles5411 День тому +22

    Hapa kuna mambo mawili tofauti.1.Imani ya Matha Mwaipaja kwamba,"lolote baya likikupata,nyamanza,mwachie Mungu na usilalamike kwa namna yoyote,acha Mungu akupiganie mwenyewe".2.Imani ya mch.Mbarikiwa Mwakipesile ni kwamba,"lolote baya likikupata,usikae kimya,lalamika tena hadharani(paza sauti),waambie wabaya mabaya yao,wazuri na mazuri yao, mwambie pia MUNGU ili aingilie kati juu taabu zako".NB:Nilicho kibaini kati ya watu wawili wa ni kwamba,Mch.Mbarikiwa Mwakipesile anaiishi imani yake(anaishi kulingana na NENO,but Matha Mwaipaja anachokiongea ni tofauti na anachokiishi,yaani anachokiongea ni tofauti na anachokiishi.Mungu wa mch.Mbarikiwa Mwakipesile si mungu wa baali,ni Mungu wa kweli, Ameen ❤❤❤❤❤

  • @pumarice2710
    @pumarice2710 День тому +5

    Barikiwa mtumish tuishi katika Sheria ya Mungu.

  • @isaacsanga9707
    @isaacsanga9707 День тому +5

    Ahsante pastor naamini mara hii wengi zaidi wamekuelewa sana kwa maana kuna watu huokolewa kwa upanga!! 🤣🤣🤣

  • @marcelinenakafu7039
    @marcelinenakafu7039 20 годин тому +1

    nakuelewa mungu hakubariki. mtumishi

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando День тому +9

    Baba tusamehe bule tulikuhukumu na leo yameturudia sisi wenyewe

  • @lechoaidan8416
    @lechoaidan8416 14 годин тому +2

    Hata wewe unavita kali mbona kila siku unafuatilia ya wengine? Kuna wakati ulipitia vitabu alimbana msaada kwa watu watusaidie tujifunze kuwaombea wenzetu sio kuwaanika mtandaoni Amina

  • @caljersilverhabor464
    @caljersilverhabor464 День тому +7

    Hizi maelezo anayotoa Mbarikiwa ni rahisi sana kuelewa ila ni mtiani mgumu sana kwa walokole wa siku hizi kuelewa. Wataishia tu kutusi ila maelezo yenyewe ni waziwazi kabisa. Ndiyo mana mara ntyingi naskiliza tu na wala sisomi comments za watu huenda nikakutane na tusi ya kynichafua roho. Ubarrikiwe sana mchungaji

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 День тому

      Sasa mbona huyu dada mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni yesu au anaebariki ni mungu???

    • @caljersilverhabor464
      @caljersilverhabor464 День тому +2

      @@zaidiissa3714 Endelea kuuliza wengine utapata jibu pengine. Kwangu mimi niko kujifunza.

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k День тому +3

      Pastor mwakipesile angekuja mwalimu wangu wa darasani, ningeiyacha shule yaani na mapema tu, ata singe Toka na school bag,...ningetoka tu hivo kaa baenda msalani na ndio hivo, maana kumuelewa ngumu sana, ila yupo sahii,be blessed man of God of another chance

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 День тому +3

    😂😂😂MWE MBARIKIWA TUSAMEHE hatukukuelewa mwanzoni lakini leo UMEONGEA KWA UFAFANUZI ULIO WAZI KABISAAA.(Mbinguni ni kwenye akili/ufahamu wa juu saana wa kufikili na kuamuwa mambo asivyoweza kutazamia mtu

  • @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
    @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH День тому +6

    Jamani asilalamike mwee anyamaze!! Na asipigane mwenyewe amwachie mungu ampiganie.

    • @Cosmassilwamba
      @Cosmassilwamba День тому +3

      😂😂😂

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 День тому +4

      😂😂😂 la MBARIKIWA ametutowa tongotongo SAAANAAA tena kwenye meeengiii😂😂😂 VIVA MBARIKIWA

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 21 годину тому

    Asante kwa kutumia nafasi yako vizuri

  • @espeditofataki4914
    @espeditofataki4914 День тому +7

    Kwa kweli hata sisi wengine kuna haja ya kupambana kupaza sauti kwa nguvu zote iwe ulieleweka au hukueleweka kikubwa ni kupaza Sauti tu.

    • @jacksoncharles5411
      @jacksoncharles5411 6 годин тому

      @@espeditofataki4914 Ameen ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya День тому +3

    Kama ninyi mtaenda mbinguni nyinyi waimbaji maarufu wa kike basi Mungu alitupa kuishi na kusubiri kwenda mbinguni hata kwa vyovyote atakavyo na sisi wengi tutakuwa hatujaelewa neno la Mungu vizuri,may be usinzi ,mauwaji ,wizi ,na mengine sio kosa ,wanawake maarufu hawaishi nafasi zao kwenye ndoa kama vitabu takatifu zinavyosema ,naunga mkono hoja wazo la Mbarikiwa ya kuwa wanawake wanalewa sanaaaa wakipata umaarufu ,kilevi kikubwa cha wanawake ni umaarufu Mungu saidia maana umaarufu tunataka kwa ajili ya utafutaji na sio kwa ajili ya uvunjivu wa ndoa

  • @joshuangonya-jt5dj
    @joshuangonya-jt5dj День тому +6

    Aisee! Mzee una akili sana.

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 День тому

      Harafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu au yesu???

    • @IsakaHosea-g9g
      @IsakaHosea-g9g День тому

      Ni Mungu tu nasi kwa ufaham wake.

  • @BenedictSanga-g4b
    @BenedictSanga-g4b День тому

    Pole matha mwaipaja mungu akupiganie hakika mungu hajawahi shindwa

  • @EmanuelOdhiambo-rr2yv
    @EmanuelOdhiambo-rr2yv День тому +2

    "RUDI KWA MUMEO NA UWACHE UDANGAJI.SIKUIZI MNAACHA WAUME ZENU MNAANZA KUJIFANYA MNAIMBA GOSPEL MUSIC.KAMA HUPIGANI MWENYEWE,MUOMBEANE MSAMAA NA MUMEO UWACHE UDANGAJI.MNAJIFUNIKA KWENYE NYIMBO ZA GOSPEL MKIFANYA UDANGAJI.ROSE MUHANDO,BAHATI BUKUKU, CHRISTIAN SHUSHO,NA WENGINE NATAKA MFAHAM KUWA HAMKUJIZAA WENYEWE,MLIZALIWA NA BABA NA MAMA.SIKUIZI ATA HIZO NYIMBO ZENU HATUNA HAJA NAZO KWASABABU NYIE SIO MFANO BORA KWA JAMII.JUZI MKE WA EPHRAIM BRIGHTON MWANSASU KAUWAWA NA MKEWE ILI ABAKI NA KANISA NA AFANYE UDANGAJI UNAONA....???...!!!!....TUMIA AKILI.WACHA KUTUPIGIA KELELE WEWE MARTHA,RUDI KWA MUMEO NDIO HESHIMA IFUATE.

  • @JaneChissawilo-dr7nn
    @JaneChissawilo-dr7nn День тому +1

    Ila ,.......we we kuna shida. Naomba umuache Martha kabisa mtumishi!

  • @GODGIVENFOREVER
    @GODGIVENFOREVER 19 годин тому

    Kuomba na kumshukuru MUNGU eti kakusaidia kupata gari ambalo limetengenezwa na mchina / mtu yeyote ambaye huenda hamwabudu hata huyo MUNGU ni upumbavu sana,ni kumfanya mtengeneza gari ni mkuu kuliko MUNGU ,asante mchungaji Kwa kufunuliwa.

  • @molexevelist813
    @molexevelist813 9 годин тому

    Mmmh MUNGU yupi anaemtaja ,unapo mkimbilia MUNGU hakkisha upo ktk mstari wake mithali 7:2,jitu lina makucha mqrefu, kuvaa vimini,kuvaa suruali na urembo kama wakimataifa nabado aliacha ndoa unazan anaishije kma sio uzinzi tuu afu ukaisi umetoboa tulia yamuingie shetan anakutaka sasa vzr ukaunganenae 😢
    💌👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋

  • @gloryunyamikumbi
    @gloryunyamikumbi 9 годин тому

    Mimi ni umbwa,na hawa ni watu wenye miluzi mingi inanichanganya, Mungu nisaidie hekima juu haya,

  • @wokovummilla5034
    @wokovummilla5034 21 годину тому

    Yaani baba umeongea kweli kwa unyenyekevu mkubwa sana, hasa huuuu ndio upendo wa kweli ambao Kristo alitaka tuoneane huruma na kupendana sisi kwa sisi, tukumkumbushane wajibu wetu tutende yaliyo wajibu wetu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 День тому

    Mi sio fans wa Martha,Mungu ananiona
    Ht nybo zake nazifaham kwa kuzusikia zinapigwa kwenye basi, daladala, event
    Etc

  • @angeliquemwamini4791
    @angeliquemwamini4791 День тому +1

    Mm tu nashangaa nikiona walivyo anza na walivyo kwa Sasa aise naona shetani uwa anatutega pale tunapo fanyikiwa. Wakumbuke hawa waimbaji Mungu ili asijekuangamia!!!

  • @bitricepadros5787
    @bitricepadros5787 18 годин тому

    Mm wote wawili nmewaelewa
    Martha anajarbu kutujulsha kinachoendelea kwene kazi yake
    Baba mchungaji unatukumbusha....

  • @ngwilaemmanuel
    @ngwilaemmanuel 13 годин тому

    Good my pastor😂

  • @lechoaidan8416
    @lechoaidan8416 14 годин тому +1

    Na wewe kuna nyimbo unatunga huwa hazina maana ukumbukage mwakipesile

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo День тому +1

    martha alishaka today kwamusingi mimi nyimbo zake mwanzoni alikuwa nabari sana ila hapa hanibari tena kabisa

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 День тому +1

    Umh ila kiukweli wahubiri wa sasahivi kiukweli wameshidwa kuhubiri neno badala yake wamebaki kukosoa watu Martha ni mwanadam kama walivyo wanadam wengine kwahyo kuna mda anachoka kuvumilia ni lazima azungumze na hapa hajasema kwa ubaya wala hajalalamika ni amesema huyo anayefanya hivi aache maana pengine huenda anamhurumia akiomba MUNGU akampiga vibaya yule mtu tuache siasa Bwana watumishi wengi wamebaki kulalamikia watumishi wenzenu na pia ukitaka kumsaidia mtu usije mtandaoni huu sio upendo ni kumzalilisha mtumishi mwenzio Neno linasema mrudishane na kuonyana kwa upendo

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala 10 годин тому

      Vitu msivyo vijua ni bora muwe mnanyamaza tu, kwahiyo huko kuhubiri ni kutaja kuku.? Au kusema makosa ya watu.? Ezekieli_3:17-21

    • @jukaelyelisha6311
      @jukaelyelisha6311 7 годин тому

      @@Yoram_Changala sio vitu usivyojua ni kwamba uliwahi ona Yesu anasema mtu aliyekosea vitu vingine tuwe na sitaha

    • @Yoram_Changala
      @Yoram_Changala 5 годин тому

      @@jukaelyelisha6311
      We kwako mtu ni yupi kwani mafarisayo hawakuwa watu.? Ambao Yesu aliwaita wana wa majoka Mathayo_23:33

  • @zawadimwaibako4065
    @zawadimwaibako4065 День тому +2

    MARTHA MWAIPAJA NYAMAZA USIPIGANE MWENYEWE, MWACHIE MUNGU APIGANE, KWA NINI UNALALAMIKA MITANDAONI KWA SISI WA MWILINI? WEWE NI WA ROHONI, PIGA VITA VYA ROHONI😅😂😅

  • @IsakaHosea-g9g
    @IsakaHosea-g9g День тому

    Ufaham kama huu hakika ni Mungu pekeee kuuweka kwa huyu pastor.

  • @alexmichael5850
    @alexmichael5850 День тому +1

    Mtumishi mwambie hizo kucha za nini nampenda sana sana ila mwambie kucha utoe hizo tafafhali.

    • @wokovummilla5034
      @wokovummilla5034 21 годину тому

      Umelielewa fundisho? Amuambie nani nawe upo kwa kazi gani? Haya ndiyo tunayokatakiwa tupaze sauti tukiona kasolo mahali fulani kwakusudi la kujenga ufalme wa Mungu duniani

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya День тому +2

    Una Yesu kweli na hayo makucha?Nina wasiwasi hunishawishi na nafikiri hata wengi huwashawishi,na siku nimekuona unaimba singeli kwa kiboko ya wachawi nilipata wasiwas na nafikiri hata wengi walipata wasiwasi,na mm toka nisikieje kuwa umeachana na mume wako na ww ni muhubiri wa neno la Mungu niliacha na kukosa hamu ya kusikiliza nyimbo zako na hata wengi waliacha kusikiliza

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 День тому

      Kwanza mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu? Au yesu???

    • @BeatriceSoka-c7c
      @BeatriceSoka-c7c День тому

      Kama huelewi wewe acha coz HUTAELEWA​@@zaidiissa3714

    • @SoosanOman
      @SoosanOman День тому

      Ww mbon umekazania sana Hilo neno ​@@zaidiissa3714

    • @leahnjinge7136
      @leahnjinge7136 День тому

      ​@@zaidiissa3714wewe mwenyewe hata shule hujaenda,kuna tofaut kat ya Mungu na Mungu ,yesu na Yesu,Rudi shule ulikimbia umande

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 День тому

      Aisee Yesu atusaidie

  • @IsakaHosea-g9g
    @IsakaHosea-g9g День тому

    Nilikuwa na mungu wawazungu ila kwa kupitia huyu mch nimekuja kuelewa kumbe Mungu ni wanamna hii.

  • @ZablonMalikaSaya
    @ZablonMalikaSaya День тому +3

    Tishio la huyu Martha Mwaipaja ni Mch Tochi ya Mlinzi, Tochi ya Mlinzi alipost video zake 3, Nondo za Hatari, Martha kashindwa kuhimili japo hazina matusi hata kidogo, Zote kaomba ziondolewe UA-cam😊

    • @ZablonMalikaSaya
      @ZablonMalikaSaya День тому

      Yule jamaa anabonda hawa wahuni vibaya sana. UA-cam wameziondoa Sababu zilikuwa za Uchiuchi

    • @Leoni-m3u
      @Leoni-m3u День тому +2

      Tochi ya Mlinzi Hoja zake huwezi kupangua, yule jamaa anajua bana!
      Alafu hana matusi Wala nn, ila Fasiri ya Neno limekaa pale

    • @Mery-f5p8c
      @Mery-f5p8c День тому

      Hutaona Martha Mwaipaja akipambana kushusha hii video. Ila kwa Tochi ya mlinzi alikuwa halali😂

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 День тому

      Eeh mi Niko wapi mbona sielewi
      Nn kinaendelea,msaada?

    • @ZablonMalikaSaya
      @ZablonMalikaSaya 22 години тому

      @@christinewomanoffaith5479 Mch wa Channel ya "Tochi ya Mlinzi" alishusha Nondo za Kufungua uchafu wa Martha Mwaipaja uvaaji wa Kimalaya anavyovaa Kwa kusingizia kwamba Yupo Gym.
      ila Tochi ya Mlinzi Kamulika kamuumbua kusudio lake Kwa namna ambayo hakutarajia. Sasa Martha kachukia kamshatki YuTube sababu anajua Wazungu ndio Mavazi Yao hayo Kwa hiyo wangemtetea tu. Kwahiyo YuTube wakaondoa hizo video.

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 День тому

    Mwili huu tulio pesa shida sana na mwonea huruma sana huyu dada

  • @IsraelUrasa
    @IsraelUrasa 21 годину тому

    Hajitetei anaelimisha wanao familia uduma yeke mchungaji ndonimemwelewa hivyo sijui wengine

  • @code.africa
    @code.africa День тому

    Mwenye no ya Martha mwaipaja anisaidie please ili tuweze kumsaidia kutoa msaada. Tunapenda sana nyimbo zake!

  • @juliusmwanduka
    @juliusmwanduka 21 годину тому

    Martha hajasema atapigana tafadhali, amesema aombewe so Bado amesimamamia nyimbo zake, kunyamaza inamaanisha hata ukihisi kiu husiombe maji? inamaanisha ukipigwa husilie?she is right, MUNGU utumia watu.

    • @wokovummilla5034
      @wokovummilla5034 21 годину тому

      Kwanini asinyamaze kimya, asuburi roho ampiganie? Maana ameisha vunja miiko yake kawaambia wanadamu shida yake, #nifundishe #kunyamaza #nisije #nikakukosea Mungu, maana yake jambo lolote baya litakalofanywa na mtu au akafanyiwa yeye ametufundisha tuzibe kinywa Mungu ndiye atatupigania, kiumbe anayeitwa mwanadamu ni hatari sana kinyonga akasome

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 9 годин тому

      When you have problem you should keep your mouth without telling anyperson mmh you can die with stress

  • @desirengenerwasobanuka9015
    @desirengenerwasobanuka9015 День тому

    Mwalimu fundisha hao watoto hawasikii. Mbona analalamika Sasa , Si anyamanze ?

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 17 годин тому

    Nawewe mbarikiwa mbona ulimlilalamikia yule kijana

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  17 годин тому

      Kwangu hiyo ni kawaida ila ninyi wa kiroho cha wazungu mnasema ni kupigana katika mwili

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 9 годин тому

      😭😭😭😭 masikini kwann humwelewi Mungu na watu wake???!!!

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya День тому

    Enewe pole kwa account ako iliohakiwa na Mungu akusaidie niliongea sio kwamba mm nipo sawa hapana,ila kipindi fulani ulikuwa ni wa kunitia moyo na kunishawishi na kutegemea mema na ukweli wa neno la Mungu kupitia kwako , mwishoni niliishia kusikia na kuona vituko kwako ,kwa nafasi ako nategemea kuongonzwa through God truth of his words

  • @angeliquemwamini4791
    @angeliquemwamini4791 День тому

    Hawa wanashezea pote pote na imekuwaje anjipigania????😂

  • @barakamwamtenga2448
    @barakamwamtenga2448 День тому

    Mchungaji nimependa sana hekima yako

  • @Oissoemit-u7s
    @Oissoemit-u7s День тому

    Pole Sana Martha,usijali Mwachie Mungu tu atafanya.

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv День тому

    pole mdada

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c День тому

    Dah Mungu tusàidie

  • @Ntemiupdates-h9b
    @Ntemiupdates-h9b День тому

    YAANI UNAWEZA KUFANYA KITU AU KUIMBA NYIMBO HATAHUFIKIRI HUKO MBELE ITAKUWAJE,WE UNACHOTAKA NI WAKUONE UMEIMBA KUMBE MBELE UMEJIJENGEA NGOME AU MTEGO UTAKAOKUNASA MWENYEWE, USIPOKUWA UPANDE WA HAKI JUWA UTAKUWA UPANDE WA KUPINGA MEMA YA MTU KWA KUJUWA AU KUTOKUJUWA, PIA UNAWEZA KUIFUNDISHA JAMII UPUMBAVU KABISA KWASABABU YA NYIMBO ZISIZOKUWA NA FUNDISHO LA KUTENDA VIZURI

  • @petromagobonza4025
    @petromagobonza4025 День тому

    True

  • @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH

    Na kwenye crip hiyo anasema anaecheza na acount yake atapambana nae mpaka kushinda duu!! Kunyamaza na kumwachia Mungu apambane kumemshinda.

  • @barakabusima
    @barakabusima День тому

    Unajuwa shida ni kwamba ninyi waimba kwaya wengi wenu mnaburudisha tuu watu unawezaje kuimba kama malaika halafu unakata kiuno kama shetani ...sasa hayo makucha ya nini

  • @BarakaPeter-r4x
    @BarakaPeter-r4x День тому

    Apandacho mtu ndicho hataka hovuna matha huyo ni kahaba pia ni mwimba taarabu sio gospel sshv alikuwa na kiburi mwenyez mungu amekishusha tena ashindwe na alegee huyo masonic member

  • @onlyyoujesus8232
    @onlyyoujesus8232 День тому

    Kunyamaza kimya wakati unateseka nao mtihani

  • @Mery-f5p8c
    @Mery-f5p8c День тому

    Kwako hatafuta hizi video, japo anayo Copyright.
    Tochi ya Mlinzi ndo havumiliki 😂

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 День тому

    Usihofu Dada huyo mwenye anafwatiliya UA-cam yako .anajiona Mjaja alakini ipo siku yake ataibuka mbele ya Dunia Nzima

  • @deborahkihangaofficial1135
    @deborahkihangaofficial1135 20 годин тому

    ANAVUNA ANACHO PANDA

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn День тому +5

    Nyakati zote ni zakuwa vitani Tu.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn День тому +2

      Nyakati zote ni vitani tu, maana ibilisi hanaga mapumziko hata mara moja. Na wala hajawahi kwenda mapunziko hata siku moja.
      Maana yeye anakuacha kwa mda tu na tena anakurejea upya kwa njia tofauti na ya mwanzo au ileile au tofauti kwa Mazingira.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw День тому

    Mijambazi ipo kibao wanadukua views ili waibe lazima uende police kutoa taarifa watashikwa tu

  • @deomark4967
    @deomark4967 День тому

    Kwa nilivo elewa matha anajaribu kuwa juzi wale wanao fatilia huduma yake wasishangae kuona yupo kmyaa hii nikwasababu account yake imepata SHIDA kwo wavumilie mda si mrefu mambo yatakuwa sawa

  • @desirengenerwasobanuka9015
    @desirengenerwasobanuka9015 День тому

    Alikuwa hajakutwa na kubwa

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n День тому

    Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni.

  • @DeodatusPhabian
    @DeodatusPhabian День тому

    Tunapofanya maombi Kwa mudomo, yanaenda kufanya kazi ktk ulimwengu wa roho usio onekana, unaposema tunajipigania tusingekua na sababu ya kuomba. Ukweli unabaki palepale Yesu anatupigania.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  День тому +1

      Tunafanya maombi ili tupate nguvu na akili za kufanya. Asilimia 99.99999 ya mambo hutegemea wanadamu tufanye wenyewe au tuulize kwa mwanadamu aliyeweza SIO TUMUOMBE MUNGU AFANYE KATIKA UTAHIRA AMBAO WAZUNGU WALIKUAMBIA KUWA NDIO ULIMWENGU WA ROHO. Ayubu 8:8-9
      8 Basi, uwaulize, tafadhali, vizazi vya zamani, Ujitie kuyaangalia yale baba zao waliyoyatafuta;
      9 (Kwani sisi tu wa jana tu, wala hatujui neno, Kwa kuwa siku zetu duniani ni kivuli tu;)

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 День тому

      Hiyo mwizi akikipora pesa unatakiwa kuomba Mungu co ?

    • @jacksoncharles5411
      @jacksoncharles5411 5 годин тому

      @@geraldleger5793 kwa mujibu wa imani ya Martha Mwaipaja,ukiibiwa au ukikabiliwa na baya lolote,wewe nyamanza,usilalamike,mwachie Mungu akupiganie mwenyewe.Je,wewe unasemaje juu ya hilo?

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 День тому

    Sasa nynyi wakristo mnasema yesu awabariki kwani anaebariki mungu au yesu???kwani nyinyi mamuomba au kumuabudu mungu au mnamuabudu yesu???

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  День тому +1

      Wewe nawe kenge tu na hiki kikoment chako ambacho umekirudiarudia kila mahali. Yaani hata hujui Yesu ndiye Mungu mwenyewe? Yohana 1:1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

    • @Ntemiupdates-h9b
      @Ntemiupdates-h9b День тому

      @zaidiissa nenda uwanja wa matahira wenzio tiktok
      wanaojifunza kutumia mtandao, usiingilie kitu ambacho huna uelewa nacho

  • @AbduSumwa
    @AbduSumwa 23 години тому

    Acha ujinga wewe, huyo anaomba maombi, ila we unataka views. Mpotoshaji mkubwa wewe, etyii unajiita mchungaji. We ni mchungaji wa mshahara.

  • @kamikazineema1957
    @kamikazineema1957 День тому

    Atoe tarifa Kwa you to be watamsaidia

  • @sifawayesu7079
    @sifawayesu7079 День тому +5

    Martha Mwaipaja alitaka kuifunga account ya Kikosi kazi cha injili na sasa analalamika baada ya kuona na yeye anakabiliwa
    KUMBE UKITENDA MEMA NI KWAAJILI YAKO MWENYEWE NA UKITENDA MABAYA NI KWAAJILI YAKO MWENYEWE!!!!

    • @rabiamenshoo1988
      @rabiamenshoo1988 День тому

      Martha hana uwezo wa kufunga account ya mtu yeyote labda yake mwenyewe.Acha kupotosha pengine una/mna bifu naye

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 День тому

      @@rabiamenshoo1988 Kama hana uwezo huo mbona analalamika kuwa wanamfanyia hivyo hivyo kwenye account yake?

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 День тому

      Harafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni yesu au mungu??

    • @MankaTansaniya
      @MankaTansaniya День тому

      ​@@zaidiissa3714Kwani vipi? mbona umekazania sana..yeye ndio anajua anabariki au habariki

    • @Ntemiupdates-h9b
      @Ntemiupdates-h9b День тому

      @@rabiamenshoo1988 huelewi hata unadandia kwa juu ungeuliza ujuwe alitaka kuifunga kupitia njia gani au kwa nani,ACHA AKINYWEE

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono День тому

    Namtaka yule martha wa mwanzoni sio huyu wasasa tochi ya mlinzi umwemwambie afute video zako kwann wewe dada umepotea kabisaa sijui nani amekudanganya sikuhizi unaweka mikucha na kuvaa vimini MUNGU ndo kakwambia uwe hivyo? Wewe dada haaa

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we День тому

    Hapa kakosea wap

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 День тому

    NI WAZI WAIMBAJI WANAIMBAJI WANAIMBA NA KTOA NYIMBO SIkwaaajili Kristo Bali ni KWAAJILI ya UMAARUFU WAO WENYEWE.. Ukitafuta Yesu atukuzwe wewe VIEWERS wa nini? …

  • @wanejohnmsukwa6590
    @wanejohnmsukwa6590 День тому +2

    Kwa anadiko hili Muhubiri 3:7,wote mpo sahihi.Mbarikiwa upo sahaihi na Matha yupo sahihi Kwasababu kila jambo na wakati wake kunawakati wa kunyamaza na wakati wa kuongea Muhubiri 3:7 Wakati wa kurarua, na wakati wa kushona; Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena; .Hivyo hapo ni kufundishana tu kwa upendo na hekima yote.Niwazi wakati wako wa kuongea Matha alikuwa anapita kwenye wakati wa kunyamaza.Na sasa Matha ameshapita wakati wa kunyamaza ameingia wakati wa kuongea anaongea. sasa.Na hii yote ni kwa sababu tunatofautiana viwanago vya imani na mapito.Hivyo muache tu Matha azungumze sasa ni wakati wake umemfikia.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  День тому

      Utafika sana wakati wa kulia, kunena na kulalamika hata kwa ninyi ambao mko katika wakati mdhanio ni wa kunyamaza. Ndipo utakuja kujua ni kwa nini haukulia pamoja na waliolia.

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 День тому

      Kwa hiyo upi wakati wa kuongea na upi wakati wa kunyamaza???
      Na wewe una uhakika kama kweli wakati wako wa kukomenti umefika? Au ulitakiwa usubilie wakati huo ufike?

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn День тому +1

      Ndugu yako akilia na kulalamika.
      LIA NAE NA LALAMIKA NAE,
      PAMOJA.

    • @jacksoncharles5411
      @jacksoncharles5411 День тому +1

      Mungu wa Mch.Mbarikiwa Mwakipesile,ndiye MUNGU wa kweli(muumba mbingu, nchi na vyote vilivyo na visivyo hai),jina lake lihimidiwe Ameen❤❤❤❤❤

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 День тому

      ​@@Mbarikiwa_Mwakipesileharafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu au yesu?????????!!!

  • @MaikoRashku
    @MaikoRashku День тому

    Wewe ni mjinga, mwakipesile acha ujinga