MAOMBI YA KUWAFUNGA MAADUI ZAKO, CHUMBA CHA MAOMBI BY PASTOR GODWIN NDELWA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 171

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 Рік тому +5

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙏 ubarkiwe aki nimeguswa sana naneno lako atanikama ulikuwa unaongea juuyangu

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 Місяць тому +1

    Nakataana na roho ya hofu...nakiri nitashida adui katika jina la yesu kristo 🙏

  • @anastaciamwangangi1488
    @anastaciamwangangi1488 Рік тому +6

    Watching from Nairobi Kenya

    • @janewaweru8210
      @janewaweru8210 Рік тому +1

      Hello,Niko na swali ukiwa Kenya nitatumia njia gani kutuma sadaka

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 3 місяці тому +2

    Nawafungq maadui zangu kwa jina Yesu kila Watakachokigusa kikaanguke wasisonge mbele kwa jina la Yesu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 9 місяців тому +2

    Nafunga maadui Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏

  • @dorismatias5170
    @dorismatias5170 3 місяці тому +3

    Nawangamiza madui zangu ninaowaju na nisiowajuwa kwa Jina LA yesu

  • @user-ot1qm9nt8b
    @user-ot1qm9nt8b 16 днів тому

    Nawafunga adui zangu ninaowajua na nisiowajua kwa Jina la Yesu Kristo. Ameni Ameni Ameni

  • @MaimunaMakokha
    @MaimunaMakokha Рік тому +4

    AMEN AMEN AMEN ubarikiwe Mtumishi wa Mungu, 🙏🙏🙏

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 9 місяців тому +2

    Nawateketeza maadui katika maisha yangu Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏

  • @user-ot1qm9nt8b
    @user-ot1qm9nt8b 16 днів тому

    Nakata roho ya hofu Roho Ya Uwoga na Roho zote Katika jina la Yesu kristo. Ameni Ameni Ameni

  • @JasmineTiisekwa
    @JasmineTiisekwa 29 днів тому

    Nawafunga na kuwaangamiza maadui wangu na familia yangu kwa Jina la Yesu🙏🙏🙏

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz 2 місяці тому

    @jakMungu niinulie watu sahihi wa kuwatetea familia yangu ,adui anawapiga vita vya kimwili na kiroho Asante mtumishi wa Mungu kwa maombi yako.

  • @EminadoEminado
    @EminadoEminado Місяць тому

    Nawangamiza madui zangu ninaowajuwa na nisiowajuwa in Jesus name amen

  • @anethtituskalokola-bx2nw
    @anethtituskalokola-bx2nw 11 місяців тому +1

    Ubarikiwe mtumishi kwa kazi njema

  • @NasriHasan-tv7vy
    @NasriHasan-tv7vy 2 місяці тому +1

    Amen baba naamini njia zote za maadui zangu zimefungwa katika jina la yesu

  • @FelixAlbert-hs7ls
    @FelixAlbert-hs7ls 4 місяці тому +1

    Shallom. Katika Jina la YESU KRISTO tunawafunga na kuwapiga mataifa na maadui wote. Amina

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 6 місяців тому +1

    Nafunga madu katika maisha yangu Kwa jina la YESU christo amen

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 5 місяців тому +1

    Kwa jina la Yesu nimepokea ulinzi kazini,nyumbani na kwa watoto wangu

  • @SammondJoseph
    @SammondJoseph 2 місяці тому +1

    Nimepokea uponyaji sasa 😭🔥🙏

  • @matridanyambo3747
    @matridanyambo3747 2 місяці тому

    Nimebomoa na kung'oa mizizi yote ya maadui.kwangu na Kwa watoto wangu ktk Jina la Yesu Kristu

  • @FloridaSyombua
    @FloridaSyombua 4 місяці тому

    Nashukuru sana kwa maombi haya niwakati mzuri nimeyapokea ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @user-gj3ul7xd7w
    @user-gj3ul7xd7w 3 місяці тому +1

    Amiina sana nwafunga maadui kwa maombi haya Asante Yesu kristo wanazaleti Alie hai

  • @ChristineMariam-ys1tc
    @ChristineMariam-ys1tc 3 місяці тому

    Amen nakataa roho ya giza kwa damu ya yesu

  • @user-ru1qb6hv2k
    @user-ru1qb6hv2k Рік тому

    Naomba mungu nimtitimue aje tanzania nataka aan e kunitumia pesa nisome anitumie ps nije ge ninunue mari awe haoni hasikii xemeni bwana ys mvute awe wa heri sio frimason

  • @joycekakela264
    @joycekakela264 Рік тому +1

    Ameen

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 27 днів тому

    Ee Mungu wangu wafunge vinywa vyao maadui zangu.

  • @user-rb9wl4zq3e
    @user-rb9wl4zq3e 6 днів тому

    Naangamiza maadui zangu kwa jina la Yesu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 6 місяців тому

    Kweli kabisa BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen

  • @faithmwailunga6954
    @faithmwailunga6954 4 місяці тому

    Nabarikiwa sana na maombi yako mtumishi, Mungu akubariki

  • @user-js9iz9qb9j
    @user-js9iz9qb9j 5 місяців тому

    Nawafunga maandui yangu kwa jina la yesu christo

  • @HildaSonga
    @HildaSonga 11 місяців тому

    Nami naungana na maombi haya mungu aniponyw mama moses

  • @user-jv4jl2kn1k
    @user-jv4jl2kn1k 6 днів тому

    Asante Sana mchungaji mungu akubariki Sana

  • @user-go3wl3ob2g
    @user-go3wl3ob2g 28 днів тому

    Maaduizangu nawafunga kwa jina la yesu

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 8 місяців тому

    Ameen Mungu nisaidie watesi ni wengi

  • @thuitaann2629
    @thuitaann2629 Рік тому +1

    Amen

  • @user-ry3jm4cn6w
    @user-ry3jm4cn6w 3 місяці тому

    Kwa jina la yesu kristu nakataa roho ya mipaka

  • @LainaTibaigana
    @LainaTibaigana 9 місяців тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @maryTz-il8sb
    @maryTz-il8sb 10 місяців тому

    Hii imenigusa sana Mungu naomba unitetee

  • @ruthsebastian4633
    @ruthsebastian4633 Рік тому

    Amen mtumishi, napokea kwa jina la YESU kristo aliye hai

  • @BahatiAdamu-yv9jd
    @BahatiAdamu-yv9jd 13 днів тому

    Nguvu za giza hazina nafasi ktk jina la yesu

  • @dorismatias5170
    @dorismatias5170 3 місяці тому

    Mutumishi barikiwa kwa maombi mazuri

  • @user-fo3tj1bj5e
    @user-fo3tj1bj5e 4 місяці тому

    Asante mchungaji Kwa maombi yako yanani saidia sana

  • @SakinaWanjemu
    @SakinaWanjemu 8 днів тому

    Napokea uponyaji kwajina yesu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 9 місяців тому

    Nafunga roho maadui Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @VailethiKigola
    @VailethiKigola 4 місяці тому

    2:33 mtumishi nimeguswa namaombi naomba nikatume sadaka yangu kesho

  • @user-xy8cs9xc4k
    @user-xy8cs9xc4k 4 місяці тому

    Ubarkiwe mtumishi wa mungu mungu akuzidishie neema Katika maisha yko amen

  • @user-rh9ei6gv1v
    @user-rh9ei6gv1v 9 місяців тому

    Nawaribu a
    BO mahadwiwi zangu nawawunuza kwa mwoto wamungu kW jina la yesu

  • @user-ot1qm9nt8b
    @user-ot1qm9nt8b 16 днів тому

    Ameni Ameni Ameni❤❤❤

  • @FettySadru
    @FettySadru 4 місяці тому

    Amen ameni ubarikiwe sana

  • @decrakerry3840
    @decrakerry3840 10 місяців тому

    Amen ubarikiwe pastor

  • @anastaciamwangangi1488
    @anastaciamwangangi1488 Рік тому +1

    Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vickybarakamfitiye5227
    @vickybarakamfitiye5227 3 місяці тому

    Nahombo munihombeye mimi na wabinti zangu❤

  • @user-yf4hl3gp4t
    @user-yf4hl3gp4t 9 місяців тому

    Amina Mtumishi wa Bwana Yesu napokea kwa Jina la Yesu kristo

  • @GressGress-fd9xl
    @GressGress-fd9xl 19 днів тому

    Watashindwa kwa jina la yesu

  • @redemptamtagwaba5860
    @redemptamtagwaba5860 Рік тому

    napokea. kwa jina. la. Yesu

  • @gabbyedward4079
    @gabbyedward4079 Місяць тому

    Napokea kwa damu ya Yesu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 9 місяців тому

    Napokea Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏

  • @samid1937
    @samid1937 Рік тому +1

    Mary kaingu. Ameen ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho haya powerful

  • @lall2037
    @lall2037 8 місяців тому

    Nawafunga maadui midomo latifa moza bi salma said kwa jina la yesu kristo mwenyenyumba anipende mm asisikie la mtu yoyote yule ktk kile chumba changu niwe mm na nibadilishe bataka kwa jina la yesu

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 2 місяці тому

    Wafungwe kwa jina la yesu

  • @user-ko1nb4sd8l
    @user-ko1nb4sd8l 4 місяці тому

    Amen and Amen Amen Amen Amen 🙏 🙌

  • @ScarletMilly-xr6vo
    @ScarletMilly-xr6vo 5 місяців тому

    Nawatekeza Maadau wangu katika jina la Yesu

  • @FatimaFatima-rx6dg
    @FatimaFatima-rx6dg 7 місяців тому

    Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌

  • @user-cu9fz3jo8n
    @user-cu9fz3jo8n 11 місяців тому

    Napokea kwa jina la yesu

  • @user-ru1qb6hv2k
    @user-ru1qb6hv2k Рік тому

    Nataka mm tauhida nifunguliiwe mm na kizazi changu emeni

  • @penina9266
    @penina9266 3 дні тому

    Aameen

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa Місяць тому

    Nawahangamiza madui wangu hote ni naho wajuwa na nisiyo wajuwa kwa Jina la Yesu

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 8 місяців тому

    Mungu nisadie

  • @dorcusmumbe4120
    @dorcusmumbe4120 Рік тому

    Naomba mungu anipiganie kazini kwangu nko nao wengi San maadui

  • @jackysally7349
    @jackysally7349 Рік тому +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌

  • @momylaviel
    @momylaviel Рік тому

    Amina napokea kwa imani

  • @user-vx5rb6rg1v
    @user-vx5rb6rg1v Рік тому +1

    Amen 🙏

  • @mayxh650
    @mayxh650 Рік тому +1

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MarthaGeoffrey
    @MarthaGeoffrey 9 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN poster kama ni wamkuwa wengi

  • @mrsvinny2
    @mrsvinny2 Рік тому +2

    Yani pastor nikama wajua ninayo pitia kila niko kwa hali ngumu mpka na lia......yani hautachukua muda wapost maombi kwa ajili ninayo pitia🙏🙏🙏🙏🙏kama sai na maliza contract 🇸🇦basi wamekua n maneno majaribu tu mimi😭🙌

    • @mrsvinny2
      @mrsvinny2 Рік тому

      Haya maombi ni kama yametumwa kwangu jamani😭😭mniweke kwa maombi yani yote pastor ameombea ndyo na pitia mimi yani sijui nini mbya haki🙌😭why all this to me.....

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 11 місяців тому

      Penda kusoma biblia zaburi ya 91 pia kam ulinzi na kuimba usikate tamaa auko peke yko

  • @NancyKerubo-hp4iw
    @NancyKerubo-hp4iw Рік тому

    Amen amen amen

  • @user-ru1qb6hv2k
    @user-ru1qb6hv2k Рік тому

    Naomba tupe dane na wtoto wng na wajukuu emen

  • @REHEMAALEX-zi1lo
    @REHEMAALEX-zi1lo 7 місяців тому

    Kwajina la yesu washindwe

  • @GressGress-fd9xl
    @GressGress-fd9xl Місяць тому

    Nawateketeza kwa jina la bwana ameni

  • @user-ru1qb6hv2k
    @user-ru1qb6hv2k Рік тому

    Naomba niwashinde maaduwi wasinipate mm na wtoto wng nipate ndoa ya muzungu na wtoto wangu wafunguliwe wapate kz na wapate ndowa wapate utajiri mkubwa mm muzungu anijengee magorofa na malgari ya kifahari na mwanangu wa jenge wanunue malgari wajukuu zng wapasi wawe juu

  • @teresiaemmanuelmswamwajuma2464
    @teresiaemmanuelmswamwajuma2464 16 днів тому

    Amen amen

  • @sylviamkanyikakenya624
    @sylviamkanyikakenya624 Рік тому

    Amina nashukuru Mungu Sana kwa Ajili yako pastor

  • @EstherManda-ex3bc
    @EstherManda-ex3bc Місяць тому

    Amen and Amen 🙏

  • @queenmmole
    @queenmmole Рік тому

    Ameen ameen mtumishi barikiwa na Bw.

  • @pascaliatkalekye9336
    @pascaliatkalekye9336 Рік тому

    Oh yes washidwe katika jina la yesu

  • @cerecere5758
    @cerecere5758 Рік тому

    Amen amen 🙏🙏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 9 місяців тому

    I receive I receive

  • @jescaassey6575
    @jescaassey6575 Рік тому

    Napokea kwa jina la yesu kristu mwana wa MUNGU alie hai🙏🙏🙏

    • @marrykyara6247
      @marrykyara6247 Рік тому

      Napokea katika jina layesu kirto mwana wa mungu aliye hai napoke

  • @gracekayandakayanda3428
    @gracekayandakayanda3428 Рік тому

    Napokea kwajina Lá Yesu amen

  • @user-rh9ei6gv1v
    @user-rh9ei6gv1v 9 місяців тому

    Ninawateketeza niwaribu mahadwiwi zangu nawawunuza kwa jina layesu mafrzereke kwa jina la yesu

  • @user-bb6wu9wi2t
    @user-bb6wu9wi2t Рік тому

    Amen kubwa

  • @EminadoEminado
    @EminadoEminado Місяць тому

    Amen 🙏🙏

  • @EvaJulius-nr3mx
    @EvaJulius-nr3mx 4 місяці тому

    Amina mtumis

  • @claudinemuhimpundu7940
    @claudinemuhimpundu7940 Рік тому +2

    Amen🙏🙏🙏

  • @steven1madelemo109
    @steven1madelemo109 10 місяців тому

    Amina napokea

  • @BonfasJanuary-vr5tm
    @BonfasJanuary-vr5tm Рік тому

    Amin

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 8 місяців тому

    Naiwe kwao kila mipango uliopanga kwaajili yangu

  • @catherineakoth1055
    @catherineakoth1055 Рік тому

    Ameenn

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 6 місяців тому

    AMEN i received

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 6 місяців тому

    AMEN