Nipeni numba za wazazi wahuyo binti niwambie binti yao alipo wanipe hiyo pesa anko jay kasema sisi wasikilizaji ndotunafahamu alipo 😂🥰 Asante anko jay kwa simulizi nzuri 🥰🥰
yani una mwambia mama yk eti unatamani kufa 😢😢 unasaau kuwa mama yk amekuweka tumboni kwake miezi 9 na kuzaa kwa uchungu alafu mtu wa kwanza kumuona kwny hii dunia alikuwa mama yk alafu unakuja kuongea ujinga mbele ya mama yk 😅😅😅
Enyewe mapenzi hayana mwalimu wala mzazi na hayazuiliki na haswa pale pipa litapatana na ufuniko wake wallahi mengine ni sawa na kelele cheki suwedi amepatana na ufuniko wake sasa kelele za wazazi haziwazuii lolote ,ila siwacheki maana yashawahi nikuta sikuwahi kusikia wala kumwamini mtu ama kiumbe cho chote kile nikweli kila mmoja wetu alipitia magumu hadi kutenganishwa na kuhamishwa ila yote haikufua dafu wewe chezea mapenzi utaumia anae ingilia kati nisawa na kukimbizana na upepo hivyo siwashangai siwedi na zuhura maana mie naelewa
Sikiliza Part 02 Hii Hapa 👇 ua-cam.com/video/x1Osm-Fm3j8/v-deo.html
Ahsante Ally mbetu tena na AnkoJay🙏🪑🎧Yan hii ni 🔥Leo bezangu naomba like 10 Mimi wakwaza
😊😊😊
Kweli tuk🪑🎧tusikiye Huba😅
Fayaaaaaa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰kuna kitu nimejifunza humu
Kazala umejifunza nini wewe?😂
❤❤❤ waaoh wacha tipike nahiii
Yaan n mwendo wa kua last born wa anko jay maaan cyo Kwa kuchelew uku ila fresh tyuuu ❤
Waaahu asante Anko J pamoja na mtunzi wako Ally Mbeto kwa kutupa ki2 kipyaa natumai kitanifuraisha🤣🤣🤣💓💓💓💓💓
Mpeni Anko jay maua yake jamami
Kabla aja eneza myaka 100 🌺🌺🌺🐐🐐🐐
Aiseh simuliz tam kweli kweli jomani good job anko j thanks❤❤❤
Ahsante sana
Tamu sana
Nipeni numba za wazazi wahuyo binti niwambie binti yao alipo wanipe hiyo pesa anko jay kasema sisi wasikilizaji ndotunafahamu alipo 😂🥰 Asante anko jay kwa simulizi nzuri 🥰🥰
Ahsante sana
Hongera Sana anko jay kwasimulizi nzuri
Jamani hili DIMBWI LA HUBA bi shuu akosi🤣🤣 kutapa rahaa tuu jamani tujifunze mahaba kwa bi shuu ankojay tunaisubili hapa🥰🥰🥰
Shukran mr Jay na author mbetu nice job be blessed 🙏🙏💕
nimeitafuta sana hii hadithi
Alaaaah mbona kutamani kufa tena 😢😢haya nisikilize kwanza alafu nitarudi baadae kucomment tena😂😂,,wapi like zenu wanafamily jmn😢
Asante Ali mbetu na Ankojay kwa mzigo nawapenda bure
🎉🎉hongera sana anko jay kwa simulizi nzuri kabisa mungu akulinde na kukupa maisha marefu. ameen
Wow very nice story nasubiri part 2 kwa hamu na gamu ❤
Ally mbetu huna baya kk✌️✌️🔥🔥❣️🙏🙏
😅wwe go mzigo umeachiliwak😅😅🎉😅
Shukran za dhati anko ❤❤❤❤
Shukran anko J kwa sauti nzuri ya kusimulia MashaAllah 😘❤
Nzuri sana Anko
❤❤❤❤mubarikiwe nyote watunzi wetu
Swedi ww mungu anakuona😎
Anko J nakubali sana kazi zako ❤❤❤😂😂😂
Wakwabz leo wadau wa anko jy
Shukran anko jay na ally mbetu
Jaman mapenzi,kwli n upofu
❤❤❤❤❤ penda San ankojj
Mapenzi hatari kwa mtu yoyote mungu tu musaidisi wetu. Wazizi na tezeka hajui watoto wako wapi jamani wote Hana ameni
Shukurani 😊
Anko j nakubali Kazi zako❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹
Kwa kweli watoto nimtihani
Anko umetish
Anko j nakubali kazi yako
Shukran anko jay mashalla
Kuntu sana ankojay
Shukran sana ako jay kwa simulizi poa sana
Kwa hamu sana hapa kando nasubr
MashaAllah anko jay
yani una mwambia mama yk eti unatamani kufa 😢😢 unasaau kuwa mama yk amekuweka tumboni kwake miezi 9 na kuzaa kwa uchungu alafu mtu wa kwanza kumuona kwny hii dunia alikuwa mama yk alafu unakuja kuongea ujinga mbele ya mama yk 😅😅😅
Watu wanalala humu ndani ya simuliz duuu
Na vipi binti morena part 2
❤❤❤❤❤
Shukran ankoly jay❤❤❤
Ila Ally mbetu nae yupo moto km dada lisa
Watoto wa kike ni mtihani kweli🤔
Mr nakua wa 90
Waoooooo 😊
Haya mie nafaidi kazi ya miez 10 iliyopita nisikie hilo huba zito lililohububuka
asantesanaankojay
tupesehemuyapiri
Anko j muendelezo wa mtoto wa doctor tunaomba
🎉🎉🎉🎉
Ank jay
Dah 🤔
Kweli mapenzi ya dhati yana nguvu
❤
Naisubiri binti morena part 2 ankoj
Heay nagoja❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni Nadra kama jina langu😅😅😅
Mbona Akoj bint Lisa 65 Iko wap jaman npee bas nmekoswa raha
Sweady una maneno matamu jmn
❤❤❤❤😂😂😂
Vp leo akuna simurizi mbona kimy sana
Duuh
Afadhali jmn
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉
Kaka angu mbetu
Poooooh
Thanks
❤💛
Enyewe mapenzi hayana mwalimu wala mzazi na hayazuiliki na haswa pale pipa litapatana na ufuniko wake wallahi mengine ni sawa na kelele cheki suwedi amepatana na ufuniko wake sasa kelele za wazazi haziwazuii lolote ,ila siwacheki maana yashawahi nikuta sikuwahi kusikia wala kumwamini mtu ama kiumbe cho chote kile nikweli kila mmoja wetu alipitia magumu hadi kutenganishwa na kuhamishwa ila yote haikufua dafu wewe chezea mapenzi utaumia anae ingilia kati nisawa na kukimbizana na upepo hivyo siwashangai siwedi na zuhura maana mie naelewa
Wazazi tupokwenye shida kubwa sana. Hawa watoto ni tatizo
Watoto wakike jamani 😑
Hi❤❤❤❤
😂😂
To be continued
Watoto wa jamani wazazi tupeane pole
Why late today
Hapo pembeni
🙄🙄🎧😍🇰🇪🇰🇪
🪑🎧🇸🇦
❤❤❤❤
❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤