Ni mida ya mchana nilikuwa niko chumbani kwangu nimejilaza siku hiyo nilikuwa najisikia ovyo sana.. kule chumbani kwangu alikuja mama yangu akaniuliza Natalia una tatizo gani?
Anko jamn mm uwa nasikiliza story zako nikiwa wa mwisho naisi nazpend san una saut nzr lakn uwe unatumia ako kawimbo kananogesha story jamn tunakupenda sana unatufurahisha Mungu akupe maisha marefu
Ankojay upo kwenye penzi jipya nini maan stori ya jan na leo mmh kama umemkabithi mtot wa mama mkwe moyo wako vilee ❤oh waoooh unawez ankojay @babie love story nzuri mamaa
daaah anko mungu akuweke maana nahisi kwanzia mwandishi mpaka wewe waga mnaumiza vichwa kutuletea sisi kitu kilicho bora aisee mnafanya kazi kubwa sana mungu afungue milango ya ridhiki yangu ili niwe natoa hata shukran kwenu 😢
Haki simulizi iko na mafunzo ,nimefikia kwa Natalia yuko kwa njia panda, pole dada kwa hali ngumu but ujue kamati ya roho chafu ndio wamejaa tele hawa watu wanajiita mahandsome wanatupitishia vihoja ,shukuru uko mzima pambana na maisha kuvunjika mwiko sio mwisho wa kupika Mungu atakutolea riziki za hao watoto
Jamani mimi nihulize ivi anko j akiwa anasimuliya simulizi zamapenzi huwa anajisikia anje mim mwenyewe naye simulia niko hoyii tabani vipi yeye 😊😊😊😊❤❤❤
1:07:42 hii sauti walai....lakini anko unatambua tuna miaka zaidi ya mbili gulf bila tamu.😅😅😅..jamani si unatuweka majaribuni...tunakupenda sana Anko❤❤❤❤❤❤❤❤
@@maseleenaesleen8149 .wewe Edna😄😄umeskiza simulizi yote?thanks to you😆😆😆😆toa comment yako kulingana na kenye uliskia...leave my comment alone.mind you own bussiness but if want to dare me then lets do this.mukunduthe!!!!!i comment what i want and when i feel like it.Nguokkkk!!!!
Hatakama nimechelewa ila bado nipo anko jay hongera sana napenda jinsi unavyo imba na hii story nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤bila kusahau babie love
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with Love ❤❤❤❤ ndani ya simulizi mpya Binti Natalia 🥰🥰🥰🥰
We're together hunny 🥰❤️
00😊
Lvol
Wasap
🙏
anko jay simulizi tam sana kweli asanteni sana
Thanks more jei 😂😂😂😂😂😂
Anko j tunakupenda zaidi 🎉🎉🎉🎉🎉
Asante anko jey 🇴🇲🇴🇲🇴🇲 kwa simulizi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Wa waaaooooooooooh mashabiki Wa simulizi za anko Jay tushatinga mapema Sana ❤❤❤❤❤❤❤
Yeaaaah 😍😍😍👏👏
Haswaaa
Mh!!!
❤
Natalia anaroho mbaya sana simulizi 😢😢😢
Anko jey hapo kuimba hee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Woooow anko we uko poa san unachez na muda i lov you
Nawapenda pia
Simuliz nzur sana jay noma
Wooow,simulizi poa xana, congratulations, waiting part 2,🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️
Wow...tule chombo hicho kipyaaaa❤
😂😂😂unasauti nzuri ya kusmulia ila sio yakuimba😂😂😂
Kazi iendelee
😂😂😂😂😂 kuimba sasa ankojay wangu jamaniii khaaa 🙌🙌🙌
Anko jamn mm uwa nasikiliza story zako nikiwa wa mwisho naisi nazpend san una saut nzr lakn uwe unatumia ako kawimbo kananogesha story jamn tunakupenda sana unatufurahisha Mungu akupe maisha marefu
Ahsante Anko jay kwa kitu kipya naenjoy sana...bila kumsahau mtunzi wetu mahiri Babie love ❤️ 😊penda sana wewe baby girl
Love you more baby❤❤
@@Babie. 🙈thanks 😊
🎉
Enjoy 😍
@@ankojay_ Ahsante Anko 🥰
😂😂😂😂😂yaaan duuuh Anko jay umetuamulia kwakutuburudish kwa wibo💃💃💃yaaaniiiii we kiboko✍️🔥👌👌👌
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ankojay upo kwenye penzi jipya nini maan stori ya jan na leo mmh kama umemkabithi mtot wa mama mkwe moyo wako vilee ❤oh waoooh unawez ankojay @babie love story nzuri mamaa
Thanks baby❤❤❤
Nimewah jmn ANKO JAY et uong 😂😂 mung akufanyie wepes wa kaz yko Ameen ❤🎉
Ahsante ahadi❤❤❤😂wa10
daaah anko mungu akuweke maana nahisi kwanzia mwandishi mpaka wewe waga mnaumiza vichwa kutuletea sisi kitu kilicho bora aisee mnafanya kazi kubwa sana mungu afungue milango ya ridhiki yangu ili niwe natoa hata shukran kwenu 😢
Amin baby❤❤❤
@@Babie. ❤️🙏
Amiin 🤲 🤲
Jamani wanatupunguzia mawazo unapata akili imehama kwa Muda
Jamn ank j unasimliz nzur sana❤❤❤❤
Niko hampo nilimpeza kitampo kukonti laniniko msisahau tokopamoja Asante ankojey kwakitukimpwa ubarikiwe saana tukopamoja gojanisikiye kwansa nitarudi❤❤❤❤
Asante anko jay kwasmlz nzuri
Leta vitu ank j mwenyew....maisha marefu kwako❤❤❤
Anko.binti.lisa part 50 sijapata
Qa kwaaaaaaaaaaa🎉, nipewe kigoda❤
Enjoy 😍
😂😂😂😂😂😂😂
Kigoda cha nin?
Shukrani anko,acha nijieke tayari kuskiliza sauti yako taaaamu😊
Hello...love ur stories...❤
Anko jey umemeza iyo maik heee ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Thank you so much Anko Jay mafundisho aya
Haki simulizi iko na mafunzo ,nimefikia kwa Natalia yuko kwa njia panda, pole dada kwa hali ngumu but ujue kamati ya roho chafu ndio wamejaa tele hawa watu wanajiita mahandsome wanatupitishia vihoja ,shukuru uko mzima pambana na maisha kuvunjika mwiko sio mwisho wa kupika Mungu atakutolea riziki za hao watoto
Asante anko jay ❤❤❤
Thank u too
Dah ank uko vzr kwa simuliz mungu akuweke ila naomba part 2
Ohoo as usual anko jay active subscribers turuke na kitu chetu kipya Cha Natalia ❤
Yeeeeaaahhhh
Asante Ank jay
Eee uuuwi natalia eee! hutaki kwenda majuuu mweee!😂😂😂
Niseme shukran sana.mung awazidishie kwakila jambo
Jamani anko jay upo juu kila siku Allah akubariki
Wooooow nice One l like that stroy thanks Anko 💗💗💗🥰🥰
Thanks for watching 😊
Yaan tuna injoy sana Anko jay mungu akubaliki
Hongera sana ankoja Unasauti mzuri sana❤❤❤❤
Ambae amepewa kazi yakupenda na mungu ni mwanaume wanawake tunatakiwa kutii tu
Uuuwww! mmm makubwa hayo natalia😂😂😂😂
Huyu Natalia na kiherehere cha chinichini tangu siku ya kwanza alipokaribishwa na Roby,atulize mshono
mwenangu penzi humea kwenye penzi
Ukimpenda asiye kupeda ujue utakonda
Good job❤❤❤❤
Jamani mimi nihulize ivi anko j akiwa anasimuliya simulizi zamapenzi huwa anajisikia anje mim mwenyewe naye simulia niko hoyii tabani vipi yeye 😊😊😊😊❤❤❤
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅 tumesha weka zip tayari
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Anko jy anakosea halafu anamsingizia natalia 😅😅😅😅😅😅❤❤❤mh❤❤
Sending love ❤️❤️❤️❤️
Wow fantastic ❤
Kazi iendelee❤
Anko J, please tukumbuke na sie wa you tube, muendelezo wake plz 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏.....
Namuna unavyo imba sas duuu from Burundi nakupenda Kaka💪🇧🇮
Daah kak asant hii simuliz mmmh noma san asant ank
❤❤❤❤❤
Leo nimewai na mimi ❤❤
Safi sana
Pole kupenda asio kupenda
❤❤❤ nice
Ningempata huyo D, Jamaniiii wala nisinge angaika na paka wengine
1:07:42 hii sauti walai....lakini anko unatambua tuna miaka zaidi ya mbili gulf bila tamu.😅😅😅..jamani si unatuweka majaribuni...tunakupenda sana Anko❤❤❤❤❤❤❤❤
😢😢😢acatuuu
@@maseleenaesleen8149 .wewe Edna😄😄umeskiza simulizi yote?thanks to you😆😆😆😆toa comment yako kulingana na kenye uliskia...leave my comment alone.mind you own bussiness but if want to dare me then lets do this.mukunduthe!!!!!i comment what i want and when i feel like it.Nguokkkk!!!!
Mmmm kube siko pekee yangu🤣🤣🤣mmmmm karibu ameze mike
Mbna part 2 hakun jamni
🤣🤣🤣Waah apo kwa kuimba mim hoyi tabani na kicheko🤣🤣asant anko 🇧🇮🇧🇮
Uncle Jay sijui niseme NN thx
Pia mm nipo aisee
Jamn anko jei ❤❤
Mwaaa binti Natalia 😊😊😊
Mi hata sijampenda Natalia linaroho mbaya sana namuomba aumizwe na huyo Robby mpaka yaani ni Malaya mjinga kabisa mi ananikera sana
Uncle j unajua bwana 🥰🥰
Asante anko jay kwa simulizi nzuri nayenye mafunzo amakweli sikuzote mpende akupendae natalia bora ungemkubalia D but onasasa yaliyo kukuta
Hello anko jay. asante kutuletey shooo
Ukirudi kaombe radhi kwa wazazi maana siyo kwa mapenzi hayooo khaa
Thenxs my favourite babie love n Mr Jay your always the best be blessed 💗💗🥰🥰
Wow❤❤❤❤
Fire
Nimewahi leo❤😂😂😂😂
Saafi sana
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 fire
Shukuruna Ankojay nimenjoy sana😍😍😍😍
Watu kwa kuwahi shikamooni😂😂❤
Plz anko jay tuachilie sehemu ya pili ❤❤❤❤❤❤
Dhaaaa Nataria unangangania mtu akupedi jamani dooo
Anko unatapa muwaso naio sauti nyorooro❤❤❤❤❤❤ tukusonga
Nicely done ❤❤❤
❤❤❤❤😊
Haa mungu ni mwema jamani siku zote mungu hacha mtu Wake Dada pole humepitiya meingi Sasa faray. Asente kwa msamah kutoka moyoni
Mmm Natalia Kwani hupati hamu ya😂 dudu mwenzangu😂😂
Ww Natalia mjinga sana kma chizi ndy nn ss hovyo
Simulizi tamu leo anko ❤❤❤
Nzuri mnoooo
Aaaah anko bwana ww simulia tu kuimba achana nayo😂😂
Wawoooooo ❤❤❤❤❤❤
D ni mwanaume mjinga sana analazimsha mapenzi tena bongo hawapo wanaume wa aina hiyo
Anko J vip mbona unang'ona saaana heeee!!!!
Wakwanza☝️
❤❤❤❤Ya moto 🔥 🔥 🔥
😂😂😂 hapo kwenye kuimba ume niacha hoiii
Very nice❤❤❤
Bella mambo
Eeee Anko vipi nipe 1 kila kitu....yaani mm wakwanza leo 😂🎉tuko pamoja
😂
Enjoy 😍
Waoo! anko j tunainjoy
Yani hii story inanikera sana
Mhhh Leo nahisi me ndio wa mwisho 😭😭
Wewe nae vipi haujui anaekupenda pendana nae
Ako j daa simulizi zako ni noma
Iyi dada hanaata huruma eeeh namuchukiya sana