Dr Nancy ujue kuwa Mungu atakulipa kwa wakati na majira yake,kwani umefanya ubabe kuanzia kufanya ngono mwisho mimba,kuharibu kizazi cha Latifa chaa,una jambo wewe,hata Mungu unamsingizia😭😭😭
Haki ya mtu haili mtu na matakavyote kwa pupa huko vyte Latifa kapat haki yke na Nancy kapata haki yke ila issa hajactaki kwenda jela mna yy hana kosa kosa lke yy ni nyege zke tu na pombe zke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wawoooooooooo Nansi Nansi wakina Nansi mupooooooo uriomukosesha uzazi ndo anakwenda kukurereya kwakweri Mungu si Asumni Ratifa Allah amekuripiya ilatungepata kujuwa maumivu ya Said Asant Lukasi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ama kweli MUNGU hamtupi mja wake na kila pito la mwenyehaki yeye humwokoa na kumtetea hata pale maskini kadhulumiwa haki na kumwachia MUNGU ili akamlipie visasi vyote nasikujilipia na kumkabithi MUNGU yote ili amtetee na haki humrudia mwenyehaki alio dhulumiwa
Top 10 sijachelewa sana kaka lucas wacha tuskilize latifa ana nn😂😂❤❤❤❤🎉🎉musininyime like bc😅😅
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
yyyyayyay
Leo nimewahi naomba like zangu❤❤❤😂😂😂
Watu hamulali kaka asante vitu vpya navitam kla leo❤❤❤🙏🏃
Na mmmm like jaman😅
Dr Nancy ujue kuwa Mungu atakulipa kwa wakati na majira yake,kwani umefanya ubabe kuanzia kufanya ngono mwisho mimba,kuharibu kizazi cha Latifa chaa,una jambo wewe,hata Mungu unamsingizia😭😭😭
😊😊😊
Kosanila mmewake alie lala namtu mwingine ndomana visavina mkuta latifa
Leo ni latifa❤
Wakwanza jamani naombeni likes zenu kibao 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao Lucas
Wakwaza nimepi maua 🎉
Mashabiki Leo wakwanza like munipe zote❤🎉🎉
🎉❤
💐💐
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote na upandacho ndicho atakacho vuna💚💛💚💛🤝🫶👊
😊😊😊
Hata kama ni penzi haifai hivo nanzi kuna piko yake tu bt pongezi kwa simulizi tamu kaka 🎉🎉🎉🎉
Mpe mauwa yake hayo 🎉🎉🎉
Nilikua nasubiri sauti yako apa❤
Nimewahi na mimi😂❤❤
Nmewahi Leo 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Sijachelewa san
Hivi wanaume hamjui kua dada wakazi na mtoto nimafuta na maji we saidy mpe lania mwae ajilelee acha ushamba unanyanyasa mtoto asie jua rorote
Inaumiza sana hadi tumbo linauma😭😭😭 na huyu mwenye mimba anasema siku moja, kwani inaingia mara 2,si ni sekunde chache tu 😅😅
@@avelinabaluhya2804 amejawa naroho ya hla
Anaroho ya Hila sana
🤣🤣eti nyashina nyashina😂😂unachekesha jaman manyashi yanawatesa vijana wengi😊😊😊
Huyu rania atatumika kumwachanisha latifa na issa ili apate pesa ya kpigania mwanae, nahisi hivyo
Asante sana kaka Lucas Lumbas Allah akulipe kheri ❤❤❤❤
Haki ya mtu haili mtu na matakavyote kwa pupa huko vyte Latifa kapat haki yke na Nancy kapata haki yke ila issa hajactaki kwenda jela mna yy hana kosa kosa lke yy ni nyege zke tu na pombe zke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wawoooooooooo Nansi Nansi wakina Nansi mupooooooo uriomukosesha uzazi ndo anakwenda kukurereya kwakweri Mungu si Asumni Ratifa Allah amekuripiya ilatungepata kujuwa maumivu ya Said Asant Lukasi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Emunguwe Ratifa wawatu Allah akuokowe uyunyamela Allah amusant Asant Lukasi kudufundisha wanaume niwareta majanga😭😭😭😭😭😭😭loho inaniuma
ᴺⁱᵖᵉ ʰⁱᶻᵒ ᴵᵈ ᶻᵉⁿᵘ ⁿⁱᶻⁱᵖⁱᵗⁱᵉ ᵗᵃʸᵃʳⁱ ʰᵃᵖᵃ ᵏʷᵃ ᵍᵃᵗᵉ😂😂😂
😂😂😂😂
Ila wanaume wanakuwa wachonganishi kisha wanajua kupuuza mambo ya muhimu,inaumiza sana,na ndivyo walivyo.
Jaman cjachelewaaa
Tuacheeni na sisi tuwe wa kwanza❤❤
Sjachelewa sanaaaa🎉
Nimechelewa kidogo 💃💃💃💃💃
Mie mchelewaji makofi kwangu😅😅😅😅
Simulizi nzuri.asante inatufunza maisha ongera mtunzi na msimuliaji bro rumbashi🎉🎉❤
Hello Lukas natumai uko salama simulizi mzuri hio sana ya latifa kwa ivo natumai tutapata sehemu ya 2 Kwa ham kubwa asanti
Jamani leo nimechelea kzni mpaka ss ndo naona ii 😢😢
Hello ankojay natumai uko salama simulizi mzuri hio sana ya latifa kwa ivo natumai tutapata sehemu ya 2 Kwa ham kubwa ❤❤❤
Upo vizuri anko Lucas kwa kugawa matokeo ya unachostahili kupata kwa matendo yamtu mwenyewe😀😀😀🤙🤙🤙🙏🙏🙏
🎉🎉🎉mau yako chukua kaka wa mboga saba❤❤🎉
Vipenz vya Lukas lumbas mko poah ❤❤❤
Top 30 mko poa❤❤❤❤❤
Ohooo mwanetuuu hataoa bint anaegua kifafa Mungu nayee yule mumemtaka ndokifafa hadi kichaa hongera latifa huyo mumeo atumikie kifungo salama
Asant sana Lucas 🎉🎉❤❤barikiw sana
Nimechelewa ila sio mbaya nimo😂😂😂
Eti nyashi na nyashi😂😂 nimecheka had nimeamsha mtoto😂
Nyie nyie sijui nikoment nn hapaaa nahis maumivu makali mnoo 😢 lkn dada Asya Zungiza nakupenda buree yanii I wish I could see you 😊
Nice ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nzuri sana
Sinimejuwa ni mewayi bana hhh watu hamna kazi jameni
Tunatumia earphone ya bluetooth tunafanya kazi kwa bidii🎉
Huyu ant Zena anapenda kutuchanganya jamn , emu alete season basi maana anaweza haya mambo sana
Asante kaka Lucas Kwa kudondosha mzigo huu mpya najua utatufaa maana haina kazi mbovu
Nancy kwani niwewe wakwanza kukataliwa na mimba chako kimotoni
Jamani achani mungu aitwe mungu alietenda mema akalipwa mema mtenda maovu kalipwa maovu ALLAHU AKBAR KIBIRAH ALHAMDULILLAH KITHIRA.?
Uwislam Ni din ya Hali katika dunian
Latifa muwombe mungu atakupiganiya
Ama kweli MUNGU hamtupi mja wake na kila pito la mwenyehaki yeye humwokoa na kumtetea hata pale maskini kadhulumiwa haki na kumwachia MUNGU ili akamlipie visasi vyote nasikujilipia na kumkabithi MUNGU yote ili amtetee na haki humrudia mwenyehaki alio dhulumiwa
Tuko hapa tunasubiri huo mzigo mpyaa❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Saa ngine waweza soma na ukawa njinga sasa nasy usome hela kwenu ipo shida nn ya yote haya pole latifa mungu amelipa subra yako
Karma is rael❤❤
Latifa muombe mugu atajibu atamulipa huyo mujiga mugu yupo chukua maua yako latifa❤🎉🎉❤❤❤🎉🎉
Ama kweli malipo ni hapa duniani😭😭😭
Wamwisho jamani 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Nimechelea. Lakin ngonj. Nikae sikirize. Yaliom❤❤❤❤Lucas tunakupend saan❤❤😂🎉🎉
Sijamariza kusikia lakini Nansi Allaha akulani
Lucas pole sana mungu akuwezesha mwanaetu
Nancy ulifika mbali sana mungu akulani
Nancy umevuna ulichokipanda
Malipo nihapahapa duniani!
Mm nakuanga tu wa mwisho😢😢
🎉🎉🎉🎉
Wanaume mkipata matakao hulia mbwata😂❤❤
Iyi simulizi inataka kufanana na kosa nimoja
❤❤❤❤❤
Jmn nimechelewa kiduchu2
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
😅😅😅🤔
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
🎉😂❤😂🎉😢
Na mie nimewahi
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉