NILIMFUMANIA MKE WANGU NA MWANAUME CHUMBANI KWANGU SIKU MBILI BAADA YA NDOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 370

  • @rosaliembarikiwa592
    @rosaliembarikiwa592 Рік тому +8

    Pole ndugu. Huyo si Mke wako tena. Ameshazaa na Mtu mwingine. Mpe talaka yake uendelee na maisha mengine

  • @salhamohamed9240
    @salhamohamed9240 Рік тому +7

    Pole sana kakangu kwenye miti hakuna wajenzi lkn watu wa tanga wanawake kuwa nao makini sana sio watu wazuri japo sio wote

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Рік тому +3

    Kaka mtangazaji hilo pama aliendani na kazi yako Asante sanaaa🙏🙏🙏♦️

  • @hahahehe5504
    @hahahehe5504 Рік тому +5

    One man in a million he is a saint!

  • @amanarashid7503
    @amanarashid7503 Рік тому +2

    Baba huna mke hapo shkuru mungu km mtoto ni wako leo wanawake wako wengi inshaallah allah atakujaalia mwenye kheir nawe c mke huyo kabisaa wala hana mapenzi na ww

  • @husseinponda
    @husseinponda Рік тому +8

    Katika kila shari kuna kheri ndani kuwa na subira Allah atakupa mke mwema inshaallah

  • @ralmazidi6978
    @ralmazidi6978 Рік тому +5

    Achana nae na mtoto kama wanasema sio wako pia achana nae mungu atakulipia

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Рік тому +10

    Inua mikono juu niachie Mungu wasamehe .Mungu amekuandalia mke mwema iyo sio family ya kuoa.

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 Рік тому +4

    Unampenda sana huyo mwanamke lkn hakuna budi toa talaka mambo hayo yaishe fanya shughuli zingine upumzike hizo story

  • @zephrinekanga117
    @zephrinekanga117 Рік тому +8

    Mtu pekee mwenye tatizo hapa ni huyu mwanaume. Na tatizo lenyewe ni ushamba. Period

  • @aishamminge2996
    @aishamminge2996 Рік тому +9

    Yan wanawake watulivu tunatafuta wanaume waaminifu kuna wanawake wanachezea bahati

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 Рік тому

      Kama huna mambo ya mizunguko mm nakutaka aisha njooo tuendeleze maisha nipo serius najua kuamin moja kwa moja ngum

    • @aishamminge2996
      @aishamminge2996 Рік тому

      @@juxjemc5768 😅😅😅fursa imetoka

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 Рік тому

      @@aishamminge2996 imetoka kivp?

  • @fadhilaomary6104
    @fadhilaomary6104 Рік тому +3

    Pole Sana Mungu akupe subra upate akupendae

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj Рік тому +11

    Ww sio mwanaume huo ndio ukweli na ukitaka kujijua ukweli wako uliambiwa urudishiwe pesa zako ukakataa na unajua mwanake ana mwanaume mungine pili mwanamke kakupa ukweli mtt si wako na ukweli si wako kwa sbb toka umeowa mpaka umemfumania ulikuwa unamuda wa miezi 4 toka umeowa na mke ana mimba ya miezi 7 vipi ulimpa mimba

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 Рік тому +5

    Ulishaambiwa mtoto si wako broo achana na hiyo familia. Au kapime DN ujue mtoto ni wako au sio

  • @salomekamande2058
    @salomekamande2058 Рік тому +4

    Lakini,si huyo mkeo alikwambia mtoto sio wako?Sasa unachokifata nini sasa kakangu.Huyo sio mke ila ni malaya tu.Move on brother.Lingine,kama angekuwa anakupenda hangezaa na mwanaume mwengine.Pole sana kaka

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 Рік тому

    Ulifanya jambo la hekima baba vile haikum piga mda yule ulimkuta mkeo na mme mwengine .labda ingetokea unaumiza mmoja wao unaingia jela. Alakini hivi iko hulu kabsa. Mugu amekuvusha vikwazo. Wewe pambana kwa ajili ya mwanao . Mungu atakupa mke mwengine.

  • @shaabansabour1214
    @shaabansabour1214 Рік тому +2

    Nikwambie kitu Kaka, huyo mwanamke pamoja na wazazi wake hawakutaki, na hio familia sio kabisa. Na huyo mwanao mwanamke ukimuacha hapo basi atakuwana tabia za hio familia yaani ukahaba.

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 Рік тому +6

    Broo tafuta mke mwingine wewe, Mungu anasema wenda mkapenda jambo na likawa na shari kwenu.

  • @rachelsika9588
    @rachelsika9588 Рік тому +2

    Pole sana kaka , Mungu yupo,

  • @daud405
    @daud405 Рік тому +2

    aisee pole sana.wewe usingengangania umeshaambiwa sio mwanao unangangania nini.wanawake sio kabisa mm iliishanitokea.acha kabisa wanawake

  • @antymunna4215
    @antymunna4215 Рік тому +1

    Wee kaka si ameshakwambia mtoto si wako nahivo hakutaki achana nao muombee mungu akupe mke mwema

  • @ruthmwangi3199
    @ruthmwangi3199 Рік тому +4

    Watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 .mungu.atakupa.muke.muzuli

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 Рік тому +1

    We Mzee fala sana yaani umri huo bado ni mshamba wa wanawake, mtoto ushaabiwa si wako na mke hakutaki we unamng'ang'ania we acha tu mpaka aje akutoe roho ndio uje ugundue kwamba we ni fala wa mafala, inaonekana hujawahi tembea na mwanamke tangu uzaliwe huyo mkeo ndio wa kwanza fala we.

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 Рік тому +4

    Tshirt ya Man United 😂😂😂
    Ila jamaa naye Kama anamatatizo Hivi... Kuna Shida hapa Naiona Kwa msimulizi hizo pozi hapana...
    😂😂😂

    • @rosechuma9873
      @rosechuma9873 Рік тому

      Hizo pozi ni za maumivu ya moyo

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Рік тому

      Unataka kusemaje mzee😀😀
      Tulia kwanza huyu anapenda kuongea kwa mdomo na viungo vya mwili ndo ishara zake.

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Рік тому +2

    Mpe talaka kwakuwa mwanamke keshakwambia mtoto sio wko sasa unataka kujipa majukumu ya nn? Pole sana

  • @sharifaali3795
    @sharifaali3795 Рік тому +3

    Jiongeze mzee hakuitaj huyo tafuta mke uoe usimpende mwanamke kias hicho dharau zote bado unajipendekeza

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому +1

    Pole sana achana nae tu siyokesi hakupendi uyo

  • @pendojose4377
    @pendojose4377 Рік тому +3

    mm nimekwama hapo kwenye mkon tuu

  • @marykibue1914
    @marykibue1914 Рік тому +3

    Mwambie anitafute nahitaji mume Mimi ni mjane

  • @judytabby2777
    @judytabby2777 Рік тому +16

    What a brave man let God give you a good woman

  • @thobiethalibutu1465
    @thobiethalibutu1465 Рік тому +2

    😆🤭😂✌️ haya jamn Watu watanga mje mnipe maujuzi 😂😂

    • @asilasaid6230
      @asilasaid6230 Рік тому

      Tafuta mtumzima mwenzio ilahatauyomtoto siwako

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Рік тому

    Usisumbuke Mungu alikuepusha bonge la Bala.tena usisumbuke Mungu ni mwema.
    Mamaako mkwe anahofu kubwa mda wowote ana juwa kama utadai Mahali.
    Kukataa pesa unayotuma anatafuta mlango wakuchomokea
    Siku ukidai pesa utaambiwa kama wanakulelea mtoto

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Рік тому +4

    Kwan huyo mzee anatoka mkoa gan mbon hajitambui kaambiw mtt siyo wake

    • @khayratmhina3735
      @khayratmhina3735 Рік тому

      Anaonekana mim2 wakusini huyu ata ongeayake

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 Рік тому

      jamani huyo mwanaume mbona anamng'ang'ania sana huyo na wakati hampendi wala familia yake? mbona wanawake wapo wengi? mtangulize Mungu Utampata mtu sahihi kuliko kumpenda asiyekupenda

  • @aneesaalwaneesah1150
    @aneesaalwaneesah1150 Рік тому +1

    Muwace mimi niko Tayari kuolewa nawewe jee mtu kutoka wapi kwa Imani iyo Nimekupenda

  • @farhannahkulishwaburekunam5360

    Kwani hujui sheria ya dini ukimfumania mwana mke au mwaume talaka imeshatoka ameshaachika au Kelham zaa na mtu mwingine na yupo huyo ameshaachika mbona unamngangania au mpaka aje akuuwe mbona bwege wewe kwani hakuna wengine hata sitaki kukusikiliza

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 Рік тому +2

    Mimi nakushauri achana na hiyo familia ni mbovu

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Рік тому +7

    Mbona huyu mwanamme simuelewi

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому

    Iyo familia siyo ya kuoa pole Baba utapata mwenye kheri na wew🙏

  • @aishashomali2716
    @aishashomali2716 Рік тому +4

    Muache sasa mpe taraka jamani kheee lea mtoto kama ni wako

  • @costantinebahakaso3736
    @costantinebahakaso3736 Рік тому +3

    kwapicha ya haraka inaonekana ulioa binti wakati wewe nimzee hakika kwa maelezo yako nahisi umempita kiumuli mbali Sasa Jana hisia na wewe

  • @daud405
    @daud405 Рік тому +1

    yaani nikisikia habar ya mwanamke amemtendea mtu inaniuma sana.mimi nilimnunulia mke wangu gari ya mil27 na gorofa losheni 4 tulizaa watoto wawili lakin nikisafiri tu anachukua gari anampa bodaboda ndo anampeleka beach ndo mume wake. nilivyomuaxha 11/09/2016 anafanya kazi ya kuwaoshea wahindi vyombo dar.wanawake wa kibongo hamna

    • @kiri5807
      @kiri5807 Рік тому

      Sasa ulipomuacha hiyo gari na gorofa ilienda wapi ? hata akafika kuwa house keeping ?

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 Рік тому +1

      Huna hata baiskeli fala ww

    • @khadijakheir9323
      @khadijakheir9323 Рік тому +1

      ​@@avitusmichael5 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @daud405
      @daud405 Рік тому

      Wallah nasema ukweli.nilimnyanganya gari na nyumba alivyoniacha mara ya kwanza nilikuwa sijajenga ila alivyorudi mara ya pili ndo ninamalizia.kama mtu anabisha nimtumie picha

    • @kiri5807
      @kiri5807 Рік тому

      @@daud405 Mimi nakuamini . vizuri ulipomfanyia maana wengine huja kuchuma tu .

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj Рік тому +1

    Ana ujauzito miezi 6 au 7 kaishi nae miezi 4 kisha asema ujauzito wake sijui alipachika mimba kiuchao

  • @omanmwajabumbeguoman8642
    @omanmwajabumbeguoman8642 Рік тому +3

    Jiongeze mtumzima busara zitakuponza pole sana uyo sio mkeo na mtoto sio wako khaa jamani

  • @inongee1141
    @inongee1141 Рік тому +2

    Babu njoo unioe mimi nina miaka. 35.nitakuzalia kila mwaka.😅😅😅😅nikuponye machungu ulio pitia.

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 Рік тому +3

    Mungu atakuletea alo na kheri na ww

  • @justaalphonce9183
    @justaalphonce9183 Рік тому +10

    Jamani mwombe Mungu atakupa mke mwema

    • @zuhurakaho1553
      @zuhurakaho1553 Рік тому

      Jamani pore yake njoo mwanza unione Mie 38

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 Рік тому +1

    Amezalishwa na mwingine tena bado unamsubiri mke we kaka hauko serous MTU hakupendi we bado unamng,ang,ania mapenz haya lazimishwi

  • @daud405
    @daud405 Рік тому +4

    tena uliwajengea nyumba wewe fala san.umri huo haujajua wanawake.mimi sitoa mbongo wameshindikana.sio bure walikupa dawa

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому

      Watu wengine wabaya huwa sio akili yao jamani wanawake ss hatar yaani asilimia kubwa wanawake wanaroga uwo ukweli.

    • @daud405
      @daud405 Рік тому

      @ Malak, yaani huo ndo ukweli wanawake wa kibongo sio

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 Рік тому +2

    Poa baba mungu atakupe mwengine

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 Рік тому +3

    Huyu baba ilikuwa umuache sababu msichana hakutaki ameshakuonyesha dharau za kutosha hata mtoto km amekwambia sio wako ungemuachia tu

  • @hamoodalbusaidi4671
    @hamoodalbusaidi4671 Рік тому +4

    Sasa simuache tu dunia itafunza.owa mwanamke mungine.

    • @Ann-Strong
      @Ann-Strong Рік тому

      Hapo Sasa, na uzee unakuja mbio

  • @alsam4881
    @alsam4881 Рік тому +2

    Ndiyo maana tunashauriwa kuowa au kuolewa na mtu mwenye dini kwasababu atakuwa na hofu ya Mungu kwa kufanya maovu.

    • @brantywilson1347
      @brantywilson1347 Рік тому

      Sasa ww ushaammbiwa mtoto sio wako we unalazimisha kumsomesha...sawa, mwisho utuletee mrejesho!

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 Рік тому +1

    Nani kaona vidole

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 Рік тому +3

    Wanaume kama Hawa wanapatikana mko gani jamani wakuhudukia kilazima

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 Рік тому

      Wanapatikana wapi voo mana si kwa uzuzu huuu🤔🙄

  • @saadaramadhan6598
    @saadaramadhan6598 Рік тому +1

    Pole sana baba

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 11 місяців тому

    Watu wanapata wamaime lkn wanashindwa kuwatumia ss atupati kama awa😢😢

  • @reginamihiga4977
    @reginamihiga4977 Рік тому

    Huyu mzee Ni Kuma sana hakili hana

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Рік тому

    Hee ,, umekaa mjini kote bado uko bwege kiasi hicho ,,,,,
    Subhanallah hiyo familia haikutaki hebu oa mwanamke mwingine achana na hiyo familia mbona wanawake wako chungu nzima na kingine kwanini ulikataa mahari yako hiyo million 4 ukajishikia hamsini zako
    Kwani tanga walikupa nini hadi umgande huyo mwanamke asiyejua tamani ya mume anachepuka tena ndani kwako bila ayibu

  • @manahiljamal834
    @manahiljamal834 Рік тому

    Duh pole sana

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 Рік тому

    Pole sana ,mbona wanawake wako wengi chukua maamuzi.

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw Рік тому +6

    Dah wewe kweli moyo wako ni baridi sana hadi keshazaa mtoto mwingine bado unamuhesabu bado ni mkeo 😂
    Mwanamke alikwambia mimba ilikua sio yako, AU ULILISHWA LIMBWATA

    • @massoudomar221
      @massoudomar221 Рік тому +1

      eeeh bwana we heshima kwako mzee wang ila kama mm ningalikuw nipo jela maana nimeuwa mtu

  • @ishyjuma2246
    @ishyjuma2246 Рік тому +4

    WWE!! Huyo si mke kabisa ,tena pamoja na huyo mamake

  • @kenedymusaukavithi
    @kenedymusaukavithi 9 місяців тому

    Huyo mwana mke ni mkora Na Ako pamoja na wazazi na ule jamaa wachana na uyo mwanamke,maraya ule!!!!

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 Рік тому +2

    Mmmh!!. Una uhakika gani kama Mimba ni yako? Hovyooo!!. Usituchoshe.

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Рік тому

    Katuangisha sana watu t.a

  • @habibarashidi9500
    @habibarashidi9500 Рік тому

    Pole kaka

  • @Mina.15
    @Mina.15 Рік тому

    Duh 2017 you still waiting for her?

  • @florachogo243
    @florachogo243 Рік тому +1

    Siumesema mkeo alikwambia mtoto sio wako ,sasa unang'ang'ania?

  • @kennedynalondo3807
    @kennedynalondo3807 Рік тому +2

    Huyu ndio mwanaume kamili mwenye subra

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 Рік тому +3

    Iv hawa wanaofany iv vitu wanasahau km kun maisha baada ya haya wanayoyafanya😰😰

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Рік тому +1

    Wanawake mpoo

  • @babianliza
    @babianliza Рік тому +2

    Mume zaidi ya waume ongera bwana kw hiyo roho yako wajifunze kutoka kwako

  • @happinessomary2663
    @happinessomary2663 Рік тому +2

    Duh baba njoo uoe Mwanza hatunaga mambo mengi! Natania

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 Рік тому

    Huyu jamaa kweli ana mapenzi level ya juu,yaani mke umemfumania na bado ana kwambia mtoto si wa kwako.Na bado eti wataka arudi kwako,yaani wasema una uchungu.

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Рік тому

    Duh bado unamtaka aisee mapenzi upofu Mungu wngu

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k Рік тому +2

    Mashalla he is very wise man

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 Рік тому

    Pole sana kaka yangu ndugu yangu zidi kumuomba mungu ningekuwa mimi kama mimi ningeisha Mkatia tamaa ata hivyo unamoyo sana kwa kweli na mimi ningempiga matukio kma anavyomfanyia pole sana lazima moyo ukuume lkni naimani mungua atakupa mke mwingine utakuja kufurahi

  • @aishaddddhh6272
    @aishaddddhh6272 Рік тому +1

    Kidini mpk sasaiv siyo mkeo miaka 5 hao nimatapeli kamfwate mtoto wako umlee mwenyew

  • @pataniabdallah9578
    @pataniabdallah9578 Рік тому +1

    Tanga sehemu gani.mjini au vijijini

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 11 місяців тому

    Kwakweli penye miti akuna wajenzi 😢😢 daa

  • @muhamadmaulid694
    @muhamadmaulid694 Рік тому

    Mzee Mambo yote ayo yanatokea Bado tu umekomaa ,duh uwo tena ni kama ujinga ,hakuna busara ya hivyo ww .

  • @kenedymusaukavithi
    @kenedymusaukavithi 9 місяців тому

    Ukiona mwanamke akifanya hivyo, huyo mtoto SI wako, na mwanaume mwenye kumkuta kwa nyumba Yako Nia ndui yako

  • @janegabriel8123
    @janegabriel8123 Рік тому +1

    Kweli unamoyo anagekua mwingine ungengolewa meno

  • @rozina2161
    @rozina2161 Рік тому +2

    Sasa ww ushaambiwa mtt c wako ushamfumania na mwanaume mwengine shida yako iko wapi siutafute mwengine

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 Рік тому

      Ht uyo mwanamke kshamuina bizozoz ndo mana anafamfanuia ivyo

  • @thamraabdul3740
    @thamraabdul3740 Рік тому +1

    Babaangu wanawake wote ao walojaa,app hutakiwi tafuta make mwengne.

  • @mwakaabdallah3185
    @mwakaabdallah3185 Рік тому +2

    Hivyo vidole nimevipenda unavyovidengua mzee

  • @luqmanmbwambwa7127
    @luqmanmbwambwa7127 Рік тому

    mzeee anatumia mihadarati mikali ...!

  • @ismailhassan2901
    @ismailhassan2901 Рік тому +2

    Pole sana kaka,ila huyo mwanamke achana nae kabisa,kwanza amekuonyesha zarau kubwa sana ,yaan mpaka anachukua pesa ndani anamtumia huyo jamaa yke kuja kwako kufanya upuuzi,na jingine huyo huyo mwanamke ameshakuambia kua mtoto cyo wako,sasa bado tu unamfuatilia kwel mtu kama huyo kaka??au unataka ukwel gn kaka?mimba ck zote anayejua mwanamke ndye anayejua ukwe nani ni mweye mimba hiyo,sasa ukiendelea kumfuatilia huyo mwanamke ck watakuja tu kukuua kaka yngu

    • @gadielmungure9711
      @gadielmungure9711 Рік тому

      Huyo mwanamke atakuua achana naye wewe mjinga

    • @Mina.15
      @Mina.15 10 місяців тому

      Lama maybe Ako handsome 😂😂😂

  • @neatnesskaffana8852
    @neatnesskaffana8852 Рік тому

    Du!!!!! Pamoja na yote bado unamuita mkeo na huyo mtoto unamuita mwanao???? Kama una imani na dini yako fata swala sana na Dua ili mwenyezi Mungu afungue ufahamu wako kaka

  • @matiankomola2391
    @matiankomola2391 Рік тому

    Eh! Huyu Mke ana Thamani Gani kwako.Huyu hayuko Tayari kuishi na wewe, Thamani yake ebu. Utujuze hata ushindwe kuachana naye. Mwanao kwa ajili ya Mali au umethibisha kwa vipimo. SAHAU

  • @aishamnamba1064
    @aishamnamba1064 Рік тому

    iyo aibu sana ndy mana anaona aya kupokea at pesa ila mi pesa at sikati

  • @allytindigwa9831
    @allytindigwa9831 Рік тому

    ilitatizo ni la mwanamume'kutoshirikisha familia yake ktk ndoa yake.kwa kutumia sana pesa zake.kwa kujifahalisha kwa wake zake......

  • @marthasamburu6330
    @marthasamburu6330 Рік тому

    Du kaka njoo unioe mm,

  • @FM-xi3on
    @FM-xi3on Рік тому

    Sifa mojawapo ya mwanaume ni msimamo wee baba huna msimamo yanayokukuta yote unastahili

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 Рік тому

    Sasa baba wewe huna shida lolote ,kama mke wako hataki muache. Wakiona mtoto anaitaki msaada watakujilisha. Sasa jamani wanataka ufanye nini.. Unampenda mke wako lakini wandungu ndo wabaya. Wamemuozesha kwa mme mwengine. Wewe powa tuuu

  • @elizabethbwakila8567
    @elizabethbwakila8567 Рік тому +2

    Babu anatia huruma!!

  • @aristidesjustin7659
    @aristidesjustin7659 Рік тому

    We boya siendelei kusikiliza huo ufala

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Рік тому

    Wazazi walikataa asitumie sim walikua wanamfaham tabia zake za uhuni kupitia sim

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Рік тому +1

    N ww mwanamke ukiuliwa ndugu Zako wnanza kufunga uyo mume awajui km mtt wao ndo mkorofi

  • @gloryjohn4717
    @gloryjohn4717 Рік тому +1

    Hawezi kurudi huyo hakutaki acha kujipendekeza