MTOTO WA KICHINA ATELEKEZWA TANDALE MAKABURINI |WANANITENGA |SIMSAMEHI BABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 553

  • @rizikially9535
    @rizikially9535 Рік тому +42

    Dada mpende mwanao hiyo ni zawadi yko katoto kaziri mashaallh

    • @ziadamsongo2302
      @ziadamsongo2302 Рік тому +1

      dada mwanao mzuri sana lea mwanao pambana Acha kujidhalilisha tafuta kazi

    • @faithzamani1965
      @faithzamani1965 Рік тому

      ​@@ziadamsongo2302ndio nilipo choka hapo dada mzima wa Afya ana mikono na miguu anashindwa kufanya kazi hata kwa mama ntilie jamani kila kitu sio cha kutia huruma

  • @doricewairanga6805
    @doricewairanga6805 Рік тому +2

    Mbona Hana Rangi ya kichina huyu jamani na Mungu ambariki sana kwa kumuombea mama yake ila naamini Mungu habagui ameanza kujibu na atajibu zaidi

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 Рік тому +38

    Mtoto mzur MashaAllah❤

  • @mercyoda511
    @mercyoda511 Рік тому +11

    Kaka zahir hongera sana na pole. Naomba uende mpaka shuleni anaposoma uyo mtoto. Kama anasukumwa darasani! Walimu wanachukua hatua gani? Sababu uyo bado mtoto.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 Рік тому +37

    Nimeumia mnoo kama mzazi na nina watoto Mixer pia😢😢,huyu mtoto kaniliza ,Mungu atusaidie watoto wetu wasibaguane kabisa.inaleta simanzi sana,asante zahiri kwa kutuletea habari nzuri kama hizi

    • @priscarkasitu8101
      @priscarkasitu8101 Рік тому +2

      Hadi anatamani kuwa kawaida duuh.awe kama wengine.watoto wa shule yake waonywe jamani

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 Рік тому

      Allahumma ameen yaarab

    • @evalenad6256
      @evalenad6256 Рік тому

      HUKU ULAYA KWENYEWE WANATUBAGULIA WATOTO WETU HAWA WAKIMIX 😢

    • @farzanakhan7969
      @farzanakhan7969 Рік тому

      It's so sad mtt analia. Nipatie please kama utakubali. Ntamlea

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Рік тому +4

    Pole dogo..,,halaf kaka hili swala la maboresho hyo shule uchukuliwe hatua haraka sana hao walim ni wezi.vipindi vyao hawafundishi,wanakaba watoto walipwe mia tatu.wizi huu hatuutakki.maboresho Gani.

  • @taussumwa152
    @taussumwa152 Рік тому +4

    Uyu mama angejitahidi sana kumwambia mtoto yeye ni wa thamani sana na ni mzuri ili asiwe anajisikia vibaya na maneno ya wenzie shule 😢she’s very beautiful ❤❤

    • @linetkageni9096
      @linetkageni9096 Рік тому

      Ata hao wanafunzi wanamuonea wivu tu

    • @vumi8371
      @vumi8371 Рік тому

      @@linetkageni9096 ndio ni wivu tu kwa sababu ni mrembo

  • @zuwenazanzibar8269
    @zuwenazanzibar8269 Рік тому +1

    Jmn mtoto anaakili ya maisha huyu kaka zahiri usiwache hivihivi hlf katoto ni kazuli mashaallah❤❤

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 Рік тому +1

    Pole sana Mama Sikeiei Shi,Wewe na binti yako hamna hatia....hayo ni mapito tu katika maisha, yatapita.Hao wanafunzi wenzake wanamnyima raha mwenzao...hebu waache roho mbaya na chuki binafsi..,wamwache Arafa asome kwa amani na kuyafurahia maisha kama wao🎉

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 Рік тому +4

    Pole sana our daughter wewe nimtanzania halisi kabisa umezaliwa tanzania namaishayako tanzania usilie Binti yetu utakua tu ipo siku utakua poa wallah ningekua nauwezo mkuu ningemsaidia uyu mtoto kabisa

  • @kulthumfebruary3571
    @kulthumfebruary3571 Рік тому +9

    inshallah amen mungu awafungulie milango ya baraka mamako atapata kazi🙏🙏

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Рік тому +4

    Dah hongera mtangazaji inshaallah ALLAH akulipe malipo mema duniani na akhera hakika utakapo mhurumiya mtoto na ALLAH atakuhirumiya

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق Рік тому +24

    Mtoto mzuli Masha Allah 💞💞

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому +3

    Ila kazuri masha'allah... Allah ataleta wepesi ktk hili ...usilie ..mwanetu

  • @doricewairanga6805
    @doricewairanga6805 Рік тому +3

    Mtangazaji Mungu akubariki sana kwa kazi Yako endelea kuangalia wanaonyanyasika ni wengi sana

  • @elinapouljensen9244
    @elinapouljensen9244 Рік тому +1

    Mama hujapaswa kufanya ivi unamuathiri mtoto kisaikolojia pili hii itaonekana miaka yote vipi akikua akajikuta hayupo tena kwenye situation hii ya maisha si atajisikia vibaya Sana na kujutia kwanini alihojiwaga kwenye mitandao, sijapenda Kwa Kweli wanawake wanaolea watoto peke yao ni wengi Mbona wewe mmoja Unashindwa Kukaza moyo ukafanya kazi ata baa ukamlea mwanao, izo changamoto Mbona ni za kawaida zinawapata wengi kuliko kumjengea mtoto wako future ya kumdhalilisha ivi

  • @zoab2699
    @zoab2699 Рік тому +14

    Mashallah sweet baby kazuri katoto jamani 😭😍😘

  • @زينبعليعبدالله-ز3س

    Mashaallah nilijua muethiopian Mbona rangi yake ni Africans tu❤

  • @dogohassan9989
    @dogohassan9989 Рік тому +5

    Pole Sana mtoto mzuri na mungu atawafungulia Maisha mzr ww na mama yako

  • @happypeter-uu7gn
    @happypeter-uu7gn Рік тому +1

    We dada tafuta kazi lea mtoto kazi yoyote ile wala usichague mwanao mkubwa sna wacha kumpa mtoto maisha yasio na amani tafakali sana tafuta kazi

  • @asiaq1938
    @asiaq1938 Рік тому +12

    Hongera Sasa Zahir kwa moyo uliyokuwanao, ila huyu mtoto kanifanya nimwage machozi kwakweli

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 Рік тому +6

    Masha ALLAH pole Sana katoto kazur . Ila hiyo rangi c mweupe kiviile ni wa kawaida tu labda hizo nywele tu na wanatabia mbaya wabadirike

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 Рік тому +5

    Allah akufanyie wepesi sana ARafa pamoja na mama yako pole sana hakika huyu mtoto ameniliza sana insulator sana tu pole sana jaameni

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Рік тому +1

    Wanakuonea donge hao MashaAllah kazuriiiiii

  • @Ali-gk5mv
    @Ali-gk5mv Рік тому

    karembo mashaAllah...Allah atawezesha

  • @alaikamyale784
    @alaikamyale784 Рік тому +12

    Mwanangu usilie wewe ni mrembo sn wanakuonea wivu, hata mm nimekupenda buureee wewe ni mzuriiii.

  • @MaryMswadiko-t8u
    @MaryMswadiko-t8u Рік тому +1

    Dada pambana mwanamke umlee mwanao mbona weupe halio naoniwakaida Sana nauwezi kujua kama nimchina kiukweli nimzuri dada una mtoto mzuri Sana mlehe Mimi ninalea mwanangu menyewe dada Fanya kazi uza hata ndizi kichwani humtunze mwanao uyo ndo kiongozi wakesho

  • @aminamohamed-uf6qe
    @aminamohamed-uf6qe Рік тому +11

    Masha Allah she’s so cute 🥰 mungu akulinde na atakuepusha na mabaya yote …. Wewe ni bora soma mama uje umsaidie mama yako usisikilze mtu yeyote mamy

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 Рік тому +9

    Mashaallah mtoto mzuri .pole kwa manyanyaso

  • @ShaniShebila
    @ShaniShebila Рік тому

    Aki nimetoa machozi sana kuona hii video mungu akubariki mwanangu

  • @shamzone388
    @shamzone388 Рік тому +10

    Mash allah. Bint mzuri sana...
    Bora ambadilishe jina na abadilishe mahali pakukaa
    Atafurahiya maisha yao

    • @asiaq1938
      @asiaq1938 Рік тому

      Huyu mtoto anamajina mawili la kitanzania na lakichina Sema shule angemuandikisha Jina la kitanzania asingejulikana

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Рік тому +2

    Dah pole dada napole mtoto mzuri usiliye MUNGU ndiye mlezi wetu inshaallah zaidi ALLAH tumwombe atatusaidiya

  • @atuganilekitego8616
    @atuganilekitego8616 Рік тому +1

    Ooooh I feel for you baby girl, God bless you with your mom

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 Рік тому +9

    Mtoto mzuri mashallah 🤲🤲

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 Рік тому +11

    Jamani katoto kazuri sana mungu hakukuze vyema mtoto 🥰🥰🥰🥰

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 Рік тому +6

    😢baby girl you are so pretty princess ,they bullying you just because they're jealous of you mama, I mean just look at yourself honey you are better than them 😊una akili sana na unahuruma na mama Allah akulinde akukuze vyema utimize ndoto zako uje kuwa daktar mkubwa naamini haya yanaishi na utakuja kusoma hii comment sikumoja nataka tu ujue Allah loves you imani uliyonayo sasa ukue nayo mpaka ukubwani na usimuache mamako

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 Рік тому +2

    Alafu mzuriii sana bonge la toto

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Рік тому +6

    Pole kwa mtoto kwa jinsi anavyobaguliwa, wanafunzi acheni ubaguzi, mtoto nyamaza ila mama fanya kazi ili utunze mtoto wako. China huyo mtoto hawezi kwenda huyo ni Mtanzania mwenzetu.

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Рік тому +9

    Ukiona mtoto mdogo alia hivi ujue Kuna manyanyaso mengi anaofanyiwa 😭😭😭amenikumbusha mbali nilipotoka na wanangu tulikua tunaitwa wa masikini

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Рік тому +19

    Subhanaallah usilie kwakweli pia sisi tulipitia hayo Masikini tuliitwa waarabu koko lakini ilipita mwenyezi mungu atakujalia kila lakheli yatakwishwa hayo yote 💔💔💔💔 yaarabi 😢😢😢

    • @aminaabdalla9949
      @aminaabdalla9949 Рік тому

      Umenikumbusha mbali tukiwa shule tukiitwa hivyowarabukoko😅😅😅

    • @salmaalrawahy3326
      @salmaalrawahy3326 Рік тому +2

      Tupo wengi kumbe waarabu Koko au shombe shombe

    • @aishatanzania597
      @aishatanzania597 Рік тому

      Jamn nimeumia sana😢😢

    • @sarahadam4535
      @sarahadam4535 Рік тому

      Umenikumbusha mbali niliwahi kwenda stoo ya mkaa nyumbani nikitamani kujipaka masizi ili nifanane na wenzangu😅

    • @mwanashagladys4581
      @mwanashagladys4581 Рік тому

      @@sarahadam4535 pole

  • @nyandwiniyera5535
    @nyandwiniyera5535 Рік тому +3

    mashallah ka toto kazuri saana ila wata tz muna roho mbaya kweli kwann muna bangua mtoto dah 💔😭😭😭pole mtoto mzuri

  • @Shemtoi-vq3fd
    @Shemtoi-vq3fd 5 місяців тому

    Usikate tamaa Mimi ni kama wewe na wewe ni rafiki yangu angalau ningepata naimba zako nikawa nakusalimia mashaalaa alla atawajaali subra iweko mbele inshaalah

  • @zuhurayassini2714
    @zuhurayassini2714 Рік тому +5

    Mashaallah mtoto mzur waache kumsema uyu badae atakuwa kiboko yao

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj Рік тому +2

    Mashaallah mzur thana❤❤usilie piah uweupe niwakawaida ilaa wanamuonea wivu nywelee zako

  • @HafadhHamad-og3um
    @HafadhHamad-og3um Рік тому

    pole sana dada mlee huyo mtoto kwani ndo mkombozi wa maisha yenu baadae mungu akutangulie dada

  • @khadjaiddlis283
    @khadjaiddlis283 Рік тому +5

    Mashaallah mtoto mzuri

  • @aminaally984
    @aminaally984 Рік тому +1

    Roho imeniuma wallahi mpk nimelia mungu yaarabi tulokuwa maskini tumadhalilika sn

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Рік тому +4

    Nampenda zahiri anamoyo mzuri ubarikiwe kwa kumpa hela mtoto 🤲😘

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Рік тому +6

    Pole mtoto bora mama yupo japo mnateseka maisha nihivo tu hata wenye baba zao hawasaidiki na chochote wengi wao ni ss wamama tunapambania watoto wetu 😢

  • @emmylizzo8220
    @emmylizzo8220 Рік тому +16

    Mtoto mzur na anajua kujieleza

  • @khayratmhina3735
    @khayratmhina3735 Рік тому +5

    Huyo mtoto wamemkaririsha kujiona sio wa kawaida, kwenye hayo,hayo mazingira anayoishi... kwenye tz haijafikia hatua hiyo sisi tumesoma ma adi watoto wakihindi.. shule ya kayumba na walikua maisha ya kwaia2 na tulikua tunawashobokea.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому

      Mimi nimesoma na wahindi na waarabu tele. Na hatujabaguana

  • @umumohamed8032
    @umumohamed8032 Рік тому +4

    Mdogo wngu pole sanaa😢 hao Wana roho mbaya Sanaa na pia Wana kuonea wivu Sanaa 😢😢

  • @Rahmajohn-ix3lh
    @Rahmajohn-ix3lh Рік тому

    Sio vizuri jaman

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +13

    Maskini 😢 Pole mtoto mzuri dah 😭 anapitia magumu mtoto mdogo
    yani sikuhizi skuli zinarudisha nyuma kwa kweli wakati wao ndio wawewale wa watoto ndio kwanza wamekua mstari wa mbele kukandamiza wanafunzi😢 .

  • @hazinasoud2076
    @hazinasoud2076 Рік тому +6

    Mtoto mzuri mashaallah mm nakuomb usimskiliz yeyote endelea na masm hawo ni mashawish tu nakupend sana ❤

  • @dullyyesu9036
    @dullyyesu9036 Рік тому +2

    daaaah nimecheka kama mazuri wallah bongo mtoto anajua mpaka kuchambwa pole dada

  • @Mashkuramuhidini
    @Mashkuramuhidini 5 місяців тому

    Assalaamu A'laykum warahmatullaahi wabarakatuh mtoto pole Allaah atawafanyia wepesi In shaa Allaah pia msamehe baba yako kwa sababu ni mzazi wako na huwezi jua ni nini kilimsibu mpaka hakutafuti huenda mambo yatakuja kubadilika Biidhnillaah

  • @majomamajoma8776
    @majomamajoma8776 Рік тому +5

    Pole mwanangu na Mimi ninae mrembo lkn wangu mkorofi hakubali kuonewa na nywele mashallah ila wangu anavaa ushungi

    • @nameno8608
      @nameno8608 Рік тому

      Hongera kwa kuwa na mtoto mzuri

    • @majomamajoma8776
      @majomamajoma8776 Рік тому

      @@nameno8608 Asante nampenda sana lkn baba ake pia alimkataa akasema nimezaa na waarabu

    • @LuluMchora
      @LuluMchora Рік тому

      Wanamuonea wivu mtoto mzuri kikubwa wahame hapo tandale

  • @praxedyMaina-vg2sy
    @praxedyMaina-vg2sy Рік тому

    Daaaah poleni Sana

  • @liramindisland24
    @liramindisland24 Рік тому +1

    Mm niwe na mtoto mrembo hivi alafu nijute😂Noooooo way siwez abadani❤katoto mashallah ...pole jamani

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Рік тому +3

    Manshallaah Yuko na akili kweli mungu amfungulie

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Рік тому +11

    Mtoto anampenda mama yake sana. Mpaka anafunga kwa ajili yake. Eee Mwenyezi Mungu mfanyie wepesi huyu mama ili mwanae afurahi. Na uwabariki wote pamoja na Kaka Zahir

  • @zainabuhamisi576
    @zainabuhamisi576 Рік тому +1

    Safi Sana muhandishi

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Рік тому

    Namuombea Dua mungu amjalie apate msamaria mwema amsaidie apate kumuhamisha hio shule na kingine hawezi kufaulu vizuri kwenye shule kwasababu ya manyanyaso

  • @esterpaul3146
    @esterpaul3146 Рік тому

    Mtt mrembo nimempenda sana

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Рік тому +12

    cute baby mashallah, muanini Mungu kila kitu kitakaa sawa, usijali kutokua na baba wengine hawana hata mzazi mmoja, km mama mpe mtoto furaha hayo maisha yatapita tu tunawaombea kila la heri, katoto kizuri km.mzazi.muelimishe mtoto apende shule zaidi, hayo ni mapito tu❤😂

    • @hadijamhezi
      @hadijamhezi Рік тому

      Jamanii nalia adi nimeshindwa kujizuia

  • @nahiriali1405
    @nahiriali1405 Рік тому +6

    Masha Allah nikazuri mnoo pia mbona haonyeshi kama mchina mbona kuna watoto wengi tu wakimasikini na niweupe kwelikweli hakuna shida yoyote

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 Рік тому

    Jamani pole sana mwanangu dah

  • @noorrajpar3928
    @noorrajpar3928 Рік тому +15

    Mtoto mzuri watoto wanaokuchamba wanakuonea donge tu pumbavu zao 😅😅😅

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 Рік тому +3

    Waoooooo cuteeeeee 🥰❤️🥰 girl,mpende sana mama Yako,na MUNGU AWATUNZE JAMANI.

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w Рік тому +1

    Mashallah she is beautiful baby girl

  • @arafaoman9504
    @arafaoman9504 Рік тому +4

    masikinii pole kipenz chang wajin wangu pia we mzuri San mwanangu

  • @hanifukuzenza5686
    @hanifukuzenza5686 Рік тому

    Jamani mtoto mzuri sura nzuri kwa nini anyanyasike hivi Allah muangalie kwa jicho LA huruma

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 Рік тому

    Pole sana arafa utapata mahitaji yako mwanangu na wala usilie futa Machozi na hao wanaokusema waambie ni wivu tu wewe mrembo

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Рік тому +2

    Mashallah kazur nimekapenda❤

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 Рік тому +3

    Pole mtoto mzuri ❤❤kwa maumivu unayoyapitia

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 Рік тому +1

    Kanasikitisha jmn! Dah! Poleni sn allah awafanyie wepesi

  • @zuuomar4657
    @zuuomar4657 Рік тому +36

    Bullying mbaya sana huyo mama angelihama hapo; mtoto itazidi kumuaharifu kisaikologia wivu na chuki tuu😢

    • @shehaswalehagilagil2343
      @shehaswalehagilagil2343 Рік тому +1

      Aniliza maskin anaongea km mwanangu usijali dada hata sisi tume tekelezwa na watoto 2 nikamua kuja saudia but mungu ata kukuza mtoto mzuri ndio maisha mababa sikuhizi Wana tuachia sisi watoto lakin mungu ana ona kilakitu 😂😅

    • @Humble.....
      @Humble..... Рік тому +1

      Zuleikha Omar 😢😢😢😢

  • @khadijasaid5461
    @khadijasaid5461 Рік тому +2

    Anampenda sana mama ake

  • @scheffertomar2069
    @scheffertomar2069 Рік тому +23

    Kwa kweli huyu mama na mwanae wateseka sana . Nipeni anuani.niwachue hii familia.

    • @shuwanaliloka3816
      @shuwanaliloka3816 Рік тому +1

      Chukua no zao hapo uwasaidie InshaAllah Mungu atakusaidia.

    • @QueenAyoub-mf6ns
      @QueenAyoub-mf6ns Рік тому

      Nalia mimi CNA jinnsi sema mimi CNA ela kidogo changu ntatoa

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 Рік тому +1

    Pole mtoto mzuri

  • @shu-r3r
    @shu-r3r Рік тому

    maskini m mungu atakuruzuku utasoma utafanya kazi utamsaidia mama jitahidi

  • @zaramunir8238
    @zaramunir8238 Рік тому +1

    Mashaaallah cute and clever 🎉

  • @jescalaurent3183
    @jescalaurent3183 Рік тому +10

    We mama tunaomba umbadilishe jina uyo mtoto, uyo ni mtanzania ilo jina ulio mpa linachangi.

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому +1

    NASEMAJE NASEMAJE....WATANZANIA ..TUACHENI IZI TABIA ZA UBAGIZI WA RANGI SISI WOTE NI WAMOJA NA ALOTUUMBA NI MMOJA...TUACHE MARA MOJA HII TABIA.🙏✍️

  • @tato8979
    @tato8979 Рік тому +4

    😢😢😢pole sana mtoto mzuri

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 Рік тому +16

    vinamuonea wivu 😢 Pole mtoto mzr

  • @queenbhanji4152
    @queenbhanji4152 Рік тому +6

    Kauli ya namfungia mama angu ili apate maisha mazuri imenitoa machozi 😢😢

  • @mrsab303
    @mrsab303 Рік тому +2

    So sad InshaAllah Allah make easy for you InshaAllah ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +11

    Mtoto bado mdogo na hafahamu chochote hakuna mtu atambagua huyo zaidi yakumuonea wivu kwajinsi yake alivyo na akijakujitambua yeye ndiye atamua kuwabagua wenzake kwamaringo au lah lakini mimi sioni ubaguzi katika huyo mtoto, my kid is half Chinese she's very beautiful

  • @sakinahussein-ns4vu
    @sakinahussein-ns4vu Рік тому

    mashalaah kazuri.halafu mbona hakana ht sura yakichina kana macho ya mama ake makubwa ,yaani hakana sura yakichina kbs.huyu mama nae anashindwa kupambana kwa ajili yamtoto wake tena mmoja .anasababisha mtoto ananyanyasika hivyo .tena mtt moja tee sisi tulioachiwa 3 nabado tunapambana hatulii shida.daaaaah

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb 3 місяці тому

    Yani katoto kazuriii mashalaaaaa natamani angekuwa wangu mzuri mwaaaa

  • @shamilamo9159
    @shamilamo9159 Рік тому

    Pole Sana mwanangu

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +1

    😢😢ila huyu mtoto mashallah mzuri 😢😢

    • @neemamakau5643
      @neemamakau5643 Рік тому

      Wanakuoneya wivu hao wewe ni mtoto mzuri Sana hayo yatapita tu

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 Рік тому +4

    Yaani mtoto alivyoongelea tebo kanikumbusha enzi za shule kukremu😍😍

  • @dianagokaldas2773
    @dianagokaldas2773 Рік тому +3

    Mungu awasaidie wamama wote waliotelekezwa na wazazi wenzao🙏

  • @RahmaAlly-r6x
    @RahmaAlly-r6x 2 місяці тому

    Mhhh nimejikuta nalia mie'mungu msaidie uyu MTT 'mama MTT atakuinuwa uyu'naamini

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому +5

    ETI maliza kwanza ndio utalia ,mama kama hawa kukimbilia watu hovyo hovyo ,siajabu mchina mwenyewe kwao ni mfungwa unampa Mtoto tabu tuu,kinachofuata unamwathiri Mtoto kisaikolojia

  • @devothakwesiga4025
    @devothakwesiga4025 Рік тому

    Duh pole mnooo

  • @fatumamonero6088
    @fatumamonero6088 Рік тому

    Pole mtoto