Majina ya aisha ni balaa..mm namuelewa isha..anataka mtu mwenye kueleweka .anawivu.hataki mrukaji hovyo .ndivyo mm nilivyo..anaumia sana halafu ss kina aisha kitu kikikaa rohoni kutoka ni kazi
I love this woman Isha,and understands her well,Ma dear sister if he regretted after what happened and asks for your forgiveness ,please forgive him am sure he will change whatever happened.No one is perfect but if he will do it again then there will never be forgiveness there.
Kiwqngp cha hasira ya Isha ndio mara 2 ya upendo alonao kwa huyo mwanaume, anampenda sana mpaka kufika hapo moyo kuchoka ni mlimbikizo wa makosa! Ila Isha bado samehe! Hakuna mkamilifu
Dida ana sauti nzuri ya kutangaza yani utangazaji, na sauti ya mahaba iliyojaa mapenzi tele, halafu anajua kuomba msamaha kimahaba na kushawishi wapenzi wasameheane, Nakupenda Dida wangu long time. Naomba Isha umsamehe mpenzi wako. Akirudia tena ndiyo udimsamehe tena. Lakini kwa kosa hili moja Msamehe bwana.
Mi ni mkenya lakini nakwabia isha msamee waume awaombi msamaa msameeh nakwabia kwa sasa atakua wako pekeako atakuesjimu kuliko kutafuta meegine akutende tena😊
Nimeelewa point ya qwanini uluhusu mtu quongea zaidi na wewe y usiblock inamaana unampango wowote juu ya huyo mtu ,, vzr sana iqitoqea amesamehewa anataqiwa qujifunza
Dida bwana kajisemea Doto Magari mahusiano yako kila leo unayavunja lkn ya wenzio ww ndy msuluhishaji tena mnaikaribisha Zinaa kabisa kwakuiombea msamaha Astaghafilullah Mungu tuhurumie waja wako tunaangamia kwakukosa maarifa
Wanawake waongo sana yani wanaume wote waliomtaka kawakataa. Lol wanafanya halafu wanajificha ila akikufumania atapigia simu ndugu wote mpaka dunia yote ijue. Mwanaume ukipata chance ya kucheat hata usiiachie. Utakuja kujuta
Sijaona tatizo.kubwa hapo kuachana kiivyo.,kwanza hakuna mwanume.mkamilifu pia hata wewe da aisha una mapubgufuy ako.utamaliza wanaume.,kungwi gan.sasa hauna subra😅
Nimemuelewa Isha....she is straight and mature...too bad alidate na Gen Z🔥🔥.....I approve her decision.
So do I, approved 😂
Majina ya aisha ni balaa..mm namuelewa isha..anataka mtu mwenye kueleweka .anawivu.hataki mrukaji hovyo .ndivyo mm nilivyo..anaumia sana halafu ss kina aisha kitu kikikaa rohoni kutoka ni kazi
I love this woman Isha,and understands her well,Ma dear sister if he regretted after what happened and asks for your forgiveness ,please forgive him am sure he will change whatever happened.No one is perfect but if he will do it again then there will never be forgiveness there.
Kiwqngp cha hasira ya Isha ndio mara 2 ya upendo alonao kwa huyo mwanaume, anampenda sana mpaka kufika hapo moyo kuchoka ni mlimbikizo wa makosa! Ila Isha bado samehe! Hakuna mkamilifu
Isha namuelewa sana ❤
Dida ana sauti nzuri ya kutangaza yani utangazaji, na sauti ya mahaba iliyojaa mapenzi tele, halafu anajua kuomba msamaha kimahaba na kushawishi wapenzi wasameheane, Nakupenda Dida wangu long time. Naomba Isha umsamehe mpenzi wako. Akirudia tena ndiyo udimsamehe tena. Lakini kwa kosa hili moja Msamehe bwana.
Msamehee😢😢😢 dada isha msamehee nime lia jamani kusikia sauti ya huruma msamehe dada
Dada isha msamehee bn mlipendezana sanaaa
Mi ni mkenya lakini nakwabia isha msamee waume awaombi msamaa msameeh nakwabia kwa sasa atakua wako pekeako atakuesjimu kuliko kutafuta meegine akutende tena😊
Isha,msamee.ila fuaten utaratbu mfnge ndoa.uyu kjana alkua anatest km atakbluza yaan utababaika nae .ilo nifundsho kw wanaume wote,heshmun wanawake.km pesa kla mtu anajuakutafuta.ishah msamee saaaana huyu kjana.
Aisha anaogea vizuri jamaa tapeli aishacwewe muimbaji maarufu na mzuri sanaaa achana na tapeli
Kijana mdogo mshangazi umemchanganya dida
Aisha nakupenda sana mamii
Isha me nakuelewa sana tu ila mswamehe tu kipenzi kila mwanadamu hajatimia
Mtihani Isha macho yameona wengi lakini hayakuamuwa mm kumpenda yy kipo kilo mvutia msamehe Isha mkaka wa faida huyo
Ila kijana ulikubali kula bure ungefuata tu mashart ya mshangazi
Nimependa aziza
Dada msamehee sasa 😢😢 tu akirudia tu tuta muacha 😢😢
Kina aziza mashallah tumeumbika
Ishaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hyo kaka mstaarabu kuomba msamaha wenzio wanafurahia mmeachana
Isha msamehe😢
Somo gani unaanika mambo hadharani
Nimeelewa point ya qwanini uluhusu mtu quongea zaidi na wewe y usiblock inamaana unampango wowote juu ya huyo mtu ,, vzr sana iqitoqea amesamehewa anataqiwa qujifunza
Do sorry me tz ndio nchi pekee wanajiona kuweza kuongea broken English 😢😂🤣🤣🤣
ww aisha unajikuta nani mkak wwatu asiche na mtu ww chupi limekubana khaaa km umemzaaa www mh hata hunogi
Kila mtu Ana mipaka yake
Isha msamehe kaka
Isha anafunda maharusi lakini
Jipeni muda tu, mambo yatakaa sw, kila mmoja wenu anampenda mwenzake...
Isha kagoma kuzeeka😂❤
Huyu Aziza, Diamond asimuone
Aisha anatakiwa kupendwa sio kupigwa wala kuguswa ni kupendwa baas
Isha wivuuu tu bn msamehee
Isha msamehe hakuna mkamillifu
Yaleyale ya Shishi,Vijana tafuteni hela msipende mtelemko,Dar to Mbeya kuna mlima kitonga
Huwa nashangaa dida anavoshadadia mahusiano ya watu wakati yy kila cku anaachika
Don't sorry me😂😂😂😂😂😂
Dada isha msamehe shemeji please mimi namuombea msamaha
Mkurya yule 😅😅😅😅😅😅 tempa ipo juu
Dida bwana kajisemea Doto Magari mahusiano yako kila leo unayavunja lkn ya wenzio ww ndy msuluhishaji tena mnaikaribisha Zinaa kabisa kwakuiombea msamaha Astaghafilullah Mungu tuhurumie waja wako tunaangamia kwakukosa maarifa
Asha mwanangu nakuombauridiyane nae tena kashatiya adabu
Mabango block hao wote wanaokutafuta wanataka kukuaribia tuu,kama unampebda isha kaa nae yeye tuuuuuuuuuu
Msamehe bwanaa kutenda kosa sio kosa da isha 😂😂😂
jike la simba ww akuwezi mwanaume yoyote
Do sorry me 😂😂😂nimecheka
Lidada lizuri hili
Ira da dida heti Aisha unaitwa baby😂😂
Usimsamehe kwanza mnyooshe ashike adabu
Msamehe jmn
Jamn mapenz hay mmmh ila mabango anatia huruma sana msamehe bhan
Wanawake waongo sana yani wanaume wote waliomtaka kawakataa. Lol wanafanya halafu wanajificha ila akikufumania atapigia simu ndugu wote mpaka dunia yote ijue. Mwanaume ukipata chance ya kucheat hata usiiachie. Utakuja kujuta
Nyoko ww ungesema baadhi ya wanawake cyo wanawake waongo kwa hyo hata mama yako anaingia kwenye huo mkumbo
😅😅
Ww aisha unajikuta nani mkak wwatu asiche na
Www mh hata hunogi
Adi natamaniii kuliaaaa ishaaa
😂😂😂ebu msamehe hakuna mkamilifu basi alikuwa anatafuta sababu tu
Sijaona tatizo.kubwa hapo kuachana kiivyo.,kwanza hakuna mwanume.mkamilifu pia hata wewe da aisha una mapubgufuy ako.utamaliza wanaume.,kungwi gan.sasa hauna subra😅
Lakin si amesema kua sababu sio hio tu? Aisha ana mengi ya moyoni😢
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Subiri malaika toka mbinguni
😂😂😂😂😂😂😂😂😂sema wakenya MUNGU tu
😅😂😂😂😂😂Mbona roja anakondraaa??
piga kazi acha umarioo kuma ww wanawake wengi
Mabango kama aisha amekusaidia kipesa mrudishie pesa zake
😂😂😂😂😂we kuwez
Anavyojishaua huyo isha utasema ana tako😂
😂😂😂😂😂😂
Weye mwenye tako tukuone upendwe kama ndo umeona kigezo 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nmecheka bwana mabango alivyotua mjengoni🤣
Don't sorry me is ha
😅😂😂😂Mbona rojakisi anakondraaa??
mtu ww chupi limekubana khaaa km umemzaaa
Mabango anarudi uyo usipate presha
😅😅😅 ila dida
Yaani wewe mimi kabsa
Mwanaume akirudi kachelewa ikamue uone kama ina machozi
Zengine haziishi machozi hata zikamuliwe mara 100
Mabango tulia anarudi uyo
Utapata mumewako wewe utapata inshaallah
Wapekee yako shoga mpaka unazeeka humpati labda baba ako wewe msamehe tu muyamalize
Yaani hilo ndilo la muhimu maana hawa ndugu zetu wamejawa na tamaa
Aiseee!!!!
Jamaa kapiga na magoti kabisa hadharani....
Umejidhalilìsha wewe binafsi, wanaume sote, na wazazi wako...
Ipo siku utatambua huu ufala ulioufanya leo....
Alafu kwnn unaforce mapenzi!!!!!!
We vp wewe...!!!!!???????
Stupid & weak....
Tafuta hela mabango
Kungwi yamemkuta
Dida na isha ni the sem😂
jamaa lazima apagawe unavyompa mkundu kiufundi na unamuhudumia
Ila jmn watu😂😂😂
Aise katika kitu sipendi kuingiza sehemu ya kutolea maviii aiseee
Isha msamehe😢