BIBI ASIMULIA MCHAWI ALIYEUWA WATOTO WAKE WA KUWAZAA 15 NA KUMLOGA MJUKUU HUYU |ZANZIBAR INATISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 357

  • @fathimauk4362
    @fathimauk4362 3 роки тому +5

    Hongeren sana kwa kufika Zanzibar yetu Allah atawasaidia ktk kazi zenu

  • @ziadakisanga1011
    @ziadakisanga1011 3 роки тому +4

    MashaAllah mtoto mzur Allah amfanyie wepes

  • @rukiasaidi3420
    @rukiasaidi3420 3 роки тому +8

    Mtoto mzuri mungu ampe kupona ishallah

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 роки тому

    mimi ni mkenya .kutoka Mombasa. ingawa kiswahili Cha huyu nyanya ni kigumu kidogo lakini nafahamu anavyoelezea. Allah atawaondolea matatizo. Inna llaha maa swabirin. mtoto MashaAllah ni mzuri. hassad imempata. mtegeemeeni Allah .

  • @thresherjordan6829
    @thresherjordan6829 3 роки тому +1

    Kha mungu atusimamieeeee kwakwel uchwiiiii upo jamn yan mpaka siku urogweeee dah inaumaaa polen jamn

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +3

    Binadamu tunapo herekea pepo tutaisikiatu. kama nikweli kazi ya binadamu hii wallah moto haki yetu .sikwakutesana uku.daah poleni na mitiani.Mungu atalipitishatu Inshaallah 🤲🤲🤲

  • @veronicaminja8458
    @veronicaminja8458 3 роки тому

    Msiamini sana uchawi muomben Mwenyez Mungu kwa Mungu hakuna kinachoshindikana Mungu awafanyia wepes🙏🙏

  • @mundhiraliy1307
    @mundhiraliy1307 3 роки тому +1

    Duh! Kiukweli haya mambo yakurogana yako kila sehemu lakini Pemba ndio kwao💯 Mimi nimpemba naninakupenda sana nyumbani. Musiziweke imani zenu sana kwenye mambo yashirkki👌Allah atakuondolea maradhi mtoto mzuri 🙏

  • @lucylucy3678
    @lucylucy3678 3 роки тому

    Zanzibar Kuna makubwa san kuna shida san kuna mambo y chinichin haswa maisha magumu san pole san mungu yupo

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 3 роки тому +3

    Zahir usipo angalia sasahivi na wewe utaingia matatizoni maana huo mwili mdogo wangu ukatae pata muda wa mazoezi upunguze mwili kazi yako inataka uwe active.

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 3 роки тому

    Zahir MashaAllah umefika znz Mungu akusimamie

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 3 роки тому

    Mashangazi Mashangazi pepo hamuioniiii kbs

  • @mtitagirloriginal9472
    @mtitagirloriginal9472 3 роки тому +5

    😁😁😁😁mi Napend vile wanaongea sichoki kusikiliza mpak nimesahau kama wanashid 😁😁 big up zahir and pole kwa kazi maan 😁😁

    • @shadiamuwadhi8717
      @shadiamuwadhi8717 3 роки тому

      😂😂😂😂😂 yani nawapenda sana sana hawa watu

    • @khdigahk4246
      @khdigahk4246 3 роки тому

      Kan kufa,, kanzezeta, kanchoka 😅😅😅bas buludani kumbe shida

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣zahiri leo kapatikana kiswahili kimemchanganya😂😂

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      kakubwa , nkeo , wasikia ,surae ushanifahamu, shangazie, siku aliye kumuita, wankimbilia 🤣🤣

    • @mtitagirloriginal9472
      @mtitagirloriginal9472 3 роки тому

      @@Mpakauseme 🤣🤣rah

  • @LatifaLatifa-qj8tz
    @LatifaLatifa-qj8tz 3 роки тому +9

    Kaka zahir lahaja yetu cjuw utaielewa mungu akusaidie tuu ila wazanzibar tumefurahi kukuoneni

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому

    Zanzibar kuna vifaa mashallah ila cc hasadi ndio inatumaliza

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 3 роки тому +5

    Wazanzibar wanaongea Sana.. Halafu wako faster kuelewa yan ata umkute bibi ila Mara nyingi wanajitambua. Huyo mtoto mzuri maskin dah

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 роки тому

      Poleni Sana a jamani mmmmh inaumiza sana

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 роки тому +2

    Zahir kiswahili cha kipemba najya vingine vinakupita tuu ALLAH awafanyie wapesi na mitihani ya dunia hii

    • @jamilasuleiman3627
      @jamilasuleiman3627 3 роки тому

      Zahir nakuja kukusaidiaa hahaaa kiswahili yaan anaongea km bibi yangu

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 3 роки тому +2

    Mungu amfanyiye uwepe l nshaallah atapona

  • @mariamfrnk1170
    @mariamfrnk1170 3 роки тому +1

    Mwambie mpeleke kwa mchungaji ROBERT TV mtoto hatapona kabisa san wa amini kwa jina la yesu kristo

    • @maryamkhamees6254
      @maryamkhamees6254 3 роки тому

      Kwasie waislam ningumu kufika sehemu hizo, kwani imani yetu inatufundisha kuwa mwenye kuponyesha ni Allah pekee, tofauti nanyie mnaoamini kupona kwa jina la yesu.

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 3 роки тому +5

    Ka zahr 😂😂😂sisikiii nacheka tu hapa kama mazuri Allah awafanyie wepesi wagonjwa wote inshallah

  • @lebaokinda6009
    @lebaokinda6009 3 роки тому +7

    Mtoto mzuri jamani mungu atamsaidia atapona🇰🇪🇧🇬

  • @roseurio2139
    @roseurio2139 3 роки тому

    Daaaa kiswahili kigumu sijashikanisha ila pole bibi Mungu akusimamie kaka Zahir naona unavyohang'i

  • @fanjafanja4022
    @fanjafanja4022 3 роки тому

    Kk zahri kuwa makin na awo wapemba maan adi naogop mwezio si wajua ninavyokupenda mwezio💓

    • @z.nalnabhani7194
      @z.nalnabhani7194 3 роки тому

      Unahashuo,umakini awenao kwakilamtu,siyo mpembatuu

  • @catherinekatuu423
    @catherinekatuu423 3 роки тому

    Poleni mama na wanao Mungu atawaponya.

  • @aishahamid3544
    @aishahamid3544 3 роки тому +8

    Wazazibar tunaamin Kwenye kurogwa tu saa nyengine ni maradhi tu

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 3 роки тому +1

      Hajakukuta yakija yakikukuta hutasema hivo

  • @سعيدالراشدي-ش9ص
    @سعيدالراشدي-ش9ص 2 роки тому

    Mungu awajaaliyee heri ktk kila jambo

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 роки тому

    Pole Sana Mtoto mzuri

  • @anitharobert2176
    @anitharobert2176 3 роки тому +1

    Kaka Zahir mm ushauri wng waende kanisan...... Mungu yupo atafanya njia

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому

      Hahahaaaa mungu hakai kanisani weee yupo moteee

    • @amriyalibent8441
      @amriyalibent8441 3 роки тому

      Kanisani hatufamu sisi

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 роки тому

      🤣🤣mpemba umpeleke kanisani si atakutupia jini lingine na lingine ili uende wewe kanisani 🤣🤣🤣

  • @mesajuma4843
    @mesajuma4843 3 роки тому +6

    Dooh binadamu wanamambo kweli yan umuumze mtu bla sababu kwa machaw yako mmmh Mungu atawalani wanao umiza wenzao🤲

  • @السيابيالسيابي-و6ح

    Huyo. Mtoto. Ni. Majini. Akasomewe. Tu. Rukiya. In. Sha allahu. Huweda atapota na. Huyo. Dada aenda. Kupima. Hilo. Tumbo. Lake. Maradhi. Yatajukana. In shaa allah. Ila imani. Zetu. Zipelekeni. Kwa. Allah. Achani. Na shiriki

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 3 роки тому +3

    Ungeenda tu kanisani na kukabidhi maisha yako kwa Yesu Bibi, huyo mchawi angeshindwa

    • @sumimarco933
      @sumimarco933 3 роки тому

      Amina Dada, YESU ndie mponyaji waende na upande wa pili kanisani watapona wote

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 3 роки тому +2

    Wallahi mtoto mzurimasha Allah hasadi hii jamani haya Allah ndie hakim wa haki

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 роки тому

    Subhannnalllah aaalllah amfanyiye wepesi

  • @nasrahkhamis747
    @nasrahkhamis747 3 роки тому +4

    Ampelek mnazimoja sehemu zaviungo wanafunza kuongea afanye mazowezi huyo kapata homa za degedege ya kupuputika inaasiri sana watoto kwenye ubongo asiweke zana mbaya amuamin Allah subra muhimu .Allah anakupima utashukur or utakufuru mtegemee Allah tuu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Wewe huoni kama huo ni uchawi kama hausiki basi ata picha hauoni

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 3 роки тому

      Umesema kwel na hospital nako wahangaike koteèeeee

  • @aishahamid3544
    @aishahamid3544 3 роки тому +6

    Zanzibar ni kwetu ila matatizo ni mingi

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 роки тому

      Mungu amponye jamani huyo mtoto

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 роки тому

    mungu atawasaidia family nzima hakuna gumu kwa Allah zahir na team maximam hongereni

  • @nellyrhn4349
    @nellyrhn4349 3 роки тому +2

    Tena anafanana bibi yake kabisa photocopy kwakweli jamani uswahilini mtiani

  • @naipendatanzania3248
    @naipendatanzania3248 3 роки тому +13

    ii sehemu ndogo lakn Kuna matukio ya kutisha sijui kwann awamuogipi Allah utafikili dunia wanakaa milele

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 3 роки тому +1

      We acha tu

    • @ireneassey753
      @ireneassey753 3 роки тому +1

      Yani hii unguja inamatukio acha kabisa best ni shidaaa

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 роки тому +1

      Na wamejifunika kwe ye mwamvuli wa dini na ubaguzi umewajaa

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому +1

      @Aziza Ochu Tena niwabaguzi Sana Mimi ndio maana sitakagi mazoea nao zaidi ya Salam tu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Kwani wabara si wabaguzi na washirikina? Ushirikina na ubaguzi upo kila pahala, kila kabila na kila dini msituchefue. Hao wenye tabia hzo wafuatilieni ni kina nani na wanatoka wapi? Na sio kila anaekubagueni au mshirikina kwa kua tu anakaa Unguja mkajumuuisha ni waznz wote.

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Ishauwalah mungu atawadaidiya hayo matatizo ishauwalah mungu yupo ataleta afuweni ishauwalah

  • @sharifasalum532
    @sharifasalum532 3 роки тому

    mungu atunusu na mimi mwanangu alishaumwa ugonjwa wa kukaamaa huku zanzabar madudu mengi lakini alipona hospital Alhamdullah lakini niliangaika sana huku huku

  • @mwigni2796
    @mwigni2796 3 роки тому

    Mungu akulinde na husda zahiri

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 3 роки тому

    Kaka Zahir usiondoke Zanzibar mpaka uchukue jiko in shaa Allah

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому

    in shaa Allah Allah Awsfanyie wepes 🤗🤗🇪🇭🇪🇭

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      kaka zahir kanichekesha🤣🤣🤣🤣🇪🇭🇪🇭

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 3 роки тому

    Zahir safar hii umepatikana haahahaha kiswahili kizito mie nasikiliza kwa makini

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 3 роки тому +1

    Maashaallah mtoto mzuli

  • @fatumajuma2518
    @fatumajuma2518 3 роки тому +3

    Subhallah

  • @mineaminea3151
    @mineaminea3151 3 роки тому +6

    Zahir siyo kwa kunenepa uko kaka

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 3 роки тому +3

    Leo ni kurogwa tu wa Zanzibar eeeh🙈

    • @jamilasuleiman3627
      @jamilasuleiman3627 3 роки тому

      Wazanzibar tunaamini kurongwa tuuu tunasahau km mungu yupo Allah afanye weepesi

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 роки тому

      @@jamilasuleiman3627 ila kwa kuswali hao swala nane

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 роки тому

    Kushakuja Zanzibar zahir utajuwa mengi kiswahili chetu ndy hivo tena

  • @jumamunga1414
    @jumamunga1414 3 роки тому

    Daah! yani bila kukosewa kawafanyia unyama namna hio.Allah ywashuhudia.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому

    Subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi duniani jamani pole sana 💔💔💔💔 binadamu uchawi unafaida gani kesho atasema

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 3 роки тому +2

    😆😆😆Zahir leo unapata tabu kufahamu😆

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому

    bibi kiswahili chako kizuri maashaallah

  • @timaosthman2304
    @timaosthman2304 3 роки тому +1

    Jamani mm sieliwe hicho kisawahili chake hata kidongo

  • @salmamansour3718
    @salmamansour3718 3 роки тому

    Kaka zaheer me ni mzanzbar khalisa kbasa kutoka pemba me linapokuja swala la ushirikina mara nying siliung mkono mtu anapoumwa hzo ni kadar za Allah kaka zaheer Allah humpima mja wake je ana subra? Ila sasa naona kila anaeumwa anasema karogwa
    Yarabby tuondolee iman potofu tusiamn moja kwa moja ushirikina but Allah ampe shifaaa mdogo wang apone awe sawa kabsa

  • @rastafare878
    @rastafare878 3 роки тому +1

    Kaka yangu huyo Bibi kasema 45000 Kwa mienzi mitatu , hivyo Kwa mwenzi mmoja ni sawa Na 15000

  • @khalossalim3723
    @khalossalim3723 3 роки тому +2

    Lkn uchawi upo jamani ukibisha bas ujue hayajakukuta

  • @MaryamMaryam-wp5yk
    @MaryamMaryam-wp5yk 3 роки тому

    Maskiini mtoto mazuuri MashaAllah
    Watu wabaaya
    Ila bibi nae alikiwa mreembo zamani alikiwa mooto

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому +2

    Zahir fanya kilichokupeleka maana naona matatizo mengi huko ni kwaajili ya ushirikina kama wanavyodai wenyewe mengine waachie wenyewe yakheee,usitake kujaji au kujua mengi yakhee,tafadhali yakhee 😉😁🇨🇭🇹🇿

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 3 роки тому

      Ya ushirikina ayaache lkn je ya kusaidiwa hali km hio chumba hawana pa kukaa pia huoni?mmh jamani kuweni na mioyo ya huruma basi.ww km huwezi kusaidia basi acha wenzio wasaidie....usitie mguu.duh kumbe waranzania hampendani kweli pooh.

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 3 роки тому

      @@shamsahaji6202 shamsa una lako jambo mpendwa sina la kukuambia bali kukushauri uwe unasoma msg kwa makini kabla hujajibu usikurupuke ku reply chukua time na kama hujaelewa vizuri basi rudia hata kama mara mbili mara tatu ,wapi nimesema wasisaidiwe mpendwa? Waweza nifahamisha?Tafadhali kuwa makini na kauli zako mumy karibu swiss nakualika uje utembee kidogo utoe stress ❤🇨🇭🇹🇿

  • @fatmaothmanally9416
    @fatmaothmanally9416 3 роки тому +2

    Sie twamuelewa vzr wapemba twajuana🤣🤣

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 3 роки тому +3

    nami. leo. nimewahi. wa. 3

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 3 роки тому +2

    Mbona zenji story zote za ushirikina subhanallah

    • @madinaomar679
      @madinaomar679 3 роки тому

      Na ubakaji

    • @amriyalibent8441
      @amriyalibent8441 3 роки тому

      Imejaaa uhasid

    • @fatumamuya3747
      @fatumamuya3747 3 роки тому

      Ushirikina kila sehemu upo ndugu sio zenji tu

    • @shameemrashid5219
      @shameemrashid5219 3 роки тому

      @@fatumamuya3747 ni kweli lkn katika waliohojiwa wote ushirikina upo kwa watu wa zanzibar fatilia vzr story zote zahir alizopost

    • @fatumamuya3747
      @fatumamuya3747 3 роки тому

      @@shameemrashid5219 Ni kweli dada nimefatilia wote wanaohojiwa wanataja uchawi.na Mimi sikumaanisha hakuna bali kuzidiana .Mimi mwenyewe bara nimemuuguza mama miezi miine haongei hatembei kila kitu anasaidiwa Ni uchawi tu lakini Sasa yupo vizuri tu anafanya kazi zake .

  • @awenasuleiman4519
    @awenasuleiman4519 3 роки тому

    Mtoto mzur jomon nimempend hatar mashallah

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +2

    Yani huyu bibi nimemuelewa vizuri kabisa, lkn zanji mbona kuna ushirikina hivyo

  • @lall2037
    @lall2037 3 роки тому +4

    Kuna mambo nako znz kk zahiri

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 роки тому

    Mhh Mambo ya uchawi tena MTU wifi yake pataneni ili mjukuu apone basi

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 3 роки тому

    Pole zahir kwa language ndio nyumbani.

  • @مريمحمد-و5م
    @مريمحمد-و5م 3 роки тому +1

    Kk dhahir ukitaka mm nitakutafsiria mm ni mpemba ila nimeishi dar siongei kipemba na kwa ss nipo dubei tunajituma huku

  • @apetrol5047
    @apetrol5047 3 роки тому +1

    wazanzibar jamani wanaamini Sana kulogwa

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому

      Huyu mtoto amerogwa uhakika haumwi sehemu yoyote mtoto na afya yake mzimaa tatizo nini

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 3 роки тому

    Lkn Zanzibar ataree yani sivo wanavo pigana mabomu nliona kisa chengine ktk zenji tv mtt anapokaa anawaka moto mara anaunguza vitu dah noma Zanzibar

  • @christsndushondi51
    @christsndushondi51 3 роки тому

    Huko Zanzibar nao wachawi jamani

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 роки тому +1

    Zanzibar ni nchi pekee yenye kiswahili fasaha,L inakaa sehemu yake,R inakaa sehemu yake

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Mama hayo ndiyo matupu kwa maisha ya sahivi mm mwenywe nishapingwa sana tu lakini mungu anisaidiya tu na mm mwenywe nangaika na dawa mwenywe watu wabaya dunia ndiyo hivyo

  • @ummulkurthumabeid2914
    @ummulkurthumabeid2914 3 роки тому +3

    Yaan nashindwa ht kukometi hii ndio zanji nyengine kopi ukiona kimnyaa ila mmabo yake yanatisha allah atufanyie wepes zenji yetu ila duh

    • @wahidasalim5070
      @wahidasalim5070 3 роки тому +1

      Umeona eee Zanzibar kuna vituko wala huzaniii

    • @ummulkurthumabeid2914
      @ummulkurthumabeid2914 3 роки тому +3

      @@wahidasalim5070 Wache azidi kutrmbea aone mambo ndio watu wana dina zenji duh

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому +2

      Kila pahala ubaya upo....wale albino na watt mnaowaua huko bara mnawafanya nn?

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому +1

      @@ummulkurthumabeid2914, Inaeza kua znz kuna ubaya mana tunajua jaamaa zetu wa huko haya mambo wanayapenda. Lkn na watu wa bara nao ni washirikina. Na naeza kusema mnafanana.

  • @مريمحمد-و5م
    @مريمحمد-و5م 3 роки тому

    Subhana lla

  • @RahmaRahma-xp9jr
    @RahmaRahma-xp9jr 3 роки тому +1

    Mtoto mzuli mungu Atamponya

  • @fatmah3388
    @fatmah3388 3 роки тому +2

    Nyiie nao mm mbona naelewa na mm mzaramu

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому

      Mimi nakaa nao huku Zanzibar Nina miaka 9 nawaelewa vizuri Sana

  • @abdulazizalqamshoaui8421
    @abdulazizalqamshoaui8421 3 роки тому +4

    watatu leo zahir leo umepatikan😁😁 hata minasikia tu lakin manen mengin siyaelewi

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 3 роки тому

    😂😂eehh Mwanangu usiniulize mwakaa ehh sijui sijui.. Yan kuna mgonjwa ila ukisikiliza inabid ucheke kidogo

  • @aminaamiri7684
    @aminaamiri7684 3 роки тому

    Zahr leo kipemba chakuchanganya

  • @arafakassela5398
    @arafakassela5398 3 роки тому +3

    Nacheka kama mazuri kaka zahiri kaa hukohuko ufaham

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      kiswahili cha kipemba mda mwingin waweza usielewe

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому

      Sisi wenyewe tupo sawa na bibi karibuni pemba

  • @bintyk5149
    @bintyk5149 3 роки тому +1

    Ila wapemba ao ndo wanazungumza ivo. Wameenda kuhamia zanzibar

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 роки тому

      Unguja sio zanzibar, zanzibar si yote na pemba? Au

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 3 роки тому

    Zahir leo kapatikana anajionea mapichapicha

  • @razikimustapha4731
    @razikimustapha4731 3 роки тому +3

    SUBHANA ALLAH MTIKHAAN

  • @السيابيالسيابي-و6ح
    @السيابيالسيابي-و6ح 3 роки тому +1

    Halafu. Huko. Uchawi. Umezidi. Shiriki. Imewazidi. Sana. Kikumbwa. Rudini. Sana. Kwa. Allahu

  • @binesiharun2228
    @binesiharun2228 3 роки тому

    Ndunia hii mtoto mzuri wafanya mtoto wa mwenzako zezeta kisa

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 роки тому

    WATU WANA ROHO MBAYA DAH SO SAD ILA MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI AHERA NI HESABU.

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 3 роки тому

    Zanzibar kunatisha sana kisiwa kimejaa majini hatari, jiangalie zahir usije ukarudi na moja au maweli ukatupiwa bure, huko kila mtu karogwa tu kulikoni? Sasa tiba za huko itakua sio hospital ila waganga haya itakuwaje? Si kazi hiyo mmh🤔

  • @kayulaedwin2587
    @kayulaedwin2587 3 роки тому +2

    Yaan niko makin kusikiliza hii story lkn siambulii kitu, Zahir leo umepatikana aisee!

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 роки тому +1

    Kama mtu unafahamu kiswahili chakuzungumza vizur basi lazima utamuelewa tu huyo bibi Bibi yetu hamda shida yeyote katika hilo

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 3 роки тому

    Kakangu mwenyewe Zahir...leo umewezekana naona unapitwa lugha

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +3

    Jamani ZNZ , inasikitisha imegeuka Nigeria

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 роки тому +2

      😫😫😫

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому +5

      @@lisahhans295 Tangu lini Yesu yeye mwenyewe binaadamu km sisi hana uwezo huo

    • @LatifaLatifa-qj8tz
      @LatifaLatifa-qj8tz 3 роки тому +3

      @@kiri5807 mamb ya yesu asiende kuwaambia wazanzibar hatuelewi km yesu mungu

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому +3

      @@LatifaLatifa-qj8tz Nashangaa hayo waislamu wa Tanganyika kutwa kwa Mwamposa

    • @LatifaLatifa-qj8tz
      @LatifaLatifa-qj8tz 3 роки тому +2

      @@kiri5807 ule mtihn mkubwaaa

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +4

    Nitakutafsiria ka zahir🤣🤣

  • @subiramohd1895
    @subiramohd1895 3 роки тому

    Sogea pana wachawi jamaniii heeee mimi nilihama

  • @fatmaali3554
    @fatmaali3554 3 роки тому +2

    Zahir tumewamiss mufike pemba maana kuna familia inahitaji msaada sana zaid ya sana kuna mtoto anakaa pemba msingin kila anapokaa panawaka moto iyo familia ina hali ngumu sana na mtoto utamuonea huruma wanahitaji msaada kwa kweli

    • @rahmasalum8642
      @rahmasalum8642 3 роки тому

      Zahir pole sana utazowea tu 😂naona upo ktk kisiwa kidogo harusi nyingi

    • @dabratanyulla396
      @dabratanyulla396 3 роки тому

      Nenda kaka zahir huyo mtoto anayewaka moto me pia nimemuona jaman anahitaji msaada, ila uwe makin maana kila anayetoa msaada anapata maswahibu ya moto

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 роки тому

      @@rahmasalum8642 na talaka za kumwaga kuzaliana ndo usiseme

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 роки тому

      Mmh huko kwa moto ni makubwa je yakimrudia zahir mwenyewe mengine yanatisha jamani, serikali iwasaidie hao wa moto huyo zahir mwenyewe sijui kama atarudi salama huko ni kurogana kwa sana duuh.

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 роки тому

    Zahir ✊🏾

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Vip habar zenu za zanzibar

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 3 роки тому

    Jamn hata kam ni maskin tuwe tunajitaid kuweka mazingira safi

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 3 роки тому

    Mtoto nzur mashallah

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 3 роки тому

    Sasa huko zanzibar kila mtu karogwa watu hawaimwi kwa amri ya mungu 😔