FULL VIDEO: HOTUBA NZIMA ya WAZIRI wa KILIMO BASHE AKIHITIMISHA HOJA YAKE BUNGENI 2023 | Awa Mbogo!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 тра 2023
  • FULL VIDEO: HOTUBA NZIMA ya WAZIRI wa KILIMO BASHE AKIHITIMISHA HOJA YAKE BUNGENI 2023 | Awa Mbogo!
    Ni mkutano wa 11 kikao cha ishirini na moja cha Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 56

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Рік тому +7

    Watakuelew tu Bashe we pga kaz weye ni rais wetu ajaye...Una respect, hekima, mzalendo, speaking and listening skills, confidence, mckizi, educated, na haup kumridhisha mtu kwa kuonea wengin...Pga kaz babak..." Ndio ukweli" kauli hii bashe amenikumbush hayat John Maguful

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Рік тому +5

    Nampenda huyu waziri sana popote wanapo muweka ana fit 👍👌👏❤

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 Рік тому +4

    Nimefurahishwa sana na hotuba ya Bashe. Ana spirit ya kilzalendo na ya kuchapa kazi. Songa mbele Kaka, usikubali wenye midomo mipana kama mabakuli wanaoongea tu porojo wakukwamishe. Songa mbele, tunahitaji taifa tajiri, na sisi ni matajiri kama alivyokuwa anatuambia Hayati Chuma Magufuli

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 4 місяці тому +2

    kaka mungu akuweke ww ni zawadi toka kwa mungu

  • @keystone_earth
    @keystone_earth Рік тому +2

    Jameni huyu kiongozi anajua kazi yake. God bless him. From Kenya 🇰🇪

  • @athumanikagimbo3396
    @athumanikagimbo3396 Рік тому +4

    Mungu atupe nini Alhamdulillah
    Tunamshukuru Allah kwa kuwa na uongozi mzuri hapa Tanzania

  • @benimlisa6056
    @benimlisa6056 Рік тому +8

    Ndio ukweli. Bashe sio mnafiki. Pure Magufuli. Mzalendo wa kweli. Mungu akulinde.

    • @maulidimuhammed7851
      @maulidimuhammed7851 Рік тому

      Ila Magufuli alikuwa ni mnafiki alitumia madaraka vibaya na kwa ubabe na ufisadi mkubwa ndio sababu ya kumpigabrisasi Tundu lissu,Ndio sababu ya kuwauwa Ben Saa nane,Azory Gwambo na wengi wengineo,ndio sababu ya ya kumfukuza CAG MChamungu na msomi Proffessor Assad Mussa.Jitathmini lugha yako.

  • @mchumiajuani1993
    @mchumiajuani1993 Рік тому +5

    Ila Bashe shikamooo, kwenye hoja tuh narudia tena shikamoo

  • @maloshasiyantemi6446
    @maloshasiyantemi6446 Рік тому +4

    Mwl. Syantemi Nyamigota Geita. Maono ya waziri huyu yanatakiwa kuwezeshwa na serikali ili mkulima wa Tanzania kijana awe tajiri.

  • @user-ib6mf2kg3t
    @user-ib6mf2kg3t 7 місяців тому +1

    Najua mh Bashe hongera sana mwamba unasimamiaga hoja mana unachofa ya unakijua mungu akubarimi sana

  • @lubambilubambi8681
    @lubambilubambi8681 Рік тому +2

    Yaaani Waziri wangu ninakupenda sana, uko vizuri sana Sana👏👏👏Piga KAZI Mkuu wangu 🙏

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 Рік тому +1

    Mungu akulinde Bashe.NAKUPENDA SN KWA KUWAPENDA WATANZANIA.

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 Рік тому +1

    Bashe nakupenda an unawapenda vijana wa Kitanzania unasomesha vijana wa Nzega wote tunapaswa kuiga mfano kwako.Usife moyo songa mbele.

  • @hajikombo7421
    @hajikombo7421 3 місяці тому

    Asante sana kwa hutuba nzuri Mh. Wazir . Hutuba ni nzur na imekamilika.

  • @petermahimbo3458
    @petermahimbo3458 Рік тому +4

    Big content

  • @agustinokimaro1483
    @agustinokimaro1483 Рік тому +2

    Mungu niwezeshe nitakwenda shambani hakika,,mm sio ccm ila napenda utendaji wa bashe

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Рік тому +3

    Mungu akutunze Bashe

  • @festongonyani152
    @festongonyani152 Рік тому +2

    Kongore sana Mh.Bashe,
    Binafsi ninakuelewa sana.... kilimo ndiyo Kila kitu

  • @mwandowela
    @mwandowela 3 місяці тому

    Hongera sana kwa budget Nzuri, Mdau nimekuelewa sana na nakupongeza mno, hap kwenye masoko ndio naomba sana ushirikishwaji

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 Рік тому +1

    Wawajibishe wezi
    Asante baba

  • @neemabaker3738
    @neemabaker3738 Рік тому +6

    Watu kama Magufuli wapo!! Mungu atusaidie awape maisha marefu na tuwaunge mkono💪🏾💪🏾💪🏾 Asante Waziri kwa kazi nzuri unayoifanya🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇸

  • @petermangara4680
    @petermangara4680 Рік тому +1

    Mungu akupe maisha marefu mkulima mwenzetu

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Рік тому +3

    Kiongozi imara❤

  • @rumonajarufu1346
    @rumonajarufu1346 Рік тому +1

    Mwenyezimungu amlinde sana huyu waziri

  • @goodluckben7079
    @goodluckben7079 Рік тому +1

    Bro you are my vision keep going god bless you

  • @kenjoseph3337
    @kenjoseph3337 Рік тому +1

    Pure intelligence😍

  • @marynyaigoti
    @marynyaigoti Рік тому +2

    Uko vizuri endelea kaka

  • @BarakaMwamkingaMwamkinga-ld9kp

    Very genius bro

  • @user-ix9vy7ev5o
    @user-ix9vy7ev5o Рік тому

    Hii inchi ni kubwa na ndio kunachangamot kaka na wapigaj ni wengi lkn kwann mtu anaweza kuthubutu kupiga dili hela za wawakulima kweli kweli au mpaka inchii watu waingie katika njaa au unataka uniambie Tanzania yetu kwa sababu tunapenda na umoja wetu wa kupendana hivyo tuone kawaida hapan mm naimini Tanzania yetu kuna viongozi na wanaijua hii inchi asante sana waziri

  • @princekelvin5834
    @princekelvin5834 6 місяців тому

    Muheshimiwa Ndugu kiongozi hongera sana kwa kazi nZuri

  • @PauloSererya
    @PauloSererya 4 дні тому

    Nakukubali sana kiongozi

  • @ephremmalley153
    @ephremmalley153 2 місяці тому

    An excellent minister. He looks honnest and committed and has passion for the development of our country. However your common sense should guide you to integrate Halima's ideas nto your programme.

  • @user-ts1jf7ii5c
    @user-ts1jf7ii5c Рік тому +1

    Bashe tuvushe😂watanzania

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 Рік тому +1

    Waziri Bashe ana nia ya dhati ya kuiendeleza sekta ya kilimo. Apewe ushirikiano.

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 Рік тому +2

    Mtu kazi

  • @user-tk4bk9bc4j
    @user-tk4bk9bc4j 4 місяці тому

    Asante mbunge wangu🙏

  • @naomikusekwa1571
    @naomikusekwa1571 Рік тому +1

    Mmmmmm baba wa wakulima hakuna njaaa tena Tanzania

  • @chachajulius4481
    @chachajulius4481 Рік тому +1

    Huyu bashe anamaono makubwa sana kwenye hii nchi ni vile tu

  • @hassanchuji8965
    @hassanchuji8965 Рік тому +1

    Keeli kabisa bashe usiwape vibali vya kuagiza ngano ao pumbavu

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 Рік тому +4

    Dogo narudi shambani nitakupa tahiti

  • @azizimakotha4929
    @azizimakotha4929 Рік тому

  • @saidmadirisha2416
    @saidmadirisha2416 Рік тому

    Pure intelligence 🙏🙏✍️

  • @conesmo5266
    @conesmo5266 Рік тому

    👏👏👏Big brain

  • @najmamgallah8154
    @najmamgallah8154 9 місяців тому

    Wazir, tafadhal tusikilize wakulima, mahindi mkoa wa rukwa, n sh 55000 gunia la debe 6 n bado soko hamna, mbolea selikal imetuuzia 72000 mfuko mmoja , n sawa lkn mpk Sasa mvua zimerud wakulima hatuna maandalizi y kutosha kw sabb soko la mzao limeshuka sanaa je tutanunua mbolea vip ikiwa hatuna pesaa , n pia dapu kw huu mwaka 79000 mbolea mnapandisha bei, n mzao hatuja uzaa runalima vip, tuoneen wakulima huruma funguen mipak tuuze mazao, mvua zimeenyesha lkn watu hatulimi kw sabb y kukosa pesa y mbolea, tumejaza mahindi tuu sitooo

  • @samateryusuf4345
    @samateryusuf4345 4 місяці тому

    Kilichosaidia kunambi hapa yeye ni mkulima, nchi hii itaendelea hapo tutakapo pata Rais mkulima . Sikujuwa kumbe kuhifadhi mchele ni rahisi kuliko mahindi .

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 Рік тому

    Halina, Ni kwa sababu hukuruhusiwa kiongea nilitamani sana nisikie ulochotaka kuongea lakini...

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 Рік тому +1

    Mbolea ya ruzuku kweli inachangamoto kweli

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 Рік тому

    Shikamoo kaka bashe hautaki mke wa pili kwani nipo hapa.

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 Рік тому

    Mh Rais usimtoe Bashe ktk wizara ya Kilimo angalao hadi 2030. Panga pangua ya mawaziri wazuri inavuruga mipango ya muda mrefu ya wizara husika.

  • @songolomgallah4017
    @songolomgallah4017 Рік тому

    Hao vijana unao wapa maeneo na mitaji na ambao hulima miaka yote umewasaidia nini

  • @2003hintay
    @2003hintay Рік тому +2

    Next Magufuli ndio huyu

  • @hassanchuji8965
    @hassanchuji8965 Рік тому

    Sasa kwanini wapumbavu kama Hawa wakina Alima mliwaachia wabaki Bungeni waziri Anawa pigania Vijana waki Tanzania halafu yeye hanaleta uchadema pumbavu wewe waziri bashe fanya kazi usiwaa sikilize watu wanao taka kuwepo bungeni kwa faida yao na family zao tu