Bashe Afunguka Mazito Kuhusu Sukari, 'Siwezi Kuwa Waziri Boya', Mpina Asema Anaongea Uongo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 чер 2024
  • Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akifanya majumuisho ya hoja zilizotolewa kwenye Wizara ya Fedha leo Juni 04,2024, amefafanua sababu za Wizara kutoa kibali cha kuagiza sukari kwa kiwango cha juu.

КОМЕНТАРІ • 19

  • @nestanesta5704
    @nestanesta5704 2 місяці тому +1

    Man him self,namkubali Sana bashe he's very bright.

  • @machatendwa3157
    @machatendwa3157 2 місяці тому

    Mpina yupo sawa kabisa

  • @AthonySaimon
    @AthonySaimon Місяць тому

    We ni jizi , ipo siku tutawafanya kama kenya

  • @machatendwa3157
    @machatendwa3157 2 місяці тому

    Sio kweli hata kidogo viwanda vya Sukari vinahangaikia vinabali vya kuagiza Sukari tokea October wanakuja kupewa February, Waziri ni mwongo.

  • @babanatalis8401
    @babanatalis8401 2 місяці тому

    Hoja zinajibiwa hivyo Asante mpina,Asante Bashe

  • @jumanneselemani2172
    @jumanneselemani2172 2 місяці тому

    4:05

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 2 місяці тому +1

    Wewe ni machine wewe siyo mwizi wewe Jerry silaa makonda bite ko bashungwa ndio tuna wategemeya taifa hili

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 2 місяці тому

    NAKUFAHAMU UNAJUA SANA MIMI SINAGA SHIDA NA WEWE MH: BASHE HUNAGA BAYA WEWE NI WAZIRI SMART PRIME OF AGRICULTURAL. MKULIMA TANGU UWE WAZIRI SASA HIVI ANA RAHA MNO MAVUNO YAMEONGEZEKA HONGERA BASHE. NZEGA OYEEEEE HUNENE BASHE BHANGINE PHOTOCOPY

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 2 місяці тому

    Mpina wewe ni machine lakini Bashe muache Yuko safi siyo mwizi muache

  • @unclepumpuu5920
    @unclepumpuu5920 2 місяці тому

    Waziri yupo vizuri na anavuatilia ilani ya CCM. Nchi jirani politicians wana hoard sukari ili wa manipulate. Waziri Linda haki ya maskini wanakupinga ili wazito walete sugari kwa bei juu kwa manufaa yao. Pambana nao bashe

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 2 місяці тому

    Mpina yuko sahihi bashe acha sisi wananchi tunaujua ukweli wake na uongo wako Bashe

  • @babanatalis8401
    @babanatalis8401 2 місяці тому

    Spika awaache wabunge wawabane mawaziri kikamilifu hapo ni kama anawaogopesha. Mbona Bashe amempangua mpina vizuri tu

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 2 місяці тому

    Kwani sukari imeshuka lini...haya majizi...na magonga meza hayafanyi utafiti.

  • @shekhaahmed3961
    @shekhaahmed3961 2 місяці тому

    Usiruhusu hilo kurudi tena katika historia y nchi hii,upo Sawa
    Sukari ikikosekana wanakusema,simamia msimamo wko upo sahih

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 2 місяці тому

    Huyu ni mwizi kama wezi wengine

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 2 місяці тому

    Mpina 😂😂😂😂

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 2 місяці тому

    JIZI LINATOA MATUMAIN KWA FAIDA BINAFSI

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 2 місяці тому

    Kwani sukari imeshuka lini...haya majizi...na magonga meza hayafanyi utafiti.