MAALIM SEIF SHARIF AZIKWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лют 2021
  • Aliyekuwa makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amezikwa leo kijijini kwao Mtambwe Wilaya ya Wete mkoa wa Pemba Kaskazini huku mamia wakimlilia na kumtaja kama kiongozi aliyekua na mchango Mkubwa katika kuwaunganisha Wazanzibari. Maelfu kwa maelfu ya watu walihudhuria sala za maziko Dar es salaam, Unguja na Pemba, bila barakoa, licha ya wasiwasi unaoendelea nchini humo kuhusu ugonjwa wa corona. #DL #VOA

КОМЕНТАРІ • 3