TAZAMA MWILI WA MANJI UKISWALIWA MSIKITINI MUDA HUU MAREKANI, MWANAE ALIA KWA UCHUNGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mwili wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji, ambaye umeswaliwa katika Msikiti Al Hayy uliopo Florida, Marekani.
    Mwili wa Manji unatarajiwa kuzikwa leo Julai Mosi, 2024 nchini humo.

КОМЕНТАРІ • 49

  • @bibitititv9333
    @bibitititv9333 2 місяці тому +1

    Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi, Amina

  • @Shukurukoll
    @Shukurukoll 3 місяці тому +3

    Allah SW umpe makazi mema mja wako... Amin !

  • @Bakilabeid
    @Bakilabeid 2 місяці тому

    Arafatmahmud kama kitu hukijui uliza kaka ACHA ushabiki wa madhehebu nisome unijue nikusome nikujue hatito gombana

  • @shegiahuseinshegia9008
    @shegiahuseinshegia9008 2 місяці тому

    Swala ya jeneza ni Dua, kama ilivyo swala ya mtume,tukiambiwa tumswalie mtume hatusomi faatiha

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 2 місяці тому

    Kusoma surat fatiha katika sala ya maiti si lazima.rudini mkasome wapendwa

  • @muhiddinmustafa7906
    @muhiddinmustafa7906 2 місяці тому

    innadina indallahil islam,hakuna dini ya haki isipokuwa ni uislam.

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 місяці тому +1

    Inlilaahi wainalilah rajighun mwenyezi mungu ampe khauli thabiti ndugu yetu

  • @hajimassawe2592
    @hajimassawe2592 3 місяці тому +2

    Allah ampe kauli thabiti!

  • @saleemshehabu3071
    @saleemshehabu3071 3 місяці тому +2

    Allah amsamehe makosa yake

  • @alimau7939
    @alimau7939 3 місяці тому +1

    Anapokufa mtu hukatika matendo yake ila mambo 3,swadaqa ya kuendelea, mtoto mwema na elimu yenye manufaa

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 3 місяці тому +1

    Mungu amlipe anachostahiki mshia huyu mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake amesema hakika pepo imezuiliwa kwa kila mtu wa bidaa

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 3 місяці тому +1

    Wanachama wa yanga siwaoni hapo,innalilah wa Ina ilayhi rajiun

  • @SaudaAngelo
    @SaudaAngelo 3 місяці тому +1

    INNAH LILLAH WAINNA ILAIH RAJ OON

  • @allycomm1553
    @allycomm1553 2 місяці тому

    Hakutakaga KUKAA na watu wa kher Hilo ndio balaa lake ukisha kufa ALLAH atufishe ktk uislaam n sunna hiyo ndio salaama yetu

  • @arafatmahmud3547
    @arafatmahmud3547 3 місяці тому +2

    Hiyo ndio swala ya maiti kwa mashia, haina Surat Al Fatiha, pia katika dua ya imamu ameomba amfufue pamoja na maimamu, maimamu 12 wa Kishia.

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 3 місяці тому

    Kwa wale msiojua ndugu yetu alikua raia pacha

  • @SHIJAFELICIAN
    @SHIJAFELICIAN 2 місяці тому

    Imani yao ni hiyo kwa hiyo kila binadamu huamini anachokiaminj na hakuna binadamu mwenye uhakika wa dini ya kweli wote tunaamini maandiko tu

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 2 місяці тому

      Allah kaleta kitabu akamleta na mtume saw kuufundisha ummah,ikiwa hadi leo hujui dini ya kweli ni ipi umekula khasara nzito

  • @Saalimmakasia
    @Saalimmakasia 3 місяці тому

    Shia akakute aloyatanguliza katika kuwatukana wabora wetu

  • @christophermunuo3554
    @christophermunuo3554 3 місяці тому

    So mtanzania huyo kwa mini azikiwe marekani

  • @Saidy-eu1hc
    @Saidy-eu1hc 3 місяці тому

    Mmmmh mashia jaman hii swala ya maiti kweli 😂😂😂😂😂

  • @ZaiNdogondogo-wf7mw
    @ZaiNdogondogo-wf7mw 3 місяці тому

    Kila nafsi itaonja umauti

  • @paulokenedy4090
    @paulokenedy4090 3 місяці тому

    Si ndio hao unaowaona au unataka rangi?

  • @HeriMagwaza-cd4wg
    @HeriMagwaza-cd4wg 3 місяці тому

    Kila nafsi itaonjaa mauti rala manji

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 3 місяці тому

    Innah lillahi wainna illahi rajjiun

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 3 місяці тому

    Innalillah wainna ilayhi raajiuun

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 3 місяці тому

    Innah lillah wainnah illah rajiuna

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 3 місяці тому

    Duh kumbe alikua Shia Allah amlipe anachostahiki duh ushia sawa Na ukristo

  • @NjunguNdinga-kq1jh
    @NjunguNdinga-kq1jh 3 місяці тому

    Kla nafc itaonja pepo na umaut

  • @rashidhemed6816
    @rashidhemed6816 3 місяці тому

    Swalatul maiti ina takbira 4 hapo nimesikia 5 na takbira ya kwanza sijasikia wakisoma suratul fatiha

    • @ramadhanihashibae9805
      @ramadhanihashibae9805 3 місяці тому

      Hao sio waislamu, ni mashia ndio maana utaratibu wa ibada zao ni tofauti na wetu

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 3 місяці тому

      ​@@ramadhanihashibae9805Mapokezi tofauti...Haya tuwachie wenyewe Allah ndie anaejua usahihi zaidi...Waislamu ni 1 duniani.

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 3 місяці тому

      ​@@ramadhanihashibae9805utaratibu wa Ibada uko tofauti kivipi?

    • @shamzone388
      @shamzone388 3 місяці тому

      @@ramadhanihashibae9805mashia pia niwaislam
      Kuna madhehebu mengi ya kiislam

    • @SuleimanAlKharusi-rr6zb
      @SuleimanAlKharusi-rr6zb 3 місяці тому

      Shia ni miongoni mwa wa waislamu, tofauti zilizopo ni ndogo sana hivyo tupo pamoja nao.
      Hatuwezi kusema sio waislamu wakati wanatambua uwepo wa Allah Subhanah Wataalah na mtume wake Muhammad SAW.

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 3 місяці тому +1

    Ushia mtupu hapo

  • @YasiniMomboka
    @YasiniMomboka 3 місяці тому

    Inalilah