KABURI LA MZEE OJWANG LATISHA NA KUHUZUNISHA LIKIBOMOLEWa LANGATA😭😭😭😭

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2023

КОМЕНТАРІ • 628

  • @liliandaniel29
    @liliandaniel29 7 місяців тому +28

    If you breathing today , just thank God for His Love , and life

  • @davidaguvasu4553
    @davidaguvasu4553 7 місяців тому +27

    What matters is, when we die, do we die holy or sinful. Where our mortal bodies rest doesn't matter. Prepare the way, Jesus is coming

    • @aquilinakoga9774
      @aquilinakoga9774 7 місяців тому

      Amen

    • @prince001tv5
      @prince001tv5 7 місяців тому

      I got sense in ur content..tutubuni🙏🙏

    • @TimothyNyaure-lb4kc
      @TimothyNyaure-lb4kc 6 місяців тому

      Ha ha ha you are the most brainwashed mjinga ever ati jesus.

    • @aquilinakoga9774
      @aquilinakoga9774 6 місяців тому

      @@TimothyNyaure-lb4kc you dont know what you are saying. Keep quiet

    • @TimothyNyaure-lb4kc
      @TimothyNyaure-lb4kc 6 місяців тому

      @@aquilinakoga9774 I got a degree in that your fckng bible you read everyday.

  • @phelisiawakio9246
    @phelisiawakio9246 8 місяців тому +27

    Mzee ojuang you will live in our hearts sioni kitu kibaya wamefanya it's good to revisit them😂😂😂😂😂😂.

  • @puritykash8928
    @puritykash8928 8 місяців тому +37

    Too much unfinished dream sleeping under six feet aki mungu wangu tupee miaka mingi 😢😢😢😢

  • @francismachoka2380
    @francismachoka2380 7 місяців тому +13

    Hata uweke chuma nothing significant, let's start helping people when alive😊

  • @pst.danvaskaunda7266
    @pst.danvaskaunda7266 7 місяців тому +18

    This should always be a reminder that we all are pilgrims, the best thing is prepare yourself well in the ways of the the Lord before that day comes, because for sure it will come

  • @Charles-uo7co
    @Charles-uo7co 7 місяців тому +3

    Mzee Ako poa place yko,walio hai ndio tunajisumbua uzikwe kenyu ama langata,sawa Mzee R IP .tunakutambua wewe n legend 💪💪🔥🙌🙌🙌

  • @presenterkim
    @presenterkim 7 місяців тому +8

    I was there when he was buried, continue rip Mzee Ojwang

  • @Edgybhthjklew
    @Edgybhthjklew 8 місяців тому +8

    Hii ya ojwang ata iko sawa zingine nimeona ata zimeisha watu wao maybe walishindwa kutengeneza 😢huko ata siwezi karibia aki 😢😢

  • @koechcollins9504
    @koechcollins9504 8 місяців тому +23

    Don't fear it's the body only that dies, the spirit and soul live on forever. Our only fear should be God, sin and hell.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 8 місяців тому +4

    Mwenyezi Mungu aendelee kumpumzisha milele. Watch from Tanzania ❤💔

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 7 місяців тому +5

    Safi sana vijana kutembelea mzee ojwang

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 8 місяців тому +7

    Ata mkimtengezea atafufuka kweli nyinyi wasani hizo pesa changeni mlishe maskini na wajane pliz haina maana kujengea mtu na bado watu wanakufa njaa think twice

  • @janenjoroge7615
    @janenjoroge7615 8 місяців тому +9

    Kuna Zinahofoka😅wasapere

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 8 місяців тому +6

    Namkumbuka mzee Ojwang alikuwa akisema "Wewe mama Kayai???? Mama Kayai njoo. Anakohoa tena, mama kayai njoo. HAHAHAHAHAHA

  • @leahgithua6728
    @leahgithua6728 8 місяців тому +6

    Kila mwezi hao masonko hulipa kanjo 😊

  • @user-rg3lq7sd9f
    @user-rg3lq7sd9f 8 місяців тому +5

    Ak Mzee Ojwang woyee your soul continues rest in peace ✌ tulikuwa tunakupenda ila Mungu akakupenda zaidi😢😢

  • @doreenshii563
    @doreenshii563 8 місяців тому +10

    Bona alizikwa huko.kwani hakuwa na shamba ushago

  • @lucykithuku9940
    @lucykithuku9940 8 місяців тому +14

    Wah nimeona hadi ya my son iko direct opposite na hio ya mzee onjwag.....life is too short..... continue dancing with angles baba 😭😭😭

  • @sarahkahaki1913
    @sarahkahaki1913 8 місяців тому +14

    ❤ aki huo Mzee nilikua na mpeda sana😢😢

  • @user-mv2dd2qc8k
    @user-mv2dd2qc8k 7 місяців тому

    Kazi nzuri vijana,mkumbuke Mzee na familia yake pia alifanya kazi poa sana"Kumbukumbu yake ije kwa mpigo

  • @SOGCOMEDYTV
    @SOGCOMEDYTV 8 місяців тому +11

    Continue Resting in Peace Mzee Ojwang. Your legacy Luves Forever.🫡🫡

  • @doreenshii563
    @doreenshii563 8 місяців тому +5

    Hizo za masonko zinakuanga permanent hasiezi bomolewa hizo zingine temporary ni kama tu kurentishwa for a short period of time,then mwingine analetwa hapo hapo

  • @PMNTV1
    @PMNTV1 7 місяців тому +12

    Aki enyewe kaburi ni tajiri you mean all those are graves😭💔. But i believe one day deaths will no longer have power and we shall meet with our loved ones who went a head of us

    • @NICENABYNEEMA
      @NICENABYNEEMA 7 місяців тому

      How and when

    • @karanjaburugu6246
      @karanjaburugu6246 7 місяців тому +1

      Someone said the only wealthiest thing in this world is the grave.

  • @ZaituniMohammed
    @ZaituniMohammed 6 місяців тому +1

    Subhanallah,mtu akiwa mzima hamushighuliki,akifa mwatengeza kaburi,mfanyie maombi,Kwa mungu hakuna jina kubwa Wala ndogo,manage mungu peke yake ndie mkubwa

  • @peninahnyambura-ri4tx
    @peninahnyambura-ri4tx 8 місяців тому +6

    Ao wote n watu aki😭😭🙆mwili n mauwa

  • @christophernguye2450
    @christophernguye2450 7 місяців тому +2

    Congrats vijana kwa kuremember mzee

  • @user-bm5md2tz7r
    @user-bm5md2tz7r 8 місяців тому

    Good job keep it up

  • @dansharan
    @dansharan 7 місяців тому +1

    Ati na kuna ngombe zinakulanga kw kaburi 😂😂😂 you mkikuyu you made my day

  • @user-rg3lq7sd9f
    @user-rg3lq7sd9f 8 місяців тому +4

    Alafu vile mwaendelea kusema check kwq hzo zenye zimebomoka mpate mtu anatokelezea kutoka ndani naona vile mtakimbia 😂😂😂😂😂

  • @MOIZE-jr8ph
    @MOIZE-jr8ph 7 місяців тому +4

    He was my neighbor, Government quarters Likoni rd may his soul continue resting in peace 🕊️🕊️

    • @peterkamotho4115
      @peterkamotho4115 5 місяців тому +1

      He was our neighbor in Bahati estate we used to follow him as by then we were small boys but he was a teenager he started jokes at an early age RIP big brother

  • @lucychugi4797
    @lucychugi4797 8 місяців тому +4

    Waah enyewe mchangani ndio nyumbani kitu sewer alituimbia hivo hao wote ni watu siku moja walikuanga tu hio dunia💔

  • @aminakasim1198
    @aminakasim1198 8 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu atujalie mwisho mwemaa awarehemu 😢😢😢😢haki

  • @mowawajowangu8216
    @mowawajowangu8216 8 місяців тому +20

    Huku Ndiko wanataka kupele Kelvin 😩 too much spirits😢 anyway hii langata imekua talk of the town and thank you for taking us through kwa sisi hatujui vile inakaa

    • @catherinegitau9053
      @catherinegitau9053 8 місяців тому +2

      Mowswsjoeangu8216 haki hao mahasidi wasizike Kevin hapa😢

    • @safaragathimiti
      @safaragathimiti  8 місяців тому +3

      Kelvin yupi

    • @mwarikarimi2750
      @mwarikarimi2750 8 місяців тому +4

      Uwezi jua kelvin bt ya vigi unajua kifuatilia

    • @felister2457
      @felister2457 8 місяців тому +1

      Never in Jesus name 🙏 😢😢😢😢

    • @felister2457
      @felister2457 8 місяців тому +2

      Enyewe sisi wote ni watarajiwa😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @yusufomar_ke
    @yusufomar_ke 7 місяців тому +3

    Am proud to be a luhya....mwili huzikwa home

  • @christaloneministry1163
    @christaloneministry1163 8 місяців тому +4

    "Wenye wanauliza mzee Ojwan'g aliendaga wapi, hapa ndio anakuaga"... Kikuyuuu

  • @christineogolla8519
    @christineogolla8519 8 місяців тому +137

    Kikuyus are very funny,mzee kama huyo alizikwa tuu Langata!!!na hiyo umri yake?thats why i love my tribes men,Luos and Luhyas.

    • @kaykay5605
      @kaykay5605 8 місяців тому +5

      Whats wrong with langata

    • @sallyjay2630
      @sallyjay2630 8 місяців тому +6

      So you mean langata ni wakikuyu tu

    • @marthawangari-dr7km
      @marthawangari-dr7km 8 місяців тому +5

      Onjwang ni Kikuyu kweri

    • @estherwangui8280
      @estherwangui8280 8 місяців тому +19

      Kwasababu ukizikwa ushago utafufuka

    • @jospinemokeira
      @jospinemokeira 8 місяців тому +8

      Usisahau wakisii pia, lazima mwili iende nyumbani.

  • @user-tt6en7qb9o
    @user-tt6en7qb9o 8 місяців тому +2

    Hakuna kaburi Zinatoboka kuna vile cultist zinaendelzwa baada yavifo never assume the body is their wametolewa
    Congrats for visiting the hse (grave) of ojwang let Governor do something we want to see street named after him his pictures in musiam and also let Langata cemetery be named by street
    Muzee ojwang street
    No.1......
    Easy for people to access the grave

  • @sheilameg7038
    @sheilameg7038 8 місяців тому +4

    Nimeona pahali watu wanaingizwa na wanachomwa. Everything is vanity of vanity in this world🙆

  • @jacklinewahome2416
    @jacklinewahome2416 8 місяців тому +8

    Hakuna tajiri mwenye amelala makaburini wote ni maskini.wenye wako uhai dio matajiri.

    • @user-mm3jo7rd6k
      @user-mm3jo7rd6k 8 місяців тому

      😂😂 ulisikia wapi rais moi na kibaki hao ni matajiri wakubwa kwanza walikuwa rais sai wako wapi kwa kaburi, kaburi ni ya kila binadamu

  • @Hellenjohn-br1jv
    @Hellenjohn-br1jv 8 місяців тому +2

    Huyo baba mzee arisikwa makaburini shem on you suay mzee ojwang akua na kwake?

  • @samwelmwiti6711
    @samwelmwiti6711 7 місяців тому +5

    A Hero like Mzee Ojwang kuzikwa Langata Cemetery 🪦,A legend kwani iyo fame yake akua anapata pesa abuy tleast kashamba Watu wangu ama niaje juu sielewi.

    • @simionkerina
      @simionkerina 7 місяців тому

      You think hakuwa na shamba

    • @samwelmwiti6711
      @samwelmwiti6711 7 місяців тому

      @@simionkerina Nashindwa Pia

    • @valentinealusa7406
      @valentinealusa7406 6 місяців тому +1

      Only Luhyas and Luos know wat you mean

    • @luciakabui3151
      @luciakabui3151 6 місяців тому

      Cemeteries are for burying human remains. Farms are for farming n living on. That's the logical thing except in Africa. We will catch up with the rest of the world when we soon run out of space.

  • @joymkenya2359
    @joymkenya2359 8 місяців тому +4

    Hakuna haja,,, kaburi Iko sawa😮 hiyo pesa ichangiwe watu wenye njaa,,, otherwise keweka machuma or is total nonsense

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi2779 8 місяців тому +11

    My dad amelala huko 6 years now marked this month October 10 may his soul continue Rip i miss him dearly 😢

    • @shamaglory8934
      @shamaglory8934 8 місяців тому +1

      Sorry for the loss, be strong in the Lord

    • @MargaretNdiba-sk2pk
      @MargaretNdiba-sk2pk 8 місяців тому +2

      My mum ako huko 17yrs now😭😭😭😭😭continue resting in peace mum

    • @sarahngugi2779
      @sarahngugi2779 8 місяців тому

      @@MargaretNdiba-sk2pk Take heart

    • @sarahngugi2779
      @sarahngugi2779 7 місяців тому

      @@kadzo6614 Tuko nayo but that was his well and we couldn't go beyond it

  • @ZaituniMohammed
    @ZaituniMohammed 6 місяців тому +1

    Am proud to be a Muslim,Sasa wote mwajengea makaburi, wengine watazukwa wapi surely,mtu amechukua plot nzima kaburi

  • @farjallahubeydabdulrahman4845
    @farjallahubeydabdulrahman4845 7 місяців тому +1

    good work camera man

  • @user-ow4nj3pv8e
    @user-ow4nj3pv8e 7 місяців тому +2

    Rip our legend we used to eat at 6pm juu tu ya vitimbi haki😢 mpaka nilipoteza slippers no 1/2 the smallest no then ,nabebwa tuende Kwa vitimbi ,mi na usingizi hee nikiamka Niko Kwa kitanda changu vile nilifikishwa is a risto for another rip,rip the only Kiuk aliadopt luo ascent mpaka akawa mistaken identity🎉😊

  • @peninahihaji
    @peninahihaji 8 місяців тому +4

    Masonko na maskini wote huoza pls.

  • @jamesabuki381
    @jamesabuki381 8 місяців тому +5

    I support the sentiments that Mzee Ojwang’s resting place should be improved and barricaded.

  • @soulmateasinoh
    @soulmateasinoh 8 місяців тому +8

    Hizo ni ng'ombe real ama ni watu inform of ng'ombe🏃🏃🏃

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 8 місяців тому +7

    Mungu wangu, dunia tunapita😢😢😢😢

  • @naomimorwabe8820
    @naomimorwabe8820 21 день тому

    Kwan mzee ojwangi ana shamba jamani sio ata wangemnunulia shamba wamzike jamani na vile alikua na mtu na pesa jamani 😢😢😢😢😢😢😢

  • @naomimorwabe8820
    @naomimorwabe8820 21 день тому

    Enyewe ata uzikwe kwenu hautakuja uhai ni same tu ojwangj rip 😢😢😢😢

  • @user-wv6wo6of5t
    @user-wv6wo6of5t 6 місяців тому +1

    Ama mkute kuna place watu hukutana wakifa....Jupiter may be 😢

  • @bettykananu3666
    @bettykananu3666 8 місяців тому +5

    Yaani alizikwa langata

  • @winnyrayanyango4133
    @winnyrayanyango4133 8 місяців тому +6

    Alizikwa karibu na choo ndio akisikia kwenda choo usisumbukane

  • @faithngigi2948
    @faithngigi2948 8 місяців тому +5

    Waah!! Kweli mwili ni maua

  • @janepherjackson9693
    @janepherjackson9693 8 місяців тому +2

    Mimi naona iko sawa

  • @beatricengiru9522
    @beatricengiru9522 8 місяців тому +3

    Huko ndio my Auntie tulimpeleka ilikua kitu 2002 ama 2003 nilikua mdogo Sana sikumbuki ilikua mwaka Gani but

  • @MwangiChege-nz3oe
    @MwangiChege-nz3oe 7 місяців тому +3

    Uzikwe wapi or wapi Bora u are no more and what matters is your soul,swali ni are u gona make heaven or hell😢?

  • @GraceKwayu-yo4zf
    @GraceKwayu-yo4zf 8 місяців тому +1

    Hayo makaburi hayajatoboka. Ni yamedidimia...... Huyo mzee kajengewa vzr2..

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 8 місяців тому +2

    Next time mkienda peleka maua pia please atleast hizo spirits ziziwafuate nanyi😅😅😅

  • @victoriashiko7172
    @victoriashiko7172 6 місяців тому +5

    It needs all Kenya’s comedy to come together and do big memories for him one day👏🏽🙏🏽

  • @davidnjugunanjau5421
    @davidnjugunanjau5421 7 місяців тому +1

    "Eti wenye walikuwanga wanauliza penye mzee ojwang aliendaga,,,ndio huyu anakuwanga hapa!""Wah,,,, anyways ndo life

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 8 місяців тому +4

    Huku nikuharibu maeneo ya kuzika kujengea fens mtu afanye kwa shamba yake

  • @amanyamag2026
    @amanyamag2026 8 місяців тому +3

    Jaburi ni kaburi...

  • @lucasmwaurafama9349
    @lucasmwaurafama9349 7 місяців тому +1

    Nlikua naona mzee ojwang mbotela huko ndio alikua anaishi.my his soul rip😢

  • @phoebechoka7551
    @phoebechoka7551 6 місяців тому

    I like the way you guys say ati hizi ni za matajiri

  • @bundijanet6940
    @bundijanet6940 8 місяців тому +3

    Kwani hakua nakwao anazikwa makaburini

  • @sabes2050
    @sabes2050 8 місяців тому +2

    Mbona hakuzikwa kwake

  • @marywanjiku9342
    @marywanjiku9342 8 місяців тому +2

    Hiyo kaburi ni smart

  • @zacharythitu7510
    @zacharythitu7510 7 місяців тому +1

    A good reminder young men,what to expect not long long looong after your age. Prepare for exit,not for the gone ones.

  • @marygachigua5233
    @marygachigua5233 8 місяців тому +2

    Kwani the first comedy mzee ojuang'i alizikwa lang'ata,hanakuwa na shamba lakuzikwa,.

  • @SAMJAY_MUZIK_EMPIRE_046
    @SAMJAY_MUZIK_EMPIRE_046 7 місяців тому +2

    Weuwehh 😢😢😢 azidi kulala pema

  • @MaryK.-vx3cd
    @MaryK.-vx3cd 8 місяців тому +2

    Answer to @doreensh....some people are buried according to their wish. Maybe he had a land but prefer' d Langata cemetery just like you can choose to be cremated.

  • @loisemunga9199
    @loisemunga9199 8 місяців тому +2

    Naskia mkizika mtu wenu anamaliza siku tatu anatolewa anachomwa kunawekwa muingine dio unashidwa bona hili kaburi halijai

  • @EdithmumbuaKioko
    @EdithmumbuaKioko 8 місяців тому +2

    Anza wewe hiko poa❤

  • @beatricembugua8152
    @beatricembugua8152 7 місяців тому +1

    Ngai mpaka ngombe wanakula huku😳😭😭

  • @kimberlyketer8924
    @kimberlyketer8924 2 місяці тому

    Death is inevitable. May God give long lives

  • @FaithKamum
    @FaithKamum 7 місяців тому +1

    waaa kweli duniani tu wapitaji tu kama haya yote n makaburi

  • @timmusumba5846
    @timmusumba5846 6 місяців тому +1

    Kumbe hata hawajui mahali kaburi yake iko! Lazima tena itafutwe...! There is no mechanism in place that if you are looking for a particular grave, the staff can offer assistance with some records.. It must be one hell of a job looking for a grave!

  • @paulwarose807
    @paulwarose807 7 місяців тому +2

    Sasa tuweke chuma tell us about his family we support the remaining uyo alienda.

  • @aliceotieno
    @aliceotieno 8 місяців тому +3

    Na muache kukanyaga juu ya makaburi. You will find yourself sinking inside the grave moreso the ones which aren't stable

  • @lilianmose2103
    @lilianmose2103 5 місяців тому

    If i may ask...langata haijawahi kuwa full?

  • @robertmpagama7148
    @robertmpagama7148 7 місяців тому +1

    Waigizaji wa tausi wako wapi

  • @teresiakamau4946
    @teresiakamau4946 8 місяців тому +4

    Tabiya yenye mko nayo siyo poa kamwe

  • @royiesonpranks1978
    @royiesonpranks1978 7 місяців тому +1

    John kibera kuja utuonyeshe haraka😂

  • @ayubzaka1598
    @ayubzaka1598 8 місяців тому +4

    Machuma ya Nini Sasa

  • @rebeccawabwile4714
    @rebeccawabwile4714 8 місяців тому +2

    huko ndiko watoi twin bro wa my bro na bro yake mkubwa walikwa😢😢

  • @user-ld6by8yl1s
    @user-ld6by8yl1s 7 місяців тому

    Oh I thought the guy is still alive rip I used to watch him on citezen tv all the way from Uganda

  • @patriciamuenimulwa1808
    @patriciamuenimulwa1808 6 місяців тому

    Mwenyebhizo ngombe anafaa kushikwa. Hio ni kukosa adabu ku graze cows such.

  • @doreenthiaby7716
    @doreenthiaby7716 7 місяців тому

    Unaeza ona skeleton 😂😂 yo made me laugh kwa mazishi😂😂

  • @user-bg9cr4pn2p
    @user-bg9cr4pn2p 8 місяців тому +2

    Zimetoboka au suti zilienda

  • @jacklyneotaka-pv1ks
    @jacklyneotaka-pv1ks 8 місяців тому +1

    Na.si.iko tu sawa

  • @josephnjogu2772
    @josephnjogu2772 5 місяців тому

    Yeye Mzee alikuwa anasisitiza akifa azikwe lang'ata kwa hivyo usemi wake ulitimizea kulingana na desturi za wakikuyu kutii uzia wake,hili silo jambo la kuanza kuongiza ukabila tafadhali

  • @Stanley-hp8tj
    @Stanley-hp8tj 6 місяців тому

    Ati zimetoboka...kwani hamjui hizo ni casket ziliibwa

  • @sammiekmuthomi95
    @sammiekmuthomi95 7 місяців тому +1

    May his soul continue Rip. Life is short & for the living. Everything is vanity.🕯️

  • @patrickmugambi1176
    @patrickmugambi1176 7 місяців тому +1

    Hapo Sawa 🇰🇪⏰✅✅✅

  • @WitinesLaizer-fy9ev
    @WitinesLaizer-fy9ev 6 місяців тому

    Kenya inaongoza kuanamakaburi mengi

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 7 місяців тому +1

    HIZO PESA MNIPE MM NIJISAIDIE MAANA NIKO NA SHIDA NA PESA BIASHARA ILIKUFA NATAKA KUFUFUA SASA ....AKI