Hii kitu kweli zanzibar saizi kumejengeka sana yaani kunazidi kujengwa majumba ya kifahari barabara nzuri na haijawahi kutokea unabii huu ni kweli kabisa ❤
Mungu akubaliki kwa kila Jambo uzidi kua mwenye nguvu na mwenye kutuma taarifa ili watenda maovu WASIKIE saut yako ya Hekima nyingi tuache kutenda dhamb tumkumbuke Mungu wetu, Mungu wetu ibariki tanzania
For the first time i meet a real and genuine prophet in Tanzania, sina maana wengine hawapo ila sijawahi kukutana na hata mmoja kwa maana walio wengi tunaowajua na wenye majina sio watumishi wa kweli wa Mungu.. Im so grateful kukujua na kuanzia leo nitaendelea kukufuatilia na kujifunza zaidi kutoka kwako.
🙏🙏🙏🙏🙏,ee mungu zidi kumfunulia mtumishi wako uliemchagua,jina lako liinuliwe kupita majina yote,ninavyosikiliza unabii huu moyo wangu unasisimuka,mungu ibariki nchi yako Tanzania ikumbuke
Mungu amejibu Maombi yangu ya Janary 2022. Nilipata mzigo wa Kuombea Kanisa la Tanzania na huduma 5 na kipekee sana huduma ya Kinabii. Nikamwambia Bwana fichua Manabii walioko underground waonekane na Tanzania iipokee hii huduma ya Kinabii. Napita pita zangu UA-cam kucheki kuna nini cha Kinabii for the yr 2024, mara paap Prophet Edmound. Wengi wengi mwaka huu 2024 watajulikana. Since then, I have seen the prophetic ministry in Tz, growing in an unusual way. Thank you Lord Jesus
Hao ni manabii wa uongo ambao Mwenyenzi Mungu alishasema katika siku za mwisho watajitokeza sana!.pia tambueni kuwa mungu awezi kuwafanya washirikina na wazinifu na wanaotembea uchi kama wauza bar kuwa nabii. Hawa ni wasaka tonge na wezi wanaotumia biblia kujipatia kipato kwa watu maskini kwa slogans ya upako na miunjiza.hakuna nabii yeyote aliyeabudu miungu mingi yaani 1+1+1=1 where did you getting this devil worshipping? ITS really devil philosophy,while all the prophets waliabudu mungu mmoja.From the first prophet Adam and the last prophet Muhammad...
@@Juma-qd5eq Juma jnabii waachie manabii wa Mungu. Wewe kama huamini kaa kimya. Maana haya aliyosema Nabii Edmund lazima yatatokea. Waliotoa unabii wa Raisi ajaye wa Kenya mlionaje. Acheni kuandika kwa vile mna midomo. Maana awazacho mtu ndicho kimtokacho.
Yeremia 14:14 Ndipo Bwana akaniambia, Hao manabii wanatabiri uongo kwa jina langu mimi; mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao; wanawapeni unabii wa maono ya uongo, na uaguzi, na neno la ubatili, na hadaa ya mioyo yao. 😢😢
Ubarikiwe ndugu philipo Justine, Mathayo 24:23-24 23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. 24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Uzinzi umewaangusha watu wengi sana..na ndio siraha ya shetani kuuua ndoa za watu na nyingi zimeshaanguka....tumtafute sana MUNGU maadamu anapatikana,tumuite yeye maadamu yupo karibu
Unaesema.bandari unajichosha tu dhambi inaharibu uchumi wa nchi.Elia.alimuambia.ahabu mvua.haitanyesha isipokuwa.kwa.neno langu.jamani.kama.tunaona.dhambi inazidi tusiwafariji watu njaa kubwa.magonjwa makubwa vita uchumi wa dunia.kwa.heri
Mtumishi Mimi naitwa EMANUEL DAVID.....Kuna ndoto niliota ...niliona jeshi la nchi yetu lime kusanyika na katikati ya kusanyiko hilo kulikuwa na jukwaa lililo pambwa vizuri lakini likiwa halina msemaji likiwa tupu
Hawa manabii wa uongo wamejazana sana Tanzania na hii ni dalili ya kiama, hii ishu kaitengeneza kiakili kwa mtu msomi ataelewa pia kuna shida ya kuabudu miungu mingi hapo ndipo mnafeli.
@@RastaSumasi wanakusanya sadaka tu hawa, maana akishatamka hayo watu wanakimbilia huko kusikiliza na kutoa sadaka ndo utawaona wao wanakula na kushiba matumbo hayo yamevimba kama nini kumbe sadaka za watu😂 Tafakarini wanadamu wenzangu mi namwamini MUNGU pekee .
Kwa watu wenye elimu ndogo watasema hivyo lakini watu wenye elimu ya Mungu wa kweli aliyeumba mbingu saba na ardhi saba na viumbe vyote kwa uwezo wake asiyehitaji msaada wa viumbe.Nasema huyo ni nabii wa uongo kama alivyosema Mwenyenzi Mungu kuwa siku za mwisho kutakua na manabii wa uongo.
Kuhusu kitambaa cheupe niliwahi sikia aliweka sadaka ya damu ya mnyama so inaweza ikawa kweli Mungu azidi kukutumia Na kuhusu Riverside inawezekana maana wanawake wanajiuza hazarani tena hadi aibu aiseee Mungu atusaidie.....
Ni keli kabisa mungu wenu waislam, siyo mungu wa wakriato. Kwan nyie mnaabudi na mapepo kama majini lkn wakristo wanamwamini yesu na Kam njia pekee ya kwenda mbinguni
Ila Watumishi wa Mungu mtambue dunia imebadilika acheni kuwatembelea hata kukutana nao mbali na eneo la huduma watu hawa hasa wasio na wanaume. Jamani kesi nyingi zimewakuta watumishi wa Mungu Mungu atusaidie. Halafu mnapogombana mkamalizaneni huko au ukipewa mafunuo kwa mtumishi mwenzako muite muonye maana maubomoa mwili wa Kristo ndio maana watu wanasema duniani hakuna manabii wala wachungaji hasa madhehebu ya Kipentekoste. Watu wameacha kuwaamini ila ni kwa sababu mnajibomoa wenyewe. Tizama Katoriki ikitokea Mpakwa mafuta akakengeuka anaitwa kwenye vikao vya siri na hata ikiwezekana vaticani hiyo yote ni kulinda mwili wa Kristo usichafuliwe. Mungu atusaidie.
Yer 29:11-14 SUV Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka. (neno la bwana ni Taa na mwanga wa njia zangu hunimulikia..kila nnapokwenda🙏)
Hii kitu kweli zanzibar saizi kumejengeka sana yaani kunazidi kujengwa majumba ya kifahari barabara nzuri na haijawahi kutokea unabii huu ni kweli kabisa ❤
He is very humble and calm in talking.I love him
Hii nimeielewa hasa,Mwenyezi Mungu Akuweke, akupiganie, pia aibariki na kuitetea sana' Nchi yetu Amen🙏.
Hakika Mungu ni mkuu mno
Tanzania tunakupenda Malkia wa Injili! Tuwasiliane
Let's wait for its fulfillment if not prophet of doom
@@ProphetMysticuse
Kweli MUMMY ❤❤❤ WE LOVE YOU SO MUCH ❤️
Kabsaaaa.jamn😢.mm MUNGU akinionya uwa napenda sana kulko kupewa cfaaa😢.natendea kaz
Nyakati za mwisho , Mungu uirehemu Tanzania
Ubarikiwe sana mtu na mtumishi wa Mungu, Edmund. Tunaamini kusudi la BWANA ndilo litakalosimama (Mit 19:21 & Ayu 42:2)
Mungu ikomboe tanzania kwel hilo janga lolote baya kwa nnchi
Ashukuliwe Mungu awezae fanya mambo makubwaaa....barikiwa mtumish
huu unabii ni mkali Kuhusu Tanzania , mungu ayirehemu Tanzania
Mungu akubaliki kwa kila Jambo uzidi kua mwenye nguvu na mwenye kutuma taarifa ili watenda maovu WASIKIE saut yako ya Hekima nyingi tuache kutenda dhamb tumkumbuke Mungu wetu, Mungu wetu ibariki tanzania
For the first time i meet a real and genuine prophet in Tanzania, sina maana wengine hawapo ila sijawahi kukutana na hata mmoja kwa maana walio wengi tunaowajua na wenye majina sio watumishi wa kweli wa Mungu.. Im so grateful kukujua na kuanzia leo nitaendelea kukufuatilia na kujifunza zaidi kutoka kwako.
Mimi pia.. hakika Mungu amejisalia manabii wake wa kweli...Damu ya Yesu imlinde
Karibuni sana
SC
MUNGU aendelee kukutumia mtumishi wa ke
Barikiwa mtumishi Mungu azidi kukulinda na kukuinua
This man is a man of God
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Mara ya kwanza nakuona lkn ndani yangu Roho inasisimka na unabii huu, ee bwana Yesu utusaidie
🙏🙏🙏🙏🙏,ee mungu zidi kumfunulia mtumishi wako uliemchagua,jina lako liinuliwe kupita majina yote,ninavyosikiliza unabii huu moyo wangu unasisimuka,mungu ibariki nchi yako Tanzania ikumbuke
Mungu bado anao watumishi wake wa kweli aliojisalia.. Wewe ni mmoja wapo.
Mungu Irehemu Tanzania Mungu Turehemu Barikiwa mtumishi wa Mungu.Mungu tuongoze Tujue jinsi ya kuomba kuhusu unabii huu.
Asante kwa Mahubiri yenye nguvu za Mungu. Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana.
Nibarikiwa na unyenyekevu wako Mungu akubariki natamani kuonana nawe unapatikana wp
Nabii ,mungu akubariki na kuzidi kwa kuuweka wazi un abii huu ambao yehova amekufunu
Lia
Mungu amejibu Maombi yangu ya Janary 2022. Nilipata mzigo wa Kuombea Kanisa la Tanzania na huduma 5 na kipekee sana huduma ya Kinabii. Nikamwambia Bwana fichua Manabii walioko underground waonekane na Tanzania iipokee hii huduma ya Kinabii. Napita pita zangu UA-cam kucheki kuna nini cha Kinabii for the yr 2024, mara paap Prophet Edmound. Wengi wengi mwaka huu 2024 watajulikana. Since then, I have seen the prophetic ministry in Tz, growing in an unusual way. Thank you Lord Jesus
Chadema pure😂
Nyie ndo manabii wa uongo ,,sasa hiv kila ,,kila nchi munatoa manabii sasa hiv hamtaki ,,tena manabii kutok ulaya 😅😅😅
Hao ni manabii wa uongo ambao Mwenyenzi Mungu alishasema katika siku za mwisho watajitokeza sana!.pia tambueni kuwa mungu awezi kuwafanya washirikina na wazinifu na wanaotembea uchi kama wauza bar kuwa nabii. Hawa ni wasaka tonge na wezi wanaotumia biblia kujipatia kipato kwa watu maskini kwa slogans ya upako na miunjiza.hakuna nabii yeyote aliyeabudu miungu mingi yaani 1+1+1=1 where did you getting this devil worshipping? ITS really devil philosophy,while all the prophets waliabudu mungu mmoja.From the first prophet Adam and the last prophet Muhammad...
@@Juma-qd5eq Juma jnabii waachie manabii wa Mungu. Wewe kama huamini kaa kimya. Maana haya aliyosema Nabii Edmund lazima yatatokea. Waliotoa unabii wa Raisi ajaye wa Kenya mlionaje. Acheni kuandika kwa vile mna midomo. Maana awazacho mtu ndicho kimtokacho.
Joel 2:28!
Amina wacha MUNGU azidi kutumia Mtumishi wa MUNGU
Nabii wa Mungu Mungu akutunze sana na mabaya 🙏🙏🤝🤝🙏🙏
Jina la mungu liinuliwe,mungu azidi kukuonye mtumishi wa mungu,mungu atukumbuke tanzania
Nabarikiwa sana hongera sana mtumishi.
Ee mwenyezi mungu turehem waja wako tuvushe salamaa WATANZANIA katika mabaya yote yalioko mbele yetu ammen
Mungu na ayatimize kusiwe na kizuizi chochote Amen
Mungu atusaidie sana! Tunahitaji kufuatilia unabii wako Mtumishi! Ubarikiwe sana!Nahitaji kusikia zaidi
Uamsho umeachiliwa Tanzania ni wakati wa Kumtafuta Mungu na nguvu zake...ni siku za Hatari.Tumuombe Mungu atupe uthabiti wa imani yetu kwake.Amen
Amen Prophet, Mungu atusaidie
Unabii huu hauna mashaka mungu atusaidie watanzania
Mungu akubaliki baba akupe maono zaid mtumish wa mungu
Mungu atubaliki sana kwa unabii huu,unabii huu nautimiee ameeni.
Ee Mungu wetu turehemu Tanzania! katikati ya ghadhabu kumbuka rehema
Nakuelewa sana Mtumishi wa Mungu
You are true man God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Safiiiii tz kusudi la Mungu lisimame
Huu ndio unabii sasa sio kuanza kuongea maisha ya watu but hapa inareflect nchi nzima ili tuchukue tahadhari
Amen pastor nimebarikiwa sana baba god bless you dad
Nakataaaaa kwa jina la Yesu (roho ya mpinga kristo)
Bora kuomba kuliko kupinga unabii.
Mpinga kristo lazima aje maandiko yanasema, hivyo hatuwezi kumzuia kwa kumkemea 😢
Mungu akupe maono zaidi ili tupate kuyajua yajayo
When God speaks, the wise listen. Mafuta ya roho mtakatifu yazidi sana juu yako.
Napenda tuuu hapa"kusudi la Bwana litasimama" Haleluyaaah
Nimekuelewa sanaa na kila nikiingia kitambaa cheupe huwa napata mikwaluzano na wife na uharibifu wa pesa mtumishi Mungu aendelee kukutumia
usiende tena
usiende kakangu
Usiende
Usiend broo😊
Ubarikiwe mtumishi
Barikiwa mtume wa mungu nalitambua Kuwa Mungu Anatupenda Tanzania Sana TENA Sana Ee mungu tubariki Tanzania daima❤
Hongera kwa huduma ya kinabii ya MUNGU iliyo ndani yako sifa na utukufu ni kwa MUNGU katika KRISTO YESU BWANA WETU
When God speaks, the wise listen
Ni OLEE kwa wapendapombe !! Muisikie sauti ya mungu, mungu anawapa angalisho.
Tuombe pasipo kukoma jamani,eeeh mungu tusaidie
Nlikuwa sijakuelewa mwanzo, ila Sasa nmejua unamaanisha nini Mtumishi wa Mungu. Barikiwa sana
Yeremia 14:14
Ndipo Bwana akaniambia, Hao manabii wanatabiri uongo kwa jina langu mimi; mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao; wanawapeni unabii wa maono ya uongo, na uaguzi, na neno la ubatili, na hadaa ya mioyo yao.
😢😢
Huyu sio nabii wa uongo ni unabii wa kweli tujiweke tayari kuomba MUNGU baba yeti na mkikataa mtashangaa sana
@@emanuellyatuu731 Yeremia 30:30
Na watu wangu wanapenda mambo yawe hivyo, nanyi mtafanya nini mwisho wake?
Nabii wa kweli ni yupi?? Ww umekua Mungu kusema uyu ndie uyu sie..
Mm nmpingaj Sana wa manabii Ila kwa uyu nmkwel Sion viashiria vbaya kwake
Ubarikiwe ndugu philipo Justine,
Mathayo 24:23-24
23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
hakika Bwana amekufanya kuwa kuhani wa mataifa. Barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu
Kusudi la Mungu lisimame Tanzania,kusudi la mwanadamu livunjwe milele
Umetisha sana
Uzinzi umewaangusha watu wengi sana..na ndio siraha ya shetani kuuua ndoa za watu na nyingi zimeshaanguka....tumtafute sana MUNGU maadamu anapatikana,tumuite yeye maadamu yupo karibu
Ameni
Asante kwakutufundisha
MUNGU pekee atusaidie sana 😭 maovu yamekua mengi sana
Mtumishi, ukisikia kuupiga mwingi ndo uku,,,naliona Taifa likiomboleza kwakumpoteza kiongozi mashuuli aliewai kuwa waziri mku!!!!naliona moto mkubwa ukitanda hewani,na ukiunguza sehumu za starehe!juzi kitambaa ya tabata imeungua yote,uko vizuri mtumishi, mungu anakutumia kweli
Yaan acha tu hata sijui niseme nn acha tu e mungu nistil mimi jamani na kizazi changu amina
du mtumishi mungu akuzidishie maisha malefu naasante kwakunifungu macho nakunipa hofu yamungu kiloho ilasijajua kanisahili lipomaeneo gani naombanielekezeni waumini
Jamanii viongozii wabadirikee, piaa watanzaniaa viongozii tamaa,,wamekuaa makatirii hawana hurumaa na watanzania wenzaoo,,kila anachaguliwa anataka ajinufaishee yeyee,, munguu,,awadhibuu wao tu viongozii ,,tena wangekufaa wotee ,,tumechokaa ,,,
Let’s watch and Pray!!
Amen
Hamna nabii apa watu muwe mnatafakari
Mwenyezi Mungu. aendelee.kukulinda ili uweze kutuhudumia kiroho.
MIKATABA YA BANDARI ZETU ZITAVUNJWA NAKUELEWA SANA TUMEDHULUMIWA SANA ILA MUNGU ATATUPIGANIA INNSHAALAH AMINA
Unaesema.bandari unajichosha tu dhambi inaharibu uchumi wa nchi.Elia.alimuambia.ahabu mvua.haitanyesha isipokuwa.kwa.neno langu.jamani.kama.tunaona.dhambi inazidi tusiwafariji watu njaa kubwa.magonjwa makubwa vita uchumi wa dunia.kwa.heri
God bless you man of GOD
Anayejua mambo yoyote yatakayotokea duniani ni Mwenyezi Mungu aliyetakasika tu na si mwingine.
Apana iyo ilikua kinyume alionyeshewa Kenya iyo,sisi atuna mbamba mba
Kaa apo
Mungu akubariki mtumishi
May the almighty God have mercy upon us
Barikiwa sana mtu wa Mungu
Ikawe kama ilivyo tabiliwa kwa jina la yesu kristo,
Aminaa nabii weka wazi MUNGU akoe nch yetu baba
Mtumishi Mimi naitwa EMANUEL DAVID.....Kuna ndoto niliota ...niliona jeshi la nchi yetu lime kusanyika na katikati ya kusanyiko hilo kulikuwa na jukwaa lililo pambwa vizuri lakini likiwa halina msemaji likiwa tupu
Siyo ndoto nzuri
Aaah hiii inshu ya kariakoo Leo 16/11/2024 eeh mungu tusaidie
Nabalikiwa sana mungu akutunze na uzidi kutuombea
I feel blessing and peace when i listen your unabii ❤❤❤❤❤ God gives you power 🎉
Mungu atusaidie mabaya yasitokee
Natamani dunia yote wayaone ha maneno unayo Nena baba najua Mungu ametupa wewe Kama taaa ya tanzania
Yeeeeeeeeeeees prophet of God
Ombeni Mungu musikuwe na hofu tena muache dhambi Mungu atabadili mambo
❤
Asante kwa unabii
Msiba wa kiongozi mkubwa aliyewahi kua waziri mkuu tayari unabii umetimia jana lowasa kafariki na Tanzania inaomboleza
Asante mtumishi Kwa kutujuza
Prophet Edmound is a true man of God….kubali kataa but He is
Hawa manabii wa uongo wamejazana sana Tanzania na hii ni dalili ya kiama, hii ishu kaitengeneza kiakili kwa mtu msomi ataelewa pia kuna shida ya kuabudu miungu mingi hapo ndipo mnafeli.
According to you.
14:39
@@RastaSumasi wanakusanya sadaka tu hawa, maana akishatamka hayo watu wanakimbilia huko kusikiliza na kutoa sadaka ndo utawaona wao wanakula na kushiba matumbo hayo yamevimba kama nini kumbe sadaka za watu😂 Tafakarini wanadamu wenzangu mi namwamini MUNGU pekee .
Kwa watu wenye elimu ndogo watasema hivyo lakini watu wenye elimu ya Mungu wa kweli aliyeumba mbingu saba na ardhi saba na viumbe vyote kwa uwezo wake asiyehitaji msaada wa viumbe.Nasema huyo ni nabii wa uongo kama alivyosema Mwenyenzi Mungu kuwa siku za mwisho kutakua na manabii wa uongo.
IN GOD WE TRUST ❤❤
First time to see and hear you, may God continue to annoint and use you .
Huu utabiri nimeupenda ila niuongo mtupu napenda itokee hivyo hivyo
Barikiwa sana
Mungu akubariki sana mutumishi wa mungu
Kuhusu kitambaa cheupe niliwahi sikia aliweka sadaka ya damu ya mnyama so inaweza ikawa kweli Mungu azidi kukutumia
Na kuhusu Riverside inawezekana maana wanawake wanajiuza hazarani tena hadi aibu aiseee Mungu atusaidie.....
Shalom! Nakili namba yetu ya huduma! Baba anahitaji kuongea na wewe🙏🏾
Mungu atuvushe
@@ProphetMysticNimebarkiwa snaaa.. Naomba namba ya kutuma sadaka
Ubarikiwe Nabii Mungu amejibu maombi
Fillmasson. Mtihani sana Duniani.Mungu akuambie ww. Sweitwanihuyo si Mungu wetu
Ni keli kabisa mungu wenu waislam, siyo mungu wa wakriato. Kwan nyie mnaabudi na mapepo kama majini lkn wakristo wanamwamini yesu na Kam njia pekee ya kwenda mbinguni
@@miltonjohn9779 mbona majini waliamuliwa waingie kwa ngurue mnaokula wakristo ndio mnamapepo
Njo kanisani halafu umwambie Mungu wako azuie taarifa kwa mtumishi, hapo ndo utakua who is a true God
Mtumishi Mungu akitumia mpasavyo
Ila Watumishi wa Mungu mtambue dunia imebadilika acheni kuwatembelea hata kukutana nao mbali na eneo la huduma watu hawa hasa wasio na wanaume. Jamani kesi nyingi zimewakuta watumishi wa Mungu Mungu atusaidie. Halafu mnapogombana mkamalizaneni huko au ukipewa mafunuo kwa mtumishi mwenzako muite muonye maana maubomoa mwili wa Kristo ndio maana watu wanasema duniani hakuna manabii wala wachungaji hasa madhehebu ya Kipentekoste. Watu wameacha kuwaamini ila ni kwa sababu mnajibomoa wenyewe. Tizama Katoriki ikitokea Mpakwa mafuta akakengeuka anaitwa kwenye vikao vya siri na hata ikiwezekana vaticani hiyo yote ni kulinda mwili wa Kristo usichafuliwe. Mungu atusaidie.
Barikiwa sana mtu wa bwa mafuta hayo yasipunguke juu yako
Ubarikiwe MTU wa Mungu ninekukumbuka Sana Nabii Edimund
Tuwasiliane🙏🏾
Naomba namba yako mtumishi wa Mungu, huduma hii uko wapi
Naomba namba Yako Mtumishi wa Mungu unisaidie@@ProphetMystic
@@ProphetMystic,mtumish shalom, mimi nina shida na maombi ,nipo nje ya nchi, bab nisadiee
Bwana Yesu asifiwe baba naomba maombi yako.
Yer 29:11-14 SUV
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka. (neno la bwana ni Taa na mwanga wa njia zangu hunimulikia..kila nnapokwenda🙏)
Eee....Mungu tunaomba uturehemu Watanzaniaj
Tuzidi kumlilia mungu Kwa Toba. Tuombe Sana Kwa ajili ya Tanzania na vizazi yetu. Tuombe Sana.
Tumebalikiwa na ujumbe wako mtumishi 🙏🏽 mungu awe na sii amn
Nabii wa kweli ni yule anaye zishika amri za mungu
Nisaidie rafiki na mi nijue kwani huyu hazishiki amri za MUNGU ??
Pole sana
@VenanceMgnamba tafadhaliema-xu6bq
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa unabii
Wamekuwa wakituongoza kwa kutumia nguvu za giza hakika Yesu kristo hajawahi kukaa kimya kwa wamuombao,
Mungu akubaliki nabii wakweli wa mungu tayari unabii umeanza kutimia