Shuhudia mwanzo mwisho mwili wa Yusuf Manji ukizikwa Florida, Marekani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • Mwili wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji, umezikwa usiku huu Orlando, Florida nchini Marekani baada ya kuswaliwa katika Msikiti Al Hayy.
    Manji alifariki dunia akiwa hospitalini nchini Marekani, ikiwa ni miezi miwili tangu alipofanya mahojiano marefu na Mwananchi Dijital akiwa jijini Dar es Salaam.

КОМЕНТАРІ • 465

  • @SultanMilizar
    @SultanMilizar 2 дні тому +22

    Siku zote tuombe M Mungu atupe mwisho mwema

  • @user-wl8qm2yj2c
    @user-wl8qm2yj2c 2 дні тому +12

    Mmh mtihan uwo wallah 😢 mwenyezi mungu amsamehe madhambi yake

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 День тому +13

    Sasa kama tajiri kazikwa hivi je masikini anazikwaje huko i love Tz🇹🇿

    • @user-ds7ho1my4u
      @user-ds7ho1my4u День тому +1

      Huyu SI tajiri Huko Marekani, Tajiri wa Tanzania kwenye Nchi ya Watu Ambao, Wanawaona Wahindi ni Miungu Yao, Marekani watu Huwa hawaende Kula Pilau Kwenye Misiba, Kila Mtu ana Shughuli zake, Kumbuka Maiti ni Mzoga tu, kama Mizoga Mingine.

    • @NuruBomba
      @NuruBomba День тому

      Maskini unachomwa moto

    • @user-wl8qm2yj2c
      @user-wl8qm2yj2c День тому

      @@NuruBomba nasikia Wana sagwa au uzikwe kwa kusimama bajeti stidhi

    • @user-wl8qm2yj2c
      @user-wl8qm2yj2c День тому +1

      @@NuruBomba nasikia Wana sagwa au uzikwe kwa kusimama bajeti stidhi

    • @user-wl8qm2yj2c
      @user-wl8qm2yj2c День тому

      @@NuruBomba aridhi yao bajeti

  • @umsoud3306
    @umsoud3306 2 дні тому +23

    Ya Rab, na sisi Atupe Husniy Alkhatimah Amiin

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde День тому

      Maisha ya mwanadamu ni kama maua tu yanachanua baada ya muda yananyauka😢 dunia ni kituo cha kupita tu na kuendelea na safar tusijisahau kwani kila pumzi moja unayopumua ndivyo umri wako wa kuishi unavopungua

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 2 дні тому +19

    Aendelee kumpumzika kwa Amani kweli pesa haina thamani mbele ya kifo, Pendaneni jamani na kumrudia Mungu maana sisi sote tuu wapitq njia tunapata wapi kiburi cha duniani

  • @tumainielmaruwa3148
    @tumainielmaruwa3148 День тому +5

    Umasikini kitu kibaya sana Tz tungefunga barabara nchi za watu familia tu inazika😭

  • @user-ke8yf4en3y
    @user-ke8yf4en3y 2 дні тому +15

    Nasikitika kwamba kwa nini kazi kwa huko,huyu alikuwa ni mtz mwenzetu,huku angepewa mazishi ya hishma kubwa kwa kweli,ila basi,ardhi ni iyo iyo tu.pole manji na wanao.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 День тому +2

      Mazishi ya heshima hayakupeleki mbinguni

    • @janifajani8875
      @janifajani8875 День тому +3

      Nilicho gunduwa hawajataka wafiki wa serekali wangejaa kuoji mambo kibao ambayo niyakinafki

    • @zenasalum2231
      @zenasalum2231 День тому

      C kazi labda alkua na uraia wa hiyo nchi

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 День тому

      ​@@janifajani8875 hakika unacho kiongea nikweli

    • @user-fk1fd8on6e
      @user-fk1fd8on6e День тому +2

      Baba yake pia arizikwa hapo pia hakuna chaajabu kikubwa duaty❤❤❤

  • @user-hl6sm1wf6g
    @user-hl6sm1wf6g 19 годин тому +4

    Asiyekujua hakuthamini hii inaonyesha hilo hana watu wanaonjua huko ni familia tu si sawa na huku kwetu ingekuwa hatari maana watu wa mpira na wa ccm mahutuba kibao lakini wapi ila Cha muhimu amefika na Allah tunakuombea umpokee kwa amani😭😭😭

  • @umsoud3306
    @umsoud3306 2 дні тому +15

    Allaah Amrehem Ampumzishe Fii'jannah, pamoja na Wa Islam wote, Amiin thumma Amiin

  • @abdulabdy6822
    @abdulabdy6822 2 дні тому +8

    Innalillah wainnaillaih rajiun..Pumzika Kwa amani ndugu yetu Yusuf Manji.. Allah akujalie kauli thabiti Insha Allah

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab День тому +3

    Watu Msijifanye Amjui Omba Mungu Mwenyewe Kabla Ya Kufa Usisubili Kuombewa Umewaeka Watu Wa Kukuombea Duniani Wako.Pia Wanyama Wakali C Bola Uyu Ameonekana Wapi Kazikwa Kila Mtu Ajiombee Akiwa Hai Kosa Lao Lipi Apo Kumzika Eshima Ya Binadamu Uzima2 Ukifa Eshima Yako Inaenda Unakoenda Kukaa Mpaka Kihama Ndio Funguo Yako Ya Moto Au Peponi

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 День тому +1

    Yusuph alikua mtu mwemye roho nzuri sana

  • @mgalami
    @mgalami День тому +2

    Uwe mwislamu,uwe mktisto,uwe mpagani,ainayeyote ya mazishi utakayoganyiwa.Bado hakimu wetu ni mmoja tu!Mungubpeke yake

    • @HarounRashidKuyawa
      @HarounRashidKuyawa День тому

      Uislamu Una utaribu wa kuzikwa na c kuzikwa kama kuzikwa Tu na pia waislamu hakimu wao ni Allah na wakristo hakimu wao ni yesu tunaamini tofauti,Ndo maana waislamu tunaenda misikitini na wakristo kanisani Kila mtu na Mungu wake.

    • @user-eb9zd6ly7u
      @user-eb9zd6ly7u 22 години тому

      NDUGU YANGU,CHANGAMOTO KUBWA KWENYE MAMBO YA IMANI NI ELIMI NDOGO,ANAETUKANA HAPA,HUENDA HATA "A" HAIJUI,NA AMEKUA KWENYE MAZINGIRA YA NAWA UENDE KANISANI/MSIKITINI,KIUFUPI NI KWAMBA,AMEMEZESHWA MANENO YA BIBLIA AU QURAN,BORA ANGEMEZA MWENYEWE,SASA KAMEZESHWA,MZEE!,KUMTAPISHA ALICHOMEZESHWA NI SHUGHULI KWELI KWELI."DUNIANI MNAYO DHIKI,ILA JIPENI MOYO,MIMI NIMEUSHINDA ULIMWENGU",MWISHO WA KUNUKUU.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 День тому +3

    Matusi ya nini sasa mnaswara?Pilipili usoila yakuwashia nini? Jikague,nafsi yako inakutosha. Tafuta namna uinusuru.

    • @loishiyesamwel1374
      @loishiyesamwel1374 День тому

      Kwa Mungu hakuna cha Mnaswara, Ni maisha uliyoyaishi Duniani period. Baki hivyo 👋 hivyo.

  • @BabuLumadha
    @BabuLumadha День тому +1

    Mwenyezi mungu ampunguzie madhambi yake

  • @farajapeasonmagota8226
    @farajapeasonmagota8226 2 дні тому +4

    Inawahusu nn mtu atajuana naMungu wake acha ujinga

  • @user-rd2fw2rh5i
    @user-rd2fw2rh5i 2 дні тому +4

    Ulaya na marekani hawaziki kama sie uvae sanda tu huko lazima utiwe kwenye sanduku alafu kaburi moja kuna grofa 2 mpka 3 shimo ilo ilo mnazikwa watu 2 au 3 kwa mpangilio lkn au yy Tajiri kwa sabab anawez kuzikwa pekee yake alipie shimo miaka 50 au 100 pia inawezekan uwo ndy utaratibu wao ulaya na marekani yte na canada

    • @vicentmapunda3146
      @vicentmapunda3146 9 годин тому

      Lkin waislam hawazik na jeneza!lkin sasa, kabur moja marehem wa tatu!.... ? Sasa hpo nje majin yakuwaje

  • @user-cj2kl7cd9k
    @user-cj2kl7cd9k 2 дні тому +2

    Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun Allah atupe mwisho mwema

  • @user-qn8ig9ey6b
    @user-qn8ig9ey6b День тому +2

    Kengemwenyewe mbwakokowewe hujuikitu mazishi ktk dini ni ibada nakila ibada inataratibuzake acha kusemea mambo usiyo na elimu nayo

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 дні тому +3

    Mbona kazikwa ivi subhanallah

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 20 годин тому +1

    Ndugu yetu yake yameisha kazi tunayo tulio bakia timche mungu sana

  • @IbrahimHassan-yc2nk
    @IbrahimHassan-yc2nk 2 дні тому +2

    pumuzika kwa amani.

  • @mdl6463
    @mdl6463 День тому +1

    Wangemleta hata tanzania wamuage kwa heshima kaajili vijana wengi katoa support kwa tanzania

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e День тому +1

      Miislamu unamuagaje ndugu popote arrdhi mambo. Ya kusaafirisha musiba hayafai katika uislamu utakapo vutia watu wakuzike hapo hapo

    • @deogratiuskisinga5978
      @deogratiuskisinga5978 День тому

      Mbona mwinyi walimuaga@@user-yj5on8cz3e

  • @hakunamatata9919
    @hakunamatata9919 2 години тому

    RIP,,,,, hawa wenzetu watakua na uraia wanchi mbili,Marekani kama sio raia huzikwi huko

  • @tukuyufm.
    @tukuyufm. День тому +14

    TUJIFUNZE KITU HAPA.
    KIFO KINAAIBISHA MWILI.
    TUSIPAMBANE SANA NA MAISHA YANAYOISHA. Tuzikane aina zote za mwili, tuwekeze maisha yetu rohoni ambako maisha hayakomi. Mali si kitu tunaziacha, tumwachie mungu maisha yetu. TAZAMA VIDEO HII KWA MAKINI UTAELEWA .

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 День тому +1

      Subhallah Huwo Ndio Ukweli Tuaache Kuipa Kipau Mbele Ndunia Kwa Anasa Mali Na yote Yatakayo Kuwa Hayatatufaa Kesho Akhera Tuaangalie Sana Kuhusu Hilo Allah Msameh Mjawako Wajawako Wote Waliotangulia Na Utajaalie Khusnilkhatima Njema Yarabiy..

    • @tukuyufm.
      @tukuyufm. День тому +1

      @@muhammadmuhammad5043 ✔

    • @user-wl8qm2yj2c
      @user-wl8qm2yj2c День тому +1

      Enh pumzi Zina tuhadaa sana wanadamu alioko makaburini walikuwa mahodari kama sisi ukiwa na chembe ya Imani Kila siku katika maisha yako usisahau kuhusu kifo tumezaliwa dhalili na tuna Rudi dhalili wallah mwenyezi mungu mkubwa Allah akbar 😭

    • @tukuyufm.
      @tukuyufm. День тому

      @@user-wl8qm2yj2c Allah Akbar mwenyezi mungu ni mkuu, tumche yeye tuinusuru ahela yetu tusinusuru vyeo, utajiri na anasa za dunia hii itakayokuja kukunjwa kunjwa kama karatasi na kutoweshwa. Kupitia kifo cha mmoja Mungu huachilia vipindi vya masomo tujifunze, tujirekebu na tujiadibu wapi nafsi na roho zetu zilipo? tuna hali zipi, je ni za dhambi au ni za mema

    • @rashidisaidi8535
      @rashidisaidi8535 День тому +1

      Ata tukiziacha kwani mbaya tukiwa nazo??

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 День тому +1

    May his soul rest in peace

  • @MalimaMashaka-cd6ej
    @MalimaMashaka-cd6ej День тому +1

    Mbona sijaona ka mwana ndani Dunia wote ni mchanga

  • @medystarter
    @medystarter 10 годин тому

    Kuna kuzikwa na kufukiwa inna lillahi wa inna ilayhi raji'un poleni kwa msiba familia ya manji na mashabiki wa timu ya yanga Kuondokewa na mwenyekiti wa zamani

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 20 годин тому

    Mungu ninaiombea roho yake kwa mema yake umjalie apumzike kwa amani.

  • @user-iq5ew2fn3r
    @user-iq5ew2fn3r 2 дні тому +7

    Acheni ushamba kazikwa kislam tofauti kidogo

    • @user-mj5jk5mq7p
      @user-mj5jk5mq7p День тому +2

      Em tuambie ndo kazikwaje kiislam hivyo

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl День тому +1

      Hajazikwa kiislam mjomba,usijidanganye😢😢😢😢

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e День тому

      Nchi yenyewe ya makafiri. utazikwaje kiislamu marekani uislamu wao wa kuigiza hamna maazishi ya namna hiyo

    • @devisshirima6780
      @devisshirima6780 День тому

      Mnabishana nini sasa !! Kama kaingia ardhini ndo keshazikwa, hizo sheria ni mbwembwe tuu za humu duniani cha msingi sote tunarudi udongoni, urudi kikafiri, sijui urudi kihindu, sote ni mavumbi !!

    • @Munyama675
      @Munyama675 14 годин тому

      ​@@MinskBelarus-il2tlAmezikwa kiislam kabisa, Huku tunaweza Mwanandani kisha tuzibana na miti, lkn Marekani wanazibia na vipande vya zege. Kwenye mwanandani

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 День тому

    Allah amsameh makosa yake na atupe mwisho mwema

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дні тому +1

    NA NDIO MAANA TIMU ZILIKUWA AZIFANYI VIZURI NA WAKO WENGI WANAJIFANYA WATANZANIA KUMBE C WATANZANIA

    • @AsmaAmeir-s3b
      @AsmaAmeir-s3b День тому +1

      Dah muombee Dua kwanza timu utaiyacha kama alivyoiyacha

  • @user-jb8bo2qw6r
    @user-jb8bo2qw6r День тому

    Kumbukeni mwimbo wa Samba Mapangala:"Dunia tunapita eee,binadamu ni mchangaa eee. ......itakayobaki ni milima"
    Inna lillah wainailah raji-un.

  • @riyadhamasha2404
    @riyadhamasha2404 2 години тому

    Hii ndo dunia inayotuhangaisha kutwaa kuchaa,tuishi tutakavyoishi tuwe matajiri tutakavyokuwa au tuwe masikini tutakavyokuwa lkn mwisho wetu ndo huu,kwann sasa tuchukiane😢,visasi vya nn?

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 17 годин тому

    Huyu mbona alikuwa mtu mwenye pesa zake:kwanini hakurudishwa Tz way au mwenyewe alitamka azikwe huko? Mwenyezi Mungu muweke mahala pema peponi Amina 😭😭😭😭😭

    • @saumumgonja2665
      @saumumgonja2665 Годину тому

      Ami nimeshangaa kweli kweli kwann azikwe huko jamaniiiii

  • @saidshauri
    @saidshauri День тому

    amin mungu ampumzishe kwaaman

  • @user-mo2sb2nh8u
    @user-mo2sb2nh8u 2 дні тому +7

    Mbona amezikwa tofauti na maziko ya waislamu

  • @user-jb8bo2qw6r
    @user-jb8bo2qw6r День тому

    Hivi baadhi yetu sisi Watanzania tumerogwa na nani kiasi cha kutumia muda mrefu hata kutukanana juu ya kifo chaYusuf Manji!Tunahoji nini!Mbona hatuhoji kwa nini majizi yanayotajwa ktk report ya CAG hayachuliwi hatua za kisheria?

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 дні тому +16

    Mara 1000 wangemsafirisha tanzaniya kuliko huko walikomzika pesa wanazo sijui walifikiri nini kumzika hivo haya mungu mkubwa tumwachiye yeye ndo hakim wa kweli na mjuzi wa wajuzi

    • @bujimuluhanga1804
      @bujimuluhanga1804 2 дні тому

      Baba yake alizikwa hapohapo nadhani ndo maana yao kubwa awe karibu na mzee

    • @uwesusinde9976
      @uwesusinde9976 2 дні тому

      Ili watie stori sio

    • @ivanamkapa2369
      @ivanamkapa2369 2 дні тому

      Aliamua yeye kabla hajafa akifa azikwe alipo zikiwa baba yake huko malekani

    • @asiaali1124
      @asiaali1124 2 дні тому +4

      Muislam popote anazkwa atanwamzike.vyivyote km Ni MJA WA Pepin ataingua tu ishallah Pepon Allah amsamehe mazambi yk na Sisi atupe mwisho mwema amin

    • @uwesusinde9976
      @uwesusinde9976 2 дні тому +3

      Ila ukimzika vyovyoye bila ya kufuata misiki ya uzikaji ni kosa na watakaomzika hivyo watapata dhambi.

  • @christophermbuga9623
    @christophermbuga9623 День тому

    Kwa nn kazikwa Marekani?

  • @stateofart1089
    @stateofart1089 13 годин тому

    Watanzania acheni USHAMBA, ukizikwa na mamilioni ya watu haufufuki. Wenye pesa ndefu hua hawa fungi ndoa za mamilioni ya watu wamejaa wanapenda mambo yawe kifamilia tu!! Kusikia na familia tu, ni sawa kabisa na jambo la busara sana!!

  • @Tikmelody-tp9cg
    @Tikmelody-tp9cg День тому

    Asant mungu Kwa kuzaliwa tanzania unazikwa na katapila pesa zote izo mungu ailaze roh ya mareem maali pema peponi

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule День тому

    Mbona siwaoni masheikh kwa wingi zaidi ya kuwaona member wa frimason tu

  • @user-uq5pg3eg5v
    @user-uq5pg3eg5v 17 годин тому

    May God rest his soul in peace. remember in life you come empty handed you go empty so it is irrelevant how you are buried according to your richness of life on earth.. we came from the ground empty handed we go back to the ground empty handed and leave all our wealth on earth.. All wealth belongs to the creator .. Amen

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 День тому +1

    Huyu jamaa alikuwa ni wa dini gani ? Mimi nikidhani ni muislam lakini naona amezikwa kitwaghuti

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 День тому

      Hujaona video yake mwili ukionbwwa msikitini nahayo maneno unazani niyadini gani

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дні тому +1

    KUMBE MANJE ALIKUWA MMAREKANI C MTANZANIA NA NDIO MAANA ALIKUWA FISADI NA WIZI

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj 16 годин тому

    Mmh 😢😢😢😢

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 дні тому

    Nimependa mazishi yake. Mungu ampe kheri

  • @user-rv3qy2cy2r
    @user-rv3qy2cy2r 12 годин тому

    Hata angezikwa vip haimsaidii yey kwenda mbinguni km ni wa kuzimu ni wakuzimu kam ni wambinguni ni wambinguni tu .. kila la heli pesa siyo kila kitu tujitahid kuwa na mwisho mwema 😊

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 2 дні тому +3

    Mbon mazishi hayaelewek kabur fup😢😢

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 День тому +2

      Subiri ufe wewe ,wakuzike kwenye kaburi refu , stupid question

    • @guydonacklandgereta3805
      @guydonacklandgereta3805 День тому +1

      Unaonyesha uko Dunia ya miaka ya zamani sana uko nyuma kama miaka 300 hivi tembea tembea kidogo acha kukaa bongo peke yake

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 19 годин тому

      😂😂😂😂huko hakuna waganga wa kwenda kutoa viungo vya binadamu.

  • @MohdJuma-ex2zw
    @MohdJuma-ex2zw 10 годин тому

    Mazishi ya kiislam hayana tajir wala masikini wote ni sawa vazi moja tu nguo nyeupe mungo wa pipi ardhi ndio tandiko mola atupe safari njema na kauli thabit.mola amsameheme makosa yake na mlaze mahali pema peponi amiin .innalilah wainnai laihirajiwn .sisi sote ni wa mola na kwake tutarejea .

  • @HusseinChai
    @HusseinChai 2 дні тому +1

    Kaziikwa marekani eeeh h

  • @macknonkibona2401
    @macknonkibona2401 День тому

    mbona jeneza tena hadi ndani ya kaburi?na anafukiwa bado akiwa ndani ya kaburi?au sijaelewa Dini vizuri.

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 2 дні тому +1

    Innalillahi wainnalillah rajiun

  • @user-mj5jk5mq7p
    @user-mj5jk5mq7p День тому +1

    Mbona kazikwa kikafiri😢

  • @IssaHamad-w7q
    @IssaHamad-w7q День тому

    Kiuhalisia hakuzikwa kiislamu,jamani bora angeletwa Tanzania tukamzika!!!!!

  • @sosmakanya4901
    @sosmakanya4901 День тому

    Mbona kazi kwa na jeneza

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 10 годин тому

    Rip 😭😭😭🙏

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 дні тому +2

    manji Gani huyu aliekua muelekezaji wayanga au

  • @ElizabethThomas-fj2sw
    @ElizabethThomas-fj2sw 2 дні тому +2

    Yaani ndugu zangu nyie ni washamba akyamungu,sasa mlifikiri ulaya wanazika kama nyingi wamakonde wa kumemena!?? Shenzi!.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 дні тому

      Sio ushamba ni uelewa tumekaa huko ulaya na mpaka sasa tupo inategemea kuna watu wamezikwa kama bongo tu ispokua Huyu hakua muislam wa dhehebu la suni ambao hao wamezoea kuzika huku ni hiari yenu hulazimishwi uzike vipi so hakuna standard ya watu wazikweje

    • @salvatoryboniface1089
      @salvatoryboniface1089 Годину тому

      We mngese umakonde umekujaje hapo? Muka Sana ww koto kubwa Sana Acha au utonambwa? Au lwafinau? Wamakonde ndo mfano wako cndyo Acha upuuzi

  • @BinkanaKinyasi
    @BinkanaKinyasi 2 дні тому

    INNALILLAH WAINAILAH RAJIGHUNA 😢

  • @MasudiNangololo
    @MasudiNangololo 13 годин тому

    🙏🙏🙏

  • @shalemu
    @shalemu 2 дні тому +2

    Amezikwa kiislam ndugu zangu hapo usasa ndio mwingi sema tunataka vumbi litimke

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 День тому +1

      Kiislamu wakati maiti imekazws kichalichali.
      Maiti ya Kiislamu kaburini hailazwi kichalichali. Kama si Muislamu nakuomba usinitusi.

  • @josephatthadeo6119
    @josephatthadeo6119 11 годин тому

    Rest in peace

  • @Nasbkiu832
    @Nasbkiu832 День тому

    Innaalillah wainnaailayh raajiuun 😭

  • @user-lt2wb6hb9h
    @user-lt2wb6hb9h День тому

    Jamani mbona mnatoleana mapovu kiasi hivyo sisi ni waja wa Mungu na kwake tutarejea.

  • @TwinaweEnterprises
    @TwinaweEnterprises День тому

    Matendo yake mtu ndiyo yanayomkutanisha mtu na Mungu wake na si aina ya maziko. Wapo wanaoungua kwenye nyumba, magari au ndege. Haimanishi kwamba hawatauona ufalme wa Mungu.

  • @YusuphShira
    @YusuphShira День тому

    😢😢😢

  • @ShafiiPilla-qe2iu
    @ShafiiPilla-qe2iu 2 дні тому +1

    Dini haina nchi ya watu

  • @Charleshamisi-hi4nn
    @Charleshamisi-hi4nn День тому

    Stephano wewe ni noma

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 23 години тому

    WAHINDI WALITAKA WAPANDE NDEGE KWENDA MAREKANI KUMZIKA NDUGU YETU

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md День тому

    Huu ndio mwisho wa kila mwenye mwili baada ya pambano kali la maisha ya dunia hekaheka za kusaka mali majina na heshima mwisho unalazwa mavumbini kama alalavyo mnyama kimya hakuna longo longo wala hakuna ukanja nja amli ni moja kusubili mshahala kwa kazi zetu zote

  • @HassanKibindo-ti1nu
    @HassanKibindo-ti1nu День тому +1

    Unaesema acheni udini we ni zombi aujui misingi ya imani ya kiislam ko tulia

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 День тому

    Inalillah wainna ilaih rajiuun

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 дні тому +2

    Kuna tabia za kijinga kupitiliza. Nilifikiri waumini wa imani yake wangetumia muda wao kumwombea dua muumini mwenzao badala ya kulalamikia mazishi yake, kwamba kazikwa kikafiri!

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 9 годин тому

      Inawezekana wee ndo ukawa mjinga mana hutambui hisia za watu na Iman zao kwa Mungu wanao Muamin!badala yake ubongo wako unatukuza tamaduni za watu na kutoamin kinachotakiwa ukiamin

  • @MaimunaSaidi-tu2hs
    @MaimunaSaidi-tu2hs 2 дні тому +1

    Kwali Dunia si kitu tajiri anazikwa na greda alaah ndio Kila kitu

    • @fadhilimohamed5069
      @fadhilimohamed5069 День тому +1

      Tafuta pesa usafiri acha kukaa bongo huku ulaya hatunaga muda wa kushika koleo tunafukia na Gleda kurahisisha kazi

  • @sabinahobe3478
    @sabinahobe3478 2 дні тому

    Sorry jmn napenda kujua kwani alikuwa ameshahama Tanzania anaishi Marekan? Na je ni muhindi au mwarabu?

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 2 дні тому

      Shia alien kimatibabu

    • @user-sj1rf8ij7f
      @user-sj1rf8ij7f 2 дні тому

      Tz wanakuja kutuibia tu, matajiri walio wengi wanaishi nchi za kitajiri

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День тому

      ​@@user-sj1rf8ij7falikua ktk matibabu ya muda mrefu, tuache chuki maisha ni mafupi, yy nitajiri aliweza kupata matibabu nchi yeyote ile,kuhusu utajiri wake hakupata bure alitumia akili na jasho lake! Kama nirahisi kafanye nawewe tukuone

  • @user-qi3pc2id5v
    @user-qi3pc2id5v 6 годин тому

    kuzikwa usa 🇺🇸 inamana anacheti cha uraiya wa marekani yoyo ambeye anacheti chamarikani lazima azikwe marekani ajalishi kafia wapi

  • @hamidashaban1203
    @hamidashaban1203 19 годин тому

    Kifo Cha yusufu manji ni mawaidha Kila mmoja ajiandae na hayo makazi ukisema ni WA motoni nawewe unajijua ni wawapi? Kila mmoja ajijadili yeye mwenyewe atakufa wapi na atakwenda na Nini Kwa mola wake huwezi kumuhukumu mwenzako nawewe hujajua hukumu Yako fikiria na wewe hukumu Yako ukimjadili mwenzako utapata hasara.

  • @salmahalfani6307
    @salmahalfani6307 День тому

    Kwa maana hio huyo Manji amezikwa Kiislamu ama? Nauliza hivyo maana nahisi kama wameilaza maiti chali. Sijui nimeeleweka.
    Naomba nijibiwe na Waislamu tu. Ndio watanielewa.

  • @IbrahimMotors-vl9ii
    @IbrahimMotors-vl9ii 23 години тому

    Allah amrehem😢😢

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 День тому

    Dahh mbona hajazikwa kiislamu

  • @shafiichongowee8014
    @shafiichongowee8014 День тому

    Matajiri wakizika hawachafukagi na mchanga wa kaburini hiyo mambo kwao mwiko

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 22 години тому

    Inna Lillah wainna ilayhi raajiuni allah ampe kauli thabit

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 дні тому

    Hii safi wakuda kule

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 День тому

    R.I.P Manji

  • @seifmnongane2706
    @seifmnongane2706 День тому

    INNALILAAH WAINAIRAH RAQIUN

  • @YusuphShira
    @YusuphShira День тому

    Tumrudie yesu kristo

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d День тому

    Tajiri unazikwa na mikatapila Ama kweli dunia tunapita

  • @hamidashaban1203
    @hamidashaban1203 19 годин тому

    Naunapoteza muda kumjadili mwenzako jijadili wewe mwenyewe

  • @khamishussein3502
    @khamishussein3502 2 дні тому +1

    Uislam wa magharibi bana asa ndo vitu gani sasa

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 дні тому

    kwan manji hakua mwislamu mbon kazikwa na sanduku ?????

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 дні тому

    Mm uyu si muislam uyu ss mbona wmazima ivi kaa mungu wangu

    • @guydonacklandgereta3805
      @guydonacklandgereta3805 День тому +1

      Inaonyesha hujawatoka nje ya bongo pole sana iko siku utajua mazishi kama hayo ndiyo mpango mzima

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День тому

      ​@@guydonacklandgereta3805yani ngumu kuwaelimisha hawaelewi niutaratibu wa pahala uliko, na kufuata utaratibu kwa nchi kama hizi nikawaida mbona

    • @MahmoudDouchi
      @MahmoudDouchi 19 годин тому

      ​@@guydonacklandgereta3805captain waonesha una ulimbukeni fulani wa maisha ya nje ya nchi eneee????

  • @MnyoriShow
    @MnyoriShow День тому

    Nawao wakazikwe kalifonia km niraic

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 День тому

    Kila Tz akili zetu matokon kazikwa vibaya mara aletwe Tanzania kwani ukizikwa tanzania ndo unaenda mbinguni au??? Yaaani mtu akifa hana thamani tena tendeni mema mkamrudie Muumba wenu ili mkifa roho zetu zikastareheee

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дні тому

    NA MTOTO WA KIKWETE NI MUUJUMU UCHUMI ALIKUWA ANA TETEA SANA MANJE

  • @wazirally1791
    @wazirally1791 20 годин тому

    Innallillah waina ilaih rajuun, inafikirisha kidogo mbona kama amezikwa si katika nguzo za kiislamu?? nauliza kwa hoja
    Sisi huzikwa kwa sanda, pia huifadhiwa kweny mwanandani si kwenye jeneza.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji День тому

    BINADAMU HAPPO NDIO MWISHO WETU TUKAE TUTAFAKARI DUNIA NI MAPITO

  • @tahiyasaidi6532
    @tahiyasaidi6532 2 дні тому +4

    Haya sio mazishi ya kiislamu..

    • @reisezone4574
      @reisezone4574 2 дні тому +1

      Elewa kila nchi in taratibu zake za kuzika

    • @ZainabLol-wx7xf
      @ZainabLol-wx7xf 2 дні тому +1

      YA KI ISLAMU YAKOJE

    • @hamynas
      @hamynas 2 дні тому +1

      haya ndiyo maziko sahihi
      unazijua haki za maiti wa kiislamu?
      kasome uelewe kwamza

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 2 дні тому +1

      ​@@hamynaskasome ww kwanza maana hata huo uislamu huujui

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 2 дні тому

      Ml​@@hamynas

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 дні тому

    Si wangemsafirisha tu kwao tz