Hakika mmeitendea haki hii nyimbo ,Nyimbo imejaa tafakari nzito mno kila nikisikiliza narudia tena nyimbo Nzuri mno 🎉🎉UTUREHEMU EE BWANA KWA KUWA TUMETENDA DHAMBI 🧎🧎🙏
Hakika Mwalimu Hillary bwagid unatubariki sana na nyimbo hizi lakini Mwalimu tunaomba nota za WEWE WAJUA KUKETI KWANGU kwenye Swahili music haupo wimbo huo unanibariki sana mwalim
Mtunzi ninayemkubali sana kaka yangu Hilary Bwagidi, safi sana. Hongereni waimbaji
Ongereni sana kwa uimbaji mnzuri na Mungu awabariki
Hongeren sana kwa wimbo mzuri
Mungu ni mwema hongeren San kwa Kaz nzur
Hakika mmeitendea haki hii nyimbo ,Nyimbo imejaa tafakari nzito mno kila nikisikiliza narudia tena nyimbo Nzuri mno 🎉🎉UTUREHEMU EE BWANA KWA KUWA TUMETENDA DHAMBI 🧎🧎🙏
Mbarikiwe
Hongereni sana
Kazi nzuri sana 😍😍😍
Mungu awabariki 🙏🙏🙏
Very cool songs 🎵
Altooooo 🔥🔥🔥
Wangeachiwa kwenye kuingiza sauti wangepasua kuta. But kawafinya kuiruhusu soprano kuvunja pis
Mmeimba vizuri sana👏👏👏👏
Wimbo mzuri sana. Bwagidi katika ubora wake kama siku zote. Hongereni waimbaji na mpiga kinanda kwa kuutendea haki utunzi huu
Kaka naomba mawasiliano ya mtunzi au copy ya huu wimbo please🙏
Hongereni sana kwa kazi nzuri!
You have done very good
Mbarikiwe na Bwana
Hakika Mwalimu Hillary bwagid unatubariki sana na nyimbo hizi lakini Mwalimu tunaomba nota za WEWE WAJUA KUKETI KWANGU kwenye Swahili music haupo wimbo huo unanibariki sana mwalim
Don't stop there, especially with the emotion in your voices, you're really touching❤
Good voice 🥰 nice
Thanks a lot, Ujumbe wenye himizo la Toba.
The Galaxy Pro, nawaelewa Sana, Kazi zenu zina utulivu na Usiku murua. Thumb up!
Nice🙏
The first class Music Melody, choir sang, in this kwaresma 2023. Be blessed all
So nice indeed👌🏻
Mbarikiwe sana wapendwa katika kristo 🙏🙏🎧
Ahsante kwa baraka hii ya uimbaji 🙏🙏
super🔥
Mubarikiwe na mungu
AMINA MBARIKIWE Sanaaa🙏🙏⛪🥰
tumwimbie mungu katika roho na kwel
Safi samaa
Beautiful singing
Safi sanaaa
Blessed