Hakuna kupita kule wala huku kiufupi hameni mabondeni jaman mtakuja poteza maisha mvua zinanyesha usiku mkiwa mmelala mtajikuta mpo Jangwani huku mnaelea aisee binadamu hawaogopi haya maafa ya maji sijui kwann
Hilo MiMi nimekulia Hapo ukweli kwamba mmevamia makazi ya kambale SASA makambale yamelia kwa MUNGU MUNGU kasika kilio chao kashusha furiko hameni waacheni makambale free 😡
Nduguzetu hameni hameni mabondeni hakuna dawa ya kuepuka majanga zaid ya kuhama kwenye njia ya maji serikali haihusiki hapo maamuzi ya usalama wenu upo juu yenu

Duh hakuna msaada maana mkuu wa mkoa amesha sema kama una taka uishi mtoni uta ishi kwa maamuzi yako 😢
Hilo MiMi nimekulia Hapo ukweli kwamba mmevamia makazi ya kambale SASA makambale yamelia kwa MUNGU MUNGU kasika kilio chao kashusha furiko hameni waacheni makambale free 😡
Hameni. Siyo sehemu sahii kwa makazi ya binadamu
Sasa mimi naomba kujua serikali inatakiwa kuwasaidiaje maana kiukweli hapo mlipojenga ni eneo hatarishi sana sana
Nduguzetu hameni hameni mabondeni hakuna dawa ya kuepuka majanga zaid ya kuhama kwenye njia ya maji serikali haihusiki hapo maamuzi ya usalama wenu upo juu yenu
Hayo maeneo syo ya makazi nyie, hapapaswi kujengaaaaa
Kila ki2 msaidiwe c mhame
Yaani unakuta mtu amepanga ameng'ang'ania tu utafikiri amechimbiwa anashindwa kuhama atafute maeneo mazuri??
Fanyeni mpango muweke gabion
Ss serekali itaeasaidia wangspi
Mbona hakuna izo zilizo anguka bondeni nyie niwaongooo hsmeni mabondeni wajinga nyie
Acheni ujinga hakuna nyuma iliyoanguka vimeanguk vibanda
Wewe ndio mjinga huyu mama nyumba yake imeenda wewe unasema vibanda!!!acha dharau
@@maureenlilykiwia1515 sasa mm nlkuwepo tumbafu??