Othman: Patachimbika uchaguzi mkuu 2025

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @RamadhanTonyanga
    @RamadhanTonyanga 8 днів тому

    Mwenyezi Mungu tunakuomba umuangamize kiongozi yyte yule mwenye Nia mbaya na Zanzibar na wazanzibari, itikia aamin

  • @V24hrs
    @V24hrs Рік тому +1

    Naam ..❤❤❤ACT💜💜💜

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 3 місяці тому

    ❤❤❤❤ kiongozi

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 Рік тому +5

    Allah afanye wepesi zanzibar hii Raiya wake hawapaswi kuwa maskini

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 27 днів тому

    Kashindwa SEIF. Utaweza wewe
    ?Endelea na porojo aTusubili
    2025

  • @RamadhanTonyanga
    @RamadhanTonyanga 8 днів тому

    Tunakuomba Mola muangamize Kila kiongozi mwenye Nia mbaya na Zanzibar na wazanzibari Kama ulivomuangamiza Firauni laanatullah

  • @mohamedjuma1331
    @mohamedjuma1331 3 дні тому

    Hana uchochezi wowote nyinyi ni wezi mumezoeya wizi

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 Рік тому

    Wengine wamo ndani ya Qibla kila Ijumaa. Hawaneni kuhusu Haki, Uadilifu, Ubaguzi, hawakemei Ufisadi, Hawajali maisha ya Watu wa kawaida. Wanajinufaisha wao na Genge lao. Wanasema kwa kinywa kipana Wanatia pamba maskioni.... Allah Akbar

  • @lailatamour-c9h
    @lailatamour-c9h 13 днів тому

    utavurugwa wewe kwanza hivi nani atoke kwa maslahi yako na wenzako. tuweni makini sana nchi c nyumba na anaelewa sana omo

  • @mohamedjuma1331
    @mohamedjuma1331 3 дні тому

    Mama yako ndio mwenye ugojwa wa akili wewe unae furahia zulma

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 Рік тому +2

    Mhe. Wewe ni Makamo wa kwanza wa Rais na kabla ya hapo ulikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa karibu miaka 10 hao unaowasema wamedhulumiwa lini na wewe ulikuwa wapi, kwa nini haya msiyazungumze humo ndani kwa viongozi wenzio wa serikali

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Рік тому

      Haji,nafikiri OMO ameonesha hayo huko bungeni katika mchakato wa katiba.Waliodhulumiwa wapo,kwa kuuwawa,kuibiwa,kupigwa kama mbwa,na kunyanyaswa.

    • @saheedali7467
      @saheedali7467 Рік тому

      Mpaka Sasa anasemea nje basi ujue huko ndani ameshasema sana

    • @saheedali7467
      @saheedali7467 Рік тому

      Mpaka Sasa anasemea nje basi ujue huko ndani ameshasema sana

    • @MkashaShaame
      @MkashaShaame 9 місяців тому

      Kampeni 2025

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j Місяць тому

    Utaenda kwwnu kuchuma mabungo na karafuu uje utuuzie masoko alojenga kwerekwe na jumbi😂

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d 4 дні тому

    Omo unaugonjwa wa afya ya akili huko sawa.jitu zima masikini weee. Mchuma janga hula na wa . kwao hilo ulijue .na wewe pia unakula huo mshahara .

  • @jaffaralimakame1533
    @jaffaralimakame1533 2 місяці тому

    ALLA AKUTOZE NGUVU KABLA YA UCHAGUZI CHOCHEZI KUBWA

  • @pastadandan3569
    @pastadandan3569 Рік тому +1

    Very powerful msg

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j Місяць тому

    😂😂😂 zuzu mkubwa alisema tukivurugwa tutavurugana alavu mazuzu wadogo wakapiga kofi na kufuatishia tukivurugwa tutavurugana😂😂

    • @kassim1262
      @kassim1262 29 днів тому

      Hata kule ccm utaskia mapinduzii hlfu kuna wale wjinga utaskia daimaaa ikifika uchaguzi wnauliwa wzazi wao ndugu zao au wtoto wao 😂😂😂😂😂😂

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j Місяць тому

    Alafu omo ndugu yangu unapiga kelele upewe serikali icho kicheo bandia cha kushuulikia mazingira tu kinakushinda utaweza kuendesha nchi

    • @kassim1262
      @kassim1262 29 днів тому

      Kwani hao waoua w2 ili wpate madaraka wnaweza kua viongozi c wpo kwaniaba ymalengo yao tu kwznzb

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j Місяць тому

    Eti mwanasheria ambae ni qualified anatamka haya wakati ana uhakika ikitokea vurugu ye huwa hayupo wanabakia mazuzu wadogo tu

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 місяці тому

    Alafu kwa nn kiongozi mkubwa unahamasisha uvunjifu wa amani ili watu wauane? alafu unajifanya kuwa na Mungu?

  • @mohamedjuma1331
    @mohamedjuma1331 3 дні тому

    Watu 21 walikufa lazima atawale babu wa mkuranga

  • @AbdulMajidi-i9m
    @AbdulMajidi-i9m 3 місяці тому

    Nyi mabunju ongeen lkin mjue wazanzibar tumeamka wataitema tu

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Рік тому

    Hewalaa hewala ziwe zinamwisho nendeni urusi mukachukue msaada wa sapport hawa watu hawataki maneno maneno tu.

    • @SudiKhamisi
      @SudiKhamisi 5 місяців тому +1

      Niko pamoja ña ww hapa Zanzabar iwe Moto kwamoto2

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 місяці тому

    Pachimbike kwa vp???? Mafatani nyie na heading yenu mbovu wacheni kupotosha umma

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 місяці тому

    Wachochezi wakubwa mafatani wakubwa wacheni kupotosha umma nyie bhana

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 місяці тому

    Acha uhuni wewe,wakati upo madarakani mbona hayo maovu unayoyasema hukuonekana ukiyakemea?? huo ni uroho wa madaraka huna ukweli wowote

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j Місяць тому

    Pumbavu sana hatuwezi kusonga mbele tukiwa na wanaojiita wanasheria kama omo tena anacho kisema vibaya ndo kinampa chakula ulinzi malazi na kila kitu chake,a cha basi umakamo uje uingie njiani kwenye vurugu

  • @mjakazijuma
    @mjakazijuma 6 місяців тому

    Nafiki tu hili jamaaa la kipemba lakini mara hiii hakuna utakae muuulisha mshenzi we

    • @SudiKhamisi
      @SudiKhamisi 5 місяців тому

      Hebu punguza jaziba marahii hakiyenu muna pata ACT sw acha kuogopa ww

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 5 місяців тому

      Apo wanao pinga ni watanganyika walio zaliwa Zanzibar hatuwataki tena

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 29 днів тому

      @@SuleimanMussa-x5i wapo na wale wamombasa na watanga walio zaliwa pemba pia wanapinga

    • @twahir10
      @twahir10 17 годин тому

      Punguza ujinga wewe hivi kichwani mwako kuna ubongo kweli au siagi. Watu wanataka nchi unaleta story za mpemba

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 17 годин тому

      @@twahir10 wale wanao leta stori ya tanganyika wao vipi hali ya kuwa nao ndo kwao wapemba fyoko

  • @mussaelisha3733
    @mussaelisha3733 Рік тому +1

    Watakuja cheo tena

    • @DadialiDadi
      @DadialiDadi Місяць тому

      Weee twahir twahir chogooo nnn😅😅

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Рік тому +1

    Haahaa Kila mwaka wanasemaga hivi, hakuna kitu.wakipewa vyeo tu wanaufyata

    • @shamisahmed4806
      @shamisahmed4806 Рік тому

      Si huyo anacho cheo??
      Au cheo kipi ulichokusudia wewe??

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Рік тому

      Hakuna lolote hayo hayo

    • @hassannachia3946
      @hassannachia3946 Рік тому

      Huyu jamaa hafai kuwa rais ata hajui kucheka na watu tena yupo kwenye jukwaa mmmh .

    • @MussaMussa-v4x
      @MussaMussa-v4x 9 місяців тому

      Acheke kwani chizi

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Місяць тому

      Wee cheo kama icho cha omo unakitaka makamo wa kwanza lakini mwenye serikali ni makamo wa pili​@@shamisahmed4806