UCHAGUZI ni siku moja tuu hata Almarhum Maalim Seif Sharif, ALLAH amrehem amjaaliye pepo ya FIRDAUS, alipiga kura siku moja tuu ba sisi waumomi wa Zanzibar pamoja na wapenda mamlaka kamili tutaendelea kumuenzi na kumfata aloyaamini ikiwemo kura ya siku moja tuuu 💪🏻⚖💪🏻⚖💪🏻⚖.
Omo mwanangu upo sawa na inshallah ww ndie rais tunae kuhitaji,ila hakuna uchaguzi wa mapema wa sk2 abadani la sihivyo mguu supu mwanzo mwisho hadi kieleweke
Wasi wasi upo baba washaua 2020 kwa kueka kura ya siku 2 na nyinyi wanasheria mulikuepo bila shaka muliwambia lkn kama kawaida yao madaraka kwao wao ni biashara sio maslahi ya wananchi
Wew Hadi Leo unasiasa acha siasa achakuwadanganya wapemba wapemba sasaivi tupo macho hapo hamna Sheria Bali Sheria Ni ya Allah Sio ya democracy mtuache Sheria pekee yakufuata Ni ya Allah Wala hamuifuati
Mobeto anaogopa kurudishwa kwao kwa jahazi ya vitunguu ndomana anakazania uchaguz cku2 lakin inshallah mara hii ndo mwisho wa ccm zanzibar itabaki uko uko bara tu mana ndo kwao ccm
Kama Zanzibar iliyo nawatu milioni 1 wapiga kura siku 2. Jee marekani yenye watu zaidi ya milion 100 watapiga kura siku ngapi mbona hawa wafanya watu mazumbukuku?
Ikiwa kura itapigwa siku 2 bas tuwaachieni wao tu CCM maana hapo inaonesha wazi hawana nia njema katika uchaguzi. Yaani katiba ishaelekeza wao wanaipinga. Kuna maana gani ya kufanya uchaguzi nao ?
Omo wee kwani alotangaza siku mbili uchaguzi ni baraza ama tume,tarehe hata ziwe mia tano tutaita tarehe tu ni sawa na embe huwezi sema maembe kwaiyo tume imeweka tarehe 27 na 28 apo usichokifahamu kipi umesoma wapii wee na ao mbumbumbu wanao kuskiliza na kukuunga mkono
@suleimanomar4693 Yes, kama ni hivyo anavyosema OMO basi ni kwenda Mahakamani au kupeleka hoja Baraza la Wawakilishi, lakini siyo kujiandaa kufanya fujo, vinginevyo watumfua kweli wajeda 😂
Mashallah mungu akupe nguvu muheshimiwa Osman mosoud ❤
I love OMO ... my best.. May Allah akuhifadhi akujaalie uwe raisi wetu wa zanzibar... Allahumma ameen Allahumma ameen
Amin
Amin
Amiin
Allaah mpe nguvu na msimamo wa thaabiti Othmaani masuod wallahi nampenda Sana kiumbe huyu
Mh endelea kutufunua vichwa in sha Allah,Allah atalainisha mioyo ya hawa watu wagumu,wasio fahamu
Huyu Athumani bado ana mawazo ya siasa za kizamani, enzi za kabla ya 1964, enzi za akina Barwan 😅
Kwa nini? Tupe hoja zko za kisheria na kikatiba
Mh OMO kiukweli ZANZIBAR na WAZANZIBAR wanakuhitaji
UCHAGUZI ni siku moja tuu hata Almarhum Maalim Seif Sharif, ALLAH amrehem amjaaliye pepo ya FIRDAUS, alipiga kura siku moja tuu ba sisi waumomi wa Zanzibar pamoja na wapenda mamlaka kamili tutaendelea kumuenzi na kumfata aloyaamini ikiwemo kura ya siku moja tuuu 💪🏻⚖💪🏻⚖💪🏻⚖.
Mm katika maisha yangu napenda sana kusikiliza wasomi
Unajitahidi kutapatapa ila Dr mwinyi humuwezi
Excellent OMO... 🔥🔥🔥
Mungu azidi kukupa uhai kwa kutuelimisha sisi wa Zanzibar tuna kuitaji OMO
Omo mwanangu upo sawa na inshallah ww ndie rais tunae kuhitaji,ila hakuna uchaguzi wa mapema wa sk2 abadani la sihivyo mguu supu mwanzo mwisho hadi kieleweke
Nimeirudia kuisikiliza mara 10 darsa la mwalim,mkufunzi,muhadhiri,khatibu OTHMAN MASOUD OTHMAN SHARIIF❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Allah akuhifadhi, Zanzibar inakudai
MH,. Sisi Wananchi tunataka mchukue hatua mahakamani ili tujue ukweli kabla ya uchaguzi kwann hamuendi huko kortini
Kesi ya nyani ukampe ngedere
Nakuunga mkono
Wasi wasi upo baba washaua 2020 kwa kueka kura ya siku 2 na nyinyi wanasheria mulikuepo bila shaka muliwambia lkn kama kawaida yao madaraka kwao wao ni biashara sio maslahi ya wananchi
Sas tumsubiri mbeto azungumze MAPYORO yake
YAA RABBI TUPE KHATMA NJEMA NA uchaguzi wa 2025
Upo saw kiongozi wetu
Mbeto ni muhuni tu jmniii atetea tumboleeee!🎉
Mwanasheria anatmumia hilba yake ya tasnia.
OmO tutafsirie hicho kipengele ' utaratibu utaopangwa na baraza la wawakilishi'
UTARATIBU .
Asiyemuelewa huyu basi hamuelewi mtu mwengine yyte
Wew Hadi Leo unasiasa acha siasa achakuwadanganya wapemba wapemba sasaivi tupo macho hapo hamna Sheria Bali Sheria Ni ya Allah Sio ya democracy mtuache Sheria pekee yakufuata Ni ya Allah Wala hamuifuati
Anakuwa analake jambo huyo ndio maana wanashindana nakatiba mabeto
Ccm uchaguzi siku moja mpinde jee siku mbili
Sheha anaelewa hapoo au atowa mishikia ambaa popoooo!
Mobeto anaogopa kurudishwa kwao kwa jahazi ya vitunguu ndomana anakazania uchaguz cku2 lakin inshallah mara hii ndo mwisho wa ccm zanzibar itabaki uko uko bara tu mana ndo kwao ccm
ACT KWAO WAPI ?USINITUKANE LAKINI NIMEULIZA TU
@@R10_Rajab😂😂😂 mbona unauliza maswal ya mtego ?
@@mwanangusana Hapana it's Normal Question
Na kwatume ya faima aliye uwa watu sirahisi kushinda
Khanith Jussa yuko wapi, mbn kimya ?
Mishikioo! Hapo jmnii
kwani OMO ikiwa siku mbili na nyie si mtapiga? sasa shida hapo iko wapi kama si woga wa kushindwa ni Nini
Mwamboje tokotaaaa! Kake Makame Pwagaaa! CCM washakushibisha eti
Kama tutafuata katiba kama inavyotueleza basi kutakua hakuna malalamiko
Ccm kukuibiyeni ni fardhi
Uongozo mtupu unawadangany wenzako tu
Tangu lini sheria za watu zikawa sheria wacheni ujinga
Kina comred mbeto ni mrpokaji wa huku chini
Kama Zanzibar iliyo nawatu milioni 1 wapiga kura siku 2. Jee marekani yenye watu zaidi ya milion 100 watapiga kura siku ngapi mbona hawa wafanya watu mazumbukuku?
Hi
wakati tunapitisha Miswada ya katiba nyie mnasusia Baraza ss hiyo ndio shida yenyewe leo
34 sub section 5 na 6 imenifurahisha
MBETO hana elimu haja soma
Ikiwa kura itapigwa siku 2 bas tuwaachieni wao tu CCM maana hapo inaonesha wazi hawana nia njema katika uchaguzi. Yaani katiba ishaelekeza wao wanaipinga. Kuna maana gani ya kufanya uchaguzi nao ?
Sasa kwa nn kama ipo ivo hili jambo msilipeleka mahakamani ili lipate tafsiri
Omo wee kwani alotangaza siku mbili uchaguzi ni baraza ama tume,tarehe hata ziwe mia tano tutaita tarehe tu ni sawa na embe huwezi sema maembe kwaiyo tume imeweka tarehe 27 na 28 apo usichokifahamu kipi umesoma wapii wee na ao mbumbumbu wanao kuskiliza na kukuunga mkono
@@RashidHaroun-c2jOMO maji yako shingoni, hata huo ufafanuzi hajasema vizuri , amebumba bumba tu
@@2002-h6c dole lishamkaa uyo
Turudi mahkaman kupata tafsiri
@suleimanomar4693 Yes, kama ni hivyo anavyosema OMO basi ni kwenda Mahakamani au kupeleka hoja Baraza la Wawakilishi, lakini siyo kujiandaa kufanya fujo, vinginevyo watumfua kweli wajeda 😂
Wasiwasi hakuna, Gwiji wa sharia imeisha iyo.
Na hapa tunakuskiliza tu jasiri wa kuropokwa