OTHMAN MASOUD || 2025 NI MWAKA WA KUINUSURU ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @OmarSaidy-i1m
    @OmarSaidy-i1m 3 дні тому +2

    Wazizibar hatuna hajaa zaa ahadi atafnya nn wengi waliahidi ujinga wao kwani walitimiza zanzbar sis tunataka zanzbar yenye mamlaka kamili inshaallh tutafanikiwaaa

  • @MohdSuleiman-fw2un
    @MohdSuleiman-fw2un 3 дні тому +1

    One day inshallah everything wil be fine inshallah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @talibahmed6573
    @talibahmed6573 4 дні тому +5

    Nusra tunayo na tunaendelea nayo. Alhamdulillah. Nyie mwatafuta tonge tuuu hamuipendelei Zanzibar. Kama tulilokua tukilitaka saivi twalipataa

    • @kassim1262
      @kassim1262 4 дні тому

      Shekhe ww ndio huipendi znzb kwasabubu haikuhusu ss huezi kuipenda nchi amabayo haikuhusu kwni znzb imetaftiw uhuru ili ijitawaleee au itawaliwe nawatnganyik km kweli unanipenda kweli znzbr

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar День тому

      Nautaendelea kulipata wewe ngoja tu siunalitaka😂😂😂😂

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar День тому

      Mwinyi kannjenga soko kwerekwe kama hoteli hajamaa mtu endanunua tungule tu aende horofa ya 3 😂😂😂 Bora ingekua skuli kulejuu watu wankaa tu watoamacho Mana wateja hawazi kuacha ukuchini aendejuu wakati chini vipo😂😂😂

  • @AlbanSalum
    @AlbanSalum 4 дні тому +3

    Inshaallah allah atufikishe kwa salama na amani nilikua sina hamasa yakwenda kupiga kura ila Inshaallah nitakwenda mapeema Inshaallah allah atufikishe tukiwa wazima na tushuhudie mageuzi allah tunakuomba taufiqi yako

  • @shaabanmakame2690
    @shaabanmakame2690 4 дні тому +2

    Mamlaka kamili na Zanzibar,Zanzibar na Mamlaka kamili❤

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 4 дні тому +3

    Kwa siasa hizo hamuwezi kupewa nchi, hizo siasa za kugawa watu hazina nafasi katika Ulimwengu wa leo, hata jumuiya ya kimataifa haitawaunga Mkono hata mtapoporwa kura, hakuna atayewasaidieni

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 4 дні тому

      Allah ndiye atatusaidia zaidi

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar День тому

      Mungu ndie atakaewasaidia ulisahau kua marekani walisusia kuaapishwa Kwa amani abedi karume mwakaule wa elfu mbili sababu amani hakutambulika kua nirais

    • @2002-h6c
      @2002-h6c День тому

      @KhalidiBakar Wakati ule angalau Maalim Seif hakuwa anatamka waziwazi maneno ya kubaguwa Wazanzibari kwa asili zao. Ila kwa stahili ya hawa Hizbu wa saiv akina Jussa na OMO kazi itakuwepo kweli kweli , tuombe Mungu atunusuru tusiwe kama Somalia.

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 16 годин тому

      @@2002-h6c inamana unamaanisha serekali itapambana na wananchi wake ila ukumbuke maalim seif alikua hawabagui wazanzibar wa asili flani ila zanzibar kunaubaguzi wa kichama ukiwa chama A ulikua huongei na chama B hayo yalikuepo ila sio Kwa asili ya mtu ila Mimi nikuambie wewe ulikua huoni kua zanzibar kama wewe sio ccm huwezi kuajiriwa kitambulisho ningumu kupata Tena namengine hasa wewe ukijulikana umetoka Pemba ndounaonekana sio mtu kisa chama tu au wewe ulikua huoni hayo ubaguzi zanzibar ilikuepo ila ukimtaja seif bas Kuna viongozi wakubwa pia wanaubaguzi au huwaskii uko barazan maneno Yao kuhusu watu Fulani tatizo hii ni serikali ya mapinduzi sio serekali ya wananchi ndomana hakuna asikilizwae atautoe ule ushauri ila wanachotaka watu ni mamlaka kamili ya zanzibar au muungano wa serikali 3 wewe umeona wapi muungano wa serikali 2 leo Tanganyika ndoimejigeuza serekali ya muungano

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 15 годин тому

      @2002-h6c maalim seif hakubagua nivile tu wewe ulikua humuungi mkono bas ila ukisema ubaguzi huo umetokana na siasa za zanzibar ata ccm wanaubaguzi pia kwani hatuoni leo ukitaka uende kupata ajira katika vikosi vya sms lazima uwena na Kadi ya ccm utamdanganya nani wakati Mimi nimezaliwa zanzibar huko au umesahau kipindi Cha rais amani hatamarekani ilisusia kuapishwa kwake nduguyangu ukifatilia siasa za zanzibar utakosa kujiendeleza kimaisha

  • @allyabdallah1776
    @allyabdallah1776 4 дні тому +1

    safi sana ACT MWENYEKITI

  • @AllyKija
    @AllyKija 4 дні тому +4

    Kwa talifa yenu mwinyi hamna uwezo wa kumghoa ilo sahauni kbs hamna sifa za kumshinda mwinyi

    • @kassim1262
      @kassim1262 4 дні тому

      😂😂😂Hayo nimaamuzi yawaznzbar wenyewe nyinyi wtnganyika hatuwapangii kwenye mambo yenu nawznzbar musituingilie kenge mjane we

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 4 дні тому

      Allah ndiye atakae mng'oa na sie mwengine sisi tutakuwa asbabu tu inshaallah kheri

  • @nassorrama6839
    @nassorrama6839 4 дні тому +2

    Toka ulipoanza hutuba yakk unaongea viongozi wa chama tawala tu, kuonesha kua hata wewe mwenyeo unawakubali unaonaje kama utazima zambarau na kuwasha kijani, mzee tuseme tu ukweli kua wewe siasa huijui
    Halafu "Haikufaa rangi ije ifae chokaa"

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 4 дні тому +2

    Hongera sana, binafsi nakuombea dua kila baada ya swala

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 дні тому +2

    Wewe utakuja kufanya mambo gani mana upo waziri lakini hata pemba kwenda kuwachimbia japo kisima hujafanya.unakusanya pesa Tu za CCM.acha kuwafanya wenzio kama misukule kuwatumilia Tu

    • @kassim1262
      @kassim1262 4 дні тому

      Akachimbe kisima kwani hkuna visima nchi c inamaendeleo 😂😂kuna meli zamakontena zinakwenda pemba pemba imeendelea kumbe hkuna visima😂😂munajitekenya

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 3 дні тому

    Kumbe viongozi wa zanzibar wanapitia changamoto nyingi kutoka kwa tanganyika unaona kimyaa kumbe wanastragul sanaa

  • @SuleimanMussa-x5i
    @SuleimanMussa-x5i 5 днів тому +3

    Zanzbar moja zanzbar mpya mamlaka kamili inshaallah

  • @nassorrama6839
    @nassorrama6839 4 дні тому +1

    Mimi hajaweza kunishawishi kwa kweli

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 2 дні тому

      Ww n mchumia tumbo huwezi kushawishika. Znz n miaka 70 ya uhuru w ccm na bado mbovu chafu na ndio inakushawishi ww😂. Kwa ccm hata watawale miaka 1000 ni kula bata tu haiwez kubadilika kwn wanatawala kifemili wala hawanaga mabadiliko kwa ajili ya raia katu.

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 2 дні тому

    Wamakunduuchi wanarohombaya sana na ndio wanaoizamisha znz.

  • @KhajiMwinyi
    @KhajiMwinyi 2 дні тому

    Unatumia mafuta ya SMZ shukrani hauna hauna hoja yamana unatupa story za miaka 60 .

  • @KhalfanSaid-v1h
    @KhalfanSaid-v1h 2 дні тому

    SIMUONI OMO KUWA RAIS WA ZANZIBAR

  • @MohamedShaksi
    @MohamedShaksi 4 дні тому +1

    Nusra inallah only not a personal will

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 дні тому +1

    Hapo ukimsachi ana herizi la kuwapumbaza hao jamaa zake washakuwa kama misukule sasa.mana mambo mbalimbali wanayaona na wao ndio wakubwa kuyatumia hao yaliofanyika kwa mwinyi..bora nyie Act mungekuwa hamuutaki muungano Tu.kuliko kuyapinga maendeleo ya mwinyi.ila hata wewe ukiwa rais hautouzungumzia muungano sasa Tu porojo tunakujuweni

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 5 днів тому +1

    👍

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 3 дні тому

    Tutafanya iwezekana tutahakikisha tutainusuru

  • @Yusuphrevocatus-g3v
    @Yusuphrevocatus-g3v 4 дні тому +2

    Umesha kuwa wimbo kila kampeni zinapo wadia chukueni hatua basi siyo ngonjera tu

  • @KassimHassan-y7t
    @KassimHassan-y7t 4 дні тому +2

    Huyu kiongozi mbon hatangzi akipata urais atafny nn lzm awe anatupa ahadi co maneno tu

    • @MahmoudHamad-fy1in
      @MahmoudHamad-fy1in 4 дні тому +1

      Bado kwanza kupiga kampeni na kutangaza sera hii ni mikutano ya HADHARA hukenga kukosow zaid sera za Serekali iliopo na kuwamsha watu juu yaliopo.
      Namin umeelew kidogo ndugu yangu.
      Asante!

    • @SULEIMAN-l8v
      @SULEIMAN-l8v 4 дні тому +1

      Keshasema anainusuru Zbar yenye mamlaka kamili hapo ndio yatafuata mengine akili kichwani mwako

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 4 дні тому

      Hana jipya yupo serekalini smeshindwa hata kisima pemba kwenda kuchimba

    • @Ibrahimkhamis-m2o
      @Ibrahimkhamis-m2o 2 дні тому

      ​@@hajiabdalla5772 😂😂 dah tuko mbali

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 3 дні тому

    HAKUNA MTU HAPO NI CHALE TU,UMEKAA KWENYE MAMLAKA CHINI YA UTAWALA WA CCM...UMEFANYA NN? KAMA SI POROJO? MWINYI MITANO TENA

  • @BWILEKamata-mk8lr
    @BWILEKamata-mk8lr 3 дні тому

    Mnayipereka wapi nyie mbona unadanganya ?

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 5 днів тому

    Wakwanza apa

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 4 дні тому +1

    Hamna lolote nyie bwabwaja tu

    • @SaidShkel
      @SaidShkel 4 дні тому

      Weye ulonalo unalipi kwani

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 3 дні тому

    huyu hana ubaguz ila yupo sahihi na uyu ukweli ni mtu wa haki ya nch uyu ni mfano wa kuigwa .mwny kaanae uyu jamaa yupo vzir sana kwa maslah ya zanzibar mm naskiliza sera

  • @AllyKija
    @AllyKija 4 дні тому

    Hivi tuwaulize ndg zetu wazanzibar hivi kati ya tanganyika na zanzibar ni ipi inchi yenye uwezo wa kiuchumi bara na zanzibar wepi wanauchumi mkubwa

    • @MgeniKhamis-g9t
      @MgeniKhamis-g9t 4 дні тому

      Kwanza jilinganishe wewe na jirani yako wanyuma yapili ekesha mrudi muumba wako na utajua kwanini Allah Duniani kakitaka tukae Sawa Sawa kwani unafkiria Hana uwezo wakufanya ivo Nani atakupa haki Duniani Fata yalokuleta kwenye Dunia nikumcha Mungu update nusra kwenye maisha yakudumu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 4 дні тому

      Tanganyika kama itaiwacha Zanzibar ivune rasilimali zake, kama mafuta na uvuvi bahari kuu Pato la mzanzibari litakua kubwa na kumpita mtanganyika kwa kipato, ila ndio tena muungano unadhibiti Zanzibar, 1956 Zanzibar ina rasilimali ya mafuta mbona hata sasa hatujapewa ruhusa na mkoloni Tanganyika kufaidi mali hiyo, wakati wao wanachimba gesi mzanzibari gani aliwazuiya ati kisa muungano.

    • @MakameAbdallah-wn3hc
      @MakameAbdallah-wn3hc 4 дні тому

      Zbar imeshanusurika tangu 12 Jan 1964 Sheikh Abeid Amani Karume.
      Dr. Hussein Ali Mwinyi na Mama Samia Suluhu wameweza kurekebisha yote hayo.
      Hatuna haja za elfu lela ulela.

    • @zainabzanzibar1518
      @zainabzanzibar1518 4 дні тому

      Allah yeye ndio mwenye kuwezesha haijalishi kama ni nchi ndogo au kubwa kwaiyo kama ikitokea kuvunjika muungano sio ndio mwisho wa wazanzibar sababu alie tuumba yupo na ataendelea kuwepo

    • @zainabzanzibar1518
      @zainabzanzibar1518 4 дні тому

      Kwani huko chama kimeundwa na wazanzibar au mmeletewa na hao hao wanyonyaji wa kizungu na pia Kuna mikataba mliokubalia a na lazima mtekeleze acheni kutuchosha