@vugaonlinetv: OTHMAN MASOUD ATUPA KIGONGO KIZITO LEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @AbdallaAbdalla-b5v
    @AbdallaAbdalla-b5v Місяць тому +14

    Allah akuweke na akupe msimamo mwema wa kuitetea Zanzibar vijana tusirudi nyuma tutashinda inshaallah seuze Firauna aliondoka na wao wataondoka inshaallah mtume anasema dhulma haidumu ipo siku haki itapatikana tu

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p Місяць тому +6

    Ndio baba Allah akulinde kiongozi wetu tunakupenda sana ❤

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge Місяць тому +7

    Mungu kamuhitaji maalim sefu mungu amrehem huko aliko mungu katuletea mbadala osumani Kila la heri kuelekea Dola kamili ya zanziba

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv Місяць тому +2

    Hahaaaa eti salama na amani wako tele mtaani umenichekesha hapa muheshimiwa😂😂

  • @zarihaSalum
    @zarihaSalum Місяць тому +3

    Amin🎉😊

  • @abdillahmohd4317
    @abdillahmohd4317 Місяць тому +3

    naiyona Zanzibar mpya inakja InshaAllah

  • @w4058
    @w4058 Місяць тому

    Allahumma Aamiin

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h Місяць тому +2

    Hili ni darasa tosha vijana wa CCM hebu someni acheni kufanya vikaragosi njooni ACT tuikomboe nchi yetu ZNZ

  • @w4058
    @w4058 Місяць тому

    Sana tena sana

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud Місяць тому +5

    Yaaaarab tuhifadhi Zanzibar na watu wake tupe yalionyoyoni mwetu yaarab

  • @SULEIMANKHAMISSULEIMAN
    @SULEIMANKHAMISSULEIMAN Місяць тому +5

    Vijana tuwe waelewa ninitunatakiwa tufanye

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv Місяць тому +2

    Kiongozi msomi huyu Allah amuhifadhi awe rais wa zanzibar InshaAllah ni Kiongozi mwenye maono

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 Місяць тому +2

    Maneno ya maana

  • @idirisakhamis-m3i
    @idirisakhamis-m3i 21 день тому

    Kijana wa Leo ZANZIBAR anarogwa kw vikosi tuu hatar nchi hii

  • @Jum-wn3oj
    @Jum-wn3oj Місяць тому +3

    I've aya maneno au dhahabu

  • @MrSajin-u5q
    @MrSajin-u5q Місяць тому

    Asalamu alaiku mh tunakuombe yaduwa mungu atupe kilalaheri katika kuikombowa zanzibari yetu

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq Місяць тому +1

    Afrika,yakusiini,wanajitawala,wanajua,wataua, ndugu,zao,sisi,kikikaribiatu,kipindicha,uchaguzi,manyamwezi,tele,yake,yaue

  • @AliHamad-v5l
    @AliHamad-v5l Місяць тому +1

    story tuu izo ccm mbele kwa mbele kudadadek porojo peleka kule

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq Місяць тому +1

    Ccm,wanatawaza,kwanza,kunya,baadae

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Місяць тому +1

    Vijana waovyo muko nao wanasubir kwa nyumba yao chakula akale

  • @YAZEDOWN
    @YAZEDOWN Місяць тому

    Wanasiasa watabaki kuwa wanasiasa tu, Mshahara ukachukue wewe shida nikaipate mimi

  • @YAZEDOWN
    @YAZEDOWN Місяць тому

    nyote ndio wale wale

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 Місяць тому +1

      Hawa wengine kama huyu jamaa alau wameonesha msimamo kuhusu zanzibar sio vibaraka wa kuiona nchi yao inazidi kubomoka.

    • @ramadhansimba2928
      @ramadhansimba2928 20 днів тому

      Wew sio mzanzibar kenge wew
      Mwinyi kibarak wa kuwadanganya watu misikitini
      Ccm ndio walouwa wazee wetu