Mwenyenzi Mungu akutie Nguvu ya ujasiri huu Maalim ,akulinde wewe na Umat wake mnaopigania haki ya watu wake ! Hakika wewe unatoshelezea viatu vya Maalim Seif .! Haki ya Alha itakulinda ukiwa mwenye haki Inshalha tutafika ! Wewe ni Maalim Seif wa pili !!
Hilo neno haki kwa ccm ndio aduia kwao wao wanajuaamani tu lkn haki hakuna wkt huohuo utawaona miskitini wnatoa mawaidha lkn hwjui kwmba haki ndio kila kitu mitume yote imeletwa ije itende haki co amani
Alifukuzwa unajua kwakosa gani ccm ukikataa kuikandamiza znzbr ww co mwenziwao lengo laccm na serekali 2 kuelekea 1 hii yznzbar kuifuta kuifuta kwake kwnza kueka sheria vitu vyaznzb viamuliwa bara ss alikataa kueka saini yake kwenye uchimbaji wmafuta😂😂
Mwenyenzi Mungu akutie Nguvu ya ujasiri huu Maalim ,akulinde wewe na Umat wake mnaopigania haki ya watu wake ! Hakika wewe unatoshelezea viatu vya Maalim Seif .! Haki ya Alha itakulinda ukiwa mwenye haki Inshalha tutafika ! Wewe ni Maalim Seif wa pili !!
Masha Allah mungu akubark
MTOTO WA JEMEDARI, WAPE TAALUMA , WOTE VUNJAJUNGU WAJIJUE, ALLAH AKULINDE NA MAJAAHIL NA MAHASID WA NDANI NA NNJE
Inshaallah
Hilo neno haki kwa ccm ndio aduia kwao wao wanajuaamani tu lkn haki hakuna wkt huohuo utawaona miskitini wnatoa mawaidha lkn hwjui kwmba haki ndio kila kitu mitume yote imeletwa ije itende haki co amani
Kwa mwenyezi munga ndie mlezi
Maraaaa hiiii kwa uwezo ALLAH hawachomoki lazima tuchukue nchi yetu
mashudu
Madam vyombo vya dola viko nyuma ya chama tawala,hakuna tamaa
@@ahmedalbalooshi8518 Hamjui ccm nyinyi. MAPINDUZI DAIMAA. U Know what. Mpaka m.....
@@ahmedalbalooshi8518waislamu huwa hawakati tamaa tunayaamini rehema za Mungu
@@ahmedalbalooshi8518 Kwa Allah hakuna kubwa mzee
CCM hayikuwahi kuwahi kufanyakazi ila ukandamizaji tu.
Unavyo ingiya madarakani kwa nguvu na ulaghai basi juweni kama ni atakuwa mkandamizaji siyo muwajibikaji
Uso rangi mbili.ulikua unajichubua
Ulifukuzwa hukujjitoa acha uongo
Alijitoa mapema kisha wakaja kumpokonya Kadi Acha ungese
Hata km alijitoa iwe amefuzwa lkn c kashajitoa kwenye madhalimu naaliomba radhi kwamdomo wke ss shida nini shekhe
Kwani wewe si ulifukuzwa ccm mbona hukujiuzu sasa Leo unasema nini
Alifukuzwa unajua kwakosa gani ccm ukikataa kuikandamiza znzbr ww co mwenziwao lengo laccm na
serekali 2 kuelekea 1 hii yznzbar kuifuta kuifuta kwake kwnza kueka sheria vitu vyaznzb viamuliwa bara ss alikataa kueka saini yake kwenye uchimbaji wmafuta😂😂