Kipotosh na Eliud tyr wameshapair sasa xnyng nikiwaona mkiwa pa1 jmb huwa linanoga sn hkn hata haja ya muziki yani hata DJ hkn haja ya kumkodi mnapunguza garama kwa kwl kwa wny shuguli yao🤣😂🤣😂😂na hata hamtumii nguvu safi kabisa👏👏👏👏👏👏👏
Ahsanten kwa show, ila nina swali langu kuhusu Chanel ya E Tv mbona picha yake aipo na ubora kama chenel zingine, yaan picha inaonekana ya mawingu mawingu picha sio ang'avu.
@@salomewandya7257ndo namshangaa kuna watu ni wajinga yani bundle lako unaangalia mpka mwisho bado unatumia bundle lako kucoment hujacheka 😂😂 si upumbavu aseh
Najua wachekeshaji wengine ni muda wakujifunza kwa eliud matumizi ya lugha yenye ninzamu ndio kinacho mpa nafasi sehemu nyingi
Upo sahihi
Upo sahihi kabsa na wokovu nao unamsaidia analinda heshima yake
ninzamu au nidham swahili ambasador
@@williamsamson2988 wewe umeelewaje?
Upo sahii sana
All the way from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Eliud you're the best
Eliud very respectfully guy
Love ❤❤🎉🎉to kipotoshi and eliud😂😅
Kipotosh na Eliud tyr wameshapair sasa xnyng nikiwaona mkiwa pa1 jmb huwa linanoga sn hkn hata haja ya muziki yani hata DJ hkn haja ya kumkodi mnapunguza garama kwa kwl kwa wny shuguli yao🤣😂🤣😂😂na hata hamtumii nguvu safi kabisa👏👏👏👏👏👏👏
Me platform kanifanya niangalie hii video♥️
Nimemuona platform
Hivi Eliud ulifikiri utamkuta Juma lokole wapi kama si kwa wenzie wanawake
Wanaotoa lifti msisimame mnatuchanganya😅😅
Eliudi fans ❤ here
Yani nimecheka kwenye kingereza jamn😂😂
Vizuri bien 🇨🇩🇨🇩
COMEDY SAF SANA......SMOOTHLY NA HAWATUMII NGUVU
Nmemuangalia platform tu mm
Mbona Chuchu hans yupo karibu na masha love?
I hope your enjoy duuh eriud jaman
Mmetishaaa saaaana 🤣😂😁🤣
Vivaa
❤❤❤❤ Efm🇹🇿
Desert ni jangwa kwa matamshi hayo 😂😂
kingereza si lugha ya taifa letu na kulingana na mfumo wa nchi yetu ni muhimu kujua lkn pia sio muhimu kwetu kikubwa chapa kaz
Hao kiingereza chaoo wanachekesha tuu watu wafurahi,tuu ndioo maana wanaongea hivyo
Nikweli kwamba niku kaza but
Nakubaliiiii
Eliud ❤❤
Eliud uko vizuri sana lakini jitahidi kwenye matamshi zingatia herufi, Anaitwa RAIS sio LAIS
Ndio uchekeshaji huo anatumia rafudhi ya kutoka Mbeya kama alama yake
@@joshuamuro9494 lafudhi haimfanyi mtu ashindwe kuzungumza kwa kuzingatia herufi
@@kingswebe3251 watukutoka Mara huwa wanazingatia kati ys R na L!?
Hiyo hainq tatizo watz tunapenda sana kutafuta makosa madogo
Kwenye uchekeshaji ndio unampa kujulikana
Sisi maemic wadogo
😂😂😂😂 nomaaa sn
GREENCITY ON FLICK
Ahsanten kwa show, ila nina swali langu kuhusu Chanel ya E Tv mbona picha yake aipo na ubora kama chenel zingine, yaan picha inaonekana ya mawingu mawingu picha sio ang'avu.
Ndugu kamala zao haziko poa
Eliyudi 😂😂
😂😂😂😂 nyie watu
Exactly English 😂😂😂😂 kenyan🎉🎉🎉🎉
Pesa yako inaweza lete kitu chochote karbu yako😂😂😂😂
Eliudiii
Hiki kiingereza wakenya wasikisikie.😂😂😂😂
Yes kenyan🎉🎉🎉🎉
MC mzuli kabisa Eliud
...dogo mukubhoomba kanunu,MUSAJIGHWEEGHE.!
😅😅😅😅😅😅😅
N mimi 2 nmeona hwajachekesha ila nmeona n ujinga 2 n ulumbukeni luv frm kenya
Kwani lazima ucoment?kama ni ujinga umeusikiliza wa nn?
@@salomewandya7257ndo namshangaa kuna watu ni wajinga yani bundle lako unaangalia mpka mwisho bado unatumia bundle lako kucoment hujacheka 😂😂 si upumbavu aseh
@@salomewandya7257 hapo Sasa
Wakenya mutuache
Wivu unakusumbua wewe
😂😂😂
haha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pesa yako inaweza lete kitu chochote karbu yako😂😂😂😂
😂😂😂