Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лис 2023
  • Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis.
    Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati.
    Haya hapa magoli yote sita ya mchezo huu...
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 616

  • @user-fm7pl6rs3i
    @user-fm7pl6rs3i 5 місяців тому +62

    Kama bado unàangalia magoal Haya 2024 gonga like hapa

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 8 місяців тому +24

    Ikiwapendeza Yanga mnipe like5 za Kenedy Musonda na Pacome,Sawa

  • @AgustinoCharles
    @AgustinoCharles 5 місяців тому +12

    Wanaoangalia Leo Jan 20/2024. Gongeni like hapa😅😅

  • @swaumphilimini5720
    @swaumphilimini5720 5 місяців тому +20

    Nani karudia kuangalia 2024😂

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 8 місяців тому +22

    Wangapi bado tunàangalia hii mechi tujuane kwa like

  • @saidlwambo1995
    @saidlwambo1995 8 місяців тому +13

    Young Africans the Giant King of Football in Tanzania no one another for high quality in this season.Big up Eng.Hersi Said and all Management and also big up all Players.

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 8 місяців тому +20

    Naombeni like 5 wale mnaongalia tena mechii kama mimi🖐

  • @theresialfredybugalama5850
    @theresialfredybugalama5850 Місяць тому +8

    Nimerudi kuitazama baada ya simba kushika nafasi ya 3😂😂😂😂

    • @suratikibunja3905
      @suratikibunja3905 Місяць тому +1

      Ila ww bhn lkn sikushangai mana me mwenyew nimerud kuangalia😅😅

  • @amriiddy1972
    @amriiddy1972 8 місяців тому +283

    Naombeni like 5 kwa Yanga 🖐

  • @user-ge3yd1tx5e
    @user-ge3yd1tx5e 27 днів тому +5

    kuna mechi ambazo hata uwangalie mara halfu 10 utam hauwishi ❤kama hii

  • @ZeyanaAbdi
    @ZeyanaAbdi 5 місяців тому +10

    Niko hapa 29january 24

  • @BemJohn-zf6le
    @BemJohn-zf6le 2 місяці тому +7

    16-04-2024 gonga like apo 2juane kablaya tare 20

  • @DerricusJohn
    @DerricusJohn 15 днів тому +5

    Tunao angalia tena mwaka 2040 tujuane hapa ✨👉

  • @ashamkesa979
    @ashamkesa979 8 місяців тому +14

    Nairudia mara ya 5 kuiangalia Yanga tamu

  • @user-nh5jz4kk8r
    @user-nh5jz4kk8r 8 місяців тому +11

    Siku zote historia hujirudia karne yoyote ilee ndio alichokifanya yanga leo🎉🎉

  • @Mnengatv
    @Mnengatv 8 місяців тому +8

    I love Young Africans ❤

  • @mariamwadugu3726
    @mariamwadugu3726 5 місяців тому +6

    Tar 21/ 01/2024, nipo hapa❤

  • @user-gu2hr9ec7c
    @user-gu2hr9ec7c 8 місяців тому +5

    Hongera sana wachezajiwa yanga imekuwani istoria

  • @FrenkMzumbwe-it3lx
    @FrenkMzumbwe-it3lx 7 місяців тому +12

    Naomben mnilaik ata 5

  • @aikamboya1295
    @aikamboya1295 16 днів тому +4

    🎉🎉mech tamu sanah

  • @babuumaeda7671
    @babuumaeda7671 8 днів тому +3

    Sitosahau uongoz wa Rais ENG HERS YangA nii hiii 5-1 😅 NEW GENERATION

  • @kevymloje730
    @kevymloje730 3 місяці тому +5

    NAOMBA LIKES ZOTE ZA WANANCHIIII HAPAAAAA TAREHE 25/03/2024🔰💪💪💪🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @RonaldBidico
    @RonaldBidico 8 місяців тому +4

    Yang naipend San 💓❣️❣️❣️🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 8 місяців тому +4

    Alhamdulillah 💚💛💛

  • @hassanluambano2508
    @hassanluambano2508 Місяць тому +5

    Leo najikumbusha tulivyowakanda makolo

  • @user-wj6rx8rv4h
    @user-wj6rx8rv4h 5 місяців тому +7

    Yan naangalia kila day
    😊😊😮

  • @esterpius7423
    @esterpius7423 8 місяців тому +3

    Hongera sana Young Africa.. Mumetufurahisha mashabiki wenu..

  • @elisha63
    @elisha63 8 місяців тому +12

    Mbna siskii jamn naomben like kwa mzize

  • @arafaally3646
    @arafaally3646 Місяць тому +6

    Utv mnilipee maana sjui n mara ya ngap naangaliaaa😅😅😅

  • @JustusPius-zu2ve
    @JustusPius-zu2ve 8 місяців тому +12

    Hii clip nitaiangalia mpaka usiku usiku wa mananeeee

  • @harodphilipo8228
    @harodphilipo8228 8 місяців тому +5

    Safi sana team yangu.... atukuzwe Mungu wetu mkuu

  • @divaidachboy2339
    @divaidachboy2339 8 місяців тому +10

    Wow hiki kikosi stakisahau kamwe maan nifulaha tu kuangalia

  • @mwambambokani9082
    @mwambambokani9082 8 місяців тому +9

    Simba ni wake zetu

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 5 місяців тому +5

    😂😂😂❤❤❤27 mwezi 1 2024 aziziki huyu jamaa Hana huluma

  • @Fetymama
    @Fetymama 16 днів тому +2

    Hatar Sana yanga nakpenda mnoooo

  • @RauwrencMbwana
    @RauwrencMbwana Місяць тому +5

    Leo tar 6 mwezi wa 6 naangalia tena tulivo wakanda makolo may wetu

  • @jasminhaji3175
    @jasminhaji3175 24 дні тому +2

    Yani nikiwa na huzuni hii ndo faraja yangu plus ile mechi na beluizdad ❤❤❤ na wamenipa nyongeza ya penalty za FA juzi mana nilijua nnapresure kumbe

  • @user-wl6il1zk6m
    @user-wl6il1zk6m 8 місяців тому +3

    Yanga naipenda mpaka kufaaaaaaaaa from Louis ville Kentucky

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 8 місяців тому +11

    ivi timu Ina maprofesor na madoctor unategemea nini

  • @josephsanga474
    @josephsanga474 4 місяці тому +5

    Nani yupo hapaa 1/3/2024😅

  • @danielsunghwa487
    @danielsunghwa487 3 місяці тому +5

    Timu zote mbovu zinapigwaa 5 jmniiiiiii😆😆😆

  • @latifapancras5734
    @latifapancras5734 4 місяці тому +4

    Tunaotazama tena 2024 like zenu 👇😂😂😂😂😂

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 24 дні тому +4

    Nkiwa na stress lazima nije uku kujiliwaza 😂😂😂 wake zetu walijua kututegea vzr 😂😂🙌

  • @abdilahjuma2493
    @abdilahjuma2493 8 місяців тому +5

    Yanga tuna viongozi wazuri sana, na hii itawatesa sana simba

  • @raideskokushemela4813
    @raideskokushemela4813 7 місяців тому +9

    Hii mech mashabiki wa yanga atutaacha kuitazam maan wengi atukutalajia kama magol yangekua mengi hiv 5G

  • @janelebayo6161
    @janelebayo6161 8 місяців тому +9

    Toka jana naangalia hii highlit nahisi bado ni ndoto My Yanga jaman hivi kweli tumewafunga zote hizi🤣🤣🤣🤣💛💛💛💛💛💛💛

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 8 місяців тому

      Upo kama mie nikitaka kulala lazima niangalie 😂😂

    • @Fredy-oz5vu
      @Fredy-oz5vu 7 місяців тому

      Mimi Kila siku nacheki haya magoli

  • @RobertAdam-w1t
    @RobertAdam-w1t 8 днів тому +3

    Stumii nguvu kubishana na Wana simba

  • @msafiblog
    @msafiblog 8 місяців тому +9

    Hizo ndo 5 sasa zile za 2012 wengi tulikuwa wadogo 😎

  • @withomsigwa4918
    @withomsigwa4918 8 днів тому +2

    Mm Hadi Leo tar 30/6/2024 nipo naangalia yaani naendelea kupata rahaa

  • @rashidselemani2524
    @rashidselemani2524 7 місяців тому +7

    Yaani huwezi kuchoka kuangalia hii mechi aisee yangu ni moto wa kuotea mbali

  • @latifachoga4212
    @latifachoga4212 2 місяці тому +4

    Leo tareh 25 April naludia mechi yangu pendwa😂😂😂😂😂

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 8 місяців тому +7

    Jamani YANGA ogopeni mungu sasa timu zingine zitakataa kuleta timu uwanjani

  • @araphermiwady4030
    @araphermiwady4030 12 днів тому +1

    June 2024 still watching 😊

  • @user-yx2uy7fi6i
    @user-yx2uy7fi6i 8 місяців тому +4

    ❤love u yanga natamn mechi iwe leo jmn😅😅

  • @user-nc1ds6ck5s
    @user-nc1ds6ck5s 5 днів тому +2

    Matobo mawili...goli moja master K😂😂

  • @joymwantiku3346
    @joymwantiku3346 8 місяців тому +4

    n five kwakweli five , five kinywa kinaumbaa ... ndymaana tumecheza leo trh five💚💚💛

  • @JophureyTuma
    @JophureyTuma 8 місяців тому +4

    Yanga noma sana

  • @JERRYISSAYA
    @JERRYISSAYA 2 дні тому +4

    Yanga ni balaa

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 8 місяців тому +7

    goal la aziz kuna mtu kalala kama kazimia😂😂

  • @user-ye5sg6fs2g
    @user-ye5sg6fs2g 5 місяців тому +3

    Yes yanga

  • @wapole5620
    @wapole5620 8 місяців тому +4

    Ilaa pacome🙌🏽🙌🏽🔥🔥

  • @DEOYanga-cm4fm
    @DEOYanga-cm4fm 8 місяців тому +8

    pacome balaaaaa

  • @roi2554
    @roi2554 8 місяців тому +9

    Oya jamani clement kaupiga mwingi leo sio poaa

  • @Uwesu-rh2vb
    @Uwesu-rh2vb 8 місяців тому +10

    BREAKING NEWS:- wachezaji wanne wa yanga mbaloni kwa kosa la kuuwa mnyama pori hadharani, taarifa zaidi zinasema mnyama huyo wa ajabu anaefanana na paka walimshambulia vikali mbele ya wananchi waliokuwa wanasherehekea kilele cha wiki ya mvua november 5

    • @user-id3lp1lg4j
      @user-id3lp1lg4j 8 місяців тому +1

      😅😅 dah umetisha wakati unaiunda hii text. Naix ukianza kutabasam SEMA kweri mzee

    • @Uwesu-rh2vb
      @Uwesu-rh2vb 8 місяців тому

      @@user-id3lp1lg4j kweli

  • @kaisarimbisso5011
    @kaisarimbisso5011 8 місяців тому +6

    Pacome Ni level ya english premier league

  • @hajishabani4641
    @hajishabani4641 8 місяців тому +5

    Yanga SC itabaki kuwa team kubwa zaidi, simba SC tudijifananishe na hawa ma Giant

  • @user-gu2hr9ec7c
    @user-gu2hr9ec7c 8 місяців тому +6

    Hawa amino macho yao lakini ime tokea hiyo nikazi ya gamondi bwana hatuja roga in maombi tui😂😂😂😂😂😂😂😂🎉😂😂😂😂 poleni sana watani

  • @mistonngereza1143
    @mistonngereza1143 8 місяців тому +4

    Young Bora kuliko Simba
    6

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 8 місяців тому +4

    Yanga chukua maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-we2qz1kb8h
    @user-we2qz1kb8h 8 місяців тому +4

    Mwendo ni tarehe tano tano kumbukumbu💚💛💚💛💚💛💚🙏

  • @user-kn8bm3kt1j
    @user-kn8bm3kt1j 8 місяців тому +8

    Jmn hii ni mar ya 7 kuiridiaaa😂😂😂😂❤

  • @AronNgongi-se8xm
    @AronNgongi-se8xm Місяць тому +3

    Rekodi ya magoli katika msimu mmoja was ligi

  • @user-yk9kb8zh8q
    @user-yk9kb8zh8q 19 днів тому +3

    Daaah imebidi tuu niangalie tena

  • @user-et9ym1il9m
    @user-et9ym1il9m 3 місяці тому +3

    Mpaka ,leo naenjoy tu

  • @user-wl6il1zk6m
    @user-wl6il1zk6m 8 місяців тому +2

    Mungu mkubwa maombi yamepita vizuri kweli yanga juu from louis ville kentucky

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 8 місяців тому +8

    TAREHE 5 NA MAGOLI 5
    NIKUMBUKUMBU NZURI, NA MPIRA UMEANZA 5 OCLOCK

  • @TheodoryGeydan
    @TheodoryGeydan 8 місяців тому +7

    Kweli yanga wametikisha afrika

  • @jacklinembuya2749
    @jacklinembuya2749 8 місяців тому +5

    Rahaaa!!! Tarehe 5 goli tano

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 8 місяців тому +4

    Daah 💚💚💚😁😁💪💪💪🙏

  • @AshaMaulid-to3dl
    @AshaMaulid-to3dl 8 місяців тому +3

    Hongera chama langu la yanga

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 24 дні тому +2

    4:46🔥🔥🔥🎉🎉🎉

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 8 місяців тому +2

    Mashaallah yanga big up

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 8 місяців тому +3

    Asante, Mungu wakushukuriwa ni wewe

  • @user-op7mh5sp4p
    @user-op7mh5sp4p 5 місяців тому +4

    Ukiwa na Stress 😢 njoo Tazama Hii mechi 😂 Ume Pona😂😂

    • @user-bw1hs2nd8p
      @user-bw1hs2nd8p 4 місяці тому +1

      Yan ni dawa tosha. Nikiboreka tu, mi chap! Kuangalia 5G zangu napata ahueni

  • @King-zf3lv
    @King-zf3lv 8 місяців тому +6

    Simba kapewa internet ya 5G

  • @babuumaeda7671
    @babuumaeda7671 8 днів тому +1

    Goal la 3 Tobo mbili goooooooooool 🎉🎉

  • @mjitahidubyabato
    @mjitahidubyabato 7 днів тому +2

    Yaan mpaka mseme Bado tunaangalia

  • @JosephineItambu
    @JosephineItambu 7 днів тому +1

    1/7 nmerudi tena baada ya Triple C kusajiliwa Yangaaa😂🔥

  • @kindulijumanne7632
    @kindulijumanne7632 8 місяців тому +2

    Hongereni Sana Mamamba yangu hamkumuachia mtu Enjoy your victory

  • @user-bw1hs2nd8p
    @user-bw1hs2nd8p 4 місяці тому +5

    Pale napokua na uchovu, niangaliapo mechi Mimi moyo wng kwatuuu...😂😂😂😂😂😂😂 Yanga weee

  • @user-nl8js6xs6s
    @user-nl8js6xs6s 5 днів тому +2

    inapendeza

  • @jamilahrashed2642
    @jamilahrashed2642 8 місяців тому +7

    Yàni mpaka msemee

  • @issambawala9778
    @issambawala9778 7 днів тому +2

    Imekaa pow xana

  • @jamessajilo6610
    @jamessajilo6610 8 місяців тому +4

    Yanga pokea maua 🎉🎉🎉

  • @ashashemweta3996
    @ashashemweta3996 8 місяців тому +6

    Ila yanga mmetuweza naona mmesahau mpk shida zenu kwanz sawa bwana hayeni

  • @husnakumburu8853
    @husnakumburu8853 8 місяців тому +6

    Hizi raha za Yanga zinatufanya tuwe na furaha kila siku😅😅😅

  • @user-uo5so6xu7j
    @user-uo5so6xu7j 7 місяців тому +6

    Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 24 дні тому +2

    Hatimae tukawaingiza kwenye chama cha wala tano akina mwakalobo na ii ndo inayo watesa akina mwakalobo 😂😂😂😂

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 8 місяців тому +6

    Yanga wanapiga boli sana

  • @user-jv4jr7xh5k
    @user-jv4jr7xh5k 8 місяців тому +6

    Hii ndo yang ya Gamondi