Usiyoyajua Kuhusu Biashara Ya Nguo za Mitumba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Biashara ya nguo za mitumba inaweza kufanyika sehemu yoyote ile, hii ni kutokana na ukweli kuwa kila mtu ni lazima avae, PIA kuna Nguo za mitumba ya watu wa hali zote, wale wa kipato cha chini, kipato cha kati na kipato cha juu. Kizuri zaidi mtaji wake huwa ni mdogo sana , mtu yeyote anaweza akamudu.Kubwa zaidi, Biashara hii Inaweza kukupa mtaji mkubwa na ukaamua kwenda kwenye kazi au biashara ya ndoto zako na ukafanikiwa katika biashara nyingine.
    Ni mfululizo wa videos za jinsi gani unaweza ukafanikiwa na biashara ya nguo za mtumba

КОМЕНТАРІ • 9

  • @AgnesSauli-x8y
    @AgnesSauli-x8y 12 днів тому +2

    Ww unaduka lako au unauza kwenye minada

  • @RaphaelMashabala-u9k
    @RaphaelMashabala-u9k 2 дні тому

    Type namba mm nahitaji nine nichukue kwako

  • @ruthotanga2960
    @ruthotanga2960 3 місяці тому +2

    Dada tumeshukurubkunitiya moyo

  • @IsackSamwel-nx1xp
    @IsackSamwel-nx1xp 2 місяці тому +1

    Dada natamani kuonana na wew kwa ushauri zaidi maana me pia son natarajia kuanza hiyo biashara

    • @dikappymitumba
      @dikappymitumba  2 місяці тому

      Hongera sana, Nitatoa mawasiliano . Endelea kujifunza , ni rahis .

    • @AgnesSauli-x8y
      @AgnesSauli-x8y 12 днів тому

      Dada naitaji kujua ww umeanza na mtaji WA shingap

    • @dikappymitumba
      @dikappymitumba  11 днів тому

      @@AgnesSauli-x8y 50k dear . Japo unaweza anza na mtaji zaidi au chini ya hapo.