Njia zipi zinatumika kuuza biashara ya nguo za mitumba ?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Biashara ya nguo za mitumba inaweza kufanyika sehemu yoyote ile, hii ni kutokana na ukweli kuwa kila mtu ni lazima avae na kuna mitumba ya watu wa hali zote, wale wa kipato cha chini na kipato cha juu. kizuri zaidi mtaji wake huwa ni mdogo sana , mtu yeyote anaweza akamudu.
    Ni mfululizo wa videos za jinsi gani unaweza ukafanikiwa na biashara ya nguo za mtumba

КОМЕНТАРІ • 4

  • @keeeypato933
    @keeeypato933 Місяць тому

    Niko na mombasa ni anaze bale gani mitumba plz tell me

  • @AngelRwabutiti
    @AngelRwabutiti Місяць тому +1

    Dada Asantee kwa ushaul please naomba unishaul me nipo sumbawanga nawezaj kupata nguo za watoto kutoka dar kwa bei nafuu

    • @dikappymitumba
      @dikappymitumba  Місяць тому

      @@AngelRwabutiti nidm Instagram page inaitwa- dikappy Sportswear collection .

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 Місяць тому

      No ya simu​@@dikappymitumba