Spark featuring Chidi benz - usiniache (official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 257

  • @bibianayonah9127
    @bibianayonah9127 Рік тому +54

    Sikujui hunijui Ila nakuombea Kher wewe na Familiaa yakoooo

  • @HeriMagwaza-cd4wg
    @HeriMagwaza-cd4wg Рік тому +23

    Jamani mziki ndio huu sio sasa kelele nyingi

  • @LeonardFabianAnthon
    @LeonardFabianAnthon 3 місяці тому +47

    Kama una icheki mwezi wa 10 2024 like apa

  • @HanifaBanda-w4e
    @HanifaBanda-w4e 4 дні тому

    Huu wimbo namkumbuka mpnz wangu sakina kinyika wa iringa ruaha mbuyuni,,,bado nakpnda

  • @gladnesstarimo6035
    @gladnesstarimo6035 Рік тому +24

    Why chid😢 my heart is hearting, chid benz is so talented, he is a pure talent, duh can someone do something plz🇹🇿.

  • @Bad_bouy13
    @Bad_bouy13 29 днів тому +5

    Dec 2024 nikiaga mwaka na wimbo huu 🎉

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 Рік тому +20

    Huu wimbo hauchuji miaka nenda miaka rudi.I miss this era❤❤❤❤❤

  • @ZaitunMohamed-w2o
    @ZaitunMohamed-w2o 3 місяці тому +36

    Kama unahichek mwez wa 9 ,2024 dondosha like hapa

  • @patrickandika3676
    @patrickandika3676 Рік тому +9

    Chidi to the benz is the GOAT of tz rap.💯

  • @KikubilaJunior
    @KikubilaJunior 9 місяців тому +7

    Latiffah toka 2024 tuko pamoja toka 🇨🇩 DRCongo , spark alishaka enda wapi aise

  • @jnote9283
    @jnote9283 2 роки тому +17

    Dah nimekumbuka mbali sana, muda ni kitu cha ajabu sana. Bonge ya ngoma.

  • @shukuruissa5525
    @shukuruissa5525 3 місяці тому +9

    Si kwamba siwezi bila ww no
    Naweza ishi bila ww ila tatzo roho❤❤ chidy😮 October 3 2024

  • @christophertarimo6324
    @christophertarimo6324 2 роки тому +71

    Nilimuimbia mpenzi wangu 2006 ilipofika 2010 akaniacha😏😌😌

  • @ndunechabo8062
    @ndunechabo8062 10 місяців тому +4

    Kazi safi inaishi

  • @afrafranco2584
    @afrafranco2584 29 днів тому +1

    Nimeangalia baada ya kumwona chidbez goba jmn khaa

    • @babyanneytvshow3068
      @babyanneytvshow3068 9 днів тому

      Amechakaa eh au ame recover 😢 yaani chindi angekuwa mbali kinoma kwani yeye na ngwea ndo walikuwa wakali wangu

    • @afrafranco2584
      @afrafranco2584 9 днів тому

      @@babyanneytvshow3068 we Acha anatia huruma

  • @RobertoFisso
    @RobertoFisso 6 місяців тому +11

    Merry popote ulipo nimeoa lakini nikiskiza huu wimbo nakumbuka ata tulipokaa pale Florian sec nikijaribu kukufanya uwe wangu peke yangu ila ndo ivo haijawa rizki umeolewa nimeoa!! Nakukumbuka sana merry wangu

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Рік тому +5

    Wow nilikuwa tarasa4 🔥💞💞💞💞🔥🔥🔥

  • @arnoldekasekemasimango1478
    @arnoldekasekemasimango1478 Рік тому +4

    Mbaka leo naisikiya 2024

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 11 місяців тому +11

    2024 still a banger

  • @reaganamalemba7606
    @reaganamalemba7606 Рік тому +5

    Yanikumbusha niishi kongowea Mombasa sokoni uwanja wa mbuzi hapo long time sana

    • @jamalmullerjordan
      @jamalmullerjordan Рік тому

      Haha ww n mtu wa home kbsa rahan school 😂😂 ebu sub kwa channel yko kaka

  • @sylvanosalumu5840
    @sylvanosalumu5840 11 місяців тому +3

    Kitambo kidogo ili goma linanikumbusha mengi,so nostalgic indeed.

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 Рік тому +2

    Ndio naanza mahusiano yangu na mpenzi wangu... Ila full painful... Ngoma kali sana.. Wanawake sio watu wa kuaminika kivile... Pipi ya kijiti tu ishamptoa akili..

  • @bestshingwa572
    @bestshingwa572 3 роки тому +11

    Remember this guy he's good musician pleas comeback spark

  • @GeoffreyNyongesa-j3p
    @GeoffreyNyongesa-j3p Рік тому +5

    Nmepona kupitia huu wimbo😢😢😢

  • @KingCyrus-iw9yx
    @KingCyrus-iw9yx 4 місяці тому +2

    😎😎😎❤️❤️ have been searching for this song for ages 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️ .

  • @albertlokoya7937
    @albertlokoya7937 7 місяців тому +8

    Friday night 31st May 2024 still listening to this master piece song...

  • @allenmaziku
    @allenmaziku Рік тому +3

    Ila chid benz🙌🙌

  • @ceasartech7706
    @ceasartech7706 9 місяців тому +4

    Flow ya chid benzi nomaa 2024

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 5 місяців тому +4

    Ndyo naimbiwa sahii 7.2024

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 Рік тому +3

    I Stiller remember this great song with à good rapper Chid Benz. Love from BURUNDI

  • @silvestalighton1561
    @silvestalighton1561 7 місяців тому +1

    Ila mamae chid alitulia mnooo huuumuuu💥💥💥

  • @arnoldekasekemasimango1478
    @arnoldekasekemasimango1478 Рік тому

    Mimi naona myaka yakwenda huyu chidi benz akuje congo Kinshasa nabendanga sana mwanangu wewe niboro unajuwa mistari bwana wewe ni boro

  • @mulondakiyomarodriguerodri7261
    @mulondakiyomarodriguerodri7261 3 місяці тому

    niko congo Drc iyi wimbo imenikumbusha mengi sana Mungu endelea kulinda awa wasani wazuri enzi iyi walifanya kazi kabisa 🎉🎉

  • @Self_ish-l6i
    @Self_ish-l6i Рік тому +4

    Where are you niggah 😢 ... industry inawaitaji sana do some comeback you have our support 💯💥💥💥

  • @jamalmalo4638
    @jamalmalo4638 5 місяців тому +2

    Wakati nyimbo zilikua nyimbo❤

  • @msonocollo9551
    @msonocollo9551 Рік тому +1

    i do like the way chidi used kuingia kwa hizi video kabisa hata ile ya daimond uwezi kumuona mwanzao wa nyimbo akionekana anafunga kazi

  • @cuthbertmwaibella5031
    @cuthbertmwaibella5031 Рік тому +4

    Bonge la ngoma..hakika old is gold

  • @patricktemas3926
    @patricktemas3926 24 дні тому +1

    Niko hapa 22 dec 2024❤

  • @BassamAssad-f8d
    @BassamAssad-f8d 6 місяців тому +1

    Classic masterpiece, rashid makwiro verse ni shida na beat imesimama sana

  • @browneykabuje4277
    @browneykabuje4277 3 роки тому +13

    One of my best song 14/07/ 2021 still am listening

  • @Hassan18Zainab
    @Hassan18Zainab Місяць тому

    Niliachwa iringa mzeee tumain university

  • @fredrickmuriuki560
    @fredrickmuriuki560 2 місяці тому +5

    2024 tik tok imenileta hapa

  • @johnhosea1321
    @johnhosea1321 3 місяці тому

    "Naweza kukaa pele yangu tatizo roho".. Bishoo matata yupo kazini.

  • @winnierichard4265
    @winnierichard4265 4 місяці тому +6

    Niko hapa August 2024🔥

  • @paddyotieno5786
    @paddyotieno5786 7 місяців тому +5

    Bongo ilikua tamu enzi hizi

  • @nehzreal7445
    @nehzreal7445 3 місяці тому

    Hakuna kinacho nifurahishaga nikistream ngoma kwenye channel ya legendary mwenyewe...feel our support...spark nd chidi

  • @MubayaSelemani
    @MubayaSelemani 6 місяців тому +1

    Bonge la Ngoma mpaka na lia nikiona chidy jinsi alivyokuwa goat ila sasa kasha haribiwa kisa Dawa zakulevya inauma sana Aisee

  • @JoshuaJohnBruno
    @JoshuaJohnBruno 3 місяці тому

    Moja ya verse Bora bora ya mda wote ya chid

  • @sarahhellenchidzukah
    @sarahhellenchidzukah 7 місяців тому

    If only Chidi Benz knew how much his music was awesome,wooow! He's a legend ❤

  • @NorbTzofficial
    @NorbTzofficial 7 місяців тому +8

    Kama unaikubali hii flashback gonga like

  • @FabiaoAntonioMartinsAntonioMar
    @FabiaoAntonioMartinsAntonioMar 5 місяців тому +1

    Yan kama imetoka jana vile😮

  • @andrewmujay620
    @andrewmujay620 6 місяців тому +1

    2024 I'm still here... Kuachwa nako si tafadhali 😂.... Bado natafuta I say... Mad love for this song from Nairobi

  • @pendombise6756
    @pendombise6756 8 місяців тому +2

    2024 nipo hapa🔥🔥

  • @bensonkariuki5843
    @bensonkariuki5843 3 місяці тому

    Nasubiri chidi mfalme wa ilala🔥🔥🔥🔥

  • @jeshuayoeli-w3u
    @jeshuayoeli-w3u Рік тому +2

    naipenda sana nyimbo nzuri sana🎉🎉🎉

  • @rojaabasi2319
    @rojaabasi2319 Рік тому +2

    Kitambo Sana🔥🔥

  • @allanmapito3688
    @allanmapito3688 9 місяців тому +1

    The real bongo flavaur

  • @andreamsengi9297
    @andreamsengi9297 4 місяці тому

    Moyoni me naumiaaaaaa ❤❤❤

  • @mlokozimpesha4596
    @mlokozimpesha4596 Рік тому +1

    Bonge moja la wimbo, cha kale dhahabu

  • @swaumuhussein1089
    @swaumuhussein1089 Рік тому +4

    2023 am here aiseee 🎉🎉🎉

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews2564 Рік тому +2

    tBt kitambo sana

  • @allanpiller870
    @allanpiller870 Рік тому +4

    I love that song for sure.

  • @PeterJumanne-d6b
    @PeterJumanne-d6b Рік тому +1

    King of melody Spark please come back again.

  • @vicentyherman6219
    @vicentyherman6219 11 місяців тому

    Jamaa mkali sna sema tu ndo hivyo tena, ila chid alikuwa noma sna

  • @LUKAKUUlaia-x5h
    @LUKAKUUlaia-x5h 5 місяців тому +1

    Babá Ume uwa❤❤❤❤❤

  • @Moïse-p6s
    @Moïse-p6s 8 місяців тому

    Thé realy bongo fleva.. love from🇨🇩

  • @MikidadiNgokwe
    @MikidadiNgokwe 2 місяці тому +1

    Mim niliachwa baad ya hii nyimbo kutoka

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +3

    Old is gold🔥🔥🔥

  • @eliaelishagaming1432
    @eliaelishagaming1432 3 місяці тому

    Ila chid 🙌🙌🙌🙌

  • @issamwalimu4024
    @issamwalimu4024 Місяць тому

    Hii time Dimond alikua yuanyonya, na mume wake p Diddy alikua ashaunda jina yuamngoja amfumue

  • @Gody360
    @Gody360 2 місяці тому

    Pamoja ✊🏾

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 3 місяці тому

    Sijawahi kuona Kuna mtu anaweza kuteseka juu yangu,aliyenipenda sikumzingatia wallah now I'm idle this life has no balance
    2005 he came home and engaged me but I never see him.

  • @SuzanaSehaba
    @SuzanaSehaba 3 місяці тому

    Nyie kumbe chid alikuwa vzur eh😅😅

  • @AminaMbwana-hy9yz
    @AminaMbwana-hy9yz 9 місяців тому

    Duuh nakumbuka mbali mno naipenda sana kwakweli

  • @hezbornogera6751
    @hezbornogera6751 4 місяці тому

    KE---TA----U........ EXPRESS ENZI HIZO......

  • @yusuphmduma5079
    @yusuphmduma5079 2 місяці тому

    WOW 2008 take me back

  • @wodiasjonathan-id8wv
    @wodiasjonathan-id8wv 4 місяці тому

    Ilikua kama kweli jaman

  • @davidoniger3987
    @davidoniger3987 3 роки тому +1

    Wimbo unikoshaga uuu

  • @ItzzzTjayy
    @ItzzzTjayy Рік тому +1

    Msiniulize Kwanini nipo 2023 naiskliza

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 8 місяців тому

    Huyu visalab alikuwa moto sana kwenye video kitambo kile dah spark mwamba sana wewe 2008 iyo moto

  • @AthumaniRamadhani-o4y
    @AthumaniRamadhani-o4y Місяць тому

    Kama unichek hii mwez wa12 mwaka24 pamoja sana

  • @asmaphilipo7004
    @asmaphilipo7004 3 місяці тому

    Chid mtam balaaa

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 6 місяців тому +1

    Jamani rudini stejini tumewamis 😢😢😢😢😢

  • @AthanasMpepo
    @AthanasMpepo 8 місяців тому

    Hatari sana

  • @shebynizertechnicallyskill3005
    @shebynizertechnicallyskill3005 6 місяців тому +2

    2024🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @allymagimbi7217
    @allymagimbi7217 11 місяців тому +1

    BGP sana

  • @humphreymalibiche1405
    @humphreymalibiche1405 Рік тому +2

    2023🔥🔥🔥🔥

  • @benochafu4001
    @benochafu4001 Місяць тому

    Hakika
    Hiligoma hatari
    Sana 2024 tujuane

  • @livinswai9291
    @livinswai9291 Рік тому +1

    20dec2023 Wednesday I'm listening 🎧 this track

  • @mrafb7224
    @mrafb7224 Рік тому +1

    Chid benz our very own

  • @mrashanshata7029
    @mrashanshata7029 Рік тому

    Big up on yaself watching from Oman

  • @AishaLipumba
    @AishaLipumba 2 місяці тому

    Nilimwimbia mpenzi wangu2013 ilipofika 2022 akaniacha

  • @hazard3602
    @hazard3602 Рік тому +1

    kirakaa😊

  • @jamessumbizi7332
    @jamessumbizi7332 9 місяців тому

    Safi sana

  • @Mrkibisho
    @Mrkibisho 9 місяців тому

    Awa ndo waliokuwa wanaimba sasaivi wanakesha kupiga kelee tu na kufundisha ujinga

  • @DeogratiusMwanicheta
    @DeogratiusMwanicheta 9 місяців тому

    Wakati huo nikiwa DJ Tabora duh

  • @IdrisBigDrix255
    @IdrisBigDrix255 10 місяців тому

    Chid Benz ni fire vby

  • @lilahnalola2633
    @lilahnalola2633 2 місяці тому

    Chid ni hatari

  • @MosesMbaru
    @MosesMbaru Рік тому

    This song bring me hear today tatizo roho 😢

  • @HaimisSeremani
    @HaimisSeremani Рік тому

    Mbali Sana nakumbuka 2011