This is one of the best songs if not the best Ali Kiba has ever recorded. Absolutely brilliant. And that outro from him "Ni maneno ya kashfa, kata....." is just out of this world
FAR AWAY lyrics by Ali Kiba ft Chidi Benz [Intro - Alikiba] Haste haste, rote rote Hasna siko, aah [Verse 1 - Alikiba] Do you remember ulivyokwenda safari? Huku nyuma Ali mimi sina hali Sio useme tu “nakupenda sana” Roho inaniuma aah Ukinitenda ntaumia sana Niambie baby, aah Slow slow baby, ni-kiss tena Watu wanaumia aah Ukinitenda ntaumia sana Niambie baby, aah [Chorus - Alikiba] So far away From far away We from far away We so far away We so far away From far away We from far away We so far away [Verse 2 - Alikiba] Rote rote, hasna siko Haste haste, ndo nshasema Rote rote, hasna siko Haste haste, roho itaniuma Niseme nini mimi yalishaniumiza (niumiza roho) Kama mapenzi mi nshateswa sana Slow slow baby, ni-kiss tena Watu wanaumia aah Ulivyonipenda, nshaumizwa sana Niambie baby, aah Slow slow baby, ni-kiss tena Watu wanaumia aah Ukinitenda ntaumizwa sana Niambie baby, aah [Chorus - Alikiba] It’s so far away From far away We from far away It’s so far away It’s so far away From far away We from far away We so far away [Verse 3 - Chidi Benz] Tumetoka far, far, far, far away Mbali, kabla sina hali Maisha ya kunywa chai na ugali Mpaka leo twala ndama, sio bata, kila mahali Usiniache, usikache my boo Kabla ya kuchukua maneno kumbuka I love you (You know that) Hakuna kunidanganya (and you know that) Nakupenda nakuheshimu sana (and you know that) My love, my heart, my queen (and you know that) Without you king never gon be seen So usiende mbali, mbali, mbali we Oh tumetoka far, far, far away Mbali, mbali… mbali wee Mbali, mbali… tumetoka far away [Chorus - Alikiba] It’s so far away From far away We from far away It’s so far away It’s so far away From far away We from far away We so far away [Outro - Alikiba] Naumia inaumiza roho Kwa maneno wanasema Eti mimi sikufai Unanitenda, wachawi acha wi Hayawahusu Midomoni mwao mejawa sumu Na maneno ya kashfa Na maneno mengine yakata Kata kabisa, husikiiza Usipende kusikiiza Na mengine ya kashfa Kashfa, na wengene wanapaka Wanapakaza maneno ya sumu yanafitin
2024 penda sana this song 4:04
Kama uko hapa 2024 na unakubali hili goma hebu like zijae
Am here
Ngoma hatari mpaka wa leo, love from KE🇰🇪
Nipo hapa
Unyama
Kumbe hizi Pete zilikuaga kitambo Ndo maana hawachuji
Aliyekuja hapa 2023 naomba nimuone kwa like
Mimi huyu
@@JeannetteManirambona-o6m❤
Kama bado unakumbuka this song nipe like..mwisho niliskiza 2013 and i still love the song
hey 2024 nipo hapa pia naskiza hii banger🔥🔥enzi hizo nywere kipilipili ndo fashion🙌🙌
Kama unausikiliza huu wimbo 2021 Kama mm tujuane bac make hii ngoma ni Moto🔥🔥
Kwamba ya kale dhahabu❤️❤️❤️
Safii Sana mziki mrua, congrats Mr King kiba yebaaa
Tuko
We acha huu wimbo unanikumbusha mbali
Nko 2021 tbt
nilishawahi kupata adhabu shule kwa sanabu nilikuwa naimba huu wimbo naupenda sana
2023,HII ngoma inanikumbusha dem wangu akienda boading school
Umenikumbusha wangu 😂😂😂
Dah hata mimi😂
Coincidence 😢😅
Am here in 2023 January still in love with this song. Still searching for my love
One of my favorite Ali Kiba's songs
Ndiko hapa 2024❤❤
Waah this song gives me goosebumps and a very strong nostalgic feeling
Same here 2021
still a hit
This is one of the best songs if not the best Ali Kiba has ever recorded. Absolutely brilliant. And that outro from him "Ni maneno ya kashfa, kata....." is just out of this world
who is listening to this in may 2020....
I'm here
I'm here
20/05/2020 hoje
2021
2021
March 2023 and still a banger ❤️❤️❤️🔥🔥🔥
Chid Benz rhymes reflect the true life of black Africans.
January 1st, 2022.
Still listening.
Brings back memories za kitambo Sana.
Same memories za kitambo sana
26th July 2022
14 Sep 2022
Oct 27th 2022
January 2023
Very songs ❣️ unaweza kusikiriza mwezi mzima hujauchoka jamani
Bset song from the only King.... anyone still listening in 2023
its 2023 gonga like kama unachek unyamwezi wa kiba wa miaka hio na vocalz zake za juu
Penda wew king kiba nani anakubali huu wimbo gonga like za 2021
Ndo Niko naisikiliza hii ngoma ni kali
💋💋💋💋
Old is Gold🔥🔥🔥
Tujuane tunayoitazama muda huu 😂😂
Dah enzi hizo were are my 90' kids jamani hii song nikushika vina kama vyoote 😍😍😍😍😍
Kama Tupo wote huu nwaka 2024
Lete comment ❤❤❤❤
KENYA
TANZANIA
Burundi
Mpaka Zimbabwee😅😅😅😅
Chidi kama chidi nowadays wakihojiwa anakijibu anachokijua yeye ambacho hakihusiani na swali alilo ulizwa😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅
Lets us give him his flowers🎉🎉🎉
real bongo from real guy 2024 in the house
We ndo king wa mziki wetyu wengine wakasome tyu
Lots of love from 🇰🇪 2024
Ali Kiba deserves more views...people underestimate him. Love his songs. This, njiwa and Songi songi too.
Mamaee we kuimba ndo mweny music mfyuuu🤔🤔
Was in love with Ali kiba then... now and forever king for lifeeeeeee❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Wimbo huu niliupenda sana 😘
I can't forget back then 2013❤❤..mapenzi kitendawili..nko hapa 2024😂😂😂 na bado goma tamu..
Nakumbuka nilipokuwa darasa la 6❤❤❤
Still my favorite songs 2023
Only legends can relate 😌 KING
Ila chibu awe anaheshimu wakubwa hasa alikiba
I agree that I should comment here🥺🙌💥
❤kitambo sana lakn bado inatamba
Huyo Dem ni mcute Sana...woolan de
2024 and am here for some good vibes❣❤
More fire collabo ya mzee mzima chidi na king kiba,naikubali sana
Who is still listening this amazing song froone and only King Kiba at 2022
kwa wahuni tuuuu....inatosha....
Mimi nina mengi nakumbuka lakini huyu chid benz ame kwama wapi eee Mungu musame chid kama kuna fasi alipo koseya
Still in love with song and always vibes on my playlist when it turn🥰🥰😘Thanks to the artists for the great work done back then
Wow so amazing alikiba
How many are listening to this during this quarantine....👍
FAR AWAY lyrics by Ali Kiba ft Chidi Benz
[Intro - Alikiba]
Haste haste, rote rote
Hasna siko, aah
[Verse 1 - Alikiba]
Do you remember ulivyokwenda safari?
Huku nyuma Ali mimi sina hali
Sio useme tu “nakupenda sana”
Roho inaniuma aah
Ukinitenda ntaumia sana
Niambie baby, aah
Slow slow baby, ni-kiss tena
Watu wanaumia aah
Ukinitenda ntaumia sana
Niambie baby, aah
[Chorus - Alikiba]
So far away
From far away
We from far away
We so far away
We so far away
From far away
We from far away
We so far away
[Verse 2 - Alikiba]
Rote rote, hasna siko
Haste haste, ndo nshasema
Rote rote, hasna siko
Haste haste, roho itaniuma
Niseme nini mimi yalishaniumiza (niumiza roho)
Kama mapenzi mi nshateswa sana
Slow slow baby, ni-kiss tena
Watu wanaumia aah
Ulivyonipenda, nshaumizwa sana
Niambie baby, aah
Slow slow baby, ni-kiss tena
Watu wanaumia aah
Ukinitenda ntaumizwa sana
Niambie baby, aah
[Chorus - Alikiba]
It’s so far away
From far away
We from far away
It’s so far away
It’s so far away
From far away
We from far away
We so far away
[Verse 3 - Chidi Benz]
Tumetoka far, far, far, far away
Mbali, kabla sina hali
Maisha ya kunywa chai na ugali
Mpaka leo twala ndama, sio bata, kila mahali
Usiniache, usikache my boo
Kabla ya kuchukua maneno kumbuka I love you
(You know that)
Hakuna kunidanganya (and you know that)
Nakupenda nakuheshimu sana (and you know that)
My love, my heart, my queen (and you know that)
Without you king never gon be seen
So usiende mbali, mbali, mbali we
Oh tumetoka far, far, far away
Mbali, mbali… mbali wee
Mbali, mbali… tumetoka far away
[Chorus - Alikiba]
It’s so far away
From far away
We from far away
It’s so far away
It’s so far away
From far away
We from far away
We so far away
[Outro - Alikiba]
Naumia inaumiza roho
Kwa maneno wanasema
Eti mimi sikufai
Unanitenda, wachawi acha wi
Hayawahusu
Midomoni mwao mejawa sumu
Na maneno ya kashfa
Na maneno mengine yakata
Kata kabisa, husikiiza
Usipende kusikiiza
Na mengine ya kashfa
Kashfa, na wengene wanapaka
Wanapakaza maneno ya sumu yanafitin
@@yussufdekow7500 can listen to this song a thousand times ...
So talented mr Alikiba i we could work together ❤ 🎶 ✨ ♥
⚡⚡🇰🇪 nilikua na medii na hiii domba nikiwa mtoii
Chid Benz lafamiliaa💪❤️👑✍️💯
Ali K was my best, still my best and will always be my best Artist...2021 still here jamming to 'Far Away' after a decade!!!❤️❤️❤️
Pl
P
O
Ali k for real i love your voice
Still vibing to this Classic....#King Kiba
gonga like wa 2025 ambao bado tunausikiriza huu wimbo
Nipo Hapa 2024
Ego mwishwanj ❤
Kitambo iko kk dah noma xn
Very nice songs from him king 🤴 kiba ❤❤❤
Kwahyo huyo demu mlimwambia apande juu ya mti
This is very big music big up king @alikiba
Qubali sana yani kibaaaa Chidi bezii❤❤❤❤❤❤❤
Nyimbo hii kama unataza inakumbuxha wap nauliakua unafanya nn 2024 like comments zenu hap ❤
It's 2024 and this lady looks extremely beautiful than the GenZ gals 😊,the song is a hit till today ❤
kitu tamu sn nakumbuk mpak Leo 2020 haishi hamu 🔥🔥🔥😍
Alikiba, Ni king kwa duniani
Chid benz nailed and killed it
Nakubariii Sanaa family
King Kiba, King of Bongo💪
Tuna mumiss aliy huyu na child huyu jmn
Noma sana
Chuma,child Benz jmn ilikuwa mbavu
Here to remember someone who sent me this song..pure memories😂😊
Who sent you the song..??😂😂
this video remind me when i was T.Z and i really like it
Ngoma aichuji daah King King tu
Keep moving brother, love & bless be with you 👊👊👊👊
Big 🆙 King KIBA👑 and Mr Chid Benzi, FAR AWAY
seeing today 17 July 2024, Enjoyable song ever.
Kama unasikiliza hii ngoma 2023 like tujuane make hii ngoma ni 💥💥 fire
Kiba for real..Pump it in...😁2023far away254
alikiba💯🎤🎶🎵🎶🎵🎶😂👏👏👏can we just get married already
This guy is very talented
Leo namuwa kusikiliza zakale
2025 gonga like hapa kwa wazee wenzangu❤❤
It is still live this song in kiba' fans heart.
2021 still a banger
Black to Back 2024 love reloaded ❤
2023am still here TikTok made me come back‼️❤️
BENZINOOO
Ndaniiiii sanaaa
Ongera sana
Kama uko hapa hadi leo pita na ka like
My favourite song kingi kiba big up kaka
Napend xan ii ngoma
Bonge la collabo
My favorite one...... remind me of college life.
THIS SONG IS SOOO GOOD
I love this song so much. That I to search
Dah child benz ni noma aisee
I love this song alot till now 2020 September
TBT l love this song so much l remember sometimes ❤❤❤❤❤