Hii nyimbo ilipigwa wakati my bro Shebani jst finished KCPE 2011 this was gr8t Memory... Then yangu ika follow 2012 na hit song ya "GENTLEMEN " P_UNIT *SAUTI SOL then there was a live concert wen they came live in Msa, at Nyali international beach performance... These moments make me still Miss 254flow
When am down I always come to listen to Mahatma's verse,then I proceed to heshma kwa mtaa as I pass through kila mmoja then finish with genge love to get some vibes
Skizia mistari mzeeiya... Gone r the days we had califf records, Ogopa deejays, jua kali, Nonini, E sir, p unit, colo, redsan, niwengi joo,... But Now I feel the industry z cheating us(musically)
Kadhaa Officila Music Video (1080p) ua-cam.com/video/WfOJJeIxFZE/v-deo.html
Hahahahaaha
Who is listening in 2024. Chid killed it
☝️
Chid alipta kwenye hii Ngoma htr
Kabisa.
2024 Kwanza verse ya mahatma inaongelea tu current happenings bana ( ma fly wameangusha mavijana kadhaa...)
Yes he did ❤
Wacha nikupokee...Am busy busy,am busy busy busy busy mpaka sijuhi last single ya Lil Wizzy...Chidi You killed it
Nan Yuko anatazama hiii song collabo na chid Benz from🇹🇿
Whose listening in 2024❤
Abril 20 ,2024,time day ,1.00 sawabu ya mohamed is our estlando history.so sad
I am
Sijaona kitu ya bure tangu maziwa ya nyayo😂😂
Kumamake madawa yalaaniwe daaah 😢
Mgenge , Idol wa street, yaan Nonini unajua ku-inspire vijana kwa street , won't give up mpaka nasi tuimbe kadhaa with chapaa kwa bank, Tz 🇹🇿
Chidi killed it👊👊👊👊👊
Chidi alisafisha track!
Mahatma alikua anaongelea 2024 14years ago, wueeh!
@@allanodongo 😔
2024 bado tunaiskiza MAHATMA KILLED IT
WACHA NIKUPOKEEEE..... 🤝🤝🤝🤝
2023 bado tunaipenda
Mpaka Leo 2024 mutu wangu
Vile Chidi anaingizia from Bugah is what we call a grand entrance masterpiece🫥🫥🫥
Hands down Buganya alichafua hio verse vi noma...waaaaahhh na vile Chidi Benz anaingia...that's classic and timeless
Levo za chidi zilikuwa balaa sana. Bonge la biti na kila mmoja kaplei pati vizuri.... We miss u chidi benzinoo.... Nov 2019
Ukishashiba na uko miti @2024 nailed it mahatma
Niachie apa ama niendelee acha nikupokee chidi Benz balaa blue
Saluute 👊
Hii song 🎵 iko sonjo sonjo
2019 here all the way from Tz much love
Nonini
Bring Back Chidi Benz
duh Chidi hari mbaya, unga umemmaliza aisee
My favourite song lov you nonini
Apo Sawa Back To The Street ni Lethal io..Tumeshiba na Tuko Miti
2024 forever Chid king kong Ilalaaaaaaa💯💯🤟🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Best Kenyan song ever made. Everything is class: verses, beats by the legendary Eric Musyoka. Head on to CTA Nonini as he disects this song 🔥🔥
Buganya to Chidi still the best transition ever.
Yes
Wacha nikupokeze 🔥🔥🔥
Absolutely
Niachie hapo ama nindelee?
Yah!
Chidi Benz
Mahatma is the most underrated Kenyan artist. Pure lyrical star ⭐
Iko tu Sawa ❤
@@mahatmamgenge pande zote mbili 💯
Listening back to back from then when I was a boy to now playing the song for my wife. Blessings 💜
@@andrewndegwa5616 real.we appreciate and treasure you guys🫶🏽
The transformation of chiding 🔥🔥🔥
Who's listening in 2020?
Mimi
Chid benzi 💥
Mahatma 🔥🔥
It's Sept 2022 and this song still hits the same.
Chidi aliuwa hapo,😂😂
Walai mwenye alicheza izo keys big up manze🔥🔥2024 listening July 3
Bonge la ngoma
Aaaaah nonini, 2024 hii doba inatubamba Tena
The transition from buganya to chidi Benz 👏🏼👏🏼
Dope effortless
NoNENE amesema pale kwa interview CTA that from this track ndo Gabu alianza kiwa mkali
Hebu watch uskie
@@DonKhalifah aaahhh kabisa naona siko solo.
@@NoniniMgenge2ru budda tupeni ladha ka hii 2021
4:04 🇹🇿 Still the G.O.A.T🐐
Wacha nikupokeee😂😂😂
Hii nyimbo ilipigwa wakati my bro Shebani jst finished KCPE 2011 this was gr8t Memory...
Then yangu ika follow 2012 na hit song ya "GENTLEMEN " P_UNIT *SAUTI SOL then there was a live concert wen they came live in Msa, at Nyali international beach performance...
These moments make me still Miss 254flow
That time mziki wa kenya ulikuwa juu sana na kulkuw na wakali wa kutosha. Hii ngoma ilinibamba hatar,
Acha nikupokee 🎉🎉🎉2024 hqtar xana
Napendaa sana nyimbo za Kenya .....
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mahatmah alimada hii beat wallai
Hatma ndio mwenyeji
Thats Chid Benz from Tz,Mfalme wa Ilala means The king of Ilala,Ilala is one of three Districts in Dar es salaam TZ,primezz1
💯.
Mahtma "Mohammed" Aliweza Si Siri
Mahatma alitoa verse kali
When am down I always come to listen to Mahatma's verse,then I proceed to heshma kwa mtaa as I pass through kila mmoja then finish with genge love to get some vibes
Mahatma the best of the best in this remix
We need new hits
Yes Mahatma did justice to this song
No time kua sad kaka mungu yuko na sisi forever
Mahatmaaaa..... Tuangushie ngoma.. ni siku mob. Ngoma noma...
Sijashiba Nina njaa,usinijudge kwa hizi suti ninazovaa#❤
Mahatmaaaa! 🙌
Skizia mistari mzeeiya... Gone r the days we had califf records, Ogopa deejays, jua kali, Nonini, E sir, p unit, colo, redsan, niwengi joo,... But Now I feel the industry z cheating us(musically)
Nonini mmi hukuwa nmekurank juu tu sana, uko 🔥🔥rudi kwa industry
Chidi Benz kali Mahatma mtu saba
Hakuna verse kali 🔥🔥nishaiskia kuliko hiyo ya mahatma! Siezi leta mtu kama huyo kwetu 😅🤣🤣🤣🤣
Hakuna 😂😂 napenda Mahatma but Chid killed. Kwanza hio kuingia tu ilikua unikol 🔥 🔥. Am busy busy am busy busy.....
Baaaaas maisha fiti kwanza ka ushashiba na uko miti
Ni kali sana. 🔥
Mahatma verse was fire🔥
2:41 mine is the one pon de board
2023 playing this forever legendary music lives forever 🔥🔥👑🎵🎶💎👌🙌⭐⭐🦅🙏
2023 bado tunakimbiza kama kawa 🔥💥💪🇹🇿🇰🇪🇦🇪
Wimbo ulikua moto sana 🔥. Much love to you guys from 🇹🇿
'mtaa imenifunza thats why niko imara...' hes from imara daimaa...bars
November 03 2024 ngoma kali, Chid Benz kamaliza
Nimecome hapa ju ya Mahatma
Humbled bro.
Chid Benz you killed it lafamiliaaaaaaa mfalme wa Ilala 😁🔥🔥
The beat production (is)so smooth giving artist vocals clarity ❤ this was ahead of Kenyan music...to 2025 🎉
My boy Boneye killed it👍
Hii ngoma hunijazz... kwanza verse ya Mahatme💥👊👊2020
Mahatma aliua hii beat!
Chidi ndo kafunika ngoma nzima
Chid kawatesa sana we zake
Mahatma salute ya❤
Chid killed it
MAHATME!!!! SIJAONA KITU YA BURE TANGU MAZIWA YA NYAYO.2021STILL LISTENING.
Nonini was very talented big up to him👊🏽👊🏽
Mtaa umenifunza that'swhy niko imara...Nonini ananiita...🗣Mfalme wa ilalaaa
CTA interview was great sasa niko marathon ya Nonini classics. Big ups, hapo sawa kabisa.
Chidi Benz nailed it💯💯💯
Mfalme wa ilala @chidbenz 🌪🌪🔥
Track imekubali, ni miaka kadhaa lakini kwenye speaker nonini bado anachuna. Tulikuzwa na genge, mistari tunaflow na rhymes za Legend. Respect🙏🏾
The producer ws ahead of his time men❤
October 2019 wapi likes
This was a good one....Nonini
It's 2021 and we still vibing to this jam🔥🔥
Hot🔥🔥🔥🔥
Chidi benz❤❤❤
Kumbe jina "kuomoka" si ya 2020 ... 2:55 - 2:58
Was looking for this comment..Kweli mimi ni gambler!!!!!
Wapi ndulu ya Ilala King 2019/??????
2023 na bado hii ngoma ni 🔥 mahatma ni mgori
Nomaaaaaaaaaa... Chichichi
Manzeeee growing up listening to this bana,growing up in isich I relate to mahatma's verse maisha fiti kwanza Kaa ushashiba na uko miti"veve"
To the legends ✨️ cheers 🍻
We ni mgenge from bongo
Mahatmeeeee! Listened to his line over and over again
Chidi Benz babaaaa!
mahatma
@Nonini wajua vile chidi ana hustle kurud kwa game skuiz plz fanya lolote positive to him
Mahatma killed it.
This is one underrated masterpiece…bigup Godfather 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🫡
2018 & I'm searching for this in UA-cam! Much love to wakenya
Am biz mpka nimesahau last single ya Lil wizy . Nonini ananiita Mfalme wa Ilala 🙌🙌🙌🙌
LadyB is that you baby gal....🥰🥰🥰🥰I love this crew👊👊👊
Frases ni mkali.
My Altime night nurse
Who else is here after getting to know the real Nonini after watching CTA?
What is CTA? I love nonini, i'm so invested I wanna know.
Chii chii Chidi.. Bad bwoi Mfalme wa Ilala.