KIMENUKA ACT WATOA KAULI KWA TAHARUKI ILOSAMBAA MAZRUI KUFUKUZWA ACT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

КОМЕНТАРІ • 62

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 7 днів тому +2

    maendeleo ndio muhimu,hizi kelele za kwenye majukwaa zimeanza miaka nenda na hakuna liwalo,wanasiasa nyote waropokaji tu

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 9 днів тому +4

    Mazurui anapenda kuropokwa, hapimi Cha kuongea ,hutoa tu yaliomo mdomoni.😂

    • @Jal210
      @Jal210 3 дні тому

      Mazurui anasema ukweli

  • @Jal210
    @Jal210 3 дні тому

    Kasema ukweli maendeleo yanawndelea na yanaonekana msema ukweli mpenzi wa mungu,

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 9 днів тому +3

    Zitto kabwe katiba mpyaaaaaaa 😂😂😂 hii ni longo longo ya ki si hasa 😂 nyambafu zetu 👎👎👎

  • @salyali7807
    @salyali7807 8 днів тому +3

    Mh Jussa ananikosha ... sichoki kumsikiliza .. May Allah amhifadhi .. Allahumma ameen

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 9 днів тому +4

    Upo saw kamanda

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 6 днів тому +1

    Kwani kusifia kitu ambacho kinaonekana kuna ubaya gani mie ndio mana siasa za kitanzani wala sizitaki ni siasa za kibwege tu

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 9 днів тому +2

    Wewe. Unaesema. Siorahi. Tambua. Mungu. Hashindwi. Nakitu. Kma. Unamafuta. Kweye. Akiliyako

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 9 днів тому +5

    kwani kuna ubaya gani kusifia Maendeleo na wakati yanaonekana?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 9 днів тому +2

    Hawajakufahamu kabisaa

  • @user-hj4zt1kw4i
    @user-hj4zt1kw4i 9 днів тому +2

    Wataka awe shemeji yako?
    Taja mahar ya dada yako

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 6 днів тому

    Huyu jussa hana tofauti na wahubiri dini mana huyu kila kukicha anahubiri anacho kiongea wala hakieleweki

  • @jumA-th7rs
    @jumA-th7rs 3 дні тому

    Nyie hamueleweki mnataka nn. Eleweni Zanzibar hamuipati ngoo kama kupewa ilikua mpewe na karume lakini kashindwa na Hakuna hata nchi moja iliolisema hili.

    • @jumamuhd620
      @jumamuhd620 2 дні тому

      Km anatoa babaako haipatikani lkn km mtoaji ni mungu basi mungu anampa amtakae bl y hesabu

  • @mbarakahaji4302
    @mbarakahaji4302 9 днів тому +1

    Wewe ndio muflis wa siasa

  • @MAGARITanzania
    @MAGARITanzania 9 днів тому +2

    Zanzibar maendeleo yapo wazi hayataki tochi, mtu asiyeona basi hataki tu kuyaona.

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 9 днів тому +1

      Maendeleo ya kuharibika kwa maadili😂

    • @Aisha-lj8bu
      @Aisha-lj8bu 9 днів тому +1

      Njaaimezidi bila yashibe hakuna maendeleo

    • @omarmohammed5157
      @omarmohammed5157 9 днів тому +1

      Unajuwa maaana ya maemdeleo au unaona majengo tu???😂😂😂😂😂

    • @Rukaiya-lt3hm
      @Rukaiya-lt3hm 5 днів тому

      Kama yapi

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 9 днів тому

    Kiukweli mazruui hasomeki 😂😂😂

  • @user-xv4tl8iv4l
    @user-xv4tl8iv4l 7 днів тому

    ATOKE HADHARANI MWENYEWE MAZURUI ASEME SIO ASEMEWE. HAJAFA, YUHAI KWA NINI AWALISHE MANENO ? YEYE ALISEMA HADHARANI ATOKE HADHARANI ANAOGOPA NINI

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 9 днів тому +1

    Mm mwenye nashanga mazuri alipigwa na ccm mpaka kutupwa Leo hii aingie ccm yani negelimuona si mtu kwli ukiangalia jisi walivyokua na mwalimu seif kukilea chama hadi hii atoke

    • @alimohammedomar3412
      @alimohammedomar3412 7 днів тому

      Usishangae kwani hata Juma Othman alipigwa hadi akachakaa lakini baadae alirudia ccm na kupewa ubalozi kwa tamaa yake

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo 6 днів тому

    Hivi bado znz kuna ccm?

  • @user-ri1yr8ks7y
    @user-ri1yr8ks7y 8 днів тому

    Hy

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 9 днів тому +1

    Acha dharau masikini wewe

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 9 днів тому +1

    Cuf au 😂😂😂😂

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 9 днів тому +2

    Acha matusi mtu mzima hovyo

    • @Rukaiya-lt3hm
      @Rukaiya-lt3hm 5 днів тому

      Maalim alitukanwa sana mbona haukuumia ww

  • @alinasor8553
    @alinasor8553 6 днів тому

    Iyo siasa

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 днів тому

    Mazrui anajitambua kuliko wewe!!

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 9 днів тому

    Sio Rahisi kuing'oa chama changu .wewe ongea kujifurahisha lakkini ni kitu ambacho hakiwezekani

  • @KhamisMwafrika
    @KhamisMwafrika 7 днів тому

    hatumtaki tena huyobwana kashakupa fupa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 днів тому

    aunajiangaisha bure siyo rahisi kuitoa Ccm Zanzibar tutawstoa mnio kwetu bara mpaka mtakoma madukavyenu mtahama nayo huko kwenu hamtoshi na bara ndiko kwenye biasha jaribuni muone cha moto

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 9 днів тому +1

      Margaret,bila ya nguvu ya vyombo vya dola(polisi na jeshi),hamna ccm

    • @KibondoPaje222
      @KibondoPaje222 9 днів тому +1

      HUO NI UFALA WAKO KAMA HUKO MLIKO KAMA KUZURI MBONA WAMEJAAAA HUKU VICHOGOOOO

  • @umsalim6515
    @umsalim6515 9 днів тому +1

    Acheni bwabwaja, chama kilikuwa na nguvu kilipokuwa cha wazanzibar halisi, CUF, tangu mlipokipeleka bara mkawapa kanisa basi bwabwaja tu. Tizameni shughuli nyingi za makanisa rangi zao zipi ?

  • @Jal210
    @Jal210 3 дні тому

    Pimbi ni wewe mjinga huna adabu

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 9 днів тому +2

    BARUDHUL WW NN ASIYEKUJUWA

    • @Aisha-lj8bu
      @Aisha-lj8bu 9 днів тому +1

      Sw yy nibaradhuli naww nibashawake mjinga ww

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 9 днів тому +1

    Wanafiki wakubwa, watu wmeuwawa nyie mnakimbilia nafasi tatu, Acha Meiny aendelee kuwa Ris wetu

  • @Jal210
    @Jal210 3 дні тому

    Muflusi ni wewe mpumbavu

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 6 днів тому

    Hayo maneno ya kisiasa tu unakumbuka mzigwa aliongea nini wakati yupo kule na kujiunga CCM hayo ni maneno ya kisiasa tu na huenda pia huyo MH manzruwi pia akahamia CCM pia nae nyie wana siasa mnaaninika basi nyie si wapiga dili tu Tanzania kuna siasa kuna wapiga dili

  • @KhamisMwafrika
    @KhamisMwafrika 7 днів тому

    amenunuliwa kashapewa pesahuyo

  • @user-bi1tz8jp9f
    @user-bi1tz8jp9f 9 днів тому +2

    Kumbe jussa wamjua mtume,naona hujaowa mpaka leo

  • @shekhanalyz1683
    @shekhanalyz1683 7 днів тому

    Siasa hizo zimeshapitwa na wakati kama kiongozi anafanya vizur mpeni maua yake haijalisha chama tawala au upinzani kama mbunge wa upinzani anafanya vizuri mpeni mau kama tawala mpeni maua.