Mhe. Mazrui anaelewa dhana ya "appreciate inquiries" sio dhambi kusema kumefanyika hiki au kile. Ukweli ni kwamba Dr. Mwinyi awe kakopa au kagaiwa lkn Zanzibar anaijenga.
Tuwache ujinga wazanzibari. Anafanya mwinyi tunafanya cc pesa zetu zimo matumboni mwao na aila zao . pesa zetu walala hoi. Ikisha mwinyi maweeeee. Ipo cku.! Ata kama damu itamwagika c ajabu. Mapinduzi DAIMA! KIGEZO KENYA!

Maisha wa watu kwanza sio majengo
Tuwache ujinga wazanzibari. Anafanya mwinyi tunafanya cc pesa zetu zimo matumboni mwao na aila zao . pesa zetu walala hoi. Ikisha mwinyi maweeeee. Ipo cku.! Ata kama damu itamwagika c ajabu. Mapinduzi DAIMA! KIGEZO KENYA!
Mwenye akili amemuelew othman masoud
Wewe unaaakili timamu lakin nchi bila ya mamlaka yake hio ni nchi acha kuzungumza pumba muda mwengine kama huna la kusema
Wewe. Kajengakwenutu. Mwinyi. Ila. Pemba. Bararaba. Zote. Bovu. Hasa. Zandani. Kma. Wambaa. Kengeja. Tundauwa. Nk. Halafu. Ambakajenge. Wahuni. Wakubwa
ACT ❤❤❤❤❤❤