Dj smaaa apo niongezee kwamba unaweza ukawa na Kila kitu lakini mungu akitaka kukushusha nakukupandisha ni dakika moja tu...apo ni mungu ..awo waislael wanapambana na mungu hakuna kikingine ndomana wametumia muda mingi...mungu muache aitwe mungu
Hata hao Hamas katika watu 1400 waliowauwa zaidi ya nusu ni wasio na hatia. Hata makombora wanayorusha Israel yanalenga maeneo ya makazi ya watu. Kimsingi target ya Hamas ni kuuwa waisrael wote
Shida wachambuzi wengi wa vita ya gaza wanachambua kishabiki. Mchambuzi sahihi huwezi kusema lsraeli ni dhaifu Kwa kuangalia vita ya Gaza tu. Rudi kwenye historia ya lsraeli ndo utaelewa lsraeli ni dhaifu au hapana
Ni dhaifu kwasababu israel kama israel haina kitu mpaka wapate msaada kwa marekani na nato. Huu mwezi 8 malengo yake hayajayafikia licha ya msaada ya fedha, silaha mbali mbali. Chaajabu wanapigana na wanamgambo wasio kuwa na sila za kisasa, hawana vifaru hawana ndege za kivita
Kuna mchambuzi anauliza mateka wako wapi? Hamas wanajua ili iwe rahisi kuwalinda mateka lazima uwagawe chini ya watano, lakini pia ukiwaweka wengi lazima muwe wengi kuwalinda, so mtaji expose kwa waisraeli na watakuumiza tu. Mind hamas wanajificha kwa raia na wanavua uniform.
Hao watumwa tu kuongea ni habari ila wale wanao shobokea esrael fake walijua ni wakristo ndio nn mana hao wamekuja 1946 na hawatakua na amani wapo ktk ardhi isio yako miaka mingapi zionist wanawaua wanaharibu nyumba wanawafunga watoto wananyayasa waende wapi kama sio huyo shrtani america kuwaweka kwa mabavu. Africa pia hao hao wazungu wanawagombanisha kama sudan Somalia kongo waliwaua kina lumumba soth wafrica miaka mingi waliuliwa na kunyanyaswa ktk ardhi yao kumfunga Mandela yule mzungu liopard aliwaua kongo zaini ya mamilioni au sio mzungu
@@woah.africa99 we nae mbona unabadilisha mada mi naongelea kinachoendelea kwa waafrika weusi wa darfur Sudan, maana waarabu wanachofanya ni kutaka kuwafuta kabisa waafrika weusi darfur ambapo ni kwao
Fatilia HV ni vita vya Uhuru bro 😢😢 inabid uelewe Hili linafanana na nchi za kiafrika zilizopambana kupata Uhuru ndo Palestine wanachofanya wanataka waondoa Israel nchini kwao na kurudisha land yao
@@dr_gainstz am sorry kama nakukosea. lakini ardhi ambayo leo inaitwa Israel haijawahi kuwa Taifa tangu Warumi walivunje Taifa Hilo Karne ya kwanza. Warumi walipora Uhuru wa hilo Taifa kwa kuwaua Wayahudi na kuwafukuza. Wayahudi wengi walikimbilia Ulaya na Africa lakini si wote waliondoka pale, wachache walibaki. Ushahidi wa kihistoria na wa kiikolojia unaonesha wazi kuwa awali eneo hilo lilikuwa ni makazi ya Wayahudi. Warumi waliliita eneo hilo Palestina kama njia ya kuwakera Wayahudi kwa sababu jina hilo lilitumiwa na adui wa kale wa Wayahudi yaani Wafilisti. Tangu hapo Dola mbalimbali zimekuwa zikitawala eneo hilo! Kuanzia Warumi, Waarabu, Ottoman empire na Dola ya mwisho ilikuwa ni Waingereza. Kwa hiyo tangu anguko la taifa la Israel karne ya kwanza, hilo eneo halijawahi kuwa taifa la mtu! Hata hivyo Wayahudi miaka yote walikuwa na ndoto ya kurudi katika taifa lao. Na walishaanza kurudi kabla hata ya Uhuru wa 1948, na kilichochea wao kurudi ni mateso na manyanyaso waliyokuwa wakiyapata kila walipokuwa wakiishi. Je Si haki wayahudi kurudi nyumbani kwao!? Waarabu asili Yao ni Arabia Saudia na wengi walihamia pale kipindi cha Dola ya kiislamu.
Hostages na Captives au Wafungwa ni tofauti kabisaa. Captive zaidi sana wanakuwa ni kitisho kwa watawala husika ndio maana wanawakamata na kuwafungia. Hosteges zaidi wanaweza kuwa ni wasio na hatia kabisa ila wanachukuliwa ili kufanya makubaliano na upande wa pili ili waachie captives. Kutesa hostages hakuna maana yoyote ile kwa kuwa wengi wanakuwa hawahusiki na mgogoro huo, captives mara nyingi wanakuwa ni wapiganaji na ndio maana wakati mwingine wanateswa kutoa taarifa. Hamas huwa wanateka Waisrael ili Waisrael wawaachie Captives waliopo upande wa Israel
Hiyo inaeleweka tangu zamani, raia akiuawa wanalia wanaua raia, sijui Kwa nini hawaoni wananchi wasio na hatia wanakufa, sijui vita ikisha watamtawala nani
@@emmadora7848 aliye na mate kama gani unaemuongelea, Israel wana mateka wapalestine kwa zaid ya 20 we genius 10 wengine 7,3,5 na wanawatesa na kuwaua Israel wanateka hadi watoto wadogo Mateka waliotekwa na hamas wanarudi kwao wakiwa na afya hawana hata michubuko we hushangai
@@MsAggie5 muda wowote kuanzia SASA NI unyakuo ndio tukio litakalotikisa unabii.chokochoko unayoina NI kutaka kujengwa hekalu ambako pale kuna msikiti unaitwa ar aqksa
Dj smaa akitaka kusema ukweri roho ina msuta anaishia kutuletea propaganda za kishabiki😂😂 sasa Ally masubi nakuerewa sana ww unasema ukweri mtupu🙋 viazi wana fulahi sana wakisikia izilaer ni dhaifu🙆 ila hawajiurizi hao hamasi wameshindwaje kulinda raia na madhara wanayo sababisha baada ya kuanzisha vita wasio iweza🤜🤛
Ndio kwa sababu muisrael mmoja sawa na wapalestina 1000. Ndo maana hamasi mwaka 2015 walipomkamata misrael mmoja waliexchange kwa wapalestina 1000 walio gerezani.
Hamass wangeamua kumeaga ugali.. Yasiin moja tu wangerudi na maiti tu but hawakufanya hivyoo... Mauwaji yamrfanyika baada ya kuchukua mateka yaani kisasi😢
Shida siyo mateka kwa wenye ufahamu huo ni unabii unatimia maana imeandikwa kwa makosa yao majumba ya Gaza yatapelekewa moto hivyo andiko la Mungu lazima litimie
Kwa wasio na akili wataendelea kumlaumu Netanyahu lakini hiyo vita ni Mungu ona jinsi Rais wa Iran alivofutwa ghafla na Mungu mwenyewe bado hamna ufahamu
Bwana Ally is like umekuja just kubishana na DJ Sma or just showing people like DJ Sma isn't that better... vizuri kila mmoja aongelee perspectives zake then we listeners shall take it or otherwise
Naona maraisi wote Dunia wamefyata mkia baada ya kupokea kichapo chakulipiza kisasi chawairani nakumpoteza mropokaji wawoo nataka taka alixokuwa akiongozana nazo
We ni mtumwa wa hali ya juu, marekani na Israel kuna ndugu zetu weusi ila kwenye hao unaowashabikia tafuta mtu mweus kama utamuona, pia mbona hukemei waarabu huko darfur Sudan wanaoendelea kuangamiza ndugu zetu waafrika weusi? Pumbav kabisa
Acheni utoto vita haina macho, acheni ushabiki hhamasi ni magaidi, acheni udini ukombozi hauna kikomo cha gharama tatizo wasomi na wachambuzi wetu uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kuliko vita mnazozichambua! Yaan haiishi mpaka iishe.
hawawezi kuwaua, wakati October wameua watu wengi tu. hamasi picha na video za October 7 wameua watu wengi sana, sema wanawatumia kama mtaji ili kutimiza mahitaji yao katika makubaliano na Israel.
Bwege ww wana wa yagob fake yagob baba yake ibrahim ni wa irag hao zionist hawapo ktk wana 12 hao ni fake esrael ni wamerecani ndio mana marecani anawaisaidi wanaua watu ktk ardhi zao walikuja1946 ww ulijua ni wskristo udini wsislam ndio wanamtambua yesu yuko ktk quruan hao wanamjua fatilia hustoria ww unamjua yagob yuko ktk ardhi gani middle east sasa ni kwa wazungu Jewish rabbic ndio wapo hapo hao ndio wa kweli sio hawa zionist wezi eti wana wa yagob hiyo ardhi ni ya wapalestina na msiti wa Al aqsa ndio mitume walisalia na kibla cha waislam hamas ni ardhi yao wanaonewa miaka mingi wanavunjiwa nyumba zao wanawafunga wanawaonea mijibwa wa marecani mashoga ktk ardhi tukufu .na milele hawatakua na amani wezi wa ardhi ya warabu hiyo si Europe ww ungefurahi wangekuja ktk ardhi yako wakuue na kukusogeza hukooo
Hawawezi wanataka watu WA feel sorry kwao, si umesikia wanasema wanatoa uniform na wanavaa kiraia ili ionekane wanaouawa ni raia! Ndo maana waisrael hawajar
Egypt ndie msaidizi mkubwa wa hamasi misaada kutoka Egypt ndicho chanzo Cha kufanya vita iwe ya mda mrefu ila pasingelikuwa na msaada kutoka Egypt ingelikuwa hata tayari vita imekwisha tayari
Idadi ya 200 na zaidi imetengenezwa na Hamas ili kuendelea kupata huruma ya watu. Sana sana waliouawa ni Hamas waliokuwa na mateka na watu wanaotumiwa kama human shields
@@amourhassan7075 porojo ni kwako, wayahudi wako pale kabla ya yesu na baada ya yesu na watawala wao wanajulikana kina David, Solomon na wengine, haya taja mfalme wa palestina kabla ya yesu au kipindi cha yesu au kabla ya utawala wa kiislam wa ottoman
Hakuna vita isioua watoto na wanawake ,tatizo mbinu za waarabu wengi wanajichanganya na raia kama kinga ya wapiganaji ,nadhani mliona hamas wakiwa ndani ya majengo ya raia wakipiga vifaru vya israel,kanuni ya kijeshi ni hakuna namna ni kufanya maamuzi magumu ,Heri lawama kuliko fedheha ,hakuna kiongozi wa nchi atakae kubali akae avumilie kupigwa na jeshi lililo jificha kwa raia,Netanyahu hatafanywa lolote tena atainuka kidedea haswa ,si mmesikia mahakama ya kimataifa itafundishwa adabu kutokana na kuishtaki serekali ya israel na viongozi wake., hata kuokoa mateka mmoja ni ushujaa mkubwa kuliko kutokuokoa kabisa .
Oyiii Ali Masubi ana big talent he need to be signed under Sns just like Dj Sma mze wa facts 😂❤
agreed
Dj yupo vizuri sana japo kuna wakati imani yake inataka kumvuta kidogo atetee anachopaswa kutetea
Dj Smaa humble guy💯
Shukrani sana Mwanasheria, Masubi na DjSma. Dialogue yenu ni nzuri
Nawapenda awa jamaa kwa sababu wanajiheshim sanaaaa
Love kutoka Lubumbashi congooo🎉🎉🎉
RIP Joshua Mollel
RIP Clemence Mtenga
Vibaya Israel vivaaaaaa !!!!! The lion of Judah !! A clan of David!
Yaani hapo Hamas waliniudhi saaana kuwauwa ndugu zetu wasio na hatia
Naukubali sana uchambuzi wenu..lakini ili kunogesha mngekuwa mnachanganya na picha za matukio mnayoyachambua🇹🇿
.
😅
Ingeleta ladha zaid kwakweli ila pia wanachambua vizuri mnoo
RESPECT KWA UCHAMBUZI SUPER MBALIKIWA NDUGU ZANGU NA CHANNEL YETU 🙏 🫡 🤲
Asanteni sana
Dj smaaa apo niongezee kwamba unaweza ukawa na Kila kitu lakini mungu akitaka kukushusha nakukupandisha ni dakika moja tu...apo ni mungu ..awo waislael wanapambana na mungu hakuna kikingine ndomana wametumia muda mingi...mungu muache aitwe mungu
Mungu gani huyó Israel wanapambana nao ?
Waarabu wanapukutika Kila siku ww unasema wanapambana na mngu kweri ww na smaa Bado mnasafari ndefu😭😭
@@BenjaminMetanyau ni Netanyahu sio Metanyau 😂😂😂😂
mungu wa kuuwa watoto?
Allah
Leo ndio mmejua kubabaaake oy . Masubi ni bonge la mchambuzi kwangu ndio number One🔥
Dj sma muongo unachambua vita kwa kuwaponda islael siku zote. Wew ni mdini sana😢😢islael taifa la Myngu
😂😂Kumbuka Dj ni nusu muarabu na tena ni muislamu, hawezi kujificha hapo
Am here 🎉
Hongera sana Israel hiyo itadhihirisha jinsi Mungu alivyo upande wenu hamtashindwa kama aishivyo Mungu.
😂😂 ila wabongo 🙌🏾
Mungu gani jamani??Au mimi akili zangu ndo hazina akili??🤔Dah
Wewe shoga sana kwa hivyo huyo mungu ndo anawaamuru waue?.....wewe boya sana
😂😂😂 mwenyz MUNGU anaanzaje kuwapigania waty wanao support ushoga 😂😂
Mauaji ya waty wasiokuwa na hatia😂😂😂😂
Ukiwa wapi ume pakatwa Nakupakwa Mafuta Matakoni kwako wewe😋😋😋
Mnachambua vizuri sema huyo sijui dj nani sijui alishajichagulia upande waarabu na urusi
Tatizo la kuuwawa kwa wasio na hatia inapelekea Hamas ujiihifadhi kwa raia , inawaponza wasio na hatia kufa .
Tumia akil vzr
Punguza kubwia unga
Ss miez yt hio 8 km hamac wangekua na akili za matakon km ww
C wangewauwa hao mateka?
Hata hao Hamas katika watu 1400 waliowauwa zaidi ya nusu ni wasio na hatia. Hata makombora wanayorusha Israel yanalenga maeneo ya makazi ya watu.
Kimsingi target ya Hamas ni kuuwa waisrael wote
Shida wachambuzi wengi wa vita ya gaza wanachambua kishabiki. Mchambuzi sahihi huwezi kusema lsraeli ni dhaifu Kwa kuangalia vita ya Gaza tu. Rudi kwenye historia ya lsraeli ndo utaelewa lsraeli ni dhaifu au hapana
ISRAEL Hakuna Vita iliyopigana, Vyote vilivyoitwa Vita ilikua ni michezo ya Kuigiza
Ni dhaifu kwasababu israel kama israel haina kitu mpaka wapate msaada kwa marekani na nato. Huu mwezi 8 malengo yake hayajayafikia licha ya msaada ya fedha, silaha mbali mbali. Chaajabu wanapigana na wanamgambo wasio kuwa na sila za kisasa, hawana vifaru hawana ndege za kivita
Kaka hamasi kuitwa wanamgambo ni namna tu ya kuwashusha lakini wale jamaa ni wazuri sana kivita na usicheze na hamasi
Nidhaifu kwa sababu anauwa watu wasio na hatia
Ivi mnajua ilivyo ngumu kupigana kwenye miji sio shughuli ngumu
Masubi ni mchambuzi mzuri na anaeleweka vzuri anachosema, Dj Sma ni Kama mtangazaji tu
Dj anashikwa zaidi na imani yake
jamaa nawakubali kinoma noma.!🔥🔥🔥
Noma
Aly masubi anaelewa anacho kifanya hana mlongo wa kuegemea amemalizia vizur sana
Kuna mchambuzi anauliza mateka wako wapi? Hamas wanajua ili iwe rahisi kuwalinda mateka lazima uwagawe chini ya watano, lakini pia ukiwaweka wengi lazima muwe wengi kuwalinda, so mtaji expose kwa waisraeli na watakuumiza tu. Mind hamas wanajificha kwa raia na wanavua uniform.
Upo sahihi
Sionagi watu wakijadiliana kuhusu mateka
Dj smaa❤❤❤
Ila ukweli ni aibu kwa waokozi
Waulize Uganda kilicho wakuta kipindi kile Cha idd amin
Dj sma hataki kukubali ukweli kuwa Israel Ina mfumo Bora wa ulinzi
Kwa mfumo gani israel ulokuwa nao lamda mfumu wa kufumuana marinda
Hawez kubali haa cku moja 😂😂😂😂 yuko biased
@@aishaarusha894😂😂😂😂Kwa kweli
Smaa hawezi kuikana imani yake kwa ukweli uliopo hata siku moja 😂
Israel anasaidiwa na baba wa Dunia Yani Amerika na nchi za ulaya
Mbona hamuongelei ndugu zetu waafrika weusi wanavyouliwa kila sku na waarabu huko darfur Sudan? Waafrika ni wapumbav sana
Hao watumwa tu kuongea ni habari ila wale wanao shobokea esrael fake walijua ni wakristo ndio nn mana hao wamekuja 1946 na hawatakua na amani wapo ktk ardhi isio yako miaka mingapi zionist wanawaua wanaharibu nyumba wanawafunga watoto wananyayasa waende wapi kama sio huyo shrtani america kuwaweka kwa mabavu. Africa pia hao hao wazungu wanawagombanisha kama sudan Somalia kongo waliwaua kina lumumba soth wafrica miaka mingi waliuliwa na kunyanyaswa ktk ardhi yao kumfunga Mandela yule mzungu liopard aliwaua kongo zaini ya mamilioni au sio mzungu
@@woah.africa99 we nae mbona unabadilisha mada mi naongelea kinachoendelea kwa waafrika weusi wa darfur Sudan, maana waarabu wanachofanya ni kutaka kuwafuta kabisa waafrika weusi darfur ambapo ni kwao
@@ladislausngoyinde4384ilishaongelewa.
Wewe ndo Mpumbavu hujui Mgogoro wa Sudan
Wewe ndio huna mpumbavu mkubwa humu waarabu gani hao wanao wa uwa wasudani?
HIYO PROGRAM NYINGINE VITA IMEBADILIKA KUONGELEZEA MASILAA YOTE MUTUEKEE NA VIPANDE VYA PICHA SILAA MTAKAYONGELEZEA NDUGU ZANGU ❤
Mpo vzr
Hivi kimsingi kuna operesheni ya uokoaji ambayo inaawaacha watekaji salama... swala ni simple rudisheni mateka wa watu, acheni kutia huruma...
Fatilia HV ni vita vya Uhuru bro 😢😢 inabid uelewe Hili linafanana na nchi za kiafrika zilizopambana kupata Uhuru ndo Palestine wanachofanya wanataka waondoa Israel nchini kwao na kurudisha land yao
@@dr_gainstz am sorry kama nakukosea. lakini ardhi ambayo leo inaitwa Israel haijawahi kuwa Taifa tangu Warumi walivunje Taifa Hilo Karne ya kwanza. Warumi walipora Uhuru wa hilo Taifa kwa kuwaua Wayahudi na kuwafukuza. Wayahudi wengi walikimbilia Ulaya na Africa lakini si wote waliondoka pale, wachache walibaki. Ushahidi wa kihistoria na wa kiikolojia unaonesha wazi kuwa awali eneo hilo lilikuwa ni makazi ya Wayahudi. Warumi waliliita eneo hilo Palestina kama njia ya kuwakera Wayahudi kwa sababu jina hilo lilitumiwa na adui wa kale wa Wayahudi yaani Wafilisti.
Tangu hapo Dola mbalimbali zimekuwa zikitawala eneo hilo! Kuanzia Warumi, Waarabu, Ottoman empire na Dola ya mwisho ilikuwa ni Waingereza. Kwa hiyo tangu anguko la taifa la Israel karne ya kwanza, hilo eneo halijawahi kuwa taifa la mtu!
Hata hivyo Wayahudi miaka yote walikuwa na ndoto ya kurudi katika taifa lao. Na walishaanza kurudi kabla hata ya Uhuru wa 1948, na kilichochea wao kurudi ni mateso na manyanyaso waliyokuwa wakiyapata kila walipokuwa wakiishi. Je Si haki wayahudi kurudi nyumbani kwao!? Waarabu asili Yao ni Arabia Saudia na wengi walihamia pale kipindi cha Dola ya kiislamu.
@@dr_gainstzwaendelee kutafuta uhuru mana watakufa wote na uhuru hawataupata
Dj sima hakika ww ni kiboko unajua kuchambua hadi laha ww ni mchambuz pengine NAMBA moja Tanzania KATKA mtandao ya kijamii
Mnawaponza Gazans . Hakuna vita ambayo inaanzia ardhini lazima angani.
DJ sumaa unaongea kwa icya sana pak kunahic unaunga mkono hamasii Kila cku unasema Israel zaifu unasemaje zaifuu wakati wanauwa watu 😅😅
Anachuki na agenda yake
nenda CNN na BBC huku tupo wenye uwelewa tu, umekujaje we kilaza
@@goodluckmsoka3660nenda BBC na CNN kilaza mwingine
Dj Sma yuko kishabiki zaidi
Dj smaa n moja ya watu wenye akili sana sema anazidiwa na mahaba anatamani sana Israel abondwe hata mchana wa leo lakin ana facts tumsikilize
Hostages na Captives au Wafungwa ni tofauti kabisaa.
Captive zaidi sana wanakuwa ni kitisho kwa watawala husika ndio maana wanawakamata na kuwafungia.
Hosteges zaidi wanaweza kuwa ni wasio na hatia kabisa ila wanachukuliwa ili kufanya makubaliano na upande wa pili ili waachie captives.
Kutesa hostages hakuna maana yoyote ile kwa kuwa wengi wanakuwa hawahusiki na mgogoro huo, captives mara nyingi wanakuwa ni wapiganaji na ndio maana wakati mwingine wanateswa kutoa taarifa.
Hamas huwa wanateka Waisrael ili Waisrael wawaachie Captives waliopo upande wa Israel
This prove that HAMAS wanajificha kwa watu
Hiyo inaeleweka tangu zamani, raia akiuawa wanalia wanaua raia, sijui Kwa nini hawaoni wananchi wasio na hatia wanakufa, sijui vita ikisha watamtawala nani
❤❤❤
Huyu masubi mpele itv tz
Ion doom ni kama kifaru kuna muda ina run out of ammunition, inapigwa tu kama nyumba. Na sio mitambo yote inaisha ammunition.
I wish I could know fluently about Kiswahili. Yes, you are debating and analysing very well, but you luck broady infor
True netanyah hataki amani
Alie na mateka arudishe amani irudi
@@emmadora7848 aliye na mate kama gani unaemuongelea,
Israel wana mateka wapalestine kwa zaid ya 20 we genius 10 wengine 7,3,5 na wanawatesa na kuwaua Israel wanateka hadi watoto wadogo
Mateka waliotekwa na hamas wanarudi kwao wakiwa na afya hawana hata michubuko we hushangai
Yani Amani ipi inamana unataka Yesu asirudi??
@@GeorgeChitemo-kt8swYesu anarudi lini?
@@MsAggie5 muda wowote kuanzia SASA NI unyakuo ndio tukio litakalotikisa unabii.chokochoko unayoina NI kutaka kujengwa hekalu ambako pale kuna msikiti unaitwa ar aqksa
Dj smaa akitaka kusema ukweri roho ina msuta anaishia kutuletea propaganda za kishabiki😂😂 sasa Ally masubi nakuerewa sana ww unasema ukweri mtupu🙋 viazi wana fulahi sana wakisikia izilaer ni dhaifu🙆 ila hawajiurizi hao hamasi wameshindwaje kulinda raia na madhara wanayo sababisha baada ya kuanzisha vita wasio iweza🤜🤛
Kweli kabisa ndugu Hamas wanakwisha
@@johnmwasilu7087 🤜🤛
Ndio kwa sababu muisrael mmoja sawa na wapalestina 1000.
Ndo maana hamasi mwaka 2015 walipomkamata misrael mmoja waliexchange kwa wapalestina 1000 walio gerezani.
Duh sio mchezo
yeah11
Kwa taarfa yenu Israel ndio zake kuokoa mateka wake au mlitaka wafanye nini? Au mngewashauri hamas waacheliwe hao mateka viva Israel
Uko israil ukristo marufuku kusomwa zwazwa wew usiejitambua
Nani kakwambia go straight to the point
Uyo jamaa kingereza kingi sana
did hamas killed joshua molel?
Team kaz
Saw wanaume mko saw kabisa na napenda kuuliza vip kwa upande wa hudhi Kule Yemeni
Bundala😂😂, dj smaa anajua sana, ila ni mnazi wa upande mmoja , mlete jimmy ndio wanaendana uwezo , uchambuzi utabalance
Hamass wangeamua kumeaga ugali.. Yasiin moja tu wangerudi na maiti tu but hawakufanya hivyoo... Mauwaji yamrfanyika baada ya kuchukua mateka yaani kisasi😢
Dj sma easy
✌️✌️
Hawa hawajui kuchambua wako upande mmoja
Umeona eeeeh
Hapani brother, you need to understand millitary wise and analysis when it comes to Israels and Palistinean conflict
👊✌️🙏
Mchambuzi upo vizuri kwani ukienda kinyume na marekani basi watakuita gaidi hata hayati mandera walimuita gaidi
Shida siyo mateka kwa wenye ufahamu huo ni unabii unatimia maana imeandikwa kwa makosa yao majumba ya Gaza yatapelekewa moto hivyo andiko la Mungu lazima litimie
Ww unajua andiko la mungu
Sasa kwanini Hao Gaza wawateke Hao wanne😢
Waliotekwa sio wanne walikuwa 240. Sasa wamebaki Gaza kama mia na kitu
Hakuna aibu yoyote kwa waokozi ,Hamas wawaachie mateka wa kiyahudi wapalestina wanaisha kama mateka wanne wamesababisha zaidi wapalestina 200 wameisha je wakikombolewa mateka100 itakuaje, ,mi naona hamas waendelee na vituko vyao waangamize wapalestina.
Unyama hiyo. Unazani waliokuwa wakidhibiti hao wafungwa wa Israel walishindwa kuwa ua hao wanne, wakati 250 ya rain wasio na hatia wanateketezwa.
Vita Israel na palestina Kuna uhusiano Gani na vita ya tatu ya Dunia kweny ule mpango wa Albat paiki
Hamas wameyakanyagaaaaa !!!
Kwa wasio na akili wataendelea kumlaumu Netanyahu lakini hiyo vita ni Mungu ona jinsi Rais wa Iran alivofutwa ghafla na Mungu mwenyewe bado hamna ufahamu
😀😀😀 kumbe ujitambui kwa iyo yesu alivyokufa mungu alikuwa hampendi
@@suleymuntar3544ukaidi na kiburi huwa humua mtu mjinga
Bwana Ally is like umekuja just kubishana na DJ Sma or just showing people like DJ Sma isn't that better... vizuri kila mmoja aongelee perspectives zake then we listeners shall take it or otherwise
Dj sma (AI)
Naona maraisi wote Dunia wamefyata mkia baada ya kupokea kichapo chakulipiza kisasi chawairani nakumpoteza mropokaji wawoo nataka taka alixokuwa akiongozana nazo
😂😂😂
We ni shoga
@@ernestkunja3472 kaongea ukweli acha matusi unaweza kukuta ww mwenyewe ndo shoga
Hamass....alaniweeeee,nani aliwatumà oktoba7...piga kàbisa
Ila Harmonize.....😢
Naona hapo mnataka kuona raia wote Gaza wafe
Yaani mimi nawapenda saana Harmers na Houth na Hezzibola na wengine wanao wapiga israel na america
We ni mtumwa wa hali ya juu, marekani na Israel kuna ndugu zetu weusi ila kwenye hao unaowashabikia tafuta mtu mweus kama utamuona, pia mbona hukemei waarabu huko darfur Sudan wanaoendelea kuangamiza ndugu zetu waafrika weusi? Pumbav kabisa
@@ladislausngoyinde4384 how many black people have been killed as far as you are concerned
Hujui kitu Yani ukichukia Israel ujue NI WA motoni wewe taifa la Mungu unalichukia??
@@GeorgeChitemo-kt8swmatako yako mbwa ww eeh me WA motoni mbwa ww
Hujui lolote
Hata msemeje Israel itasimama hapo nyie na dini zenu mtakufa na mtaicha Israel ikiwepo milele
Itacmama kwny ardh ya wizi
NCHI HAIFI KUNAKUFA WATU
Smaa anachambua kishabiki sana lakn uharisia hatak
Ana uislam sana badala ya ukweli, kweli ana haki kama yeye mwenyewe NI muislam lakini too much na anaongea Kwa hasira
Ipo wazi kwa wanaoelewa
Acheni utoto vita haina macho, acheni ushabiki hhamasi ni magaidi, acheni udini ukombozi hauna kikomo cha gharama tatizo wasomi na wachambuzi wetu uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kuliko vita mnazozichambua! Yaan haiishi mpaka iishe.
Umetumwa🌈
Pumbavu mwny laana
Israel haiwezekani
NON SENSE
Hwana ktu kzi yao nikuuwa watu wasio na hatia
Sasa wakiokoa kwa nguvu wanaua waki acha wanawaogopa 😅😅😅😅 mambo ya vita bhana tuombe amani tu
Acheni ujinga
Mmmmmmmh ,ila uchambuzi hauwi balanced
uchambuzi wa kibwege usiotumia weledi na kubalance kuleta uhalisia..
Shida ya wachambuzi ni Simba na yanga 😂😂😂yan mwngne anatetea Israeli afu Dj wa mchongo anatetea hamasi 😂😂
Smaa jiongezee bc uchambuz wako upo kinazi sana mbna uyo mwamba yupo kichambuz kabisa
Umeona eeeh, yupo kiana harakati zaidi 😂
Huyu jamaa muongo sana
Dj sma kaongea kwa uchungu😂😂😂😂 kwaio israel ni jeshi dhaifu mkuu😂😂😂
hawawezi kuwaua, wakati October wameua watu wengi tu. hamasi picha na video za October 7 wameua watu wengi sana, sema wanawatumia kama mtaji ili kutimiza mahitaji yao katika makubaliano na Israel.
Kwahyo smaa unatuambia Hezbollah anaweza kuipiga israel😂😂😂
Shida yenu nyinyi mna mlengo wa hamas tu kwa hiyo chochote atachofanya Israel kwenu sio sawa
Mnataka wawaache watu wao au??
Mbona mateka wapo kwenye watu wengi???? Ni sababu ya waoo kuwa apo ?? Human shields?? @simulizi na sauti
Uhuni wa hams wanajichanganya na raia wakae pekeyao waone moto wa wana wa yakobo
Na wao mbona hawawaui hamas wanaua raia wameshindwa hawaoni hizbullah wanavyowatengeneza
Bwege ww wana wa yagob fake yagob baba yake ibrahim ni wa irag hao zionist hawapo ktk wana 12 hao ni fake esrael ni wamerecani ndio mana marecani anawaisaidi wanaua watu ktk ardhi zao walikuja1946 ww ulijua ni wskristo udini wsislam ndio wanamtambua yesu yuko ktk quruan hao wanamjua fatilia hustoria ww unamjua yagob yuko ktk ardhi gani middle east sasa ni kwa wazungu Jewish rabbic ndio wapo hapo hao ndio wa kweli sio hawa zionist wezi eti wana wa yagob hiyo ardhi ni ya wapalestina na msiti wa Al aqsa ndio mitume walisalia na kibla cha waislam hamas ni ardhi yao wanaonewa miaka mingi wanavunjiwa nyumba zao wanawafunga wanawaonea mijibwa wa marecani mashoga ktk ardhi tukufu .na milele hawatakua na amani wezi wa ardhi ya warabu hiyo si Europe ww ungefurahi wangekuja ktk ardhi yako wakuue na kukusogeza hukooo
Kwa nini hamasi haijasema idadi ya wapiganaji wake waliyouawa kwenye oppression ya uokozi?
Hawawezi wanataka watu WA feel sorry kwao, si umesikia wanasema wanatoa uniform na wanavaa kiraia ili ionekane wanaouawa ni raia! Ndo maana waisrael hawajar
Egypt ndie msaidizi mkubwa wa hamasi misaada kutoka Egypt ndicho chanzo Cha kufanya vita iwe ya mda mrefu ila pasingelikuwa na msaada kutoka Egypt ingelikuwa hata tayari vita imekwisha tayari
Misaada ya marekani kwenda israel huioni
@@suleymuntar3544 Sasa wanavyo sema vita ime chukuwa mda mrefu sana sababu sindiyo hiyo hiyo Sasa ama??
Na hiyo sio kweli kama hao ni mateka, wamefeki kama mateka , how come hao mateka wamepona na watu wengine takribani 200 wamekufa,
Idadi ya 200 na zaidi imetengenezwa na Hamas ili kuendelea kupata huruma ya watu. Sana sana waliouawa ni Hamas waliokuwa na mateka na watu wanaotumiwa kama human shields
Dj smaa nimwarabu Koko razima atatetea hamasi
Mbona huyo Dj smaa kama anawatetea hamas uchambuzi wake unaegemea palestina ajaribu kuwa fair
DJ SMA ni pro HAMAS & ANTI WEST
Tumuombe sky amlete jimmy chansa sikumoja eti
Ni sawa tu akiwatetea wee vp...sasa unataka ajiunge na mashoga
Acha makasiriko wewe
Hatetei anaongea fact ww toa facts zako tukisikilize, habari anazochambua hazionekana kwenye vyombo maarufu vya habari
Mbona hamuongelei chanzo cha vta
Imeshazungumzwa kitambo tu kama hufatilii rudi nyuma
Chanzo cha vita ni dhulma ya wayahudi dhidi ya wapalestina tokea mwaka 1948. mengine yote ni porojo
@@amourhassan7075 porojo ni kwako, wayahudi wako pale kabla ya yesu na baada ya yesu na watawala wao wanajulikana kina David, Solomon na wengine, haya taja mfalme wa palestina kabla ya yesu au kipindi cha yesu au kabla ya utawala wa kiislam wa ottoman
@@amourhassan7075zuruma yamoroco zidi ya sahara magidi amwion
Eti Hamasi hawawezi kuwaua Hostages 😂😂😂 acheni uongo
Hawa wote ni wababe sana na maroho Yao ya kishetani kwanini wanauza raia
Hakuna vita isioua watoto na wanawake ,tatizo mbinu za waarabu wengi wanajichanganya na raia kama kinga ya wapiganaji ,nadhani mliona hamas wakiwa ndani ya majengo ya raia wakipiga vifaru vya israel,kanuni ya kijeshi ni hakuna namna ni kufanya maamuzi magumu ,Heri lawama kuliko fedheha ,hakuna kiongozi wa nchi atakae kubali akae avumilie kupigwa na jeshi lililo jificha kwa raia,Netanyahu hatafanywa lolote tena atainuka kidedea haswa ,si mmesikia mahakama ya kimataifa itafundishwa adabu kutokana na kuishtaki serekali ya israel na viongozi wake., hata kuokoa mateka mmoja ni ushujaa mkubwa kuliko kutokuokoa kabisa .
Ukizingatia kuwa Hamas kavua gwanda na kushambulia akiwa nyuma ya raia wake
Kutoka gikombaa nairobi
Uchamizi wa kisiasa ulioegemea upande mmoja. Hamas wanatumia majengo ya kiraia shule nk vp hapo
Nieleweshe umeegemea upande upi huo
Tumuombe sky amlete jimmy chansa siku moja eti
Unataka wapigane wapi hali ya kua Gaza ni ndogo kwann Israel imekataa makubaliano ya kusitisha vita
@@IbrahimuSaid-z7erudisha mateka ,hakuna makubakiano na magaidi
Hamas hawajui wafanyayo .wanawaumiza wenzao kwani mtazamo wavita unaotazamwa kikawaida lakin kiuungu hamasi wataumia sana bola waache izo fujo