GPS: Netanyahu atoa Onyo baada ya makazi yake kushambuliwa na Drone, IRAN yakanusha kuhusika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 219

  • @riosteven2406
    @riosteven2406 7 днів тому +12

    Henry ni mchambuzi mzuri sana and very smart guy

  • @AhmedAli-x8w9e
    @AhmedAli-x8w9e 7 днів тому +3

    Ali masubi big up pamoja na wenzako apo studio mntatisha wazzzeee

  • @DevidNgosiyo
    @DevidNgosiyo 5 днів тому +2

    God bless Horn. Benyamini Netanyahu, and his country Israel amen.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 дні тому

    Mtangazaji ubalikiwe Sana katika kazi zako

  • @SamweliFrank-o4z
    @SamweliFrank-o4z 5 днів тому

    Uchambuzi mzur sana ulio jitosheleza mungu awazidishie

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 7 днів тому +2

    GPS ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 7 днів тому +11

    Mungu hakuruhusu kuuwa kwahyo kama uliamua kuwauwa wenzio, basi kuna mtetezi wa wawaarabu, muajemi acha nayeye akutafte akuuwe na atakuuwaa☝japo mungu haruhusu wewe ndiye umeanzisha mauwaji auaye kwa upanga nae huuwawa kwa upanga ☝☝

    • @ce-08
      @ce-08 7 днів тому

      Toka ezi za manabii watu wanauana kaini na abel,Musa vita kipindi Cha mtume Mohamed

    • @ballethmbarak9928
      @ballethmbarak9928 7 днів тому

      hatakiwi hapa duniani

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 7 днів тому

      @@ballethmbarak9928 kbsa

    • @henrymatebe
      @henrymatebe 7 днів тому

      Africa D akili hauna Hii Vita wameanza warabu ambao ni Hamas unajizima data si ndiyo?

    • @kiongadecoration7793
      @kiongadecoration7793 7 днів тому

      ​@@henrymatebehunaulijualo kaakimya

  • @amirimnjeja8043
    @amirimnjeja8043 7 днів тому

    Asanteni KWA uchambuzi wenu mzuri. mustache kujua historia kuanzia enzi za kale ili muyajue haya ya Leo na kujua anayedhulumiwa.

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 6 днів тому +1

    Hongera sana Henry kwa uchambuz ulio enda shule

  • @POLITICS_WAR_DIPLOMACY
    @POLITICS_WAR_DIPLOMACY 7 днів тому +9

    Iron dom Arrow na Devid Sling ni dhaifu ndio maana Marekani akapeleka THAAD Dj sma heshima kwake na GPS kwa ujumla

    • @KibabiMtumbaClassic
      @KibabiMtumbaClassic 7 днів тому

      Djsma is 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @mosesdamian4858
      @mosesdamian4858 7 днів тому

      Anae abudu warusi😂
      Yeye ni unt israel mbona anajulikana

    • @raymrash
      @raymrash 7 днів тому

      Kama yale mabomu yasingezuiliwa na Iron Dome tungekuwa tunazungumza habari nyingine

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 6 днів тому

      Kwa hio wewe unaabudu USA na Israel​@@mosesdamian4858

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 6 днів тому

      ​@@raymrashkama Yale mabomu yangeelekezwa kwenye makaazi ya raia basi tungekuwa tunazungumza mengine. Iron dome imepoozeshwa toka shambulio la April.

  • @abuykhalifa5727
    @abuykhalifa5727 7 днів тому +3

    وَقَضَيْنَا إِلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ فِي الْكِتَابِ لَتُفْسِدُنَّ فِي الْأَرْضِ مَرَّتَيْنِ وَلَتَعْلُنَّ عُلُوًّا كَبِيرًا
    Na tukawahukumia Wana wa Israili katika Kitabu kwamba: Hakika nyinyi mtafanya fisadi katika nchi mara mbili, na kwa yakini mtapanda kiburi, kiburi kikubwa.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 дні тому

    Mungu awasaidie Israeli wote ame ❤❤❤❤hao magaidi wakashidwe.katika jina ra YESU wakatayalike kwamsada wa mungu aliye hai

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 7 днів тому +7

    Israel nikama anatamani marekani iingie vitan na Iran ingawa urusi awez iacha Iran bila kumsaidia meaning hii inaweza sababisha vita ya 3 ya dunia

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 7 днів тому +2

      Vita vya tatu ni lazima na hata Marekani atamwacha Israel peke yake ..

    • @ce-08
      @ce-08 7 днів тому

      ​@@omondiowino7875 amuache peke yake alafu apoteze maslahi yake mashariki ya kati hawezi kukubali kirahisi hivyo Israel ndiyo Kilanja wa mashariki ya kati aliyeteuliwa na marekani amsaidie kutimiza majukumu yake hivyo sio rahisi

  • @bashirksabu3540
    @bashirksabu3540 6 днів тому +4

    Henry na dj smaa nawaelewa vizuri Sana kuliko masubi big up Sana kwenu. Dj sma mzee Wa kutabiri nakuelewa sana

  • @SaluEddy
    @SaluEddy 7 днів тому

    Mungu awabariki

  • @jeanpierrekwizera6400
    @jeanpierrekwizera6400 6 днів тому

    GPS ❤❤❤

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h 7 днів тому +6

    Mungu gani huyo atakayemsaidia huyo shoga Netanyahu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 7 днів тому

      Mungu wa babu yao wote wawili Ibrahim, tatizo ni nani kabarikiwa? Tuombe vita iishe haimsaidii mtu yeyote

  • @vanemmy6043
    @vanemmy6043 6 днів тому +2

    Masoob siyo kama tunazarau iron dome,no the way wazungu walivyo fanya advertise yaiyo mifumo basi tulijuwa kama akuna bom ao drone inaweza penyeza israel

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 7 днів тому +4

    Pray for the peace of Israeln and the city of Jerusalem

  • @kassimkhalid1185
    @kassimkhalid1185 5 днів тому +1

    Natenyahu kaingia na uoga

  • @freddieelice6377
    @freddieelice6377 5 днів тому

    Ali 🔥🔥🔥 Mzee wa details zimeshiba, ukitaja kitu mimi na Google kuthibitisha, naona iko perfect 👍🏽. Kazi nzuri GPS

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 7 днів тому +1

    Safa sana

  • @bashirksabu3540
    @bashirksabu3540 6 днів тому +1

    Ally masubi fahamu kuwa ndio Kila ulinzi una mapungufu hatukatai tatizo tulivyoaminishwa kuwa iron dome ni zaidi hakuna mfumo unaozidi iron dome. Pia tumeaminishwa kuwa ndio mfumo namba moja. Tunajaribu kupima taarifa tulizoambiwa na uhalisia. Kama tulivyoaminishwa hapo awali kuwa makomandoo Mia moja Sawa na mwanajeshi. mmoja shoga Wa Israel. Sasa tupime maneno na uhalisia.

  • @maxomari3542
    @maxomari3542 4 дні тому

    Messile Loaded tayari bado Hajizadeh anasubiri kubonyeza button tu na amri ya Agha 😊

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 7 днів тому +2

    Hakuna iron dome wala nini ni Mungu ana wa protect na siku akitaka kuwaondoa atawaua tu kama vita kuu ya pili

  • @qasimk2390
    @qasimk2390 7 днів тому +5

    hakuna dhulma itabaki kwenye hii dunia

  • @deusikanijo
    @deusikanijo 6 днів тому

    Sounds good sana

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 7 днів тому +5

    Nyetanyau Atakapouliwa Migogoro Itaisha Mashariki Ya Kati.
    Kutoka Gikombaa nairobi

    • @raymrash
      @raymrash 7 днів тому

      Hayo si ya kweli...wakifa magaidi haki itakuwepo

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 5 днів тому

      Watampata sio mdaa mrefu mshenzi sn yule jamaa hafai

    • @jangalaalexbubehi7658
      @jangalaalexbubehi7658 4 дні тому

      Amewakomesha magaidi ​@@KassimAlly-xp4dz

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 2 дні тому

      Utauwawa wewe kwanza nafamya yako ndipo ujinga utakoma kwawatu

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 2 дні тому

      @@PeterMahona-zd3ozJifunze kuandika

  • @bashiryusuph7109
    @bashiryusuph7109 7 днів тому +6

    HII MADA ANGEKUWEPO JD SMAA

  • @sadaamina-l9c
    @sadaamina-l9c 7 днів тому +4

    Yarabi mimi siku akiuwawa nyau mm nitatoa sadaka

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa 7 днів тому +4

    Mimi ni mfatiliaji mkubwa Sana wa SNS kutoka western Cape South African🇿🇦

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb 7 днів тому +1

      Tunashukuru kwa bando.

    • @abdullahmapesa
      @abdullahmapesa 7 днів тому

      @@BonnyMwajombe-iu7hb bando rapper 🎤 ama?

    • @barakaekuro
      @barakaekuro 7 днів тому

      @@abdullahmapesatunashukuru kwa kutumia bando lako la internet kufuatilia SNS

    • @abdullahmapesa
      @abdullahmapesa 7 днів тому +1

      @@barakaekuro ooooh asante sana na kwako pia brother

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 7 днів тому +6

    Mbona hawaja tuonesha madhara ya hio nyumba ndio wameficha

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 7 днів тому

      Angalia Al Jazeera,

    • @meckmussa1840
      @meckmussa1840 7 днів тому

      Sasa wewe inakuhusu nini.

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 7 днів тому

      Video na picha zinapigwa burn kwenye UA-cam labda uwe na VPN na pia itakuwa aibu sana kwao

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 6 днів тому

    Upande wa teknolojia ya silaha kiukweli ally msubi anajua sana

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 7 днів тому +4

    Jamaa before kashikilia Bango iron dome sio week lol ingenkue sio week isingepenya

    • @ce-08
      @ce-08 7 днів тому +1

      Huo ndiyo ukweli kwani wewe unadhani Hezbollah ni weak sababu anachapwa na Israel ni kwamba kakutana na watu walioadvance wamewajua hvyo hata Iran wajuaj namna yakukwepa

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 6 днів тому

      ​@@ce-08
      Iron dome ikichambuliwa na Sma ndo utajua ni dhaifu, sma hutumia facts na logic kuelezea udhaifu wake.
      Ni kwamba mara zote ilikuwa ikikutana na mabomu ya kutengenezwa kwa sukari na vitu vingine, yaani mabomu local sana, au ikikutana na maroketi ya kutengenezwa na watu wale wale dhaifu kivifaa, sasa huwezi kupima ubora wa kitu kwa kutumia vitu dhaifu, ndo hapo namuona Ali Masubi anafeli uchambuzi wake. Masubi ana mapenzi ya kjumla kwa kila kitokacho Israel, ni miongoni mwao wale wale waliokaririshwa juu ya "uteule" wa wayahudi hata pale wanapofeli.
      Fikiria Ali sasa anasema mfumo wa THAAD ulikuwepo japokuwa Marekani imetangaza kuupeleka huko ili kuisaidia Israel kujilinda dhidi ya makomnora kutoka Iran. Sasa kama ulikuwepo maana yake anaproof kuwa haufai pia maana umeshindwa kuzuia makombora ya Iran pia. Sasa sijui anapinga nini na anakubali nini, ni maoenzi ya kukaririshwa, mapenzi ya kuaminishwa, Ali Masubi kwa kipengele hiki cha upimaji wa ubira wa mifumo ya ulinzi wa anga anaboa sana kwa kuibeba Israel bila facts na logic. Sasa ipo wazi, na leo ametamba sana kwa kusifia irone dome kwa sababu yule mwamba Dj Sma hayupo, angemfyatua pale pale kwa facts na logic zake kama kawaida, yeye Sma husema akikupa vipimo vya maabara anakupa na dose yake, akikuuzia bidhaa anakupa na risiti kabisa, tena ya EFD.
      Binafsi nampa big up sana Henry Mwaluko kwa uchambuzi wake unaogusa pembe zote kiuadilifu, na mara nyingi huwaweka sawa Ali na Sma pindi wanapogongana ktk uchambuzi, ni mwanasheria, yupo smart sana💪💪💪

  • @Fardadihd
    @Fardadihd 7 днів тому +5

    Onyo akampe baba yake huko akijichanganya tunampeleka finari

    • @HumphreyAloyce-on1vl
      @HumphreyAloyce-on1vl 5 днів тому +1

      Wewe kima mmoja tu umekula ukoko kwa mamalishe huko unamtishia Israel au siyo,,? Fanya kazi boy umasikini utakuua huo😎

  • @majaahmad7797
    @majaahmad7797 7 днів тому +11

    Mleteni dj sma bwana mzee wa fact

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 6 днів тому

      Facts Yule mpuuzi amejaa mahaba ya kidini

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 6 днів тому

      ​@@MzeeKigogo_
      Mpuuzi utakuwa wewe, Sma hutumia facts na logic kwenye uchambuzi wake, hata akiweka maelezo ya dini hutoa pamde zote, sasa sikui wewe unakwama wapi? Au wewe ni mpagani tukujue?

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 6 днів тому

      ​@@MzeeKigogo_unatafunwa ww

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 3 дні тому

    Ana watoto watatu, ninavyofahamu. Yair, Avner na Noa.

  • @Mubarak552
    @Mubarak552 7 днів тому +1

    Haingiii akilini nyumba ya Nyau ishambuliwe iteketee asife mtu yyt, ina maana Nyau hakuwa hata na wafanyakazi wa ndani, mkata majani, walinzi wa getini , usalama wa taifa yani hawa wote hawakuwepo? Mbona kuna habari kama wameuliwa wote waliokuwa ktk hiyo nyumba wakiwa baadhi ya wanajeshi, muda utasema

  • @ZamgoyadanielZamgoya
    @ZamgoyadanielZamgoya 6 днів тому

    Ali unajua nmekuftilia ila nmegundua unattzo ila untkiwa ujirekebishe kidgo uli ue mchmbuz mzur cjuii nitumie nno gni ila ukitk kumkosoa mtu bac usimkosoe moja kw mjo Eb jarb kujifnz kw Hennry apo man antk kukukosoa lkn antumia busara sana haypo hash ila pia unmktish kumkosa io hailt pich nzur na ndmna ankujb shot wkt unaongea

  • @ce-08
    @ce-08 7 днів тому

    🎉🎉🎉

  • @yuscoramadhan8462
    @yuscoramadhan8462 7 днів тому

    Hata wao wanaotengeneza izo drones wanapambana kutengeneza drone yenye bora iconekane ktk anga na kufanya mazara

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 6 днів тому

    Drone uitungue na Bunduki!! Labda iwe chin maana kama inakua zaid ya 1000KM bunduk inaitungua vip?

  • @musalaben9080
    @musalaben9080 7 днів тому +1

    Bwana hio si neno kbsa kwasababu Ismaël nawao wanauwa viongozi wa mataifa mengine sasa mbona hawaulizwi kitu ?

  • @akbalnassry112
    @akbalnassry112 7 днів тому +1

    Naam

  • @AbdulWaheedAlRawahi
    @AbdulWaheedAlRawahi 7 днів тому +1

    Ahaaa Wakati NetaNyau anapoua viongozi wa Hamas na Lebanon anafikiri wale viongozi hawana wafuasi wao

  • @AbdallahOmary-e9z
    @AbdallahOmary-e9z 7 днів тому +1

    Hata huyu baba mtu nchini kwake anazuga zuga tu lk. anaishi marekani 😂😂😂😂 kukaa israel!!! yy kuweza😂😂

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 6 днів тому

    Uchambuzi uko vizuri

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa 7 днів тому +1

    ⭐⭐⭐⭐⭐

  • @bennyemman3405
    @bennyemman3405 7 днів тому

    🎉

  • @DAVIDKISWAGA
    @DAVIDKISWAGA 4 дні тому

    Hata hivyo PM Netanyahu ana huruma kuliko wafalme na inavyotakiwa kuio goza Israel kwani vita ya Israel huwa siyo ya kisheria wala yaani yeye inatakiwa apige mpaka achome moto mahali anapopapiga afu
    . Ila kunapokuwa na sababu tu za kufanya hivyo nje na hapo haruhusiwi kupigana bila mwongozo wa kinabii au sababu za msingi.

  • @AmmarIssa-d8s
    @AmmarIssa-d8s 7 днів тому

    Assallam Allaykum, huwo mchezo wamecheza wawo, ili watafte sababu, hizo niplani. Wanatumia

  • @mussalusinde1022
    @mussalusinde1022 6 днів тому

    Mbona hamuweki kimziki cha sns muwe mnakiweka hata mwanzo

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 7 днів тому +2

    Sky ayo maneno mkosaji na mtu asio nanguvu netanyau ananguvu bado nikibaraka wa marekani hamas au ezzebollah.japo wanekimbia vig'ola wakatoka bila nguo na watoto wake.

  • @111dudi
    @111dudi 6 днів тому

    Leo ni mwaka, hakuna siku alikuwa na huruma.kilichomfika anastahili, kaua viongozi wengi wa Iran na Hamas,na Hizbullah,na Lebanon

  • @FeruziIsa-nc5vo
    @FeruziIsa-nc5vo 6 днів тому

    Wewe ALLY Israel huwa anakufa sio kufariki rekebisha kiswahili chako.

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 7 днів тому +2

    MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

  • @kassimkhalid1185
    @kassimkhalid1185 5 днів тому

    NATENYAHU AMEINGIWA NA HOFU BAADA YA MASHAMBULUZI NYUMBANI KWAKE..Hosbullah wememweka in check from now on.

  • @SeifMassoud
    @SeifMassoud 7 днів тому

    Masubi scientifically strong chemical absorbing elements ni zinc and slightly carbon rods

  • @Stillrunlikeaball
    @Stillrunlikeaball 6 днів тому +1

    Msubi anaogopa matusi ya Wakiristo Ndiomaana ana watetea Makafiri 😷

  • @federick2803
    @federick2803 3 дні тому

    Akupigae Kofi la kushoto mgeuzie na lakulia , kisasi kinatoka wapi au mmesahau maandiko,

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 7 днів тому +1

    Shoga kumbe ana mke

  • @amosmakabara3024
    @amosmakabara3024 7 днів тому +1

    Vita vya gaza na Israel ni kama movie alafu Hamas ni sterling alafu Israel ni adui siku zote watazamaji wanakuwa upande wa sterling

    • @ce-08
      @ce-08 7 днів тому

      😂

    • @gwejonoah1900
      @gwejonoah1900 7 днів тому +1

      kinyume chake sasa ndo uhalisia😂

  • @SaluEddy
    @SaluEddy 7 днів тому

    Mm akifa nitaichinjia mbuzi familia yng

  • @kilelamniko9678
    @kilelamniko9678 7 днів тому

    Netapaka 😢😢😢😢😢

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 7 днів тому +1

    NAMPENDA MASUBI SABABU KIINGEZERA HATUMII SANA KWENYE MAZUNGUMZO YA KISWAHILI TOFAUT NA DJ SMAA HENR.

  • @swalehaltooq5233
    @swalehaltooq5233 6 днів тому

    Hiyo drone ni ya kwao huo ni mpango tu

  • @mwanakitimbaraka2574
    @mwanakitimbaraka2574 7 днів тому +1

    40 ya netanyau inakuja

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 5 днів тому

    Masubi bado ana fikra zile za islael hagusiki

  • @MohammadiSefu
    @MohammadiSefu 7 днів тому

    Israel anaonea nawala hana nguvu kwa sababu hajapigana na mwenye nguvu kama yeye, nikama marekani alizoea kunyonga nchi kama Iraq Syria 🇱🇾 alionekana ananguvu ila alipo jiingiza katika mzozo wa Ukraine sote tunaona

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 6 днів тому

    Ukute hio ni drone ya netanyau mwenyewe anatuzuga tu ili aendeleze vita nipo hapa time will tell

  • @yahayagimbu4216
    @yahayagimbu4216 7 днів тому

    Huyu jamaa anaongea sana ,, ovyo unampa nani mko vitani kama mwanaume piga mmalizane,, unatafuta huruma kwa nani,,, unaonea wasio kua na nguvu.

  • @feisalkhamis9445
    @feisalkhamis9445 7 днів тому +1

    mkuu wa IDF yuko wapi haonekani toka shambulizi la drones

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 7 днів тому

    Inabidi, mukiitaja Iran, mujikumbushe na uwezo wao wa kijeshi, na Hezbollah pia..

  • @somymoivanlukumay4198
    @somymoivanlukumay4198 3 дні тому

    MUNGU ibarki israeli🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e 7 днів тому

    IDF inaonekana wanajisumbua kuwatafuta mateka. Baadhi ya mateka inasemekana wapo Iran na wengine wapo Qatar.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 7 днів тому

    Usikute hao hao ndo wame jipiga 😊

  • @husseindottokilenga5424
    @husseindottokilenga5424 6 днів тому

    Huyu Henry anapuyanga puyanga mbona Israel inaua viingozi wa kisiasa mfano wa hamasi na pia kupiga katika ubalozi je hiyo sio kosa ?
    Ongea point sio hisia hapa

  • @SekkaHassan-q9u
    @SekkaHassan-q9u 7 днів тому +1

    Yote tisa...... bila vita ya tatu ya dunia watu hawawezi kuheshimiana

  • @AyoubJha-l5j
    @AyoubJha-l5j 7 днів тому

    Maswali mazuri majibu mazuri
    wote . Sema 2 Drone haina Dawa kama nyukilia 2 Mungu umpa amtakaye

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e 7 днів тому

    MATEKA HAWAPO GAZA, BAADHI YA MATEKA INASEMEKANA WAPO IRAN + QATAR

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu 7 днів тому

    Huyu Ally mwambieni atoe sauti tumdikie

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 7 днів тому

    Adi 2030 itakuw ni vita ya Robot sas

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 7 днів тому

    kwenye kifo hakuna ujanja yani siku imefika, ujanja utakua nDogo,

    • @ce-08
      @ce-08 7 днів тому

      Kabsa Kila mtu anasiku yake na hauwez kukimbia

  • @qasimk2390
    @qasimk2390 7 днів тому +1

    into lake akampe mke wake

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 днів тому

    Happy birthday Benjamin Netanyahu,75💪🔥🇮🇱

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 7 днів тому

      waoga kimbia mbiyo na kuacha ukweli wao nyuma ile siku ilikuwa ni bahati kubw, mbiyo mbiyo😂😂😂😂😂😂

  • @MohammadiSefu
    @MohammadiSefu 4 дні тому

    Masubi kaeleza vizuri kuhusu uwislam kuhusu jihad, kuongezea tu ni uwislam hauruhusu muislama kufanya mashambulizi mapaka atakapo shambuliwa kwaku ingilia imani yake Muslim atashambia kama atashambiliwa kwa kujihami na hata mtume muhammadi sw hakuanza vita bali wale walio chukizwa na imani ya islam wapo taka kuwa maliza ndipo Allah akawapa amri ya kujitetea.

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 7 днів тому

    Wanasiasa wnasababisha Matatzo Dunia halaf wao wanaandaa mazingira ya Sheria za kujilinda

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 6 днів тому

    Neta nyau ashura aiwez iran

  • @ThePlants-zc3rp
    @ThePlants-zc3rp 7 днів тому

    hazidishiwi zalimu ila hàsara,qur an

  • @jamesmasika8968
    @jamesmasika8968 7 днів тому

    Mimi ni mdau wenu sna ...ila siku hizi mpo upande mmoja sna wa kuishtumu israel kma alivyo dj sma

  • @felisteronesmo3091
    @felisteronesmo3091 6 днів тому

    Tulisemaga video iliyopita ambayo waislamu wengi umu ndani waliishabikia kwakuona ni vizuri .. hiyo karata niyakujihalalishia mtu kuzuliwa .. tafakalini kimbele ndugu zangu , hao sio mafala wanajua wanachokifanya, wanatafuta uhalali tu afyatuliwe mtu apo Tena mwenye hadhi Kama ya netanyau uko Iran nadhan anaeleweka .. think big izo ni mbinu za kivita, mtu anajipiga ili apate uhalali wakukupiga wewe Sasa .. hata Mambo hayahitaji tafakari zakihitakadi au hisia Bali clean thinking ..

  • @ShabanMwaviswa
    @ShabanMwaviswa 7 днів тому +2

    Mimi, akiiwawa natanyau ntachinja mbuzi watu wale

    • @Maymuna-wc8lz
      @Maymuna-wc8lz 7 днів тому

      Kwani unafikiri atakufa Kawaida huyu Unakumbuka Aliyetoka Kabla Yake Aliteseka Alitika Funza,,Madaktar walimchoma sindano wa kumuuwa Lakin iilshindikana Sasa huyu mwisho wke utakuw m,baya zaid

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb 7 днів тому

      Yaana unafurahia binadam mwenzako kuuawa ?

    • @henrymatebe
      @henrymatebe 6 днів тому

      Bro sahau hiyo kitu aisee

    • @Maymuna-wc8lz
      @Maymuna-wc8lz 6 днів тому

      @@BonnyMwajombe-iu7hb kila Nafsi itaonja Maut

  • @AbdallahOmary-e9z
    @AbdallahOmary-e9z 7 днів тому

    Et kosa kubwa 😂😂😂 huyu akapimwe sio bure!

  • @KibabiMtumbaClassic
    @KibabiMtumbaClassic 7 днів тому

    Nilitaman iwe 2h

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 7 днів тому

    Frank mbona unasema tusubiri tuone. Hiyo ni hamasa kwa watu badala ya kuomba yaishe. au unapromote vita kwa namna fulani...

  • @AhmedSalum-s9m
    @AhmedSalum-s9m 7 днів тому

    Netanyahu Hana akili alipaswa akee kimiya ili na waziraili Wayne kuwa wanashambuliwa pamoja na yeye

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 7 днів тому +3

    Tumeacha kuangalia vyombo vikubwa vya habari kwa kuhisi ni vibaraka tupo na Sns kupokea habari zinazoendana na akili zetu

  • @habonimanarehema3657
    @habonimanarehema3657 7 днів тому

    Tarifa Zippo hewani nikwamba mtoto wa Netanyahou anayejylikana kwa jina la yahir Netanyahou alifariki Siku ile ya shambuliyo na mkee wake naye piya ayitwaye Sara Netanyahou alijeruhiwa

  • @gwejonoah1900
    @gwejonoah1900 7 днів тому

    wakubali tu ni wao waliohusika😂😂😂

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 6 днів тому

    Na huyu natinyahu we subiri watamuwa tu 😅 soon