ANTIII PT: 8 | TAMTHILIA YA MAADILI |Official HD VIDEO | MASH TV| MADRASA SHOP TZ
Вставка
- Опубліковано 16 бер 2022
- Tamthilia hii ni moja ya filamu ilio bora na iliojaa mafumdisho katika familia na wanandoa
ili upate faida na kujiwekea mazingira mazuri ya kuilinda ndoa yako basi usiache kuitiama
Pia
Subscribe like comments share
mash tv
madrasa shop tv online
cont:
+255773 950 250
+255717 513 191
MKONO KWA MKONO MPAKA TUSHIKAMANE - Розваги
MashaAllah MashaAllah Tanzania na maendeleo ya sekta ya sanaa..hongereni
Duh!!! Jaman 🤣🤣mbona mnatuacha njian sana jaman Aaah 😢Msichelewe sana basii🤩😋nawapenda much love from🇦🇪
Mwanivunja mbavu, Ila kuna mafunzo mazuri mashaallah Tabarakallah
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Kuliko kunawishwa kwenye mikona kaogeshwa kichwani🤣🤣😅😆😁😂 mungu tunusur sisi atuja ingiya kwenye ndoa yarabi
Aameen Allahumma Aameen
@Billylovebilly Billylovebilly 😂😂😂😂Wacha tu jaribu mm na ww kama tutaweza..
Dah jamani hii nimecheka Hadi Basi, Allah atuongoze sir tupate waume wema na tuwe wake wema
Kwa kweli hatuna meng zaidi ya shukrani na kuwaombea mzidi kufanikiwa zaidi.
Twawaombeni mwendelezo usichelewe ishaallah
Maashaallah 🥰🥰 Allah awajaalie nguvu mupate kuuendeleza hadi mwisho kwani unafundisha na kufurahisha Allah awalipe kila la kheri
Aamin yaarabill alaamin
Allaahumma aamiin
Ameen
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
@@abubakaryusuph6555 Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Mashawah Allah awape nguvu na umri mrefu wenye kher na nyie mutumalizie filamu yet hakik Ni nzrur na yenye mafunzo mengi ndani yake
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Mashaallah kaz nzuri,, lakin jamani fanyenii iishe tena hyo ANTII mtuletee nyengine. Isiwe km isidingo.
Jaman huyu mke mkubwa amenishinda tabia😂😂😂😂😂hio sahani na sinia nisida🙌🙌Allah azidi kuwapanguvu ya kutuelimishe
Jomonyyyyy Sabah
Hiyo ni sinia ya Mahabba bhnaaaaaa
Maashaallah 🥰🥰🥰 Allah awalipe kher innshaallah
Mashaaalh Ila mnakaa sana tunasibir
Maashalla nzuri sana tena sana tunaomba muendepezo tafadhali
mashallah wake wote nihivi hiikali
hahahahahahaaaaa huyu mke mkubwa anichekesha aki muko poa nyote twawapenda
Shukran sana Wapendwa. Kazi Nzur sana 🔥🔥😍😍
Wallah. Mashaallah nzuri kweli twaomba mwendelezo inshaallah
lakn na muomb mungu anijaliee mke mweny tabia km mke mdogo
Masha'allah jazakallahu khair mko vzr mungu awatangulie kwa kila hatua insha'allah tabaraka llah
Aameen
Maa shaa ALLAH mungu awabaliki na Safi sana .nawapenda sana ndugu zangu kwa ajili ya ALLAH
Allaahumma aamiin
Allaahumma aamiin
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
@@abubakaryusuph6555 Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
@@abubakaryusuph6555 Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Masha allah tunataman tena mutuletee filam kama hii maana muna maadil mazur allah awafanyie wepes kwa kila jambo
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
mashaallah tumejifunza mengi kupitia filamu hii
Jaman mashaallah barakallwahu fiyk mumtaaz jidaan filam nzur sanaa twaisubirii inayofuata kwa hamu
Mashaallah,,,,nimepata mafunzo mazuri kabla sijaingia kweny ndoa.
Tuko pamoja
Yes
Mngekuwa mnatuwekea Kila ijumaa atirist tungekuwa tuna injoy hatariii Ila mpaka mwezi kwa mwezi duuuu
Habibty tatizo hatuna wadhamin tunajitegemea kila kitu wenyewee
Hapo mke wa pili anahusu kabisaaa tena mm ndo naoa watatu khasaaa kama uwezo upo ...Maashaallah kwa kutoa funzo zuri
😅😅
Yani Huyu Mwanamuke Ananicekesha Wallahi 😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Munafanya Kazi mzuri mashallah
Manshallah ila mnachelewa sana jmn vipande vyenu love
Daaaaah elf 15 ,,,,imeenda vikobanii yaan hyu dada ni shiiidaa
Jamani ningepata mwanaume kama huyu sijui ninge fanyann
Masha Allah
Masha Allah
Masha Allah
Masha Allah
Masha Allah
Maashaallah 🥰🥰 jamanii mumeukatisha pazuri kwely nataman ata uendelee tenaa
Mashaa Allah tabaraka Allah Allah awape umri mzuri kutupa mafunzo nasi tuweze kuelimika shukran jazila ndugu zangu waislamu nawapenda kwa ajili ya Allah
Nasi tunakupenda habibty kwa ajili ya allah
@@sabraabdilnasir8826 Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Well done from South Africa🇿🇦
And from America also🇺🇸🤣
Welcome to omani
Dada mukorofi
Baarak Allah namuomba Allah awalipe kwahili
Mashaallah tabaraka Allah khair tunapata matam matam ak tunaixubir part 9 inshaallah big up kw xan washiriki wote katik hii tamthilia wallahi hongereni xaan mnatufunza
Mtizame Afaaizu Luheta 👇👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Shukraaan
Maashaa Allah awabaliki sema huwa mnavhelewwsha Sana kwann jmn
Mashaallwah DJ lakini unatucgeleweshea hi filam , lakini mkosawa nawapenda Kwa ajili ya allah
Mashallah MASHALLAH
....ALLAH AWABARIK🤲🤲
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Nzuri sa na ila daah mnachelewa sana kutuletea
MashaAllah,,,filamu nzuri na yenye mafunzo mengi kwetu sisi haswa wanawake
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Mbona munachelewa saan mwendelezo
Ma shaa Allah 💞💞
Allah awazid kuwatia nguvu ili muzid kutupa muendelez tuzid kujifunza inshaallah
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Mchezo wenye mafunzo kwa Wanandoa. yapo hayo majumbani mwetu,. Mashallah Barakallah
Hv kuna waume wanafanyiwa hv kweli!?
Wapo na Hawana usemi, Wazazinwao wanapoona huwa wanaumia Rohoni, ila kuvunja ndoa za Wanawao hawaezi maana mume haoni hasikii. husema eti Mapenzi
Masha Allah movie nzuri sana ina mafunzo
Kisa kizuri mafundisho mazuri ILA MNACHELEWA SANA KUTOA MFULULIZO MPAKA TUNASAHAU HALAFU LADHA INAPOTEA FANYENI HIMA ISICHUKUE MUDA MREFU JAPO WIKI HIVI
Hawana wadhamini kwaiyo watu mkichangia sio mbaya ili zitoke chapchap
Filam vizu mashaall lakini munachelewa sana
Mashallah mashallah ♥️ mashallah
Maashallah maashallah maashallah maashallah kazi nzuri
Mnachelewa sana kutupa mwendelezo
Hahahahhaha, mashallah nzuriii
Mke mkubwa umejua kuicheza nafasi yako masha Allah mume nikosha roho
Mashaallah hakika ni nzuri sana Allah awajalie
Daaah fahad kazi unayo
Mashallah ❤️
M/mungu awalipe kwa mafundisho yalokuwa mazur Wallah !!! Nataman ningekuwa na uwezo wa kifedha nikawashika mkono ili msiwe mnachelewesha movie yetu hii !! Lakin Allahu aalam !!!
Mungu akufanyie wepes ktk maisha yako ili upate ya kuwasaidia wasio jiweza kama hawa
Mashaallah jaman mnawahi balaa
Mungu awabarlki kwa kufikisha ujumbe
Hahaha jmn mie nimecheka hapo kwenye lisinia🤣🤣🤣🤣🤣
Dah kw hali hii Sito vumilia ngumi za muhusu n talaka juu
Maa Shaa Allah
mashaalla💗💗 kipande kingine jamn tafadhal msicheleweshe sn
Yaan wanachelewesha kwel 😥
Pole yako mume watu😂😂😂mwanamke vituko
Bismilah Mashallah
Ila mnachelewa sana adi tunawasahau
Mchezo mzuri ila huyo dada apungunze hako kadharau anaharibu mchezo
Kama tunaomkubali da Salma pitieni hapa mgonge like
Nakupendaaaaaaaaaaa❤❤❤
Nzuri sana mashaallah tunaomba muendelezo tafadhali
Tunaomba9 kwaisani yenu nawaomba jamani nimepata erimu kubwa sana naombeni yatisa
Msicheleweshe
Kitu safi mwachelewa
👌👌👌😂😂💪💪💪🙏🙏
Hapa wanawake tunapata funzo kubwa kupitia hii movie. Maana sio kwa tabia hiyo kama mwanamke mbele ya mume
Umeona ee hana nidhamu natamani nikampige kibao anavomjibu mumewe
@@sabraabdilnasir8826 kwa sababu ni igizo unaachana nalo ila ingekuwa ni uhalisia kweli huyu mama alikuwa anahitaji adhabu
Tumependa sna tamthilia hii
Mashaallah kazi nzuri ila mnachelewa sana jaman
Dooooooooo aiseeeee!!!
😂😂 mtihani wallah Allah akufanyie sahali bimkubwa maana ishakuwa balaa ahsanteni kwa mafundisho na burudan 🥰🥰 nawapenda from Dubai
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Shukraaaan
Mashaallah. Mie mbona nimeogopaa roho gani hiyo. Japo. Mafunzo ni MAZURI
Wow,,jazakum llahu khayraa tulikuw tunasbriii kw hamuu Allah awalipee kheriii
Hahahah salma kipind st Matthew alikuw mpolee kumbe talent iko motooo hahaha kazi safi kazi legit
Mpka huku
@@husna34562 🤣🤣🤣🤣 eee cc wapend burdani kila kona tupoo
Mwanamke fidhuli hana heshima kwa mumewe
Mashaallah mashaallah ni nzuri sana
😂😂nimejikuta nikicheka tuu 😂😂baba anaoshwa kichwa wapi team fulusi weweee❤
Masha allah nafurahi imerushwa mapema
Nawapenda san antii na nawenzeo move nzur san
Haaa kaekewa sinia yakupambilia ubwabwaaa. Vyombo kameekewa wageniiiiii
Mashaallah mzr Allah awabariki, Inshaallah
Aameen Yarabbil A'lameen
Mimi naomba msiwe mnachelewesha sanaaa maana tumesubiri mpaka basi
Tatizo pesa hatuna wadhamini
Wow asante kwa muendelezo
Asanteni mungu awabariki nyote heeeee siniya inakodishwa auuuuni bure mtihani
Ma shaa Allah mchezo ni mzuri sana na unamaadili na namafundisgonmazuri pia ila unachekewa sana kutoka jaman
🙌🙌kushaoga tayari kapake mafuta uwende zako
Yaaaaan akalaleeeeee😅😅😆
nimecheka hilo sinia🤣🤣🤣🤣🤣
Maashaaallah iko poa
Mashaallah niliisubir sana
Darsa nzuri mashaallah😍🤩👍👍👍❤
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Mashaalah alhmdulillah Allah awalipe kher kw kuelimisha jamiii 💯💯
Amiiyn yarabbal A'alamiin
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🌹🌹🌹🌹🌹🌹nawapenda sana tuuuuu
Plz tuleteeni part mbili mbili maana n nzri sna
Msichelewe kuuletea part 9
In Shaa Allah
MashaAllah well done
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Allah awafanyie wepesi mtutolee pati tisa
Aameen Allahumma Aameen
Mashaallah nawapenda sana ant na fahdi❤️❤️❤️❤️😍
Mtizame Afaaizu Luheta 👇
ua-cam.com/video/jW0gL5a8nUM/v-deo.html
Hahaha fahad unayweza😍👍😄😅