@@nshimirimanabora180 mmh si dhani kama inakuwa ki kawaida tu mwanaume kweli umfanyie hvyo ila dah mwanamke wa aina hii kiboko sijui ata kama kafunzwa na sijui kalelewa vipi kwao
Assallam alleyqum warahmtullah wabarkatuh shukran sna kwa mafundisho yenu mazuri ila ushoga mwengine haufai wallah tuweni makini na mashoga na pia tunao olewa tuwajibike kwenye ndoa zetu uvivu auna laana💞
Mashaallah! Allah awasimamie katika kazi hii nzuri, huyu shoga kumbe juhudi zote hizi yeye ndio wamtaka shemejie ? Yapo mtaani haya anajifanya akupeleke kwa mganga kumbe anaenda kuwafanyia nyie. Allah atunusuru na mashoga hawa kwenye majumba yetu
Mashaallah jaman barakallwahu fik Allah awaajalie umry mrefu wenye manufaaa muendelee kutupa vitu vya faidah ni kitu Khery wanawake wanadumu kwenye starah na kuna mipaka nidhamu ni ya hali ya juu kaka Fahady Allah akulipe sana nakukubali sana kaka angu
Movie inanifunza sana sana sana ila Fahad kama huo ustahamilivu unao kweli kweli basi nakuombea kwa Allah uzidi kabisa ila ukumbuke subrah ina mipaka,,,,,,nawapemda washiri wote kwa kutuelimisha ktk mising ya dini yetu🥰
Mashallah ndugu yetu kwa kuona Nuru ya uislam, unachotakiwa kufanya huko huko ulipo unatakiwa kwenda Hadi msikitini ambako pako na karibu na wewe,, Kisha tafuta shekhe katka eneo Hilo na mueleze Nia yako ALLAH akufanyie wepesi
Mashaallah Allah awape wepesi kwenye kazi zenu
Shukran kwa muendelezo Allah awabarik pia msitucheleweshee tena
Antii mzuri wa sura mpk roho ma sha Allah😘
Ma sha Allah tamu Ila mnatuchelewesha Sana jamen
Mungu atunusuru na mashoga wanfki
Asanteni sana ila mwanamke haogopewi kiasi chote hicho, simama kiume na uwe na maamuzi ya kijasiri, natumai story mwisho wake mzuri.💞
hv wanaume kama fahad wapo kweli mmmh saa izi kashaachwa muda uyo
@@husnaally6776 wapo kama hao
@@nshimirimanabora180 mmh si dhani kama inakuwa ki kawaida tu mwanaume kweli umfanyie hvyo ila dah mwanamke wa aina hii kiboko sijui ata kama kafunzwa na sijui kalelewa vipi kwao
@@nshimirimanabora180 a subutuuuuu 😂 😂 😂 umpate wapiiii?
@@husnaally6776 mi sidhani kma wapo
shukran but daaah mke kuogopwa hivo lakini Kazi mzuri mashallah
Waaleykum salamu masha Allah mumetuletea ya 10 sasa sio masha allah mungu awatangulie mwatunza mno wanawake ktk hizi tamthilia
Mashallah nzuri Allah awazidishie kazi zenu nawapenda sana mwendelezo episode 11
Assallam alleyqum warahmtullah wabarkatuh shukran sna kwa mafundisho yenu mazuri ila ushoga mwengine haufai wallah tuweni makini na mashoga na pia tunao olewa tuwajibike kwenye ndoa zetu uvivu auna laana💞
Shukran sana movie nzuri yenye mafunzo👌👌👌❤️
Asanteni Mash Tv jazakallah khayran
Wow asante kw kutukumbukaa leo Allah awabarikiii
Walaikum salamu walahmatullah wabarakatu ira munatukawiza jamani Allah awabariki twawapenda fom 🇧🇮
Maa shaa Allaah basi msicheleweshe tena
Mashaallah! Allah awasimamie katika kazi hii nzuri, huyu shoga kumbe juhudi zote hizi yeye ndio wamtaka shemejie ? Yapo mtaani haya anajifanya akupeleke kwa mganga kumbe anaenda kuwafanyia nyie. Allah atunusuru na mashoga hawa kwenye majumba yetu
Yapo sana hayo dada mie binafsi Sina. Imani na shoga hata kidogo walishanivuruga
@@zainabzain3434 pole lkn mm nimeolewa nimestopisha maana kuolewa kwangu wameingia wivu
😅n
Fahad fahad nakuita mara3 bora umuache bonge lkn sio bmdg kwakweli utapata tabu sana daah,
Mashaallah jaman barakallwahu fik Allah awaajalie umry mrefu wenye manufaaa muendelee kutupa vitu vya faidah ni kitu Khery wanawake wanadumu kwenye starah na kuna mipaka nidhamu ni ya hali ya juu kaka Fahady Allah akulipe sana nakukubali sana kaka angu
Jaman asant ni nzur sana,,,, msichelewe 11
Shukran Allah awafanyie wepec mucitwk san
Yaan nakereka anavyomng'ang'ania uyo mwanamke ah
Subra subrq
Hongereni Kwa kazi nzuri
Uyo hakufai muache mpe talaka hajui sheria za mke icho kizingiti hakifai kingoe
Mashaallah hongeren kwa kazi nzuri wapendwa Allah awazidishie kher zaid maana mi binafsi niliwamis sanaaaaa
Sannna tuuuu mbonaaa wako vizuriii
Allaahumma aamiin
Mpo vizur sana endeleen kutuelimisha Kaz njema
Mashaallh film hii ina mafunzo sn mashaallh
Hatimaye jmn,,tuliwasubiria kwa hamu kubwa sana
Maashaallaah mbn ya 11 hanlte jmni
Mashaallah allh awazidishe na azidi kuwafanyia wepesi katk kazi yenu ni nzuri sana kwakweli nawapenda wote
Allaahumma aamiin
MashaAllah much love from 974 doha
MashaaAllah move ni nzuri
Movie inanifunza sana sana sana ila Fahad kama huo ustahamilivu unao kweli kweli basi nakuombea kwa Allah uzidi kabisa ila ukumbuke subrah ina mipaka,,,,,,nawapemda washiri wote kwa kutuelimisha ktk mising ya dini yetu🥰
Mtihani shoga kama huyu ni mtihani kweli mungu tunusuru na watu kama hawa
NZURI JAPO MWACHELEWWSHA
Mashaallah hii kazi nimeipenda
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️nawapenda sana wajilani zetu
Masha wallah ila msicheleweshee km ivyoooo
Mashallah mungu awatie nguvu zaid ktk kipaji chenu za kufunza jamii
Allaahumma aamiin
Maashaallh tunawaomba musitucheleweshee tuleteeni ya 11
Munachelewesha sala
Tuliwamisi sana msicheleweshe sana banaa
Shukrani kwa kutukumbuka jamani 🙏
Asalam alaykum waramatulah wabarakatuh shukurani 🙏 sana jamani sikumingi tulikuwa tunawamiss 💞💞💞
Walaykum Salam Warrahmatullah Wabarakat
Shukraaaan
Ni changamoto za Pesa ndiyo maana mambo hayaendi
Waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh
Waalykum msalam waramatullah wabarakatu
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Waalaykum ssalam warahmatullahi wabarakatuh
walayk ssalaam warahmatullah, mashaallah 👌👌🥰🥰🥰🥰
Mashaa Allah tabaraka Allah hongereni Sana filamu nzuri Sana
Mashaa Allah. Tuna wapenda. San😘😍
Fahad ananichekesha wallah sio kumuogopa mke hivyo
Mashallah mzur ila munachelewa sana
Shukuran sana kwa muendelezo 🙏
Maa sha Allah. Kazi nzuri
Mnaeka movie Sana inakua hainogi na ufatiliaji wake unapungua kwa watizamaji maana nyie wenyenu bado mko nyuma
Mmm mnachelewa Sana
Khaa yaan huyu shoga anaharibu kila upande 🙌🤣
Manshaallah 🙏 tunashukur mungu
Mko vizuri maashallah
Shukran sana Allah akuzidishieni
Hello....nafurahia sana kaz zenu!!! but nnaombi napenda pia nahitaji kua muislam but sijuh nianzie wap! plz
Mashallah ndugu yetu kwa kuona Nuru ya uislam, unachotakiwa kufanya huko huko ulipo unatakiwa kwenda Hadi msikitini ambako pako na karibu na wewe,, Kisha tafuta shekhe katka eneo Hilo na mueleze Nia yako ALLAH akufanyie wepesi
Ok asanteh dadangu nitajitahid kufanya ulichonielekeza..., Mwenyezi Mungu akuzidishien🙏🙏
Mashaallah na wimbo pia kaimba nani?? naupenda mnoo😍😍😍😍😍😍😍😘 Allha awafanyie wepes mtuletee part 11
Kweli umerogwa ukamuche mke aliye na mapenz na ww ukae na mke alokuwa hajui umuhim wa ndoa yake,mawazo ondoa broo
Nawapenda wote jaman :antii mashaallah kaz nzur san ❤️😘😍💓❣️🥰
Kwanza nimecheka sana leo mashallah 💖🥰😅😅
Hy ss hv kweli kulogana wanawake kutaisha leo unaachwa sababu ya mke mwenzio mume amuogopa
Story nzuri lkin mbn hkun Ya 12
Mashaallh niliwamisi sana jaman
Maashallah inatufunza vyema
Shukran sana Allah awabarik
asalam alaykum waramatula
h wabarakatuh asante sana kwakulitea part 10 allah wazidishie nyote
Jmn imeishia pazr dah natamani sahivi muiweke muendelezo
Ila mnachelewesha
Shukrani Sana wapendwa
Yaan nmejikuta t nacheka 😂😂😂😂mashaallah ❤ naipenda hii Yaan raha tupu mbona waogopa tena kwa bi mkubwa
Km mm nimecheka jamani mtu amuogopa mkewe tatizo ilo😂
Asantee md umepita nilimiss
Subhanallah😳 kumbe shoga mboga harakat zote zile nawe uko na Jambo lako🙄🙌
Mashallah nzuri
Manshallah Tabarakallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Fahadi kaekti ana kichwa kigumu pia amefanywa msukule
Mjomba love you 🤣🤣🤣🤣🤣tuwachunguze kwanza awo washauli .kumbe unashauliwa na mtu kasha utwika anachoongea yeye mwenyewe akijui😂😂😂😂
🤣🤣
🤣🤣
Antii nae pia ameshika y Rafiki
Mashaallah munaichelewesha ila
Uko sawa kaka kwa mafunzo,,but mwanaume hupaswi kuwa muoga kiasi hicho kwa mkewo
Mafundixho mazuri sana 🥰🥰
TUNAOTAMANI KUFANIKISHA ANTII IJE KWA WAKATI TUJITOLEE KUSAPOTI PESA ZA UAANDAAJI, Tusilaumu tu
Hahhahah
Sunnah ya kupaka wanjaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Thank youuuuu so very much Zuri Tv for Your support.
Indeed hakuna anaependa kukaa na kazi ambayo wengi wanaifurahia tatizo ni PESA ya uaandaaj
C tunawasaport na kulipwanna youtube
😅
Mashall mashall hii thamtilia nazipenda Sana no 11 inshaall
Mashalla nice 🥰🥰❤️♥️❤️♥️
Nawapenda jamani Allah awazidishie
MASHAALLAH ALLAH AWAPE VIPAJI ZAID INSHAALLAH
Allaahumma aamiin
Yaan mwanaume anamuogopa mkewe hadi inakeraaa
Msishangae Sana mke mkubwa huwa anangu u kwa mumewe isitoshe kama walioana wakiwa hawana kitu Ila kwa wale wenye dini !!
Hakuna kitu kama hicho atakama yy ndie mwenye mali ila mume ni wa wote hakuna cha ukubwa wala mdogo
Eeeh!!!! Kama hutaki basi maana mbona tunayashuhudia
Jaman msitucheweshe ya 11 tenaisubi kwa hamu san
Daah muenderezo
Niliwamiss muda mrefu sana
Jmn huyu mwanaume hn maamuzi yake mwenyewe kweli hasadi zp
Mwanamme km huyu mm simtaki maana uwadilifu najuwa zeeero....
Mnachelewesha Sana jmn
Munachelewesha mpka nasahau wallahy
Tumewamiss sana
Akiii wanaume waoga hivi walipoteaga kwenye vita vya majimaji sikunyiiingiiiii
Huyu adi anikela jamaniiii
Anakera mnoo
Wapo sana
Movie tamu sana
Mashallah♥️♥️😍😍
Shukran Kwa mafunzo mna twajifunza mengi
Inshallah tumejifunza mengi kupitia move hii ❤️🧡🧡💛💛💚💜🤎🤎💚💕💞💓💗💔💔
Mashallah
Manshaallah shukrani 🙏🙏🙏
Huyu shoga si shoga ....shoga mboga......loooh mganga tenaa
Masha Allah Asanteni