Antii prt 2 {with english subtitle} official video | Madrasa shop

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Maisha ya ndoa yanahitaji kuwa mvumilivu wa hali ya juu maana wanawake ni sawa na ubavu ukilazimisha kuunyoosha basi utauvunja.......hv endelea na film hii ya anti
    +255773950250 or +255717513191 #Mash Tv

КОМЕНТАРІ • 709

  • @regnoldnikodemurasa3365
    @regnoldnikodemurasa3365 Рік тому +5

    daah jaman sasa kila kitu antii apo ananyanyuka saa ngapi khaa hata msalani si antii kama umekubali gonga like

  • @user-pr3ov3zd7q
    @user-pr3ov3zd7q 6 місяців тому +3

    Kiukweli Allah atupe.uvumilivu wote.tunaofanya kazi.zandani.nakupapole sana.kakaangu.kwahuo mtihani

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 Рік тому +2

    Bahati kama hizo huchezewa kweli daa Mwenyezi Mungu atujalie wepesi na subra mashallah tabarakallah iko na mafunzo

  • @abdulnaseerkhaji4102
    @abdulnaseerkhaji4102 3 роки тому +2

    Filamu ni nzuri tena yenye maadili ila tunaomba muendelezo ili mwisho tuuone inafurhisha na inaelimisha jazakumu llahu khaira

  • @zakayokipingi7963
    @zakayokipingi7963 2 роки тому +2

    Antii popo te alipo mm nitamuoa kwa mahali yoyote ile maana sio kwa uvumilivi huu nimeipenda sana hii tamthilia mmetufundisha sana mungu wasaidie sana

  • @hussnabakary3507
    @hussnabakary3507 3 роки тому +2

    Yan ktk dunia ni wachache sana wanaopata mume na mke... Lkn tuliobaki ote inakua mume akiwa mwem bac mke sie na mke akiwa mwema bac mume mtihana yaallaha tujalie heri

  • @rahmahamis807
    @rahmahamis807 5 років тому +9

    Masha Allah wanawake tunapopata Neema ya ndoa tujutahid kuwafanyia wema wenza wetu

  • @winnihendri3130
    @winnihendri3130 5 років тому +149

    Mwendelezo please nzuri sana kama imekupamba kaa mimi like hapa

    • @faquegeramo4992
      @faquegeramo4992 3 роки тому

      Hinayo msumbua ni hiyo smartphone mnunulie sim ya touch

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 3 роки тому

      Nimeipenda sana

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 3 роки тому

      Ile ilofikia uufukweni Mbona hamku imalizie mnatikatisha Raha njiani

    • @user-ko4in4uy1u
      @user-ko4in4uy1u 5 місяців тому

      ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @saidali2707
    @saidali2707 4 роки тому +3

    Maashaa Allah filam ninzuri Sana hongereni Sana ngugu zetu Allah Awape wepesi muendelew nakazi ila pia hapa kuna mafunzo Kwa DADA ZETU dada zangu mue makini Sana kwani Pepo yako iko chini ya miguu ya mume wako kueni makini Sana ma ukhety wetu ngugu zetu Allah Awape wepesi mutupe VIpindi

  • @nururajabu8555
    @nururajabu8555 5 років тому +6

    Hata unipe million sifanyi heeee kila kitu antiii

  • @asmaaramadhani319
    @asmaaramadhani319 5 років тому +17

    Muoe anti mashaallaha anauvumilivu but uyo dada Sjapenda kutokumjali mumewe

  • @sharifaahmed3719
    @sharifaahmed3719 5 років тому +9

    Antiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii he huchoki Ila mchezo mzuri mashallahhhhhhhh muendelez plz anti hongera

  • @zuleikhasuleiman4634
    @zuleikhasuleiman4634 3 роки тому

    Uyo Antii hahisi kizunguzungu heee uyo dada anaatuma sana heeeee mtihani

  • @aminaabdalla8636
    @aminaabdalla8636 Рік тому +1

    Funzo nzuri kbxa kwetu SS tuendao kwenye ndoa

  • @wardataliy9319
    @wardataliy9319 11 місяців тому

    Mashaallah
    Kazi nzur Allah awape kheri

  • @tundaclassic2704
    @tundaclassic2704 5 років тому +15

    Weeee mambo ni 🔥🔥🔥🔥muoe antii

  • @zephaniakibwe6376
    @zephaniakibwe6376 3 роки тому +2

    Filamu nzulii sana inafundishaa mengi,,,,,,Mashaallah

  • @madrasashoptvonline4175
    @madrasashoptvonline4175 5 років тому +157

    Shukran kwa wote munaofatilia film hii ya Antii...Na poleni kwa kuchelewa kuweka muendelezo hii yote sbb ilio nje ya uwezo wetu HV mtatuvumilia sbb tupo Na majukumu mengi ya kimaisha....ila titajitahid vipatikane kwa haraka.

  • @zainabujuma7410
    @zainabujuma7410 5 років тому +7

    Maa shaa Allah Antii wawatu mwenyewe yupo shap huyo...kwa utumaji huo hata warab nawatetea

  • @shailakipingu1112
    @shailakipingu1112 5 років тому +6

    Maashallah jamani tumeshukur sana kwasab tumeisubiria sana na Leo tumeipata asanten sana

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +2

    Movie nzuri Sanaaa 🙏 hongeren washlki wote

  • @mudhakirudauda7933
    @mudhakirudauda7933 5 років тому +4

    Good advice. Piga chini mama Nura oa Antiiiiii

  • @feysalfeyser6220
    @feysalfeyser6220 5 років тому +4

    Mashaallah Filamu ni nzuri sana yenye mafunzo haswa ya wana ndoa wa kiislamu ni yapi ya kuepuka na yapi yakufanya yani ni majukumu yapi ya mke na yapi baba .. Ila hapo rafiki yako alipokushauri umwache mkeo na umuoe antii yupo sahihi lakini kakosea namna ya kukupa ushauri alipaswa kukuambia ongeza mke wa pili naamini itakuwa funzo kwa mkeo kujirudi na kubadilisha tabia ..

  • @sophiaabdallah7821
    @sophiaabdallah7821 3 роки тому

    Bora umoeee tu antii coz she is the best wf

  • @omanseeb2766
    @omanseeb2766 5 років тому

    😀😀😀😀😀mwanamke Hana haya Wala hajui vibaya looo km si mwafrica Hana tofaut na waarabu kasoro rangi 😀😀😀😀

  • @rajabusuleman5111
    @rajabusuleman5111 5 років тому +5

    Ma shaa allah mchezo mzuri

  • @joharbakar5981
    @joharbakar5981 5 років тому +2

    Bora umuoee antiiiiiii😂😂😂 maana daah antii Mashallah 😘

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 5 років тому +8

    Hongereni kwa film nzuri..mashaallah

  • @tinamlay3371
    @tinamlay3371 3 роки тому

    Tabia mbaya sanaa huyu mwanamkee khaah

  • @user-ko4in4uy1u
    @user-ko4in4uy1u 5 місяців тому

    Yooooo Weye Mwanamuke Tabia Zako Kama Mwarabu 😢😢😢 Hakuna Tafauti Kbx😂😂 😮😮 Yani Nawapenda Sana From Burund 🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦❤❤❤

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 5 років тому +13

    Hahahahahaaa hahahahahaaa atiii woi wakioa mke wapili mnajifanya mnapresha ufuu

  • @mazrui1948
    @mazrui1948 3 роки тому

    Mm Antii namuoa potelea mbali liwe liwalo.

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 5 років тому +6

    Mashallah movei nzuri tuleteeni muendelezo

  • @husnahlaazizmohammed7397
    @husnahlaazizmohammed7397 5 років тому +3

    Ma sha Allah NiCe movie 😘😘😘

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Ahaaa huyu mzee sasa ndie ameniuwa na cheko. Ukweli amuowe aunti

  • @ashaabdi7270
    @ashaabdi7270 5 років тому +1

    duuuuuuhhh antiiiiii huchoki kumuita yani mumeo kasafir umeshindwa kumuuliza km kafika huyoo antii ndo anauliza duh antiii hongera

  • @fatmaahmedbashirfatmabashi364
    @fatmaahmedbashirfatmabashi364 3 роки тому

    Aki umeniboesha wallhy co ustarabu huo shukuru umepata bwana mvumilivu wengne ungekula mangumi na kwenu ukaenda.

  • @fatumaseleman5037
    @fatumaseleman5037 3 роки тому

    Dada utaumwa macho mda c mref

  • @shedracklwila6553
    @shedracklwila6553 2 роки тому

    Duu kwakweli wanawake tunajisahau sana siku izi kwenye ndoa zetu

  • @islantasadick7142
    @islantasadick7142 5 років тому +4

    Mashaallah my patner hukuwahi kuniangushaa kipenzi pamoja nakipaty Wallah hongereni sana aminia sana broo fahdy madrasa shop itazidi kuwa juuu

  • @victoriakimario7757
    @victoriakimario7757 5 років тому +1

    Nmewapenda bure ni funzo ili

  • @beautyhennayummyfoodmwechi6833
    @beautyhennayummyfoodmwechi6833 5 років тому +1

    Masha Allah movie nzr nawapenda sana madrasatul shop

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 років тому +5

    Mashaallah mchezo ni mzr na unafunzo mazuri na muhimu sana hongereni wahusika mulio toa mafunzo haya

    • @adamotto9630
      @adamotto9630 5 років тому

      Geet parayi iriyo tafsiriwa ya 331

  • @shuubinty1447
    @shuubinty1447 3 роки тому +1

    Piga chini owa antyyy🤣🤣🤣👌

  • @zaitunikipaty5914
    @zaitunikipaty5914 5 років тому +2

    mashallah kaz ndhur nakuona kibule kipaty

  • @biommy6700
    @biommy6700 5 років тому +5

    Nilisubiri kwa ghamu esp ll...Thanks for ploading

  • @sharifathman52yusuf98
    @sharifathman52yusuf98 5 років тому +1

    napenda kupongeza kazi yenu mzuri muendelee kutufunza mambo kama haya namengineo mengi

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Рік тому

    Natazama nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪kwa kweli mumeweza

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 роки тому

    Movie mzuri ila hili neno antii limenikera sana mpka nimeskia dhiki nimepunguza sauti

  • @fatumabranton2573
    @fatumabranton2573 4 роки тому +2

    Filamu nzuli kbs plz next part 3 and 4. Thank you

  • @khadijasimba8720
    @khadijasimba8720 5 років тому +4

    Anamakelele kama mwehuuu😙😙

  • @rehematemu3748
    @rehematemu3748 5 років тому +1

    Nyoooo antiiiiii umenizaa au boya we pambana na Hali yako muoe antiiiiii uyo

  • @hadijahamisi5918
    @hadijahamisi5918 3 роки тому

    Nawapenda washirika wote w madrassa shop ila kazidi kutuma mno😌😌😒mmmmh antiiiiiii

  • @irenemmasy79
    @irenemmasy79 2 роки тому

    Nachukia sana mtu anayependa kuita ovyo

  • @vesitinarevocatus7333
    @vesitinarevocatus7333 3 роки тому

    Move inamafunzo mashaalh

  • @huweiy6587
    @huweiy6587 3 роки тому +1

    Nimefurah kuona muendelezo

  • @queenmariana5887
    @queenmariana5887 5 років тому +1

    Mwarabu wa kwanzaa huyu mwanamkee

  • @munamuhammad211
    @munamuhammad211 5 років тому +2

    Nyc movie hongerini wahusika nyote

  • @faridamwashanda1921
    @faridamwashanda1921 5 років тому +2

    Mwanamke haina gani haki, mimi binfi Niko na antii but hata shirt ya bwanangu agusi, chumbani hafiki.please leteni part 3 nitamu Sana 👌👌👌

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 3 роки тому +1

    Duh hyo mama anaita mpka kero yn ajimudu na lolote utadhani muhindi😏😏😏

  • @andrewurio6056
    @andrewurio6056 5 років тому +13

    Mashaallah Hapo sasa patam,kama umeipata neema ya ndoa na hujui thamani yake ni kher aolewe anaeijua thaman ya hyo ndoa,Muendelezo inshaallah.

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 5 років тому +3

    Nilikua nkiisubiri kwa hamu na ghamu kazi nzuri ustadh

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +1

    Duu huyusimke hadi anakela😂😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 5 років тому +6

    Waita kama muhindi duuh wallahy waarabu wangekuwa hivi nisinge kuja kuwafanyia kazi maana ningewapuuza kila siku

  • @ayshahams7373
    @ayshahams7373 5 років тому +1

    Hahahaa jaman antii umenifurahisha kweli umemkomesha hvy hvy ukiona amezid ingia chooni na yy aenuke dah

  • @khadijaismail5013
    @khadijaismail5013 Рік тому

    Mashaallah movie zur

  • @shadiahshadiahshadiahshadi4060
    @shadiahshadiahshadiahshadi4060 3 роки тому

    Kuwapenda sana nikawaida yangu

  • @niceally902
    @niceally902 4 роки тому +1

    Mashalha ni nzuri mno

  • @fanilaakimana6653
    @fanilaakimana6653 5 років тому +8

    Mansha Allah tunaomba ya 3

  • @jamilabeauty1316
    @jamilabeauty1316 5 років тому

    mume anahitaji matunzo wewe Utaibiwa jiangalie Sana

  • @magrethshangwe2111
    @magrethshangwe2111 4 роки тому

    Huyu mwanamke kiboko mpka kupokea sim ya mume tu . Ni shidaaaa

  • @anisabakari5298
    @anisabakari5298 3 роки тому

    Shukuran kwawote mrio shirik

  • @ahmedyousif2919
    @ahmedyousif2919 4 роки тому

    Asante sana kwama madrasa mazul.kutufuza sisi wanawanke asanteni

  • @naimaally7072
    @naimaally7072 5 років тому +7

    Ma shaa Allah kwakweli tunajifunza mengi kupitia sinema hizi Allah akuzidishieni kila lenye kher nanyie

  • @rayaalaisari4592
    @rayaalaisari4592 5 років тому +14

    Mashaallah mashaallah ❤️❤️❤️❤️❤️tu naombeni ya 3 jamani

  • @kassimjuma1279
    @kassimjuma1279 4 роки тому

    nengekuwa mm nengekuwa tushapigana

  • @latifahmakwegah4355
    @latifahmakwegah4355 5 років тому

    Duuuui so kwaboss uyo

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 5 років тому

    hongera sana mwendelezo please .mwana ume wakuvumilia haya Kwa sasa ayuko. Ata kuacha2 hapo na kujipa shuguli mara hiyo hiyo.

  • @anifrose7830
    @anifrose7830 5 років тому +2

    Manshallah nimejifunza kitu shukran

  • @haudhatiadam6206
    @haudhatiadam6206 5 років тому

    Shukuran jazila

  • @hamdanyazeed8483
    @hamdanyazeed8483 4 роки тому

    Mama mweny nyumba hajui wajib wake

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 3 роки тому

    Asante teni kwa funzo nziri
    Tunajifunza Aki.. 😢 😢
    Asakwa wanandoana waso
    Wanandowa () () ()

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 5 років тому +2

    Mashaa Allah movie nzur sanaa😍 but naomba mwenye kujuwa jina la hiyo Qaswida inayoita katika simu ya bidad huyo anijuze nimeipenda mnooo...

    • @adijaiman2509
      @adijaiman2509 5 років тому

      Mashaallah

    • @aseelaaseela4913
      @aseelaaseela4913 5 років тому

      @@adijaiman2509 ndo inaitwa hivo ty bas ? maan nasachi hapa You siipati...

  • @abuuzunairahonlinetv5592
    @abuuzunairahonlinetv5592 5 років тому +7

    Ba mkwe piga chini tunaweka ndn auntiiiiiiii

  • @rasheedadjdjj5197
    @rasheedadjdjj5197 5 років тому +4

    Waoooo oh Leo wakwanza ku comment

  • @Fatu-yq3pr
    @Fatu-yq3pr 4 роки тому

    Mashallaah nilikua naisubir kwahamu nimeitafuta myda san

  • @rehemajuma2826
    @rehemajuma2826 3 роки тому

    Mzuli Saaaana muendlez mmeishia ya 3

  • @agnesnyakisara6790
    @agnesnyakisara6790 2 роки тому

    Go higher secret

  • @CoastalLady
    @CoastalLady Рік тому

    😅😅😂😂😂antii atakoma

  • @swaumujafary1345
    @swaumujafary1345 Рік тому

    Natamani ningekuwa mm aisee moyo unge kuwa unafura telle ningempenda mme wng daa aisee bahati ilioje jmn

  • @zizerhqym1835
    @zizerhqym1835 5 років тому +2

    nzur sana inafundisha sana🙏💕💕💕💕

  • @mebroniakitwala6865
    @mebroniakitwala6865 3 роки тому

    Nzuri sana

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 3 роки тому

    Huyo mke si class yako tatizo amekulinganisha na class ya mfanyi kazi wako WA ndani ndio Sawa.

  • @abuubakarmohammed3404
    @abuubakarmohammed3404 5 років тому +1

    Vijana wenzangu tuombeni sana dua haya mambo yapo na ni mtihani

  • @mwantumukombo4810
    @mwantumukombo4810 4 роки тому

    Duh mungu anisaidie

  • @asilembaraka2720
    @asilembaraka2720 5 років тому +2

    so beautifully antii

  • @tatubwamkuu2002
    @tatubwamkuu2002 5 років тому

    Ni mzuli sana

  • @zenahoka6265
    @zenahoka6265 5 років тому +1

    Nice movie tumalizieni mana ndo sisi tunaotumishwa

  • @sophiaabdallah7821
    @sophiaabdallah7821 3 роки тому

    Mwanmk huna mda n familia yko hujui hta mda w kuchez n mtot hunaa uko busy n cm looh 🙌 subr mke mwenzioo

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 5 років тому +1

    Huyu kafanana na madam Wangu kbsa akikaa aita tu mpka anikera,nilimpa funzo kiboko mbona amepunguza saii,hizi shida zipo Sana jamni,rafiki amenichekesha sio mchezo piga chini owa aunty hapo cha cha patamu sana ,shukran kwenu wahusika,muendelezo inshaallah