'YUSRA' | Full Film. | EPISODE | 7 .| Madrasa Shop Film.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • MADRASA SHOP FILAM.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 53

  • @ajumsellem7551
    @ajumsellem7551 3 роки тому +1

    This made me cry 😭😭😭😭tunatkiwa tumuabudu ALLAH ( S.W ) n MTUME WETU KIPENZI CHETU MTUMEE MUHAMMAD ( S.A W ) tueshimu wazz wetu tuache jeuri n dharau tuwasaidie wasiojiweza tuwapendan n kikubwa Zaid ni kuitumiy raslimali ya muda vizr kwa kufny ibada n kufuata mamrish ya dini ye tu ya kiislamu INSHALLAH MOLA atusaidie hkik yafunza San hii

  • @naimamajaliwa2093
    @naimamajaliwa2093 5 років тому +5

    Mashallah mashallah Allah awahifadhi nyote mloshiriki wallah move mzur xna ndo mwisho au inaendelea jaman

  • @mwajumaramadhani8024
    @mwajumaramadhani8024 3 роки тому +4

    Hii move nmeangalia ten mwaka huu 2020 naipend sana
    Sem. Watu hawasport vitu vyamaan

  • @hadijahamisi5918
    @hadijahamisi5918 3 роки тому +2

    Masha allah movie zenu zk poa nimejifunza mletee zengine insha allah

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 5 років тому +2

    Madrasa shop hakika muna mafunzo mazuri Allah azidi kuwaongoza kwa kila jambo

  • @allyndubaa4088
    @allyndubaa4088 6 років тому +5

    mashallah tabaraka llah nimeipenda sana hii moves

  • @MwatimeMohamed-db8yp
    @MwatimeMohamed-db8yp 11 місяців тому

    Woow

  • @shamsathabiti5206
    @shamsathabiti5206 Рік тому

    Masha Allah tuleteeni na nyingine Kila nikiangalia natamani ningeona na nyingine

  • @halimaukovizurbrooadinani911
    @halimaukovizurbrooadinani911 6 років тому +3

    Jaman tuleteen movie kama hizi yan movie zenu zinafundisha vizur mpak bas mashaallah Allah awaongoze kwakila hatua mnayo piga nawapenda nyote washiriki 😍😍

  • @omanmuscatmus2155
    @omanmuscatmus2155 Рік тому

    Yusra uyo mwenye pesa zage😅😅😅

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 Рік тому

    Mashaallah tamthilia yafundisha wallah

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 років тому +1

    Mashallah leten nyengine movie zenu mzuri sana

  • @salmahassan5461
    @salmahassan5461 5 років тому +1

    Shukran sana kinyogori.jamali na uctadhi Khalipha kwa kazuriii Allah awalipe zaidi

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 5 років тому +2

    Ila mjitahidi sana kuonyesha nyuso za uchamungu mtambuwe nyie ni kioo. Hasa wanawake make zisizidi sana kwa huyo yusra.

  • @hasnajumahassan8329
    @hasnajumahassan8329 2 роки тому

    Nzur jamani ila muendelezo jamani

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 роки тому

    Bora upo hai hujachelewa kufanya mema na kutubu kwa Allah..alochelewa ni yule ambae jua litatoka maghrb kwenda mashariki hapo amechelewa AMA roho itapofika ktk koo ila kama bdo kimojawapo hapo hakijakukuta bac ujue mlango wa toba upo wazi

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 6 днів тому

    Next plzz

  • @ballqissbabyabdallah8959
    @ballqissbabyabdallah8959 3 роки тому

    Mwendelezoo jamani

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 4 роки тому +2

    mola awazidishie kheri tupu washrikii mna mafunzo mazuri

  • @mohamedkagoma7066
    @mohamedkagoma7066 4 роки тому +3

    Yusra we jeuli yote Keisha sikuzote usijione mzuli ukazalau kila MTU hakika umauti hauangalii uzuli au ubaya

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 4 роки тому +1

    Jeuri yako kwisha pesa sio kituwala dunia

  • @hasnajumahassan8329
    @hasnajumahassan8329 2 роки тому

    Muendelezo jamn

  • @user-sk2xr7yv3h
    @user-sk2xr7yv3h 5 років тому +4

    Jinyanyuwe Wala uwache siku yako yaja leo mdomo umeisha

  • @ibnmasoud8151
    @ibnmasoud8151 3 роки тому

    Karibu Sudan dada

  • @sakinayusuph2831
    @sakinayusuph2831 5 років тому +2

    kwa kuomba misamaha2 hodat

  • @razansalim532
    @razansalim532 5 років тому +2

    MashaAllah nice movies

  • @madrasashoptvonline4175
    @madrasashoptvonline4175  6 років тому +9

    shukran tunafaanya jitihada za kuleta zingine japo kitabu taabu lkn ishallah zitakuja nyingi tu

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 років тому +3

    H h h unanichekesha Yussra saaiv unalia nin sasa😂😂😂😂

  • @MohdRashid-cu9qb
    @MohdRashid-cu9qb 5 років тому +4

    Jeuri zote zimeisha baada tu ya kupokea majibu kweli kifo so.mchezo itakua funzo kwa wote wenye dharau kama wewe

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 3 роки тому

    Nzur na ina mazingatio mno

  • @ukhtyjohari8403
    @ukhtyjohari8403 4 роки тому +2

    Movie poa ila mumechanganya

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Рік тому

    Mbona sehemu ya 6 naitafuta siiyoni?

  • @mobyyusuph7175
    @mobyyusuph7175 2 роки тому

    Kwa nini amtoi mpak ya mwisho

  • @kilimodiwanikilimodiwan3568
    @kilimodiwanikilimodiwan3568 2 роки тому

    Ma ashallaaa! Natafuta sehemu ya 6 mbona siioni?

  • @nyamburarajabuzawadirajabu1116
    @nyamburarajabuzawadirajabu1116 6 років тому +1

    Majini wanwabudu Allah majanga

    • @fatmaridhiwan3257
      @fatmaridhiwan3257 4 роки тому +1

      Ndio wameumbw binaadamu na majini kwa ajili ya kumuabudu Allah

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 років тому +1

    Majuto mjukuu

  • @aminamuhamad897
    @aminamuhamad897 6 років тому +1

    muendelezo tafadhali

  • @salehemponela1625
    @salehemponela1625 2 роки тому

    kibri jamaa yake shetan hivyo tujiepushe na kibr

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 6 років тому +1

    Utaenda na pesa zko Yusra hiv kuugua ndio kufa? Poz zote simekwisha

  • @abuammaar621
    @abuammaar621 5 років тому +1

    Sauti ndio kidogo inashida

  • @nyamburarajabuzawadirajabu1116
    @nyamburarajabuzawadirajabu1116 6 років тому +1

    Hahaaaa

  • @mohamedmsuya9231
    @mohamedmsuya9231 5 років тому

    mashaallah