ANTII PT:7 | TAMTHILIA YA MAADILI | Official HD Video | Mash Tv | Madrasa Shop Tz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Time zingine ukikosa utulivu kwa mkeo hukupelekea uonekane kama chizi hii yote sbb nyumbanihakuna utulivu
    Tujitahidini wanandoa tupeane furaha ili ndoa zetu zidumu
    Endelea kufatilia chanen yetu kwa faida nyingi
    Cont:
    +255773 950 250
    +255717513 191
    Mash tv
    MKONO KWA MKONO MPAKA TUSHIKAMANE

КОМЕНТАРІ • 408

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 2 роки тому +13

    Nyumba. Ndogo. Mupo. Hewani. Shikiriya. Sana. Ndoa. 👌👌🤝

  • @khamisdadi7782
    @khamisdadi7782 2 роки тому

    Mashallh nzuri sana tamthilia hii ila muendelezo unachelewa sana

  • @mulhatsuleiman6229
    @mulhatsuleiman6229 Рік тому

    Madrasa shop natamani niwe nanyi napenda kuigiza filamu nzuri km hizi 💪🥰

  • @nasucleopugomba9089
    @nasucleopugomba9089 2 роки тому +10

    MashaAllah. Shukran kwa burudani yenye funzo ndani yake tunaomba msiwe mnachelewesha sana

  • @emmamasika7586
    @emmamasika7586 2 роки тому

    kwa kweli shukrani maan nilisubiria mpka nakata tamaa hatimaye kichupa hichi hapaa wel ✔ 👍

  • @BIN_NOOR27
    @BIN_NOOR27 2 роки тому +12

    Masha allah ila inakawia sana mana tumesubiri kwa muda mrefu sana...shukran sana 🙏

  • @lailatamour9927
    @lailatamour9927 2 роки тому

    Mashallah Fahad umejuwa kunifurahsha hui ndodawa ya walewote wasio jielewa

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 2 роки тому +4

    Shubamiti 🤣🤣🤣💪angekua wangu nilishapigwa Kofi

  • @ratifahasani6860
    @ratifahasani6860 2 роки тому +3

    Mnakaa Sana mnaichelewesha tunasubir sanaa

  • @jokeableking7039
    @jokeableking7039 2 роки тому

    We Mdada punguza Kula umenenepa vibaya taya km tembo ila mashallah movie nzr sana

  • @rahmadini-nur
    @rahmadini-nur 2 роки тому +3

    Mashallah ni nzuri sana na ina mafudisho ya dini ndani yake samahani kwa hili kama mutaweza musi kicheleweshe sana mana twa subiri kwa hamu sana

  • @ustbll6181
    @ustbll6181 2 роки тому +5

    Nzr ila tatizzo bado lile lile na hamtaki kulirekebishaa
    Mnachelewesha sanaaaa......yani hapa kila nkija likizo nd mnaweka ep mpya ss hio sio kaziii...mjitahidiiiiii
    Mnashusha brandiii maaan watu mpaka tunasahau kama kuna kitu kinaitwa antiiiii

  • @awenasuleiman4519
    @awenasuleiman4519 2 роки тому +2

    Fahad nakupend Bure kwa ajili ya Allah jomon Allah akufanyie wepes

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +1

    Kwnnn kwnnn kila kitu Antiiii!!??

  • @shedracklwila6553
    @shedracklwila6553 2 роки тому

    Mmmmhh kwakwel mwanipa somo nyieeeeeeee ❤❤❤❤❤

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 Рік тому

    Sio mke mke huyo balaa tupu Mwenyezi Mungu atuepushie na hayo

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 роки тому +7

    Mashaallah shukuran sana ilaa munachelewesha sanaa🙏😘😘

  • @bisharahassan1113
    @bisharahassan1113 2 роки тому

    Mke mdogo hongera sana vzr sana

  • @tiffahtiffahbaaby8239
    @tiffahtiffahbaaby8239 2 роки тому +1

    Nzuri inatufundisha sir wanawake naifatilia saana na niliisubili kwa hamu toka mwezi wa kumi ahsantee

  • @arafashafii4019
    @arafashafii4019 2 роки тому +2

    Jaman nimefurah kuileta filam hii.. naipenda sana.. pia mpo vizur.. mashaallah

  • @aminaamiri7684
    @aminaamiri7684 2 роки тому +1

    Maa shaa llah fahad umeoa au baado ....maan

  • @asharashid171
    @asharashid171 2 роки тому

    Mashallah tunatkw tuchukue mafunzo kutkn na hii filam

  • @mobyyusuph7175
    @mobyyusuph7175 2 роки тому

    Masha Allah nzur kweli jaman muendelezo au ndo mwisho hapo

  • @ryuvbj5205
    @ryuvbj5205 2 роки тому +4

    Maa shaa llah funzo kwa wenye masikio na uelewa mume ataka malezi 💕💕💕

  • @latifajabiri5786
    @latifajabiri5786 2 роки тому +21

    Mashallah shukran kwenu tulisubir kwa hamu 🤗🌷

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 2 роки тому +3

    Nimeisubiri kwa hamu sana Shukran vipenzi kwa kazi nzuri

  • @aishagaitany7818
    @aishagaitany7818 2 роки тому

    Wedada ww mungu anakuona unatuaibisha bana acha usaidiwe umeshindwa mwenyewe

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 2 роки тому +4

    Mashaallah shukran sna tulisubria snaa hii episode

  • @fatmasanze155
    @fatmasanze155 2 роки тому +1

    Ma shaa Allah.. Ombi tu kwenu, msiisubirishe mda mrefu. Watu hadi wanakua na hamu nayo jaman...

  • @ClashClans-lb8yn
    @ClashClans-lb8yn Рік тому

    Mashaallah Ni nzur Sana .

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 Рік тому

    Subhallah Allah kuna wake kama hawo kweli

  • @hamdanhamdan1894
    @hamdanhamdan1894 2 роки тому +4

    Mko vizuri ila mnazingua film anakaa mda mrefu sana mpaka tunasahau tulipoishia

  • @tiffahtiffahbaaby8239
    @tiffahtiffahbaaby8239 2 роки тому

    Waaao co boss wangu ni mke mwenzangu

  • @aishambondo8923
    @aishambondo8923 2 роки тому

    Nimechekaa sana huyu mwalabu polii anavyomwambiaa moyoni moja kwamojaa

  • @madrasashoptvonline4175
    @madrasashoptvonline4175 2 роки тому +3

    Shukran na tunayajali maoni ya kila Moja na tutazifanyia kazi ishallah

  • @bisharahassan1113
    @bisharahassan1113 2 роки тому

    Maa shaa Allah ila mke mkubwa jifunze kuish na mume

  • @hawaissaramadhan8154
    @hawaissaramadhan8154 2 роки тому

    Mwendelezo pleass mashaallah nzur

  • @aishanassor8130
    @aishanassor8130 2 роки тому

    Eti niliwache tu🤣🤣🤣ukishakuwa bonge bwanaaa hayaaa tu Mungu atusaidie vibongeeee

  • @mwanaidibushuti9929
    @mwanaidibushuti9929 2 роки тому

    Kwanini jamani mwachelewesha hivi nzuri Sana ila mwakaa Sana kweli

  • @fatmaabdalah7007
    @fatmaabdalah7007 2 роки тому

    Shukran ni nzuri sana tunasubiri na nyengine

  • @faudhatilugus4912
    @faudhatilugus4912 2 роки тому +1

    Bi mkubwa ni nomaa yaani mdomo kama chuchunde🤣🤣🤣🙌🙌

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 2 роки тому +4

    Duh Allah anijaalie niwe make mwema kwa mume wangu mtarajiwa

  • @mulhatahmed8198
    @mulhatahmed8198 2 роки тому

    Napenda wanavoitana mumewangu na mke wangu ilihali hawapatani

  • @Mauamunga
    @Mauamunga 5 місяців тому

    Allah aniajalie kuwa mke bora kwa mwanamume atakae niajalia

  • @amidamoura24
    @amidamoura24 2 роки тому +2

    Muwe muma tuleteya zingine ep haraka manshallah ni nzuri

  • @judcben9952
    @judcben9952 2 роки тому

    Antii nae yupo vzur

  • @mozaabdulla476
    @mozaabdulla476 2 роки тому

    Mmmh mumetutia hamu yaani heee patamu apo kahawa chungu kweli hiyo cpati picha😀

  • @sirajihamza2123
    @sirajihamza2123 2 роки тому

    Shukrn sana mwendelez

  • @rashidiabdallah6508
    @rashidiabdallah6508 2 роки тому

    Da!!! Ummeturum imekata patam maaana da!!

  • @aishasapi8847
    @aishasapi8847 2 роки тому

    Muendelezo tafadhali mana tunasubili Kwa ham tunawafwatiliya Sana from Australia yani mnajuwa Ku act

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 2 роки тому +1

    Mashaallah kila siku nilikuwa naingia yuetube kuangalia kama ipo tayari shukran

  • @yahayafumbwe537
    @yahayafumbwe537 2 роки тому

    maaashaallah barakallahu fiikum fanyani hima mtultee msicheleweshe

  • @mwalisuleih1164
    @mwalisuleih1164 2 роки тому +1

    Mashaallah tuliiisubir kw ham zote ak tunapata mafunzo kw xaan hongereni xan washiriki wote

  • @nuraynmakoya803
    @nuraynmakoya803 2 роки тому +2

    Mashaallah jomon msicheleweshe bas nawapenda sana

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 роки тому +2

    Manshallah tabarakallah 🥰🥰🥰🥰🥰mnazidi kutuburudisha🤝

  • @sophiaabdallah7821
    @sophiaabdallah7821 2 роки тому

    Maa shaa Allah,, Allah awalipee kherii jmn tuliisbr had tukasahauu walah ila tunaskur kutuluteaaa muendlezooo

  • @mwanaharusimganda2831
    @mwanaharusimganda2831 2 роки тому +3

    Mashaallah movie nzuri ila msichelewe jmni 🙏

  • @faridynimeikubalisanahiipi1170
    @faridynimeikubalisanahiipi1170 2 роки тому

    Mnakaa muda mrefu sana toeni next yake wiki ujayo jamani kazinzuri sana

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому +4

    Kazi nzuri aana wapendwa

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 2 роки тому +3

    Mashaallah 🙏 penda sana na niliisuburi sana

  • @mwadawahasan922
    @mwadawahasan922 2 роки тому +2

    Mambo ni moto mashaallah t unasubilia ya 8 inshallah

  • @neemashabanu7255
    @neemashabanu7255 2 роки тому +3

    Najifunza kuishi na mwanaume wangu vzr

  • @dhwaifathassan8624
    @dhwaifathassan8624 2 роки тому +1

    Yaaan uyu dasalma ata huruma hanaa anasem asaaa babu puuu hahahahah! Kwa kwely tamthilia ni nzuri tena ina mafunzo shukran kwenu pia tunahamu ya kujua mwisho wa yoteee kwa uwezo wa Allah

  • @mauamrope7768
    @mauamrope7768 2 роки тому +2

    Mwendelezo usichelewe sana tafadhali

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 роки тому +1

    Maashaallaah hii ina fundi sha hasa

  • @halimagoodgoodsimbahalimag2940
    @halimagoodgoodsimbahalimag2940 2 роки тому

    Naipenda san hii tamthilia lakin.inachelewa sana jaman

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +1

    Waooo asante sana kwa muendelezo

  • @duhrurhhddhheud8575
    @duhrurhhddhheud8575 2 роки тому +2

    17:15 waleykum msalam ,cheichei 🤣🤣🤣🤣🤣 wake wawili 🙌

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 роки тому +1

    Nimechelewaa jamani ilaa siyo mbaya mambo ni 🔥🔥nawapenda sana ant na fahdi😘😘😘❤️❤️

  • @geturudekhatushi9080
    @geturudekhatushi9080 2 роки тому

    marshall ela nmeesubiri sn kwa hamu mumechelewa sn

  • @husseinmazury8733
    @husseinmazury8733 2 роки тому +1

    Dah nimeisubiri sanaaaa

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 2 роки тому +1

    Maashaallah munatucherewashea mpaka twasahsu

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +1

    Niliisubir jamani mungu azid kuwaezesha

  • @edinapeter4876
    @edinapeter4876 2 роки тому +2

    Yaani huyu dada cjui nimzungumzie nini jamanii kaaaah mungu wangu niepushe na hiki kikombe

  • @kudraizadini1008
    @kudraizadini1008 2 роки тому +5

    Mashaallah nzuri sana💕💕 ila muwe mnawahi na pia episode ziwe ndefu ndefu maana ujumbe kidogoo mda mnauvuta sana. Mtu anawaza mda mrefuuu mara anatembea sehem ndeefuu mpaka unaivusha mbele mfupishe vitu visivyoo na umuhimu ili kidogo movie iwe na ujumbe mrefu mzuri na isichoshe watazamaji......

  • @samerjunior2158
    @samerjunior2158 2 роки тому +3

    Ichi kibinti nakipenda kiko vizur Mashaallah

  • @justinefifi4922
    @justinefifi4922 2 роки тому

    Jamani nzuri ila msichelewa ivo

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 2 роки тому +8

    Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH MWENYEZI MUNGU awazidishie kwa kuleta filamu hii inayo ilimisha wengi

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 2 роки тому

      Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh ya habbty #Zed..vp hali yako

    • @زينببنتسعيد-د9ح
      @زينببنتسعيد-د9ح 2 роки тому

      @@bentybenty2343 Alhamdulillah nashukuru mi mzima habibty hofu kwako

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому +1

      @@زينببنتسعيد-د9ح waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @ashuhunamohamed7997
    @ashuhunamohamed7997 2 роки тому

    Movie mnaichelewesha sana alaf pia mnarembesha sana

  • @habibaabdallah3146
    @habibaabdallah3146 2 роки тому +4

    Mashallah asnten kwa kutuletea muendelezo lkn mbn mumeikata pazuri haya tuambieni sehem ya 8 tukae mpk lini mana hii movie nzr lkn mnaichelewsha🥺🥺

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 2 роки тому

    🤣🤣chei chei malhaba shikamoo jmn matala 🙌

  • @anithambura1476
    @anithambura1476 2 роки тому +1

    Waooh hakika tumefurahi

  • @lilianeirakoze723
    @lilianeirakoze723 2 роки тому +1

    Munatucerewesha namunatupa kadogo🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 Рік тому

    Heee!mtumeee weeee!

  • @bintabuu2068
    @bintabuu2068 2 роки тому +4

    Nimeipenda hiyo kaswida

  • @salmamohd8202
    @salmamohd8202 2 роки тому +10

    Tamthilia hii inanifanya niishi na mume wang vizuri mashallah hasbunallah

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +4

      @@sanaiyyaabdallah2874 mkiwa na wafanyakaxi nyondo kiiiibaooooo wakati mume au mwanaume hana makazi maalum

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 2 роки тому +3

      Mie natamani ndoa ya ukewenza

    • @jamilachizoma2925
      @jamilachizoma2925 2 роки тому

      Sana tuuuu

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому

      @@heyumi2340 😂😂

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      @@khadijahali4837 😂😂😂😂mwanamke akiolewa hujiona kayapatia maisha na wanaume wetu waswahili

  • @ruwaidamuhsin516
    @ruwaidamuhsin516 2 роки тому +1

    Nilikuwa naisubr kwa ham part ya saba mashallah

  • @rakbeenrakbeen4961
    @rakbeenrakbeen4961 2 роки тому +5

    Mashaallah ❤ niliisubili kwa hamu jaman

  • @babamansur422
    @babamansur422 2 роки тому

    Mashallah.toeni vipindi nyingi zaidi

  • @abuuirtifaahaamid3310
    @abuuirtifaahaamid3310 2 роки тому +5

    Maashaallah
    Very nice from South Africa 🇿🇦

  • @Userog254
    @Userog254 2 роки тому +2

    Mashallah
    Mzuri lkn mbona mwakaa sn

  • @mariambintsaid3814
    @mariambintsaid3814 2 роки тому

    Shukran sana tumengojea sana huku NewYork..tabarkAllah

  • @Nashakirozo4881
    @Nashakirozo4881 2 роки тому +2

    Mashallha Shukurani nliingoja kwa hamu🥰🥰🥰

  • @naimasaid2425
    @naimasaid2425 2 роки тому

    Msichelewe bas muendelezoo

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 2 роки тому

    🤣🤣🤣mume anataka amng'ate mke jmn allh a2nusulu 🙌

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 2 роки тому

    Naangalia nikiwa Oman ...ila wapendwa mnachelewesha sana

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 роки тому +2

    Ma aasha ALLAH very nice watching from kazikastani

  • @mwanaidimjeni1034
    @mwanaidimjeni1034 2 роки тому +2

    Subhanallah mke uyu kakosa maadili anamtukana mumewe utadhan mwanawe toba

  • @mimanassor4068
    @mimanassor4068 2 роки тому

    mumeo........kaowaaaaa

  • @aishamussa8705
    @aishamussa8705 2 роки тому

    Jamani mnatucheleweshea tunasahau fanyeni upesi