TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 8): Maisha na Nyakati za Sultan Barghash - Part 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Miaka miwili baada ya kuishi kifungoni India, alikopelekwa na Muingereza, Sayyid Barghash bin Said alirejea tena nyumbani na kupatana na kaka yake, Sultan Majid, kabla ya kifo cha mtangulizi wake huyo, naye kushika rasmi madaraka ya Dola la Zanzibar. Leo Sheikh Riadh Al Busaidi anasimulia jinsi Sultan Barghash alivyoleta mageuzi kwenye utawala wake.

КОМЕНТАРІ • 20

  • @salehmadawa7035
    @salehmadawa7035 3 роки тому +2

    Hii channel ni bora sana iinaelimisha na wale wanaopotosha historiia ya Zanzibar ni mwiba ,,,,,,,,,hongera

  • @guledomary2812
    @guledomary2812 3 роки тому +1

    MA SHA ALLAH ELIMU HII NI NADRA SANA KUIPATA SEHEMU NYINGINE ,, JAZAKALLAHU KHEIRAN JAZAA SHEIKH MOHAMED GHASSAN NA SHEIKH RIAZ

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 4 роки тому +4

    Maashallah Shukran kwa Gumzo tupo pamoja Allah akupe nguvu uzidi kutuelimisha

    • @eroseric9846
      @eroseric9846 3 роки тому

      Maashallah umependeza naweza pata mawasiliano yako

  • @asilclub
    @asilclub 3 роки тому

    جزاك الله خيرا على هذا السرد التاريخي العظيم لزنجبار

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 4 роки тому +2

    Nikushukuruni sana sheikh Riaz na Bw Mohohammed Ghassani... Elimu bila mipaka

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 роки тому +1

    MASHAALLAH, JAZZAKALLAH KHERI KWA KUTUJUZA HISTORIA ILIYO YA KWELI SIO PROPAGANDA ZA BAADHI YA WATU WASIOSEMA UKWELI ILIVYOKUWA

  • @badruhamoud5249
    @badruhamoud5249 4 роки тому +1

    MASHALLAH ALLAH BARIK

  • @omiliasabdul-aziz6826
    @omiliasabdul-aziz6826 3 роки тому +1

    Utumwa ulifanyika katika sehemu au mabara mbali mbalili africa, kwa mfano utumwa uliofanyika
    east africa ni tofauti na uliofanyika central africa. Kwa upande wa Zanzibar, wakati huo
    waarabu ndio walikuwa wakitawala na wenye fedha za kufanya biashara hiyo kwa wingi japokuwa
    wafrika wachache pia walishiriki kama vile ma chifu. Madhali unazungumzia zanzibar usichanganye na
    marekani au uingereza. Ndio maana mapinduzi yakafanyika kuwakomboa waafrika waliokuwa wakinyanyanswa
    kwenye nchi yao na waarabu.

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 3 роки тому +3

      Watu wa oman ni watu wana utu sana pili dini yetu ya kiislaam inaharamisha kabisa utumwa walio fanya utumwa ni wazungu NA kuwapeleka amerka kukata miti ama waoman wameleta utajiri huko zanzibari NA sultani alikua anapendwa NA wazanzibari NA serekali ilikuwa ya halali sultani amzaliwa pemba NA chama chake ilichaguliwa NA wazanzibari lakini chuki ya ungereza imefanya fitna ikaja uvamizi kutoka tanganika kwa msaada ya uangreza NA wayahudi NA nyerere wakaja usiku wa manane wameasha watu kwenye nyumba zao NA kuwakusanya pamoja barabarani NA wakawapiga risasi bila ya huruma watoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa risasi wangine wamekimbilia bshari waarbu waliteswa kinyama bila thambi raia tu wala sio askari kabisa wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wewe ingia Google youtu.be utaona maajabu waarbu ni watu wawema sana wala hakunyanyasa watu bali misada yao mpaka leo inamiminika kwa zanzibari NA hii dini yetu ya kiislaam imetufundisha hivi

    • @mkude
      @mkude 2 роки тому

      @@alialamoudi9729 ndugu yangu hii fitna imetengenezwa na wazungu ili warabu wachukiwe na ni east Afrika tu wanafundishwa hivyo,angalia wareno walichuku watumwa mamillioni kwa mamillioni waliopelekwa brazili angalia Brazil zaidi ya nusu inawatu weusi angalia nchi za Latino walivyopelekwa huko angalia marekani walivyopelekwa huko watu weusi wakati huo Europe pamoja na england kulikuwa na minada ya hadhara ya kuuzwa watumwa ila yote hayatajwi wanapakwa matope waraabu

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 3 роки тому +1

    Hiyi mishenzi ya kiafrika ilituharibia nchi na kututia kasumba

  • @saidkhamis8895
    @saidkhamis8895 3 роки тому

    Tunashukuru kwa elimu kubwa kutoka kwenu

  • @asilclub
    @asilclub 3 роки тому

    TUNATAKA KIPINDI VIPI NYERERE NA WAZUNGU WALIVAMIA WARABU ZANZIBAR NA KUWAUWA WATOTO NA WANAMAKE NA WATU WAZEE BILA MAKOSA YEYOTE

  • @asilclub
    @asilclub 3 роки тому

    Ukienda broksel Belgium kuna AFRICA MUSEUM inaonesha vipi walivyokuwa wanatesa WAAFRICA bila kuona haya na WANASIYASA WETU AFRICA HAWATAKI KUSOMA KUJUA NANI ALIWAADHIBU WAAFRICA

  • @blueeconomy7208
    @blueeconomy7208 2 роки тому

    Kwakweli hatuna maswali ya kuuliza ila tumebaki tu kushangaa jinsi Zanzibar ilivyo kua kiuchumi! Na kama alivyosema mzee wetu hapo! hadi inahamakisha kwamba Zanzibar ilikua tajiri hadi basi kwamba hawajui waufanyie nn.
    InshaAllah Tutapambana na maisha.

  • @jjdjgivv2118
    @jjdjgivv2118 4 роки тому +1

    Shukraan sn

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 4 роки тому +1

    Rahaa wallah

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 роки тому +2

    Yasalam nchi ilikua tajiri sana kumbe