TAREIKH YETU MSIMU WA TATU (SILSILA 13): Shujaa Mkwawa, Sultani wa Wahehe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • Ukoloni wa Wajerumani katika ardhi ya nchi zilizokuja kufahamika baadaye kama Tanganyika ulikumbana na upinzani mkali kutoka kwa wenyeji, ambao waliendesha vita vya miaka kadhaa dhidi ya dhuluma ya utawala huo katili. Miongoni mwa mashujaa walioongoza mapambano hayo ni Sultani Mkwawa wa jamii ya Wahehe. Sheikh Riadh Al Busaidi anatusimulia ushujaa wa shujaa huyo na wenzake wengine.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @sharifahmed7346
    @sharifahmed7346 Рік тому

    MashaALLAH Mtemi Mkwakwa mwana wa munyigumba nakumbuka shuleni miaka ya 70. Shukran Mohamed Khelef

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 Рік тому

    Asante Sana kwa history nzuri 👍👍🇹🇿🇹🇿

  • @jumaabeleu3720
    @jumaabeleu3720 10 місяців тому

    Very nice history

  • @gambofamilyafrica8147
    @gambofamilyafrica8147 Рік тому

    Hii Johari Za Kiswahili niliona mahali huku Pwani ya Kenya zamani nikiwa shule sikujua ina mambo mazuri hivyo , nitaitafuta inshaallah . Kumbe wenzetu wa kipindi hicho walipigana sana , watu wengi hawafahamu haya matukio kabisa , waafrika tulipambana , nimejifunza mengi hapa leo .

  • @mfyoko
    @mfyoko 11 місяців тому

    Utenzi wa Vita vya Wadachi kutamalaki mrima ulitungwa na my great grandfather Hemed bin Abdulla Al buhry. Nimefurahi umekitaja kwenye hadithi yako. Sinia ya shaba aliyozungumzia kuizika kwenye mti (mkwaju) kuzuia Wajerumani wasiingie kwenye mji wake bado ipo.

  • @mfyoko
    @mfyoko 11 місяців тому

    Nadhani mto unaogawa kusini kwa Tanzania ni Ruvuma na siyo Rufiji.