TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 7): Nyakati na Maisha ya Sayyid Barghash bin Said - Part 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Sayyid Barghash bin Said Al Busaid alikuwa sultani wa tatu wa Zanzibar na hadithi ya maisha yake kabla na baada ya kuwa sultani imejaa visa vya kusisimua. Ndiye alama ya kile kilichokuja kufahamika baadaye kama 'Mwamko wa Zanzibar' kwenye maendeleo ya uchumi, teknolojia na ustawi wa zama hizo.

КОМЕНТАРІ • 13

  • @abdulshellah8975
    @abdulshellah8975 4 роки тому +4

    Ni simulizi nzuri keep going

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e Рік тому

    ASSLAMALAKUM MASHAALLAH I LOVE ZANZIBAR I AM LUVING IN 🇬🇧 I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I STILL LOVE ZANZIBAR FROM BOTTOM OF MY ❤ HEART MY PARENTS FROM ,ZANZIBAR BUT I AM BORN IN KENYA 🇰🇪 MOMBASA .I LOVE ZANZIBAR AND PEOPLE OF ZANZIBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 4 роки тому +3

    Assalam aleiykum .tunawashukuru
    Saanna kwa simulizi hizi
    Tunafaudika sanaa

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 4 роки тому +5

    Mapambano yanaendelea

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 роки тому +3

    Lakini muda mdogo sana

  • @afrabiakisope6743
    @afrabiakisope6743 4 роки тому +3

    Assalam alaykum Mussa kutoka Zanzibar naomba historia ya Zanzibar kabla na baada ya mapinduzi

  • @alinasir567
    @alinasir567 4 роки тому +1

    Jee Al mabusaid ndio kabila waliotawa pekeyao au kuna kabila jengine lililo wahi kutawla zanzibar ? Kuna habari kuwa mazuruwi ndio walio tawala kwanza kabla ya albusaidi jee yanaukweli?

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 4 роки тому

    Ongelea na biashara ya utumwa

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 роки тому +3

    Mazungumzo matamu sana

  • @nothingtoworry4558
    @nothingtoworry4558 4 роки тому +2

    Thank you very much I was looking for history of sayid barghash he was great leader .

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 2 роки тому

    Historia nzuri ya Zanzibar makosa makubwa yaliyofanywa na hao watawala wa al-Busaidi kuwaamini waingereza katika mambo ya ulinzi na hapo ndipo walipo wafikisha ni wanafiki wakubwa hawa wazungu nchi imepotea mali zimepotea pia roho zao zimepotea

  • @ibnkhaldun1164
    @ibnkhaldun1164 4 роки тому +1

    Dah!Sim mchezo

  • @salimalaraini4017
    @salimalaraini4017 3 роки тому

    Ni simulizi zuri sana kuhusu maisha ya wafalme. Ni muhimu sana kuchukuwa mfano mzuri kutokana na historia yao na sisi vipi tutaweza kunufaika kutokana na historia hii iliojaa simulizi.