Othman Masoud azungumzia mtazamo wake kuhusu uongozi, Muungano | GUMZO MAALUM
Вставка
- Опубліковано 28 вер 2024
- Kwenye mazungumzo haya maalum na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, tunazungumzia mtazamo wake kuhusu uongozi, Muungano, na mustakabali wa Zanzibar.
Jamaa yupo vizuri sana nampenda sana kusimkiliza.
Diaspora Zanzibar kutamu Ishllh ACT ichukue nchi
Mtu kma huyu anazaliwa kila baada ya miaka 50 heshima kwako fundi mkuu
Akili kubwa mno 🫡
Hii interview ni ya zamani kidogo sio mpya kama sikosei
C ya zaman hpo tyr ashakua MWENYEKÌTI taìfa ACT
Tunaweka wazi ni siasa tu hakuna chengine wanajaza jamaa zao wenyewe uccm umekithiri
Tanzania or zanzibar muheshimiwa
👊✌️👍.
Mashaallah Mh Othman.. May Allah akuhifadhi ... utuvushie jahazi letu tufikie zanzibar kamili ... Allahumma ameen Allahumma ameen
Rais wangu 2025
Huyu ni kiongozi wa mfano kabisa
Thanks comrade.....that is an apostolic philosophy.....vivaaaa
Hatuwezi kuwa na mapenzi makubwa kwa na kwetu mpaka mtukubalie raia pacha nyengine hamtaweza kututambuwa
Unatufaa kuwa rais wetu
Wa N'zambarau-Takao wan'kutana, ela vichwa vyao vin'jaa pomoni
OMO is an asset for zanzibarians lakini penye miti hakuna wajenzi