Asamteni sana watumishi wa Bwana Kwa ujumbe iyi nzuri mulio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajilia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Hakika Matendo ya Mungu ni Makuu mbarikiwe sana kwa utume uliotukuka hongereni kwa kumtukuza Mungu bila kujibakiza mzidi kusonga mbele mdumishe Ushirikiano na Mungu atazidi kuwainua
Ni kweli bwana ulinijua tangu ningali mimba tumboni mwa mama yangu hakika hongereni sana kwaya ya Mt don bosko mkwajumi huu wimbo nikiusikia unanibariki sana sichoki kuusikiliza na hasa kwenye matukio ya upadrisho yani unahisi mbingu zinafunguka hakika mmetisha mtunzi Mungu ambarki huko aliko na ampe pumziko la milele
I have been looking for this song for soo long, utunzi Bora na sauti zapendeza
Only GOD knows how I have struggled with the song title...but finally I have found....hehehe the struggle was real...kazi nzuri
Kwa kweli na wa penda bure ndugu zangu wa Mkwajuni Songwe Parokia ya Mwambani.
Hongereni sana wapendwa
Mwenye copy ya wimbo tafadhali naomba,
Good John bosco
Asamteni sana watumishi wa Bwana Kwa ujumbe iyi nzuri mulio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajilia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Jaman jaman Hadi raha mko vizuri Mkwajuni Songwe Parokia ya Mwambani Wille, Da Pendo,Aunt Cotida na wengine mmependeza sana Mungu awabariki
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Mungu awabariki kwa nyimbo zenu nzuri hakika kazi yenu nimeipenda
Ahsante sana...
Asalipa mwanitu tuko pamoja
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
Hakika Matendo ya Mungu ni Makuu mbarikiwe sana kwa utume uliotukuka hongereni kwa kumtukuza Mungu bila kujibakiza mzidi kusonga mbele mdumishe Ushirikiano na Mungu atazidi kuwainua
Mwasalipa wanitu
Hongera xana wanakwaya🎉🎉🎉🎉🎉
Amina Mwenyezi Mungu awabariki kwa kazi nzuri.
hongereni sana
Hongera sana wimbo unanibariki sana
Asanteni Mungu awabariki sana 🙏
Nyimbo pendwa sana hii jina la bwana libarikiwe
Nakupenda sana huu wimbo,mungu awabarik sana
Mpo vizuri sana ktk kazi ya Mungu. Kila la kheri wapendwa
Utume mwema raha duniani hadi mbinguni. Mungu awabariki sana kwa utume wenu.
Hongeren sana wimbo mzuri sana wapendwa mnanikumbusha mbali sana miaka ya 2015 tukio la upadrisho parokia ya lupa
My people are here again! Congrats.
Hongera kwa kazi nzuri mungu awatiye nguvu
Mwanifurahisha sana katika uinjilishaji wenu wa uimbaji, hongereni endeleeni kuchochea karama zenu.
Kazi nzuri sana...hongereni mno
Msifuni yesu kristu to get the key from the ulesemu
Asante sana kwa uinjirishaji uliotukuka!
❤❤❤❤❤❤❤❤nice song
Mungu awa hawariki sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wooooooo woooooow
Jamanii huu wimbo ni mzuri sana
Bonge la wimbo! Hongereni sana waimbaji
Barikiwa sana watumishi wa MUNGU kwa uimbaji mzuri wana wa Mkwajun mwambani mwasalipa ❤
Hongereni sana kwa kuinjilisha. Mungu awatunze.
Mnatuinjilisha vizuri sana. Hongereni. Mwenyezi Mungu awabariki sanaaaaa
Mungu awabariki muendelee na uimbaji
Hongereni Sana kwaya Ya mtakatifu John Bosco
Mungu awabariki San
Regards from Uganda 🇺🇬
Shukrani sana Wana U👏👏
Nawa penda sana
Jamani ombeni iwe Parokia.Mana inaonekana ukristo ni mkubwa na mzuri.Hongereni sana.
Pongezi xn kwenu wapedw god blesses.
Nice
Mmependeza
Ujumbe mwema
Ni kweli bwana ulinijua tangu ningali mimba tumboni mwa mama yangu hakika hongereni sana kwaya ya Mt don bosko mkwajumi huu wimbo nikiusikia unanibariki sana sichoki kuusikiliza na hasa kwenye matukio ya upadrisho yani unahisi mbingu zinafunguka hakika mmetisha mtunzi Mungu ambarki huko aliko na ampe pumziko la milele
Hongera Na kazinjema
Wow good song,go on with good work
Mungu awabariki sana
Huu wimbo umenibariki sana siachi kuusikiliza
Wimbo mzuri huu
Awabarik sanaa Tena sana
Nawapenda nisikiapo mwimbo huu hunigusa sana Moyo wangu
Hongereni sana vijana wenzetu
Tunashukuru Sana... Injili na iendelee!
Hongeren sana iv mtunzi ni Nan?
Safi sana
Vizuri
🥰🥰🥰🥰🙏