Hujawaigi kutuangusha,,, mbunge unaeongoza binadamu na wanyama,,, Polomosheni like za kutosha kama ishara ya kupaza juu sauti ya mnyonge na kuacha kulia lia,,,,
Nakubali sana unavyo andika prof but no body listening wahusika wanakunywa chai and close their ear's... Keep the fire burning .hata misri haikujengwa kwa siku moja.
Yaani hata kabla cjaisikiliza hii ngoma,nme like kwanza maana huyu jamaa hajawahi kuniangusha.Daaaaa....jamaa kichwa sanaaaaa,Tanzania one ndo huyuuuuu.....😂😂😂😂🤔🤔🤔🤔🤔🤔
prof j ni hatareeeee Safi kamanda
Kali sana hiyo Naielewa broo like zangu na professor jay
Fya.. Tano safi. Shikamoo Benz Mic U in the game kaka.
kaz nzuri mmetish mbaya
Never stop loving this my song
Haujawahi kuniangusha brother, (msilie)
Hakika watanzania tuna umoja sana, tulipokuwa kwenye matatzo hamukuachia k
ngoma, leo MO amerudi full mangoma, twende sawa, @LOVE MY COUNTRY.
Nimeipitisha kiroho safii
Asante prof unakata kiu zetu
Pamoja Sana mti mkavu
Chidi n level nyingine
Dope song#Prof.J
Asante mheshimiwa Prof Jizeee kwa kutukumbuka watu wa ghetto kutulisha madini yetu.Kibabe zaidi💪
Professor Jay naomba uweke ile ngoma ya salamu Bibi na Babu tafadhali
Mbona ipo,,
Msilie!
Hujawaigi kutuangusha,,, mbunge unaeongoza binadamu na wanyama,,,
Polomosheni like za kutosha kama ishara ya kupaza juu sauti ya mnyonge na kuacha kulia lia,,,,
Chumaaa
Msilie kwenye taabu piga moyo konde shavu kwa Chidi Beenz return to game
King na Simba WA Hip Hop East Africa Wakutana.
Kunatiiisha ile balaaa.
Big up my Heros. Love from Kenya
prof ww ni role model wangu ktk harakati za maisha
Aisee wanangu mbunge anayeongoza wanadamu na wanyama amepiga kuua,
Showing love from +254
Likes zije
Nakubali sana unavyo andika prof but no body listening wahusika wanakunywa chai and close their ear's... Keep the fire burning .hata misri haikujengwa kwa siku moja.
Kali sana ata Kenya tunatambua jay ni babayao TZ bt jay tunataka ufanye Kazi na khalgraph jones
First comment 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥☑️
254 from south Carolina am lckd.
Nakuelewa sana kaka prof
kama sitaacha comment yangu apa ntakua cjatenda haki, yani hili goma fireeeeee"msilie maisha ni mchanganyiko wa milima na mabonde"
Daaah ipaze juu sauti ya mnyonge kwa kweli ....big up to the legends
Good up bro kazii safi sana haya fungienii na hii bhac maana hamchelewii
Yaani hata kabla cjaisikiliza hii ngoma,nme like kwanza maana huyu jamaa hajawahi kuniangusha.Daaaaa....jamaa kichwa sanaaaaa,Tanzania one ndo huyuuuuu.....😂😂😂😂🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Dahh yani kiukweli Bro wewe ni noma dadeki toka enzi zile ujawayi kuniyangusha bro #msiliye 😢😥 +1
Mr hitt
hili dude nomaaaa le prof umetisha respect kwako kama zote yani 🔝
Shikamoooo!.. The heavyweight Eemc+Chuma nondo,
Maisha ni mchanganyiko wa milima na mabonde much respect kwenu
Niko hapa juu ya P Jay hajai angusha
oyooo pini kaliiii kinomaà
Bonge la Meseji brother
Bongo is back .. love from Kla.
Kali sana mzee
Kali saanaaa
juuu kama mwezi
Big-up Prof Jay
Mziki mnene kama kawaida...una beep wanakimbia..
Professor wa mziki kweli!
Rushwa imeshikwa hatamu naghafla itakua halali ...huyo ndo Mbunge anayeongoza Binadamu na wanyama.Heshima kwako kaka
Vina vikali Jay
Hivi jaman hii ngoma kuna watu wanaweka dislike wanaakil kwel?
nice boy
🔥🔥🔥we real missed that jay
uyo noooma profesa
Ngoma imetulia balaa #Msilie
tisha sana
Chidii rudi kwenyee game bana
Umembania chuma.. hajachana hii ngoma inahitaji remix....
Umetisha
Hii nyimbo bado ina vibe ile ile, acha bhana. Hizi nyimbo na mambo tunayopitia kipindi hiki daah
Sijamsikia chid
kwenye chorus
I support chidi Benz arudi
Thanks brother for the nice massage
Hii ngoma kali ila km nishawai isikia hv
Ngoma ya muda tu!
J ngoma kal sn,tunaomba vidio tafadhar
Big talent j
Lamaa kalinyoosha hil bit
Like down km ngoma umeikubali
mh ..nakutabiria makubwa
htl sana we jmaa nkubli sana ila mkumbuke Dogo mmoja wakuitwa colourless
Ngoma kal broo
Wow ngoma kali snaa, but chid ajachana nilitamani achane..
Motoooo i
Kizazi
hii yenyewe
Dah hii ngoma nimeitafuta sana
Tawire
Gonga like apa...👍
we missed this
chid wewe ni mkali lkn sijuwi wapi una kwama kaka
Kassim Ali hujui VIP kama anatumia madawa?
..it sounds like an old song..ilirecordiwa kitambo hii ngoma
Msilie
+254
Huwa nikisikia sauti za maligendary kama wewe nafurahi sanaaa
mjedengwa poizon Prof ni legend na kazi zake ni legendary
ALUTA CONTINUA
Kupitia ngoma hii ndio utaelewa maana ya mkubwa dawa
Nice
King Kong Chuma
👊
Video
legend wa hip hop
Hatar sana broooo.. Unazeeka na ukali wako
Kaka anaweza tangu na tangy
Saf2
No one like u chid what is wrong brother
Keeping the real hiphop alive
huyu ni shida tupu kwenye game
ngoma Kali pf j
PROF HAANDIIKI HIVI TENA ALIPATA PESA TAKO LIKALIA MBWATA
Uchama unakusumbua viva pro jay
Gonga like kama wewe unasubiri video usilie
Hivi hawa walio dislike hii, hawaelewi maana ya dislike au watakuwa wachawi hawa 😂😂😂😂😂😂
Wachawi wa Lumumba hao bro 😀😀
Nyimbo nimeikubari, Aluta continua